Kelvin Khan kazi nzuri sana broo we ni mwandishi Bora Sana wa taamthilia endelea na usipunguze tupo pamoja Kama team donta alafu tumalizie series yetu pendwa ya la malkia wa majini
Wanasema tutowe maoni nyinyi mnadayi like vip nyiye ok basi bado mwisho uyo Jemsy auliwe na yule aliua Nasra ❤❤❤yule naye akamatwe anyongwe Bro ❤❤ much love ❤❤❤❤❤❤ Burundi
Donta tv and tondo plus Hebu nipeni like hata 10 tu? Please. Japokuwa nime Chelewa lakini sio sana. Kaka kelvin waambiye mashabiki wanipe hata like 10 tu? Kaka 😂😂😂😂
Pole sana Mr nyuki mana kwasasa unapitia kipindi kigumu dadako Vick amekua mkatili Kelvin naye ndohivyo😢 ila usikate tamaa hilo tunalo jifunza nawapenda Bure kutoka Kenya 🇰🇪 ❤❤
Wakwanza mm jamani like 10 zatosha🇿🇲🇿🇲🇿🇲 pia mm niombe msiwe mnatoa tamthilia kila wakati tutawachoka mapema utakuta leo kuna hii kesho nyingine keshokutwa pia mpaka inakera wapendwa 💞💞💞
Nikweli kabisa Kama Hana bando atulie asitukere sisi nkuunga mkono wewe mwenzangu tuko pamoja mwaya Kelvin endeleen kutupa burudan ninawapenda San zaid yasan my love❤❤❤
Kesho yangu naona iko sawa kabisa Kelvin mungu akutie nguvu nyingi sana uedelee hivo hivo you always make my day hata kaa nimekasilika sana lakini nafurai tu juu yenu na wapenda saana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Yakwangu nawa pongeza sana nikiwa muimbaji wa nyimbo za kumwabudu Mungu nawatakiya maisha marufu ila izi shauri zote zisiwe kwetu tu binafsi ata kwenu piya ziwafunze
Mimi nahitaji like hata 20 ndugu zangu, kwa upande wangu mnajitahidi sana lakini yani story huwa mnavyo toa huwa zinaendana jitahidini sana kuweka story tofauti tofauti,
Mnajitahidi sana hii kazi ni mzuri sana jitahidini zaidi iishe vizuri sio kikatidha tu km wengine wanavoharibu tana tamani kujua maisha ya kelvn kunambi na wengine wote maisha yao baada ya kesi kuisha
Mko vizuli ila ombi langu ni 1 kwani mnapo toa tamthilia Kila wakati love hii kesho nyingine mnatuvuluga mfano hii ya kesho yangu mngeifanya ikaisha ndipo muanzishe nyingine Niombi tuu brooo kama inawezekana ❤️❤️❤️❤️💥💥🇦🇼🇦🇼🇦🇼
ua-cam.com/video/a7h0JvtswiE/v-deo.html
watu tunataka ifike hata 100
Iendelee isiishie hapa ,n nzuri tumeipenda sana pokea maua yako kelvin🛍️🛍️
Usicheleweshe bro
Endeleeni isiishe haraka hivyo
Unachelewesha sana
Nikiona watu wame like kwa komenti yangu uwa na furahia sana plz naomba like hata mbili tu
Asanteni sana wana ndonta tv kazi nzuri sana🎉🎉
Tupo pamoja
Nikiwa wamwisho kutoka Malawi namimi naomba like hata 5
Like
Kelvin Khan kazi nzuri sana broo we ni mwandishi Bora Sana wa taamthilia endelea na usipunguze tupo pamoja Kama team donta alafu tumalizie series yetu pendwa ya la malkia wa majini
Leo nimechelewa kidogo nimekuwa m2 wa 103 naomba like zenu
Nami naomba like zangu nipo Zambia munatufundisha sana
Mm nipo lusaka ww wp
Kihande hapa jmn naomben like hata sita tu kilasiku mm wamwisho tu please
Safi sana dogo, endeleeni kutupa burudani murua
Me nawaomba msiwe mnatoa move Kila siku tofaut tofaut kwnz malizen Moja hlf ije nyngne ahsnteni sna,,,,mko vzr
Wanasema tutowe maoni nyinyi mnadayi like vip nyiye ok basi bado mwisho uyo Jemsy auliwe na yule aliua Nasra ❤❤❤yule naye akamatwe anyongwe Bro ❤❤ much love ❤❤❤❤❤❤ Burundi
Tunaitaji movie kali sana kuliko iyi❤❤❤❤❤❤❤
Donta tv and tondo plus Hebu nipeni like hata 10 tu? Please. Japokuwa nime Chelewa lakini sio sana. Kaka kelvin waambiye mashabiki wanipe hata like 10 tu? Kaka 😂😂😂😂
Pole sana Mr nyuki mana kwasasa unapitia kipindi kigumu dadako Vick amekua mkatili Kelvin naye ndohivyo😢 ila usikate tamaa hilo tunalo jifunza nawapenda Bure kutoka Kenya 🇰🇪 ❤❤
Nyuki jipe moyo kelvin atatoka tu
Pole sana kaka nyuki
Wa Kwanza naombeni like zangu jmn 🤣
Watching from Kenya likes basi
Mashallah shukurani sana washilika mungu abaliki kazi zenu
Leo wa kwanza kutota upande wa Kenya,,,wapenzi wa Viki wapi like
It's very interesting kelvin and you team ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Japo nmepata waliowahi ila cjalechelewa jamani mnaomkubali Kelvin muache likesa jamani
Nawashaur endeleen kutoa mivi kama hii nimeipenda ni nzuri sana pia inafundisha
Napenda hihishe walete nzuri zaidi ya hii
Napenda sana kuwa mwigizaji hila naweza kuigiza mpole maana mimi pia nimpole
Jamani toweni vipande viwili viwili mm kimoja hakinitoshi piya msicheleweshe sana
Nimechelewa naombeni like
Wakwanza mm jamani like 10 zatosha🇿🇲🇿🇲🇿🇲 pia mm niombe msiwe mnatoa tamthilia kila wakati tutawachoka mapema utakuta leo kuna hii kesho nyingine keshokutwa pia mpaka inakera wapendwa 💞💞💞
Kama huna bando acha movie itoke kaa kimya kama huna la kuzungumza mnakaa mnaomba like kama vile za kula
@@user-yw6ir4bg3lni ushauri wake tu ndugu mbn sio kitu kibaya hiko
😅😅😅😅muelewe@@user-yw6ir4bg3l
Nikweli kabisa Kama Hana bando atulie asitukere sisi nkuunga mkono wewe mwenzangu tuko pamoja mwaya Kelvin endeleen kutupa burudan ninawapenda San zaid yasan my love❤❤❤
Nyuki nakupenda San pamoja na Neli mnaongea point san
Iendelee tu mpaka kisimame kiama tamu sana kesho yangu😂😂
Kazi zuri sana daah aisee inamafunzo kibao
Dah! Kazi kubwa kweli na hili fundisho zuri
🎉🎉🎉🎉oyooooooo wangapi walikua wasubir kwa hamu hii episodes 30
Wa kuma
Kwakweli mumenifundisha sana
Hii move ni moto mno me binafc sitaman iishe ina mafunzo saana ndan yake 🔥🔥💯🙏
Asanteni kwa kesho yangu nampenda Kelvin ❤️🥰🥰🥳😊
Much love from Nairobi 🇰🇪
Kazi mzuri mnooo
Leo. Mm wa mwisho naomben like zang🎉🎉
Jamani na mìmi naombeni like ata 5 from tanzania 🍊
Thee whole of that movie it's awesome bro continue thee same
Iyo iyendeleee kwakua Ina mafundisho mengi Sana arafu waongezeke waigizaji ambao ni smart Sana wasiwe wachafuu
Kazi nzuri team Kelvin aki munatupa mafunzo mazuri🎉🎉🎉
Asante sana serie yetu imetufundisha sana
Mimi wakwanza gonga lake 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Basi mwenzenu kila siku nachelew ilov you donta tivi nawapenda woteee❤❤❤❤ naombeni like ata 20
Hongereni sana kwakazi nzuri mnatoa ujumbe mzuri sana katika jamii mungu awasimamie katika kazi zenu
Tuseme mnalalaga umu jmn😂😂😂❤
Mm wamwisho kabisaa sitajii ataa like ya mtuuuu
Nakupenda sana kelkvin ukukosea kumchagua baba police jaman ana jua adi ana jua tena ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tunashukuruni sana tunawafollow toka GomaKongo
Endelezeni isiishe Jaman nimeipenda sanaaaa
Kesho yangu naona iko sawa kabisa Kelvin mungu akutie nguvu nyingi sana uedelee hivo hivo you always make my day hata kaa nimekasilika sana lakini nafurai tu juu yenu na wapenda saana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Awo waliyo shiliki.mauwaji wakamatwe.kunambi atolewe ili ajionee.naajuwe maisha yapoje.alafu na ombeni sapot.yenu ma broo
Love you much from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤
Wakwanza jaman naomben like 25 tu
Wakwanza jmn naombeni like zangu 😂😂😂
Njema sana ii
Nzuri sana mm kiukweli nimempenda sana nyuki kwa moyo wake wa upendo wa dhat jp sio ndugu yake wa damu.
Nawapenda sana
Mm naifrahia hii movie ni nzur sana ata msipo nipa like zenu
Napenda kuwakumbusha2 wakuu kuweni chap kutoa vipande🎉
Mimi binafsi mumenikosha kabisa kupitia thamsilia iyi imenikosha kabisa félicitations vraiment
Kazi mzuri sana hamuna baya donta tv ila tunaomb ikisha t iwep nyengin ikisha munakaa sku nyingi hamutumi munaboa
angele. ❤❤❤❤❤
Muvi ipo vzr sana napenda kazi yako kevi lop uh
Jaman iendelee nzuri san na inafundisha kwer
Yakwangu nawa pongeza sana nikiwa muimbaji wa nyimbo za kumwabudu Mungu nawatakiya maisha marufu ila izi shauri zote zisiwe kwetu tu binafsi ata kwenu piya ziwafunze
Kazi suri sana
Imeenda vizuri ila huku mwishoni tu mmeanza kuongeza watu kuweni makini msiaribu
Nzuri ila fupi ❤❤ nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤🎉. From Kenya
Move nzuri sana juhudi kwa sana,
Mnajua kweli kuigiza mungu awabariki muendelee kutoa na vitu vingine vikali 🤜
Pole sana kaka nyuki kwa mtihani mungu atawasaidia mtavuka na kaka Kelvin pole sana kwa mtihani
Jamani sitamani iishe 😊
Tatizo mnachelewa sana hadi tunaanza kuisahau❤❤
Mkovizuri sana hongereni kwa kazi nzuri sana
Nmeikubali story yako jmnnnn hongera sana donta❤️🫷
Congratulations kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤ ni mototo hihi série 😊😊❤❤❤❤❤
❤❤❤❤kz nzuri sana
Fireeeeeeeeeeeeeeee 🔥 🔥 🔥 🔥
Kazi zuri sana tunaomba muwe munawaisha
VIZURI sana hongereni much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kwaza mm nazipenda sana movie za kelvin naomba mtoe kubwa lenye mda wa lisaa lizima
Nimewahi Leo ebu nipeni like ata Tisa tuh
Zimezidiiiii
Mbona move zinakawia kutoka na mnazimalizia mahali patamu
Mimi nahitaji like hata 20 ndugu zangu, kwa upande wangu mnajitahidi sana lakini yani story huwa mnavyo toa huwa zinaendana jitahidini sana kuweka story tofauti tofauti,
NAWAPENDA KWA AJILI YA ALLAH WANA DONTA TV 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila episode inakua fupi sana kaka kelvin na mr nyukiiii plz iwe ndefu kidogooo
Ebu zidisha juhudi zenu pia musicheleweshe kutoa muendelezo
Nikwer jamani mue mnatoa silizi moja ikisha isha ndo mnatoa nyingine situpo mashabiki zenu tuna waunga mkono
Mmetisha Sana donta TV nawapenda Sanaa woteee ila nimesikitika Sana Kev kaenda sero daah 😭😥😥
Mnajitahidi sana hii kazi ni mzuri sana jitahidini zaidi iishe vizuri sio kikatidha tu km wengine wanavoharibu tana tamani kujua maisha ya kelvn kunambi na wengine wote maisha yao baada ya kesi kuisha
Mko vizuli ila ombi langu ni 1 kwani mnapo toa tamthilia Kila wakati love hii kesho nyingine mnatuvuluga mfano hii ya kesho yangu mngeifanya ikaisha ndipo muanzishe nyingine
Niombi tuu brooo kama inawezekana ❤️❤️❤️❤️💥💥🇦🇼🇦🇼🇦🇼
Wakwanza Leo naombeni likes zangu ATA 10 tuu
𝐔𝐦𝐞𝐩𝐚𝐭𝐚
Nataka iyi njimbo ya natafuta nataka kwenda kwa mama jamani Kevin tiya azo Ku tiktok tufahe chalenge ❤
Hatimae nimewahi nipeni like zang
Hakika kazi nzuri mafundisho yanaendelea kujenga sisi kama jamaa asanten kwa kuendeleqa kutufundisha Mung azid kuwap ubunifu siku hadi siku Good Job.
Kazi safi kevin nakubali
Mambo ni moto ❤❤
Yani mimi naipenda sana sana ❤❤❤❤❤❤ na nahamini kama mutategueneza yengine 🎉🎉🎉❤❤❤
Good job donta tv ,ikiisha hii tupieni nyingine kali zaidi ya hii
Afande kisinja anapenda hela sana hii story amenyamazia tu cha muhimu pesa tu ili hali anajua muhusika wa haya maradhi
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ingawa kwa kuchelewa ila ntachangia maoni yangu
Ushauri wangu ni huu kwenu donta fanyeni mpango mmalize kwanza kesho yangu ndipo mtoe vibao vipyaa