A a a mmmhmm! Ndo nakutana na hii clip. MUNGU BABA uliye mbinguni uonaye SIRINI, asante kwa kumrudisha salama mchj DR.ELIONA KIMARO nyumbani BAADA ya likizo MAREKANI na sasa tena yu lkizo ya lazm nyumbani. BABA MUNGU sikia kilio cha wengi. TUNA IMANI kurudi kwake usharikani kijito , tutaendelea kuuona mkono wako wa baraka juuu yake na sisi waumini chini yake pia. Amen.
Sitaacha Kumwinua Mungu kwa ajili ya Mchungaji Eliona Kumaro. Asante Kristo kwa zawadi hii adimu katika Kanisa. Amen!!!!!
I just love the wisdom in this man of God
He is cool....wise words!
A a a mmmhmm! Ndo nakutana na hii clip. MUNGU BABA uliye mbinguni uonaye SIRINI, asante kwa kumrudisha salama mchj DR.ELIONA KIMARO nyumbani BAADA ya likizo MAREKANI na sasa tena yu lkizo ya lazm nyumbani. BABA MUNGU sikia kilio cha wengi. TUNA IMANI kurudi kwake usharikani kijito , tutaendelea kuuona mkono wako wa baraka juuu yake na sisi waumini chini yake pia. Amen.
Humble pastor, Long live dady
Hakika Mungu ni mwema mubarikiwe sana Mungu Mwenye Enzi awatunze na asiwapungukie daima.
Mungu akutanguliye mbele yako kama moto uteketezao Baba,vita hivi si vyako ni vya Mungu songa mbele Mungu hatakuacha.
Kumtumikia MUNGU kuna faida, MUNGU akubariki sana Mchungaji wangu Dr.Eliona, songa mbele endelea kumtumikia MUNGU PASIPO kuzimia moyo.
Nimejifunza kitu kikubwa mnoo Asante mama Mchungaji Kimaro
Daa ukimweshimu MUNGU atakuheshimishaa nimejifunzaa kitu kwako baba mchungaji
Ubarikiwe sana Mchungaji pamoja na watumishi wotee
Mtumishi WA watu. Imejidhihirisha kwamapokexi haya. Amina
Mungu aendelee kukuinua mch kimaro nabarikiwa sana na Huduma yako
Kweliii ukimtumikia Mungu ipo Heshima inapendezaa
Siri ya kukaa uweponi mwa mungu...mungu anakutukuza huwa.
Huyu mchungaji Yuko katika mioyo ya watu anaowaongoza, anayaaishi maneno anayoyafundisha ktk neno la Mungu. Mungu amtunze.
Mungu azidi kuwa mwema katika kazi yake .. Mungu aendelee kuweka na kuujaza upendo katikati yake na watu wake
Nice
Barikiwa Sana mtumishi
Mchungaji unanibarik sana jamani nataman siku moja nikuone
Pasta hongera Mungu azidi kukuinua zaid
Wow!
Wow Mungu hakika upooo
Karibu nyumbani tena Mchungaji tulikumis sana chamecha mlisi kanyi
Maisha marefu baba mchungaji wetu baba wa wengi🙏🙏🙏🌺⚘❤
Tunakupenda sana baba
Tuna mshukuru mungu kwa kurejea tanzania
AMEEEEN MUNGU AKUBARIKI SANA BABA YEYU
Safi sana. Sifa, heshima, utukufu watching MUNGU mkuu
Wastahili Bwana wa mabwana na MUNGU wa miungu
Barikiwa baba Mch
Love u dady
Mungu amekuinua Baba na Azidi kukuinua. Mungu ni mwema siku zote
🌷🌷🙏🙏🙏
Alafu Leo mnamsimamisha kazi acheni wivu jamani
Ameeeen
Ubarikiwe baba yetu
Mushunganji MUNGU azindi kukuinua sana kwakweri MUNGU ukimuheshimu hakuna siku atakuacha
Kumtumikia Mungu kuna faida
🤝🏻🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mungu ni mwema sana ametupa Mtu hakika kutuma kwake
Hongera sana angalieni na korona.
Mzungu azidi kukubariki Mchungaji
Huyu baba anaunyenyekevu mnooo
Ndio maadui zake walipoumia
Nibwana
Kwakweli hekima ni nzuri sana, nimekuelewa sana mwana wa MUNGU
MUNGU akikuinua Akuna WA kukushusha
nimejifunza kumheshim MUNGU
Hakika wewe ni MUNGU