Wachezaji Simba wamshangaza mshambuliaji wao mpya Steven Mukwala

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • Mshambuliaji mpya wa timu ya Simba SC, Steven Dese Mukwala amezungumzia upendo na umoja uliopo katika timu hiyo baada ya wenzake kumfanyia “surprise” wakati wa kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa juzi Julai 15, 2024
    #SimbaSC #KambiYaSimba

КОМЕНТАРІ • 17

  • @user-uw1be1ce2n
    @user-uw1be1ce2n Місяць тому

    Simba nguvu moja❤❤❤

  • @SamsonSaruni-s3g
    @SamsonSaruni-s3g Місяць тому +1

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏 simba nguvu moja 🦁♥️💪

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Місяць тому

    Yes Stephanie Mkwala feel free you are in Tanzania 🇹🇿 East Africa

  • @YusuphAugastino-b6u
    @YusuphAugastino-b6u Місяць тому

    I love you simba

  • @ChimudyLove
    @ChimudyLove Місяць тому +2

    Simba nguvu moya

  • @maimunanampapata-sb6kd
    @maimunanampapata-sb6kd Місяць тому +3

    Simba hatuna baya

  • @NkubaJunior
    @NkubaJunior Місяць тому

    Hiyo ndy maan ya nguvu moja❤❤❤❤❤

  • @abdallahsaidi5933
    @abdallahsaidi5933 Місяць тому

    Nawaombea mungu awafanye muwe na upendo

  • @CostantinoJovitha
    @CostantinoJovitha Місяць тому

    Simba nguvu moja

  • @innosentmolel8057
    @innosentmolel8057 Місяць тому +3

    ubaya ubwela nguvu moja

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u Місяць тому

    Tumewamis. Wachezaji wetu tuonane Simba day Simba nguvu moja

  • @tadeymwalongo1528
    @tadeymwalongo1528 Місяць тому

    🎉👍👍👍💪

  • @fadhiliabasi6585
    @fadhiliabasi6585 Місяць тому

    Upendo wao huu wakiuhsmishia uwanjani watafanya makubwa kwakweli

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 Місяць тому

    Mkichukua ubingwa mniite mbwa. Kama mmeshindwa kumsajili mpanzu basi hakuna kitu mtafanya. Hiyo michezaji mliyokusanya kama mafungu ya nyanya haitawafikisha popote. Tajiri analeta ujanja ujanja tu, hana hela. Mmeshindwa kumtema onana mkaleta chuma mpanzu. Club haiko serious hii. Huu ni muda wa kuhamia azam tu

  • @ShkuluMohammed
    @ShkuluMohammed Місяць тому

    Nyie kuleni kekitu si tunawasubili tuje tuwakande maji ya uzazi ukuu