REV. DR. ELIONA KIMARO: KIJANA KUJUA KUSUDI LA MAISHA YAKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2023

КОМЕНТАРІ • 22

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 9 місяців тому +5

    Mchungaji Kimaro yaani nimeyakubali mahubiri yako! Yaani kinachokosekana kwa watu wengi ni kukosa kujitambua na kujua kusudi lake.

  • @beatricegaston5196
    @beatricegaston5196 9 місяців тому +1

    Ameen mchungaji Mungu wa Mbinguni aendelee kukutumia kwa viwango vya juu

  • @lucianagodson437
    @lucianagodson437 9 місяців тому +4

    Mungu azidi kukutunza Mchungaji

  • @badyangasimon5198
    @badyangasimon5198 Місяць тому

    Amen amen

  • @estherchege9074
    @estherchege9074 9 місяців тому +2

    Camping kama hii ya vijana inapangwa lini tungependa sana vijana wetu wahudhurie kutoka kenya please connect me kindly.. church team ektv.. mchungaji eliona kimaro

  • @mussaelia8693
    @mussaelia8693 9 місяців тому +1

    Mungu azidi kukuinua our pastor ,
    Tunaomba session ya kwanza alofundisha pastor Mastai ,
    Hatujaweza ipata ,
    Kwenye channel ya usharika kuna session ya pili na ya tatu tu .
    Ikikupendeza tupate pia nasi tuliomiss ibada hii baba mchungaji

  • @ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt
    @ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt 7 місяців тому

    Baba ubarikiwe napokea

  • @damianurio6305
    @damianurio6305 9 місяців тому

    Amen barikiwa Mchungaji karibu sana Arusha

  • @Hilgath
    @Hilgath 9 місяців тому

    Amina

  • @alex_vincent
    @alex_vincent 9 місяців тому

    Hallelujah

  • @adamzachariakinyekile6948
    @adamzachariakinyekile6948 9 місяців тому +1

    kweli kabisa vijana wengi hatutaki kujitafuta mpaka tutafutwe,wengi wanajua kubeti tuu

  • @deniskaiza4306
    @deniskaiza4306 9 місяців тому

    Nimebarikiwa

  • @joelmilendo4705
    @joelmilendo4705 9 місяців тому

    Am the chosen one

  • @jescaelia2951
    @jescaelia2951 9 місяців тому +1

    Am the future billionaire in the name of Jesus

  • @adamzachariakinyekile6948
    @adamzachariakinyekile6948 9 місяців тому +1

    Na mimi wa kwenye mtandao ni bilionea nijae

  • @eunicekileo
    @eunicekileo 9 місяців тому

    Haleluyaaaaaaaaa!

  • @user-yz5zn4tr6i
    @user-yz5zn4tr6i 9 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @josephlukumaya4223
    @josephlukumaya4223 9 місяців тому +1

    Amena MUNGU akubariki

  • @bightmind.tv1
    @bightmind.tv1 9 місяців тому +1

    mafanikio yako na siri kubwa Mungu atusaidie sana, kuanzia semi traler, laki tano kuzaa 1.5 billion, .... tuzidi kufanya kazi kwa bidii na kuwa na subirah

  • @estherchege9074
    @estherchege9074 9 місяців тому

    Naomba vile ninavyoweza kupata namba ya mchungaji

    • @Hilgath
      @Hilgath 9 місяців тому

      Ingia kwenye hii anaunt yake zipo namba zake

  • @lucianagodson437
    @lucianagodson437 9 місяців тому

    Mungu azidi kukutunza Mchungaji