HAJI MANARA AFICHUA SIRI CHAFU ZA ENG HERSI RAIS WA YANGA KUMZUIA ASIRUDI KUFANYA KAZI YANGA........

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • #BATTLETV

КОМЕНТАРІ • 208

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 10 днів тому +20

    Haji ni funzo Kwa wale wote wenyekujiona ni Bora,Allah katuonya sana kujifaharisha ,pia tumeonywa kujiepusha kutoka Siri/aibu ya mstiri wako baada ya kuvunjika mapenzi yenu iwe ktk ndoa,kazi au urafiki tu

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 10 днів тому +3

      Kwani hajijui kuwa amechokwa abaki tu na Tv Media yake kila jambo linakwenda na wakati kazi kuoa hovyo akae na mke wa kwanza tu

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 9 днів тому

      Funzo kwa nini haji atabaki kuwa haji imegn simba alitoka twambie simba leo ikoje utapata jibu kila mwanadam mungu kampa kipaji chake tatzo watanzania aslimia kubwa mna roho za kinafk wivu kutokukubali uwezo wa mtu manara ni mmoja tu tanzania uwez kumfananisha na hawa madogo wote wanaobana pua

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 9 днів тому

      Umeishiwa pumzi wewe. Uwepo wa Simba ilivyo na Manara vina mahusiano gani hapo? Wewe ndio mnafiki wanao bana pua wameajiriwa na umaarufu umetaradadi. Wewe sasa ndio unakorosho na kijiba. Lazima Tukabali kila Nabii na Zama zake. Manara alifanya yake kwa ubunifu wake na kwa wakati wake. Nahao unao waonea ndunda kwa sasa wana fanya mazuri kwa ubunifu wao na kwa wakati wao. Tuache Wivu tuwaache vijana wafanye kazi nasio tuwaseme kama hauna kazi shika jembe ukalime tu. ​@@JohnsonBagambi

    • @ShaabanKhamis-mm5ef
      @ShaabanKhamis-mm5ef 9 днів тому

      Mashaallah kwel kaka

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 9 днів тому

      @@JohnsonBagambi Nashukuru Umejitambua katika sifa ulizo zitaja za mnafiki Chuki wivu na wewe unazo hiyo % kubwa ya wa Tanzania wenye chuki na wivu . Hao unao waita wabana pua huo tayari ni wivu unamtoaje mtu kasoro wakati hauja muumba wewe? Hawa wapo kazini tena ni waajiriwa wanaisemea Timu zao na ndio Mwenyezi Mungu ndivyo alivyo waumba wewe una wako soa kwa chuki zako binafsi Kilicho kukasirisha bila sababu hapa ni nini? (A) kuajiriwa kwao(B) Kua katika idara moja ya habari na Haji wakati wewe hupendi. Jitafakari ukishapata majibu ya swali (A,B)hapa unge mzungu mzia haji kama haji tunge pita tu. Nawewe ni miongoni mwa asilimia kubwa ya hao ulio waita wanafiki kwa hizi sifa ulizo zioanisha hapa. Tuache tabia za Nyani analiona ..................la mwenzie tu kumbe na yeye lake liko vilevile.

  • @johnpeter745
    @johnpeter745 10 днів тому +13

    Koma kiherehere kibaya we huna tofauti na mwanamke malaya

  • @HassanSalum-w5v
    @HassanSalum-w5v 10 днів тому +11

    Dunia haijawahi kumuwacha mnafiki salama

  • @charlesmahuna
    @charlesmahuna 10 днів тому +9

    Simba msimpokee huyo ni mtego mkubwa kutoka GSM ili watuangushe tena, tego hilo

    • @kachabisnea8815
      @kachabisnea8815 8 днів тому

      Upo sahii kabisa ndugu huyu msenge anatumika

  • @mwalagokache375
    @mwalagokache375 10 днів тому +3

    Huyu anajibrandi Kila mahali anataka KUINGIA kama brand bila anufaike yeye zaid kama brand
    Sasa utaratibu ni KWAMBA kama anaingia kama Brandi ajitangaze anatakiwa kuweka pesa ndio ajitangaze aidha kama anataka ajira YANGA aweke maswala ya brand pembeni jambo ambalo hawezi .
    Brandi kukutana na brand lazima kuweka mkataba WA kuweka fedha yaani kama YANGA inataka kujiingiza Kwa manara YANGA iweke mpunga au manara kujitangaza kama Brandi Kwa YANGA aweke mpunga
    Hiyo ndio win win situation
    Asilete ujanja mbele ya vichwa vya kisomi na vijana mahiri

  • @FabiolaTriphon
    @FabiolaTriphon 10 днів тому +8

    Akachekiwe naafya Hawa wanawake wameoza kamavip dozi mapema

  • @ZainabSimith-ey6vm
    @ZainabSimith-ey6vm 10 днів тому +10

    Mkataa pema pabaya panamwita simba ilimpa jina lakini alitunyea wanasimba Sasa Kiko wp

    • @NasraSaidi-l2h
      @NasraSaidi-l2h 9 днів тому

      Nikweli kabisa

    • @HabibaChunganguo
      @HabibaChunganguo 8 днів тому +1

      Haji manara hakupewa umaarufu Simba haji manara maarufu kutokana na jina la ukoo wake manara msipende kujisemea tu

  • @mahonanjile6007
    @mahonanjile6007 10 днів тому +4

    Atampokea nani simba huyo mnara sisi tuna semaji la CAF

  • @ArafaMkomwele-vi2hp
    @ArafaMkomwele-vi2hp 10 днів тому +3

    Hapo mmeona huyu sio Manara wa simba huyo ni manara wa utopolo kachooooka ngozi imezeeeka kweli mdomo uliponza kichwa kupata ngewe

  • @florangido202
    @florangido202 10 днів тому +2

    Hakuwa na Nidhamu Baada ya Muda wako kuisha
    Uliita Press Conference na Akiwa na Mkewe na Mama yake, Kuzungumza wewe ndiyo Msemaji na Kumponda Ally Kamwe, Kutumia Mabavu.
    UNGEMUHESHIMU ALLY KAMWE KAIONGOZA YANGA MIAKA 2, ALLY AMWE HAWEZI KUTOLEWA KSB UMERUDI

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 10 днів тому +5

    Aje awe chawa wa konde mjeshiiii tutampokea

    • @f.a6043
      @f.a6043 7 днів тому +1

      😂😂😂 Dah! Mbavu sina 🤣🤣🤣👉🏼🐸🐸🐸

  • @LilianMpenda-gw5pp
    @LilianMpenda-gw5pp 10 днів тому +2

    Ukiichukia Simba huwezi kufika mbali
    Senzo fyuuuuu
    Manara fyuuuu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 10 днів тому +2

    kwa kawaida ukiwa Mzee Ruziki zako nazo hupungua Manara pole sana!

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 10 днів тому

      Nani kakudanya!? Bakharesa Mzee lkn kila sku anaingiza mabilioni ya fedha

  • @EdwardMayega
    @EdwardMayega 10 днів тому +3

    Huyo manara apimwe afya ya akili tusije.mpoteza😂😂😂

  • @boscoShama
    @boscoShama 10 днів тому +10

    Akiwa simba alikuwa anaheshimiwa lakini hawa yanga hawana heshima

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 10 днів тому +2

    Huyu mjanja mtu wa propaganda anataka Simba tumsamehe iliatuingize chaka

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 10 днів тому +1

    Manara kajifunze kitu kinaitwa "Rule of Engagement " Kanuni na vigezo kuzingatiwa ni msemo maarufu sana. Manara haelewi kabisa kuzingatia kanuni na vigezo. Mfano hai. Baada ya kufunguliwa kifungo chake, kwa akili ya kawaida tu ya mwajiliwa yeyote, hakupaswa kuita press conference na kuongea aliyoongea. Kwa akili ya manara alipofungiwa,Cheo chake pia kienda kifungoni ndiyo maana mlimsikia akisema hana boss kitengo cha habari na yeye ndiye KING OF THE MIC wakati huo timu iko pre season South Afrika. Huo sio weledi wa kiofisi, yanga ni taasisi kubwa yenye maono makubwa. Inaendeshwa kitaaluma na kwa kuzingatia mifumo ya kiutendaji inayotumika kimataifa. Haji hajui hilo. Anaanza kuwasimanga waliokuwepo kuwa wameifanya yanga kuwa wanyonge. Akatangaza kuwa amerudi enzi za unyonge zimekwisha.Mafanikio makubwa yamepatikana manara akiwa hayupo. Fainali ya confederation, robo fainali club championship, na hapa nyumbani NBC Premier back 2 back. Hiyo sio namna ya kurudi. Hersi ni muungwana amejua kumchukulia manara, but angeamua kuvaa urais na kumwadibisha angemweka pembeni, ila kwa kuwa ni muungwana akambeba. Yanga ilipo na inakoelekea watu aina ya manara hawana nafasi. He is too full of himself kiasi kwamba anajiona ni mkubwa kuliko yanga yenyewe. Anachojivunia ni uwezo wa ushawishi. Hilo halina ubishi. But kinachoweza kuupa thamani na nafasi huo uwezo NI TABIA. Kama hana tabia atatupwa nje na uwezo wake. Kama alipata nafasi kwa sababu ya uwezo ni swala muda tu, TABIA ITAMUUMBUA ndicho kinachotokea. Bahati mbaya sana kwake, tabia ndiyo ilimtoa simba pia. So nyie wachambuzi acheni kumpamba hapambiki huyo. Anayempenda manara atamwambia ukweli.

  • @doctormitishamba
    @doctormitishamba 10 днів тому +2

    Akili Huna ww uliona ukitoka simba utatoboa sasa umeangukia pua

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 9 днів тому +1

    Hayo ndio malipo ya mnafiki
    Ulikuwa Simba uko safi kiakili kimwili ss hv angalia ulivyo Bugatti
    Mapenzi yana kupeleka kichurachura Maisha nayo Yana kupiga pushapu Yanga ndio imekushika masikio
    Poleni msiotakiwa Poleni
    Simba nguvu Moja Jana na leooo🤣💪🏽🙏🏼

  • @OZamgina
    @OZamgina 6 днів тому +1

    tamaa mbaya

  • @RamadhanYassin-b7h
    @RamadhanYassin-b7h 10 днів тому +2

    Brooh alizinguwa xanaaaa achaa ya mkutee 😂😂😂

  • @cynthiapwani1383
    @cynthiapwani1383 7 днів тому

    Acheni unafki kadhazeeka nyoosha maelezo kisa sio aliko yanga tuna raha na tunanenepa kila siku kazi mnayo kma mnateseka kwaajili yake mchukueniiiiiiiiiiii daima mbele nyuma mwikooooooooooooooooooooooooooooooooooo👌👌🔥🔥🔥💪🖐🔥🔥

  • @JuliusKideula-qt4pq
    @JuliusKideula-qt4pq 10 днів тому +2

    Hebu nyie waandishi acheni habari zenu za kutaka kuanza kuivuruga Timu yetu,hizo zote mnataka kuanzisha chokochoko ndani ya club,hampendi utulivu uliopo na mafanikio yaliyopo

  • @OswardMandikilo
    @OswardMandikilo 10 днів тому +2

    Na bado,utakufa mbwa Koko na ilo domo lako, na usiludi kwetu ,

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 10 днів тому +7

    😂 Hajji Manara acha yamkute. Mwana kulitaka Mwana kulipata! KUDADEKI..

  • @AdamLeyan
    @AdamLeyan 10 днів тому +2

    Manara kwani niyanga Kuna kazin hapo naenda hata Manchester united

  • @AhmedMattar-t8g
    @AhmedMattar-t8g 10 днів тому +3

    ashura yupo hoi sana mnafiki huyu

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 10 днів тому +2

    Sura imepowaa sana ana stress kabisa haja changamka

  • @dismasidis8990
    @dismasidis8990 10 днів тому +1

    Haaah, akufanya haki kwa makabila, ndiyo majibu yanarudi mdogo mdogo

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 8 днів тому +1

    Cyo kakonda semeni ukweli kazeeka vp mnaficha ficha?

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 8 днів тому

    Mwanakulitafuta simba msimpokee mnafiqi huyo.

  • @malilosaid6495
    @malilosaid6495 10 днів тому +1

    Akzi yake tayari jmeisha katumika basi Tena yanga kama maerkani wanajutumiya ukimaliza wanakuhuwa mwisho k wisha kabisa Simba atukutaki wewe m ariki mkubwa na dawa ya mnafiki ni moto

  • @abdulmsuya8542
    @abdulmsuya8542 9 днів тому

    NI Kweli manara kapungua sana, ana stress sana,😢😢😢 na mwanamke yule ni mpigaji tu hakuna mapenzi hapo! Kwa ushauri wangu manara atulie amlilie mungu ampe mke aliye tulia na sio stress za media na mwanamke kila kukicha!

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 10 днів тому +3

    Usaliti hua haumuachi mtu salama

  • @user-tw7qm5mw4b
    @user-tw7qm5mw4b 7 днів тому

    Si alisema hana shida gsm anampa mshahara wa bure kabla ya kifungo na mpaka kimeisha akaongezwa na mashahara sasa imekuaje tatizo babangu anaongea sana na maneno yake hatana busara plus matusi mpira ni starehe

  • @doctormitishamba
    @doctormitishamba 10 днів тому +2

    Sasa umenyoa upara na mkichwa huo jaman

  • @RajabFadhili
    @RajabFadhili 9 днів тому

    Arudi nyumbani wasimsumbue Haji huyu ni mzaliwa wa simba mo --ampe nafasi ya kazi arudishwe kwenye use maji. Kwani tunampenda sana

  • @SalimHizza
    @SalimHizza 9 днів тому +2

    Kurjuan ya mzee magoma imeanza kazi itawasambalatisha

  • @kelvinnhungo5771
    @kelvinnhungo5771 10 днів тому +1

    Njia ulopita ukiwa unaenda usiwele miba ipo cku utapita tena huyu mzungupori mjinga sana

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka 10 днів тому +4

    Kurjuan ya Mzee magoma😮😮😮😮

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 10 днів тому +1

    Ulitakaje wakati Wako umepita shida yako huna busara unakuwa na maneno makali

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 10 днів тому +1

    Awaachie watoto wafanye kazi zama zake zimeshapita

  • @FaustineFeredinandi
    @FaustineFeredinandi 5 днів тому

    Yanga Wamuonyesha Nn Maana ya Ubaya Ubwela 😂😂

  • @sefubakari
    @sefubakari 8 днів тому

    Anadharau broo manara sana. Anawaita wachambuzi mabata.

  • @TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA
    @TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA 8 днів тому

    Haji labda shetani tu ndo watamkubali na sio binaadamu

  • @valerianrugalabamu7528
    @valerianrugalabamu7528 10 днів тому +1

    Kaka wewe ni Simba uliteleza tu rudi nyumbani.

  • @DoctorNjopa
    @DoctorNjopa 10 днів тому

    Ni sahihi kabisa ana jipendejeza kwani aliondoka simba akizani simba itakufa lakini pia alishindwa kujua kuwa Hawa ni mapacha unapo mpiga doto jua kurwa anaishi kwa taazari na wewe tatizo Hana adabu

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm 10 днів тому +1

    Manara ndio basi tena

  • @AloyceSiwingwa
    @AloyceSiwingwa 10 днів тому +1

    Wote mnao msema manara ninyi ni makolo sisi wanayanga tuko kimya!!!! na manara wetu nyooooo

    • @Rukaiya-lt3hm
      @Rukaiya-lt3hm 10 днів тому

      @@AloyceSiwingwa tulia kimya haujui lolote

  • @MtemiMtewa
    @MtemiMtewa 2 дні тому

    Viongozi wa Yanga washakushtukia wewe Haji ni Simba

  • @user-ds8zk6ns7t
    @user-ds8zk6ns7t 10 днів тому

    Ukivuta BANGE utotoni basi ujuwe utoka kichwani Kwa muda wa Miaka 40 ivyo BANGE ndio inafanya kazi yake

  • @shabannayopa5406
    @shabannayopa5406 10 днів тому +1

    Ungetafuta kaz nyingine mambo ya usemaj waachie vjn

  • @OnesmoMwacha-wp4bo
    @OnesmoMwacha-wp4bo 10 днів тому

    Nataka simba tumsamehe manara ni ndugu yetu. Amekaa simba na amefanya kazi sana na kwa moyo simba

  • @BarnabasIzdory
    @BarnabasIzdory 9 днів тому

    Natamani huyu mwamba awe msemaji wa TFF

  • @AdamLeyan
    @AdamLeyan 10 днів тому +1

    Rud Simba alavu punguza maneno mkuu bana ww niwakwetu Rudi nyumban haji

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani5760 10 днів тому +1

    Mbona anavidonda kichwani au alikua hanabebeshwa mipira?

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 10 днів тому

      Ila huyu bwana anaonekana kudhoofu sana. Anatakiwa kupima afya mapema; dawa zipo.

    • @lucianaligambasi
      @lucianaligambasi 10 днів тому

      Usimseme mtu hujui kesho yako na kizazi chako

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 10 днів тому +2

    Sasa inabidi tuletee Sili za juma mwiko

    • @Costantinejustine
      @Costantinejustine 10 днів тому

      Sili Gani alete akati hayupo kwenye kamati yoyote nishabibi kama ww tu😅😅😅

  • @elipidtesha5466
    @elipidtesha5466 День тому

    Manara kapewa kaz ya ukurugenz wa kutafuta wanachama jukumu kubwa wala huwez kumusikia sikia kwa sababu jukumu hili sio la kiusemaji
    Sasa nyie wachonganishi manara apo hajaongea xhochote najiuliza hiyo journalist proffesion mmesomea wapi?vichocho?

  • @JumaSharifu-e9p
    @JumaSharifu-e9p 4 дні тому

    Hahahaaaa saf sana mnafik mkubwa huyo mungu amemuhuzunisha sana na bado atakonda Abaki kama sindano

  • @cleartzboy
    @cleartzboy 10 днів тому +1

    Kwahyo mjomba kafanyiwa kama dem wa mwanzo ataufute vizee vyenzake tu

  • @leonardlunguya7112
    @leonardlunguya7112 8 днів тому

    Dawa ya watu Wanafiki kama Manara ni Hicho alichokipata.
    Njini Hersi amefanya Ubaya Ubwela

  • @Vivia-m7g
    @Vivia-m7g 7 днів тому

    Mh kumbe bwana Haji ni mtu mzima sana.Hapa anaonekana vizuri kabisa.

  • @user-js7lr8vr9i
    @user-js7lr8vr9i 10 днів тому +1

    Hata Simba hatukutaki nenda maji maji

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde 7 днів тому

    Huna nidhamu hata SIMBA hatukutaki😂

  • @Zivago12
    @Zivago12 7 днів тому

    Zaylisa ana Gundu

  • @MasterNicodemus-yw8tq
    @MasterNicodemus-yw8tq 5 днів тому

    Hii ni mbegu ambayo mtu unapanda mwenyewe na haya mavuno yake

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 10 днів тому +1

    Achorire kachola

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 9 днів тому

    Haji Manara kitu kubwa ababaishwi na chochote ❤❤❤❤

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 8 днів тому

      Unampenda sana huyo . Aliondoka simba kwa vijibwaaa acha yamkute ❤

  • @Zivago12
    @Zivago12 7 днів тому

    Zaylisa ni kisirani

  • @user-kp9ig3uz9s
    @user-kp9ig3uz9s 10 днів тому +1

    Manara wa simba siyo huyuu

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 10 днів тому +1

    Sawa aseme tyu tunajua anatak kurundi kwenye kiki

  • @saidmrisho9339
    @saidmrisho9339 7 днів тому

    Mbona hamumwachi aongee mnamsemea

  • @Tambweath
    @Tambweath День тому

    Mbona mmeongeq ninyi tu mmeongea hajaongeq yeye

  • @merycianshinda546
    @merycianshinda546 10 днів тому +1

    Bado hujasema nabado hujasema mmpaka usemeeee

  • @Zivago12
    @Zivago12 7 днів тому

    Hajji ulijifakharisha kijinga na huyo Malaya unaemtembeza uchi dunia nzima kupitia mitandao.

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 10 днів тому +1

    Kwani tajiri akikufukuza unalazimisha nini, kazi ziko nyingi tafuta pengine

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri 5 днів тому

    Uyo roporopo aende zake

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 10 днів тому

    manara kilichomuumiza nikuchanganya dini nadunia manara anajifanya mtu wadini ila anavyompost mke wake akiwa uchi kabisaa

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA 10 днів тому

    Nyinyi waandishi vishet sasa sibola.mngeungana na dida na kina juma lokole ili utabulike kama.mnasapot ushoga watoto wakiume mnamjadili.mtu ambae analipwa mshahara kuliko nyinyi ana tv yake ambayo anaweza kuwaajili saa na.muda autakao kwa mwenendo huo mtapata kaz au mmetumwa na waajili wenu mumchafue manara kwakua mnaona tv zenu hazfanyi vzur?

  • @DevotaMafwimbo
    @DevotaMafwimbo 10 днів тому

    Yanga hawajamkataa manala,kwa hiyo mlitaka kamwe afukuzwe baada ya azabu yake kuisha,je akirudi simba mtakubali ahamed ally atoke akae yeye,maana haeshimu waliyo fanya wengine wakati yeye kafungiwa

  • @fredyfrancis8011
    @fredyfrancis8011 4 дні тому

    Jamaa limekonda lipua likibwaaa kudadadeek ,Yanga hawamtaki Tena duuh pole

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 9 днів тому

    Ungekuwa mkimya ingekupa heshima. Kupayuka kilawama kunakushusha! Yanga si mali yako binafsi yeyote anaweza kupewa nafasi yoyote wakati wowote!

  • @HasanKisome
    @HasanKisome 9 днів тому

    Alitakiwa Kushuka Jukwaani Wakati Jamii Ilikuwa Bado Ina mpenda Na Kumthamini Lakini Anapoelekea ni Kule Kule Kwenye Kudharirika Na Kudharauliwa Hamna Jinsi.

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 10 днів тому

    Manara kawa mlopokaji sana, kujifaharisha kuwa ana pesa nyingi yeye, kujuwa kila kitu yeye, hapaswi kujipangia nafasi kubali unapopangiwa.

  • @LitoDossani
    @LitoDossani 10 днів тому +1

    Tatizo mbinafsi

  • @RamadhanYassin-b7h
    @RamadhanYassin-b7h 10 днів тому +3

    Brooh alizinguwa xanaaaa achaa ya mkutee😂😂😂😂😂

  • @MahamuduMgongolwa-rw6ep
    @MahamuduMgongolwa-rw6ep 4 дні тому

    Shida yake ni kujiona Bora kuliko mtu mwingine yoyote na na ujuaji mwingi na kujisikia sana Simba tulishindwana nae kwa ajili ya hivyo

  • @allychongowe2025
    @allychongowe2025 9 днів тому

    Kurujuan ya Mzee magoma haijamuacha salama

  • @Fofo-z6t
    @Fofo-z6t 8 днів тому

    Nan mngine kaona manara amepungua cjuy Ndo umri ushaenda

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 9 днів тому

    Sio mnafiki wenenda tu mnafiki ww ludi Simba yako

  • @HawaSimai
    @HawaSimai 9 днів тому

    Ila harmonize 😅😅😅😅

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 10 днів тому +1

    NDIO UKOME KUROPOKA NYAU WEWE

  • @EmmanueliMasilu
    @EmmanueliMasilu 9 днів тому

    Sisi Simba hatumtaki.aje ameyakanyanga anywe TU maana kaitukama sana Simba katuita wadudunkatuita makolo na Nk wanini sasa.aende.zakemhuko Kwa Tim ya mama mdogo yanga.hatumtaki.simba aje

  • @saalumunyoha1140
    @saalumunyoha1140 10 днів тому +1

    Mbona amekonda sana

  • @TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA
    @TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA 8 днів тому

    Atakua chizi huyu mjinga

  • @SaimonGavana
    @SaimonGavana 10 днів тому +1

    Angeenda hata azamu

  • @flovamanmusic3663
    @flovamanmusic3663 День тому

    Sasa mbona mlivyo andika na nnacho kiskia si sawa k..nina zenu mnaongea nyie alafu mnasema anaongea uchafu upi???????

  • @BahatiIsangu
    @BahatiIsangu 9 днів тому

    Kwani huyu ni timu gan jmn mbona haeleweki Simba msimpokee hiyo hata nyinyi baadae atakuja kuwachafua

  • @AntonyJeremiah
    @AntonyJeremiah 10 днів тому

    Mbona alifurahiya usajili wa chama yanga nakuuliza size ya viatu vya chama abaki na chama au akawe msemaji Dodoma Jiji maana ndio kwenye asili yao

  • @AbdallahShekhan-qx3kp
    @AbdallahShekhan-qx3kp 9 днів тому

    We mtangazaji mbona unaongea ww wacha tumsikie mwenye acheni ufala huo