🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @salomemahenge7935
    @salomemahenge7935 2 місяці тому

    Kamwe toka nilisikia taalifa yako ya kujiuzulu niliumia sana hongela kwa kubaki yanga

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 2 місяці тому

    Wewe sign mkataba.manara apewe kazi nyingine

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 місяці тому +1

    Mm nakutaka ally mwanangu usiondoke

  • @NtambaMachunda
    @NtambaMachunda 2 місяці тому

    Ally chapa kazi sisi wadgo zako tunaktegemea

  • @FEISALAHMED-p4j
    @FEISALAHMED-p4j 2 місяці тому +2

    Tuko pamoja mdogo wangu mungo atazidi kukulinda

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 2 місяці тому +1

    Hongera kijana wetu tunakpenda sana tuliumizwa sana na kujiuzuru kwako

  • @roseurio4983
    @roseurio4983 2 місяці тому +1

    Sasa haya ndo maneno Ally hatutaki kusikia meno kujiudhuru

  • @CizaRichard-c4u
    @CizaRichard-c4u 2 місяці тому

    Niko Burundi ila Ali Kamwe namkubali sana ,habari za kujiuzulu zimeniumiza sana ila kwa sasa presha imepoa namuona bado yuko kwenye club ,ukihama young na Mimi nitahamia mashujaa ya kigoma

  • @bettykasase1267
    @bettykasase1267 2 місяці тому +1

    Walidhani unaaga

  • @NuruNyanja-kz1qr
    @NuruNyanja-kz1qr 2 місяці тому +1

    Duuu afadhal niliumia sana kiukwel

  • @HAMIDURAMADHANI-ev5od
    @HAMIDURAMADHANI-ev5od 2 місяці тому

    daah dogo ebu usfanye hivo tena!!tena ukome kujiuzulu dogo😂😂😂

  • @gililwise
    @gililwise 2 місяці тому +2

    Utatuua Ally kamwe.

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 2 місяці тому

    Madunduka kolo wamenyamazishwa, kimyaaaa......!!!