WOLPER - "HARMONIZE / ALIKUWA MSHAMBA / SIJAWAZA KUOLEWA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 381

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 років тому +53

    Hakuna perfect man dada yangu Wolper. Wote Wana mapungufu, ni kuvumiliana tu. Hata awe anakupenda vipi ipo siku atakuboa tu ila mnasamehana maisha yanaendelea

  • @vickyvictoria4085
    @vickyvictoria4085 4 роки тому +48

    Hakuna asiyekuwa mxhamba ujanja unatokaga mtaani kujichanganya na watu namna hiyooo Kama nikweli gonga likee hapaaaa

    • @boazmasinde2764
      @boazmasinde2764 4 роки тому +1

      True point

    • @magemchalo1222
      @magemchalo1222 4 роки тому +1

      👋👏👏👏

    • @dottnatta310
      @dottnatta310 4 роки тому +1

      💪💪

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 роки тому +2

      Wewe ni star, mzuri na wa kisasa kwa nn u date na mwanamme mshamba? Hiyo ni tabia mbaya haiketi picha nzuri

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 4 роки тому +1

      Kweli

  • @مارياكافشى
    @مارياكافشى 4 роки тому +2

    Nirikuwa najuwa una hakiri kumbe mutu muzima horyo mungu wangu badirika wolper kuongeya ivo nihaya inaguhangayisha🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @bnztechnologies2676
    @bnztechnologies2676 5 років тому +19

    maringo unayo siku zote sifa mingiiiiiiiiiiii unadhani maskini ndo hawana mapenzi wewe ni maskini wa akili wolper hiyo pride yako hiyooooo siyoooo

  • @andrewcharleskaphipa2084
    @andrewcharleskaphipa2084 4 роки тому +1

    Wanawakeni mama zetu na Wana hisia za kweli! tueshimu Sana wanacho ongea, Maana katika maandiko yanasema Mwanamke Mheshimu Mumeo na Mwanamke mpende Mkeo!!

  • @bertothegentleman2623
    @bertothegentleman2623 5 років тому +33

    Nilimwelewa Mzee Lowasa aliposema kipaumbele cha kwanza Elimu, cha Pili Elimu na tatu Elimu..😂😂😂😂

  • @khadarmessi5779
    @khadarmessi5779 3 роки тому +1

    Kwanza wewe walper una maringo......kwa sasa hivi harmonize huezi mfikia hata kidogo......ushamba umebaki kwako..........😝😝😝😝 Achana na jeshiiiiiiii💋konde boy for everybody ❤️

  • @aishamawalla1839
    @aishamawalla1839 5 років тому +9

    Uknow uknow uknow nyiiiiiingi acha hixooooo misifaaaaaaa mingi, ongea kama ww wolpa usiiige muangalie monalisa hanaga makuu,mshamba lakini ndio kesha kugonga na kasepa na hana time,na huyo ulompata unasema kula bata atakula bata kwako then ataenda Kuowa mke mtulivu asoringa na mwenye adabu kuongea mpaka matendo kauli inafunga tujifunze kauli nzuri

    • @glorylema
      @glorylema 3 роки тому

      Mh.... unaongea usicho kijua 😂

  • @kasimuyahaya4010
    @kasimuyahaya4010 5 років тому +15

    Tatizo la masuper star wa bongo mnadharau Wanaume masikini mbona masikini huku kitaa tumetulia na mapenzi yetu

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 Рік тому +1

    Hatimae leo unaitwa mama P MUNGU wetu nimwema

  • @naomijohn6759
    @naomijohn6759 3 роки тому +1

    Nakupenda san mpnz auna ujinga

  • @hamzamsuyamsuya5424
    @hamzamsuyamsuya5424 4 роки тому +10

    Yan wew mmbwa kwa harmoniz utasubiri

  • @adriennebalenba117
    @adriennebalenba117 5 років тому +6

    Umependeza sana wolper!hasa izo glass zako uuum nipowa sana, D&G

  • @omarabdallah7577
    @omarabdallah7577 5 років тому +8

    Smash,Lavish and miss Beauty...I like the you answer the questions. Much Love from Dubai.

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 4 роки тому +1

    True time is better.

  • @millianahnekesa2934
    @millianahnekesa2934 5 років тому +6

    Wolper nakupenda bure love

  • @munyievarist3070
    @munyievarist3070 4 роки тому +1

    afu mnapendaga kusema mpango wa mungu......dah.....mtachomwa moyo nynyi....

  • @ramadhanibrahim7619
    @ramadhanibrahim7619 5 років тому +9

    Nakupenda sn Jackline Wolper

  • @maggykavata9439
    @maggykavata9439 4 роки тому +12

    sio eti alikua mshamba alikua mdogo wako so hana experience kama yako

  • @jenifajerad4012
    @jenifajerad4012 5 років тому +2

    Nimechoka dd mchaga wangu eti daaaaaaaaaa🌷🌷💖💖💗💗💗

  • @stacydii3324
    @stacydii3324 5 років тому +6

    I love this woman she is my role model.

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 4 роки тому +2

    Youth so beautiful wolper

  • @amadizomalapizo8065
    @amadizomalapizo8065 5 років тому +6

    Wolper kwa sasa konde boy humuwezi wew ndomana hunamzungumzia sn lkn hakuzungumzii ata kdg

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 5 років тому

      Achana na konde boy si leval yko, ashakusahau konde yko busy na cute sara

  • @allybahezwa5426
    @allybahezwa5426 4 роки тому +2

    Love love love wolper asokupenda mchawi

  • @shaniahrachma3114
    @shaniahrachma3114 5 років тому +14

    Sasa ku experience kiaje 😂😂😂buana wee...usiongee kizungu kma hujui maana yake ...umeulizwa mbona kwa umri wko hujafikiria mambo ya familia eti unajibu hujaexperience 😆😆😆😆😆aaiiisseee.....si mpaka uingie kwa familia ndio upate hiyo experience wolper kachemsha ungesema tu huko tayari kupata mtt na kuolewa maana ushachezewa sanaa

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 4 роки тому +1

    Ustahili kusemahamo nizealikuwa mshamba Nahisi hata wewe ulikuwa mshamba nakumbukasana boyfriend ambaealikuwa nawewe Leo unamwita mshamba ustahili ulikashifu sana Hamo ukawa unashangaza watu sana hakunabinadamu asiekoseana nanagirlfriend au boyfriend acha jina la kumwita Hamo alikuwa mshamba arekurespekt sio kama maeasta nawamatatoo aliyekusema unanuka Bibi huyo ndio akukurespekt au muongo aliekudhalilisha na mapicha machafu .siku Zote usipende unamwambia Hamo Ni mshamba angekündigt mshamba sidhani kama angekuua Gauni try to User a good Language maisha hapana kupita usimseme Hamo mshamba wakati juzi tuu umemuengelea kwa uzuri au ulikuwa unapretend wakati anafungua cd yake .sawa nampenda kukueleza ukweli ukichu,ja sawa

  • @ruthpaulo8272
    @ruthpaulo8272 5 років тому +16

    Penda sana mm wolper wasiokupenda wajinyonge.

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 5 років тому +4

    Huyu ana utajiri gani Ata anajigamba na kutukana watu Hana anacho jua Zaid ya you know na actually shenzi huyu hiyo maana ya experience sijui kama anajua

  • @amosmasinde421
    @amosmasinde421 4 роки тому +3

    Wolper na Harmonize kuna maneno wana-share """ you know """"

  • @stanrockenterprise5108
    @stanrockenterprise5108 4 роки тому +2

    Wolfer una upungufu wa akili, maringo na sifa ambazo hazina faida dadangu dunia ni duara. Harmo kukuacha inakuuma sana sahi harmo nhumuwei hata kidogo..

  • @dangsonspiter5068
    @dangsonspiter5068 4 роки тому

    Acha tamaa,mwanamke anamda wake wa kuolewa mda ukipita Dada yangu kalaga bao utabaki kuwa NUNGAHEMBE.

  • @salehabdalla7773
    @salehabdalla7773 5 років тому +4

    Dah mm hyu dda nmkbli sna 🤠dah wolper mm sjui nsmje nnvokukubali

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 5 років тому +1

    Kuringa kubaya na kudharau maskini sio vizuri..coz hujafa hujaumbika..leo na kesho umepoteza mguu, maskini mwenye miguu miwili utamuona wa maana sana.

  • @rahelmasiga1503
    @rahelmasiga1503 5 років тому +4

    Plan pesa but one day utakumbuka hayo maneno .kumbuka mdomo unaumba ukikaa bila kua na familia yako sijui utakua unamtafutia Nani hiyo pesa . Hakuna kitu Cha msingi Kama kua na mtt mis money but akid is very important to our lives

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 років тому +3

    Nilikuonya juu ya kupendana na kile kijamaa cha WCB, hukuelewa.. Umeona kilicho tokea?

  • @albertmugweru5624
    @albertmugweru5624 3 роки тому

    I Love you Jackline Wolper

  • @zainabahmed9091
    @zainabahmed9091 5 років тому +2

    Dadaangu usiringe Sana wanaume hawaaminiki..n you don't know where your future holds... Hivo unavoviita vishamba vinaeza kuja kuwa mumeo.

  • @jamesosama4279
    @jamesosama4279 3 роки тому

    Nampenda xna Wolper

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 5 років тому +6

    Kweli kabisa kazi na pesa ndoo mwanaume sasahivi ❤❤❤❤❤💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 3 роки тому

    Mtoto Mchaga dah!. I lived in Taveta , wachaga nawajua .

  • @ashulamusin9811
    @ashulamusin9811 5 років тому +24

    Em tuone km mtafikia maneno yakuambiwa maana wale wamesha kua 1 ila hatutaki mapenzi wala mtukalie uchi tunataka muvi ambayo tutaangalia na family kwa pamoja

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 5 років тому

      Eti kapuni kapuni kapuni kapu kweli ila hawatufikiii na mzeee mwinyimkuu huku maneno ya kuambiwa❤

    • @asherinashoni4526
      @asherinashoni4526 5 років тому +1

      Maneno yakuambiwa iko hot sana

    • @bnussrahlimsantah3730
      @bnussrahlimsantah3730 5 років тому

      Hapo uligonga ndipo

    • @mwakahassan8742
      @mwakahassan8742 4 роки тому

      @@asherinashoni4526 kweli kabisa il mbon kapuni sio mbayaa

  • @rehemananjira
    @rehemananjira Рік тому

    umeongea smart kula bata mama uko mzuri

  • @khadijayusuph9316
    @khadijayusuph9316 5 років тому +1

    😄😄😛😛et Sina experience ya mimba😄gambeeee

  • @johnkitogajeanmarc5968
    @johnkitogajeanmarc5968 4 роки тому

    Una ongeya sana

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 4 роки тому

    Wadangaji super

  • @fettygideon9665
    @fettygideon9665 3 роки тому

    Acha hizo wew mnapenda serengeti boys acha habar hizo huwo ni shamba uwoya

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 роки тому +1

    Mshamba wakati alikuwa anakuvua chupi sema ulijua hatatoka kimuziki lakini leo unamuongelea vibaya kila siku mwenzio alimove akaoa Sara

  • @christinekerry9695
    @christinekerry9695 5 років тому

    Wolper nakupenda saanaa

  • @MwanaashaRSaid
    @MwanaashaRSaid 4 роки тому

    Wanawake sisi mungu tusameh mtu anakukojoza ,we mkiachana unamnanga nna imani wanawake ndotuna aibu nying zaid kama wanaume tunaoachana nao na wao wakianza kutuanika mhh tutadhalilika

  • @neemasabure9061
    @neemasabure9061 4 роки тому

    Ifikiee hatua watanzania tuipende tu lugha yetu maanaaa daahaa yunoo yunoo yunoo yunoo actually actually ...yeh yeh yeah ukuda tu yunoo nn sasa aaaah muwe specific embu wakenya kujenii muone ujinga yetu Tz

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 4 роки тому

    Jack ukimpata Mchumba usimtangazie mtu..kuna fitna nyingi ktk hili..aina haja..hili linahitaji ushauri..nilikuwa sijui Kama ww ni muelewa Sana..kupitia hii intaviu nimekusoma

  • @thaubannaftali1439
    @thaubannaftali1439 5 років тому +6

    Heshima ya mwanamke ndoa,then mtoto we unaongea nini mambo ya pesa tuachieni wanaume ndo fani yetu.

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 5 років тому +1

      He kumbe m siheshimiki kisa sijaolewa bado duh jmn na ndoa iwe yenye baraka sio. Ndoa ndoano afu useme naheshimiwa dah tumuombe Mungu amabao bado htujaolewa

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 5 років тому

      prisca njooo nikuoe upate heshima

    • @mbarikiwambarikiwa3988
      @mbarikiwambarikiwa3988 4 роки тому

      Wanaume wenyewe ck hizi wanapenda kulelewa

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 роки тому

    Daa mihukupenda km Huna Ile miwiqi yko

  • @nadyahassan7924
    @nadyahassan7924 5 років тому +3

    leo unawaita wenzio masikin jaman kweli maisha hubadilika

    • @annewanjiru4542
      @annewanjiru4542 5 років тому

      Nadya Hassan True ...Hakuna MTU ajuwae ya kesho

  • @mwanahawamakame1178
    @mwanahawamakame1178 5 років тому +2

    Wolep nakupenda etii waringaaa😂😂😂😂

  • @hamzamsuyamsuya5424
    @hamzamsuyamsuya5424 4 роки тому +1

    Harmo ananyoosha kiingereza we na iyo u know ni nyingii sana

  • @tatuabdu1364
    @tatuabdu1364 4 роки тому

    Mremboooo

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 5 років тому +3

    So beautiful Jack 😘😘

  • @zulekhaomar5586
    @zulekhaomar5586 5 років тому +2

    Lot of ❤❤jucky

  • @emmanueljulius4233
    @emmanueljulius4233 4 роки тому

    Love

  • @suzansimon7280
    @suzansimon7280 5 років тому +2

    Wolper nakukubali sana lkn kusema unakataa milion 30 uongo huo

  • @mrskhamismussa9754
    @mrskhamismussa9754 5 років тому +2

    Ni true wolper,kuna mijiti haifai kukuumiza

  • @ruqiyaruq5142
    @ruqiyaruq5142 5 років тому

    Nakupenda sana dada uko vzr

  • @patrickminjaro9083
    @patrickminjaro9083 4 роки тому +1

    Wolper acha uboya ushamba wa harmonize unauona Leo baada ya kuachana wakati mumevuana nguo Mara ngapi huo ushamba mbona ulikua hauonekani acha izo haisaidii piga kimya

    • @eunicethoya6021
      @eunicethoya6021 2 роки тому

      Hapa nimeelewa Kwani Harmo kamlilia Kajala, "nilikuona wewe ni mwanamke wa maisha yangu hata tulipoachana haukufanya interview yoyote kuniongelea" pongezi Kajala

  • @sheilachisika8143
    @sheilachisika8143 5 років тому +3

    Wolper zaa mtoto Mmoja hapo unafeli

  • @evasiwalima9681
    @evasiwalima9681 5 років тому +1

    Umependeza saana my c na unatema vitu vizr saana

  • @mwajumamhecha8683
    @mwajumamhecha8683 4 роки тому +1

    Ulipokuwa unamvulia chupi ulikuwa haumuoni Kama Ni mshamba? Leo baada ya kupigwa chini ndo unajifanya eti alikuwa mshamba.

    • @nsrnsr5838
      @nsrnsr5838 4 роки тому

      hill nalo nenooo piga makofi kwa Kondeake weweeee

  • @nurujonas7302
    @nurujonas7302 5 років тому +3

    Worper sikuhiz unavyovaa kiheshima hadi raha

  • @ccyuutz8358
    @ccyuutz8358 5 років тому +3

    hahhahahaaaa jack bana eti ana kipepo cha maringo sa si ukikemeee hahhahaaa 😊😂😂😊😂😂😂

  • @saidinasoro7656
    @saidinasoro7656 4 роки тому +12

    We mwenyeo ulikua mshamba adi sasa mshamba

  • @sheluizonola869
    @sheluizonola869 5 років тому +6

    Naonaga kama hujui vizur lugha fulani bora kujisalimisha kwa kujizalilisha demu mzur unafosi kuchomekea vionjo vya mambele

    • @hadijaabdallah5477
      @hadijaabdallah5477 5 років тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @felixjohn2694
      @felixjohn2694 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣haja experience kuwa na mtoto, 🤣🤣🤣🙌🙌 nacho sikia n you know tu 🤣🤣🤣🤣

  • @alfredymwaikenda224
    @alfredymwaikenda224 4 роки тому

    Uwoya auna utafauti na miss buza.. Watu washakutumia sanaa sahv umebak amaboko tu..ushachuja wewe auna jipya

    • @alfredymwaikenda224
      @alfredymwaikenda224 4 роки тому

      Sorry co uwoya ni wolper auna jipya watakutumia watakuacha km bata

  • @esterdoriye4304
    @esterdoriye4304 5 років тому +5

    Mmmmmh wolper acha dharau kweli pepo likutoke

  • @khadijakharna8890
    @khadijakharna8890 5 років тому +1

    Uko vzur dada

  • @fabricemugheni2950
    @fabricemugheni2950 5 років тому +2

    Wew lofa sana
    Jua kam harmonize yupo Juu sana

  • @hadijangolo7930
    @hadijangolo7930 5 років тому +2

    hakuna kama maneno ya kuambiwa🙌

  • @afandehassan1
    @afandehassan1 5 років тому

    Kusema kweli wolper amechanganyikiwa mtaliani kamkoroga akili juu anachoulizwa hajibu bali anajibu vitu vyake. Anaona sifa kutangaza kuwa miji mikubwa mikubwa zinazojulikana kwa ngono hata haoni haya bure kabisa.

  • @sarahmunyiva5769
    @sarahmunyiva5769 5 років тому +5

    Pesa nitamu ukiwa na mtoto wakuikula...kaa hauna mtoto pesa ina maana gani...watanzania mkona nakasoro ya kukosa masomo mengi....

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 5 років тому +4

    Eti kapuni ndio number one Na Maneno ya kuambiwa itakuwa number ngapi?mtasubiri sana kwa maneno ya kuambiwa

    • @soniadino7178
      @soniadino7178 5 років тому +1

      Yani kaka umeongea maneno ya kuambiwa number one 🌍

    • @dannyvadina2116
      @dannyvadina2116 5 років тому

      Siri za familia nazo itakua yangapi?

  • @moudywaziri2774
    @moudywaziri2774 5 років тому +7

    Yuuu noooo,yoooo nooo yaaani wabongo banaaaaa 🤣🤣🤣😂

  • @cuccittinitv3786
    @cuccittinitv3786 5 років тому +7

    we Million 30 ipi io ambayo utakataa ww 😪😂

  • @rosekangauka8274
    @rosekangauka8274 5 років тому +12

    yuno yuno yuno yuno....yuno iyo veeepeeeee😁😁

    • @salimzuber7585
      @salimzuber7585 4 роки тому

      Hiyo yonoo ukimchanganyia kingeleza ataanza kuuliza, yaani haja sikia kile kingeleza yunooo🤣🤣🤣🤣

    • @SakinaMaovu
      @SakinaMaovu 11 місяців тому

      Hahaha yo know

    • @SakinaMaovu
      @SakinaMaovu 11 місяців тому

      Hahaha

  • @m.m.maneno1891
    @m.m.maneno1891 5 років тому +1

    Dada hapa hujajieleza poa though some points umenena kweli

  • @veronicanzowa5484
    @veronicanzowa5484 4 роки тому +2

    Nakupendaga we dada mpk bc Yani natamani kila cku niwe nakuona tu

  • @maulidabdallah8743
    @maulidabdallah8743 5 років тому +2

    Wew dada akili zako ni sawa na jins unavyo vaa lakin ukwel chukua mfano Zar(boss lady) anakuzid kila sector lakin anfemilia ya watoto 5

  • @gikundirolily2042
    @gikundirolily2042 5 років тому

    😂😂😂😂😂😂😂yani izi siku dada yangu una maringo hadi kero😂😂😂😂ila nakupendaga sana my choice

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 5 років тому +8

    Sipendi interview ya huyu mwanamke, anaongea kama anajifundisha kuongea. Mchwee

    • @shaniahrachma3114
      @shaniahrachma3114 5 років тому +1

      Aisha Elias kwani umelazimishwa kuskiza 😀😀mijitu muna taabu

    • @saimonmadeni9463
      @saimonmadeni9463 5 років тому +2

      Ata yeye akupendi kakojoe ulale

    • @zashamloli1233
      @zashamloli1233 5 років тому

      Unampnda ndo mana umefika umu

    • @mwakahassan8742
      @mwakahassan8742 4 роки тому

      @@zashamloli1233 Hahaha mna maneno nyie

    • @mwakahassan8742
      @mwakahassan8742 4 роки тому

      @@saimonmadeni9463 Hahaha si kwa kumfokea uko

  • @enizetv5196
    @enizetv5196 5 років тому +1

    Jack jamani jack wewe nilikuwa na mpango wa kukushilikisha kwenye mvi yangu lakini umenikwamisha tamaa na kuogopa sasa mimi

  • @allybahezwa5426
    @allybahezwa5426 4 роки тому +2

    Ringa ringa wolper usiringa kwann wakati unae umpendae

  • @loolaa1783
    @loolaa1783 5 років тому +7

    Ttzo movie za bongo ukianza ikifika kati tuu mtizamaji akajua inaishia wapi tofaut na za wenzenu

  • @magretlaurent1227
    @magretlaurent1227 5 років тому +1

    Penda sana jack

  • @omaryally5555
    @omaryally5555 4 роки тому

    Mmmh,,,,jamnieeeee hapa hakuna ndoaaa watu hawataki kuolewaa kazi kazi fanya kazi kisha kapumzike pembeni

  • @marymbula3293
    @marymbula3293 4 роки тому +1

    Nilishangaa eti huyo kijana harmo anasema wanawake wa kiafrika wanapenda vitu na wala sio wakweli

  • @hasnaabduly4945
    @hasnaabduly4945 5 років тому +5

    Mbona sara kamuweza amonaizy

    • @fasratabuu2585
      @fasratabuu2585 5 років тому

      Hasna Abduly c nasikia wameachana

    • @hasnaabduly4945
      @hasnaabduly4945 5 років тому

      @@fasratabuu2585 aaaa wap hawajaachana juz tu katoa wimbo saea ndo vidio vixer

  • @gracewiliam8872
    @gracewiliam8872 4 роки тому

    Ok

  • @mwanahamisjuma3361
    @mwanahamisjuma3361 5 років тому +2

    Nimeipenda hapo kugaramia mtanzania hakuna kushea😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 років тому +5

    Mmmmmmhu makubwa haya ya kukutwa na pepo la kujidai na ulingaji!

    • @jonasjohn1384
      @jonasjohn1384 3 роки тому

      Washamba wazazi wake walio mzaaa wame shindwa kulea

    • @jonasjohn1384
      @jonasjohn1384 3 роки тому

      Ampaka amekosa heshma

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 4 роки тому

    Mhhh hapo kwenye umasikini hapo,ndugu yangu ,,,,,,we bado huna pesa ,

  • @LovelyRacingHelmet-iv6ti
    @LovelyRacingHelmet-iv6ti 9 місяців тому

    Acha tharau ww jux alikutosa Dallas pia alikutosa konde boy pia alikutosa jiulize Sasa ndio umeolewa na mwanamitindo ndio utulie sasa

  • @erickrichard7329
    @erickrichard7329 4 роки тому

    Ayo ni maneno ya dharau sana