MIMI NI YANGA DAMU ILA KIUKWELI HATUNA TIMU YA KUIZIDI SIMBA MSIMU HUU TUMESHINDA KI BAHATI TU.....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • #BATTLETV

КОМЕНТАРІ • 117

  • @DakiaNzunda
    @DakiaNzunda 4 дні тому +4

    Mdogo wangu, unda timu yako ambayo itakuwa inatumia nafasi zote zinazopatikana.

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 4 дні тому +3

    WACHEZAJI walichoka,WAMEFANYA safari,wametumika SANA KWENYE MECHI za Taifa

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 4 дні тому +2

    Wewe kaka aujui mpila,tunakuomba usiongee azalani unatutia aibu😮

    • @israelimjema4573
      @israelimjema4573 3 дні тому

      Alafu nyie yanga ikosiku presha itawapanda siku hao wachezaji mikataba ikiisha waondoke. Musajili wengine nyie simumezoea kila timu kupata magoli mengi. ileTimu yajana ilikua ngumu ndomana mnakuja kuwalaumu wachezaji wenu. Punguzeni midomo isiwe mirefu. Ubaya ubwela

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 4 дні тому +2

    TImu Gani TANZANIA Ina striking force KENGE WEWE KILA MECHI DUBE ANAFUNGA KAIZER,TIMU YA SOUTH AFRICA

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 3 дні тому

      Yanga inachezea ligi south Africa? Wewe unazungumzia friend match ndo unasema dube anafunga kila mechi

    • @flova7022
      @flova7022 3 дні тому

      Akili za kenge

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 3 дні тому +1

    MPIRA UNADUNDA NA MATOKEO YAKE HUWA YANABADILIKA.
    TIMU HAIWEZI KUSHINDA MECHI ZOTE😅

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 4 дні тому +1

    Anzisha timu na magoma ili muwe mnashinda magoli mengi kwenye champions.

  • @AlgahOngillah
    @AlgahOngillah 4 дні тому

    Ilove you yanga ❤❤❤❤

  • @NorbethKyengula
    @NorbethKyengula 3 дні тому

    Siyo kila siku ni Krisimasi.

  • @RehemaRama-h8b
    @RehemaRama-h8b 3 дні тому

    Kweli yanga hakuna timu mwakaa huu, na mtaisoma namba

  • @israelimjema4573
    @israelimjema4573 4 дні тому +1

    Nyie yanga mna matatizo xana. Yani badala yakishukuru ushindi mlio upata unalaumu wachezaji. Je mingefungwa ingekuaje

  • @clementmgongolwa8316
    @clementmgongolwa8316 4 дні тому +3

    Tumefurahi timu imeshinda wamechoka toka kwenye timu zao za taifa anaejuwa mpira hawezi kuwalaumu hiyo kimchezo ni kitu cha kawaida

  • @user-zg8mi7ce3m
    @user-zg8mi7ce3m 4 дні тому +1

    Tatizo mnajilinganisha na Simbaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅

    • @amrirajab5853
      @amrirajab5853 3 дні тому

      We fala kweli ,
      Unataja uozo huoo😅😅😅

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 День тому

      Nani anijilinganisha na simba wewe kweli mwehu. simba nayo ni timu ya kuifananisha na yanga hebu ona aibu.

  • @shadrackgidion-u3t
    @shadrackgidion-u3t 4 дні тому

    kiongozi mpira wa miguu ili ufunge lazima mwenzako akosee hivyo basi kama unadhani yanga imecheza chini ya kiwango ungeingia wewe tuone kama kufunga ni jambo rahisi

  • @InosMakelemo-y9z
    @InosMakelemo-y9z 3 дні тому

    Huyu ndokavulugwa sasa huyu yanga dam dam

  • @ericbrunokalonndwa8590
    @ericbrunokalonndwa8590 4 дні тому +2

    Ilitakiwa kuangalia wachezaji wamefika juz toka timu za taifa....

  • @Maliam-q6t
    @Maliam-q6t 3 дні тому

    Aziziki mbona hakuonekana.au ndo viuno vya mobeto vimeanza kufanya kaz yake😂😂😂

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 3 дні тому

    Wewe Unasema Nini Unawajuwa Wa Ithopia au Unasema Tu Niwatu Hatari Sana Kwa Uchawi..Mimi Nawajuwa Vizuri Naishaanda Kwao Na Hapo Arabuni Wapo Wengi Niwafanya Kazi Zandani Wakamata Sana Kwa Suwali Hilo

  • @PaskaliDalei
    @PaskaliDalei 4 дні тому

    Ni Hawajui😂😂

  • @ericbrunokalonndwa8590
    @ericbrunokalonndwa8590 4 дні тому +1

    Mchome wa yanga

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 4 дні тому

    UNALAUMU TIMU,NA SABABU ZA KUTOFANYA HIVYO UNATOA WEWE

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 4 дні тому

    We ujui kitu kwenye Mpira yanga wanamechi ngapi.subilini muwe wavumilivu.nakama vipi kashangilie kwa mayele uko uko aliko

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 4 дні тому

    Mmeona sasa vitalo na hawa sasa mnaanza kukutana vigogo

  • @comfortkitiwi2879
    @comfortkitiwi2879 4 дні тому

    Kweli Yanga washambuliaji hamjatutendea haki. Mmecheza chini ya kiwango.

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo 4 дні тому +1

    Wachwzaji wamesafiri makwao, wametumikia timu zao za taifa, wamesafiri kwenda Ethiopia, uchovu wa safari na mechi za ki.ataifa, hawakupata muda wa kupumzika na kujizoesha na hali ya hewa, wakacheza wakashinda. Ni mpumbavu tu atawashushia lawama.

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 3 дні тому

    Na bado mbwa wewe, nani aliwambia Dube ni mshambuliaji mzuri pale hakuna mshambuliaji, Dube anawaza kuifunga Simba tu😂😂

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 4 дні тому

    Ndio tatizolenu wa tz munatoka na matokeo nyumbani kumbukeni ule ni mpila na kila timu inaitaji ushindi😮

  • @PaskaliDalei
    @PaskaliDalei 4 дні тому

    Sis cbe tulipegeza kdg tukija tz mtaomba maji

  • @Adohboy
    @Adohboy 4 дні тому

    Yani utopolo amkosagi kisingizio et wamechoka mbona kipa amejituma kama unajuwa unajuwa tu

  • @salminsomba2491
    @salminsomba2491 4 дні тому +7

    Hugo ni mtoto wa magoma hajui mpira kama baba yake wachezaji wametoka kwenye timu zao za wana mchoko hawakufanyabmazoezi na wenzao wachezaji 14 toka YANGA walioitwa na mataifa yao si kitu rahisi asubiri marejeo Zanzibar abaki na kauli yake hiyo hiyo kuwa mwaka huu hatuna timu asibadilike baadae

    • @lonesomekabora5547
      @lonesomekabora5547 4 дні тому

      Si Yanga wako na kikosi kipana haya kama uchovu wa AFCON basi ngoja tuone marudiano Amaan Complex Zanzibar

    • @jumakibasame3210
      @jumakibasame3210 4 дні тому +1

      Huyu mjinga Kama babake magoma

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 дні тому

      ​@@jumakibasame3210HUYO MTOTO SIO WA MZEE MAGOMA HUYO MWANAHARAMU KAMA MCHOME ANEMSIFIA JIRANI YAKE ANAJUWA KUTOMBA KULIKO BABAKE MIJANA HARAMU HIYO

    • @simonzelote5998
      @simonzelote5998 3 дні тому +1

      Kiukweli hata ukiangalia walipocheza mechi ya ligi kuu yanga Sasa sio Ile ya msimu uliyopita

    • @georgesteven5185
      @georgesteven5185 3 дні тому

      Ila angepngea mchome ungesikia mashabiki wa UTO daa huyu jamaa anajua Sana mpira 😂

  • @SaidHamoud-h9t
    @SaidHamoud-h9t 2 дні тому

    Peleka uke wako ukacheze pumbavu umetengeneza ulikuwa unacheza mjinga wewe tafuta kazi yakufanya wewe na anaekuuliza

  • @KalebuSinkala
    @KalebuSinkala 3 дні тому

    Wamechoka uzee ndiyo tatizo vibabu wle wakikutana navijana ndiyo mnaona

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 4 дні тому

    UTOPOLO TIMU LENU BOVU HAMNA KITU 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 4 дні тому

    Timu ya msimu huu mmhhh

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 4 дні тому

    Bado mkiambiwa kiwango kinashuka hamuamini,Mab eto fc

  • @mbwambog5969
    @mbwambog5969 4 дні тому

    Hats mimi sikufurahia kiwango cha Yanga V CBE leo, lakini pia nionavyo kama kiwango cha Azizi Ki kimeshuka vile!

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi 4 дні тому

    Unamaliza MB zangu bora nizime simu tuu

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 4 дні тому

    Kule Ethiopia Kuna warembo bhana usishangae. Hii yanga NDIO ilipiga kaizer chief 4

  • @kimaroamon9008
    @kimaroamon9008 3 дні тому

    Huyumtoto anawaza sh70ml wanatowawapi

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 4 дні тому

    Tuliwaambia wale vita lo ni wabovu na Mkakataa leo jeee

  • @kafulirahillaryhabel6728
    @kafulirahillaryhabel6728 4 дні тому

    Uchovu wa majukumu ya timu za taifa, hata hivyo away win, ni advantage kwa yanga

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 4 дні тому

    muimu ni alama (3)pekee

  • @AlgahOngillah
    @AlgahOngillah 4 дні тому

    Ww niyanga au mfuasi wa makolo tumekushtukia au ukiwa niyanga bas ni2 kasor 😅😅😅

  • @user-zg8mi7ce3m
    @user-zg8mi7ce3m 4 дні тому

    Mlizifunga timu zingine zikiwa mbovu, timu zingine nazo zimepanda. Mtakoma waka huu😂😂😂😂😂

  • @japhetmajige7481
    @japhetmajige7481 4 дні тому

    Unasemaje yanga wabovu katika ufungaji na wakati mnafunga magoli kumi kwa mechi mbili? Tatizo mnafikria Gori Tano au zaidi Kila mechi kuliko kushinda mchezo

  • @seifamir2588
    @seifamir2588 4 дні тому

    Watu sasa wanajua kua Yanga wanatumia madawa

  • @user-zg8mi7ce3m
    @user-zg8mi7ce3m 4 дні тому +2

    Hicho ndicho kiwango cha Yanga. Msilalamike. Msijilinganishe na Simba😂😂😂😂😂😂😂

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 4 дні тому

    bado aujasema

  • @cleophacemasole
    @cleophacemasole 4 дні тому +1

    Mpira si kama ugali na sato Wana Yanga tueshimu pia Timu shindani

  • @user-zg8mi7ce3m
    @user-zg8mi7ce3m 4 дні тому

    Lini watafikia?Timu inaendelea kujitafuta miaka 2 😂😂😂😂😂😂😂

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 4 дні тому

    Sasa unataka wafunge kila siku.kwaiyo timu mzima mbovu ubwa wewe

  • @RichardWambura-w9o
    @RichardWambura-w9o 4 дні тому +1

    Watu wengine bwana sijui ni swala la uelewa

  • @AlgahOngillah
    @AlgahOngillah 4 дні тому

    Usiseme wanayanga ha2jafurah hujafurah ww ulie kuwa huna iman na timyako mjinga ww hatahivo wamejitahd kuchukua poent 3 ugenn kamawao wenyej mbon wameshindw kuchukuw hizo 3 huipongez 2 timyak unaakil ww yan si bur unadegedege ww

  • @elipidtesha5466
    @elipidtesha5466 4 дні тому

    Muongeaji unaongea nini sasa.kalale

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 4 дні тому

    CBE walicheza nje ya kiwanja pia walihamisha goli

  • @NaftaryMgoye
    @NaftaryMgoye 4 дні тому

    Huyu dunduka

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 4 дні тому

    NA wewe unalaumu sana wakati ulisema Yanga ni bora kuliko timu zote sasa malalamiko YA nn?

    • @LauMagwaja
      @LauMagwaja 4 дні тому

      Kaongea point mwaka huu utopolo mtajuta

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 дні тому

      UTOPOLO TIMU LAO BOVU 😂😂😂😂😂

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 4 дні тому +1

    ACHA bangi mbichi mbn wewe na magoma baba Yako mnaipiga yanga sana kulikoni?

  • @ThomasfrancisMvella
    @ThomasfrancisMvella 4 дні тому +1

    Mr..huwezi kila mechi ukapafomi kwa ubora ulele wa cku zote...hata hao vibonde kuna cku wanacheza kama mafundi, vivyo ivyo kwa timu bora ipo cku watakuwa chini ya ubora tu...

  • @YusuphMdaki
    @YusuphMdaki 4 дні тому

    Tuache midimo timu wiki nzima inawachezaji 11 tu waliobaki wote time zao za taifa wamefika Ethiopia kwa mafungu wamejitahidi sana sana uge nn tuwe watu wa shukrani ninyi wachambuxi uchwara

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 4 дні тому

    Huyu jamaaa
    Mmmhhhhh ngoja ninyamaze

  • @MosesKaaya
    @MosesKaaya 4 дні тому

    Bado ni mapema sana kulahumu ,wachezaji wamechoka, na mechi za afcon, tuwape muda.

  • @haleemaali731
    @haleemaali731 4 дні тому

    Uyo ni mjinga tu yanga wamecheza vizuri aache upumbavu

  • @MosesKaaya
    @MosesKaaya 4 дні тому

    Yanga ni team kubwa, itakaa saw, utaona mechi ya marudiano watapigwa 6.

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 4 дні тому

    Tulieni Wana YANGA kwenye marejeo mtakuja ona jumamosi

  • @rajabubwakila1977
    @rajabubwakila1977 4 дні тому

    Amesahau kama hao wachezaji wengi walikuwa kwenye Tim zao za taifa,kweli ni pumbaf na hajui kabisa mpira ni shabiki maandazi

  • @michaelmasalago8068
    @michaelmasalago8068 4 дні тому

    Hili Nalo jinga unafikiri kila siku ni kushinda goli nyingi? Hii ni champion league brother, ina namna yake ya kucheza.

  • @nicodemusparmena4642
    @nicodemusparmena4642 4 дні тому

    Hii ndio tatizo la watu wasioujua mpira ndio hawa! Wanaongea ujinga tuu! Hongera yanga kwa kuchukua point ugenini! Jiseme shabiki wewe usieujua mpira. Nina imani na safu tuliyo nayo itafanya vizuri mechi zijazo na tutafika mbali

  • @allydaud612
    @allydaud612 4 дні тому

    Wewe hujui kwamba timu haikua pamoja wachezaji wamechoka kutoka kwenye mataifa yao

    • @FeisalOmary-zt1wx
      @FeisalOmary-zt1wx 4 дні тому

      Hiyo sio sababu.uchovu wa safari ya nn kiwango cha young africa ni cha kawaida sana.inashindaga kwa timu mbovu kama zalan fc.na timu nyingine mbovu.na hapo bado kuna timu zipo huko mtakunanazo😊😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 дні тому

      ​@@FeisalOmary-zt1wxTIMU LAO BOVU 😂😂😂😂

  • @WadhifHajji
    @WadhifHajji 4 дні тому

    Wewemsenge watuwanachoka gemuijayo jiandae kuvaajezi

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 4 дні тому

    Hujielewii,wametokakuchezamechingumu

  • @AthanasMsangule
    @AthanasMsangule 4 дні тому

    Tunakusamehe Bure. Kufuzu ni ushindi Wala SI idadi ya magoli. Aziz ndiye aliyetoa pasi na Dube akafunga, wewe wataka Nini? Aaah, kumbe ulisema wewe ni magoma junior!!!

  • @PeterambeliSendama
    @PeterambeliSendama 4 дні тому

    Kichwa chako kama magoma

  • @AyubuJuma-df4pn
    @AyubuJuma-df4pn 4 дні тому

    Kumbe huyu jamaa 0 kabsa
    Badala kushukuru ushindi wewe unabeza,
    Ungeenda kucheza wewe

  • @clementmgongolwa8316
    @clementmgongolwa8316 4 дні тому

    Acha lawama za kipuuzi upo na wanahabari uchwala

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu 4 дні тому

    Pumbavu kweli, wachezaji wametoka kwenye michuoano ya kimataifa ya FIFA ulitaka wachezeje, wao sio watu hawachoki? Shenzi nini

  • @user-er6ox5xx1i
    @user-er6ox5xx1i 4 дні тому

    Mtoto wa magoma😅😅😅😅😅

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 4 дні тому

    Wachezaji wanechoka na AFCON na safari ndefu ndani ya siku tatu Kusafiri na kucheza michezo migumu. Ni kweli wamecheza chini ya kiwango na mimi bado nawapongeza sana kwa ushindi wa ugenini. Ratiba iliwabana na bado inabana kwa sababu kabla ya tar. 21 sept. kuna mechi tena tar. 28 sept. Tumeshinda ila tumexoea 5G laxima tuteseke ila kwangu ushindi wa ugenini ni mtamu sana na laxima tumshukuru Mungu kwa zawadi hii. Halafu tujue wazi kuwa hawa ni binadamu sio kila siku wanakuwa na hali ileile kimwili na kisaikolojia. We kijana unaonges ukweli na laxima upokee maua yako. Penye ukweli tukubali tu. Hii ni mechi tuliuocheza hovyo kuliko mechi nyingine yeyote ktk miaka hii mitatu ya furaha. Hatujaenjoy kama tulivyozoea. Tuneshinda ila hatujaburudika.

  • @user-wl4yo4zp9t
    @user-wl4yo4zp9t 4 дні тому

    Wewe kaka huna hata aibu kwani wao wachezaji ni wanyama? Hata mnyama anachoka acha kulaumu kuku wewe

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 4 дні тому

    Sasaunalaumunini,?hujielewibwege

  • @devotabashome1090
    @devotabashome1090 4 дні тому

    Kacheze wewe kama unaona ni rahisi....sisi cha muhimu point 3

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 4 дні тому

    Hujielewiiiii,ungecheza weweee

  • @SULEIMAN-l8v
    @SULEIMAN-l8v 4 дні тому

    wewe hujui mpira mechi hizi c xa kushinda 567 yanga 90%keshafuzu halafu inategemea umecheza na nani

  • @cleophacemasole
    @cleophacemasole 4 дні тому

    Huyo ni mpira una dunda

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 4 дні тому

    Ungeingia ucheze wewe