PART 4: MAX RIOBA AELEZA ALIVYOKATWAKATWA KIFUANI, JINSI ANAVYOISHI na SHIMO MWILINI | HARD TALK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • PART 4: MAX RIOBA AELEZA ALIVYOKATWAKATWA KIFUANI, JINSI ANAVYOISHI na SHIMO MWILINI | HARD TALK
    HII ni SEHEMU ya NNE ya HARD TALK na Mtumishi wa Mungu Lilian Mwasha, mgeni ni Maxmilian Rioba Mkurugenzi wa kampuni ya Aunthentic Media Group ambaye ameeleza mengi juu ya maisha yake ikiwemo kuzinduka kutoka kwenye ufahamu baada ya kupoteza ufahamu kwa siku 90 huku akiwa katika ulimwengu wa ajabu uliomkutanisha na kiumbe kisichojulikana..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 36

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +2

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 *UWE WA KWANZA KUONA*👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @Mrs.Adam7
    @Mrs.Adam7 Рік тому +22

    Hizi ndio talks sasa, leteni hadi part 50 tutaruka nazo bila waaas✔️

  • @naahmgonja9254
    @naahmgonja9254 Рік тому +16

    Dada Lily,Mungu akubariki sana kutuletea mtumishi wa Mungu huyu,pia nashindwa kupata neno nzuri zaidi kwake zaidi ya kusema tu Mungu anampango na watu wengine kuokelewa kupitia yeye hivyo asimame imara kuna watu wanatakiwa kumwona Mungu kupitia yeye.
    Namsikiliza alafu pia nmekumbuka habr za mtume paulo,anyway kwa leo hakika amenifanya nitoe machozi na nitubu kwa Mungu kwani kuna wakati tunamwomba Mungu na anatujibu alafu ukipitia ugumu tyri unasahau jambo kubwa Mungu alilokutendea unaona kama hajawahi fanya kabisa ,kumbe hicho ni kipindi huenda unanolewa zaidi kuendea makubwa lakini hapo tunadondoka na kumhuzunisha Mungu.Asante sana Kaka Max umenitoa sehemu niliyokuwepo ya maumivu na kulalamika ,kumbe nilishaomba tyr na nikapewa stestimony yako imenizindua nitoke hapa kwenye maumivu na kupiga hatua mpya.
    Barikiwa sanaaa

  • @victoriajulius5239
    @victoriajulius5239 Рік тому +11

    Uyu kaka mungu ambarik sana ametukumbusha Mungu yupo na anatenda tena ni mwing wa huruma na rehema we love u kaka max ikiwapendez tunaomb part 5 maojiano yenu yan miujiz kun mahl mnatuvusha🙏🙏🙏

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 Рік тому +5

    Mungu nilishakwambia kama utanibariki ilinikuwache naomba usinibariki,nibariki ili niwabariki wengine na kukupenda zaidi

  • @fofolove5667
    @fofolove5667 Рік тому +12

    Yani max umeongea kweli mm nikianza kusimama kwenye maombi vita inainuka kwa ukubwa nikikaa kimya bila maombi sijaribiwi ivi kweli niko sahihi

  • @quintavitalis926
    @quintavitalis926 Рік тому +6

    Hii story inafanya uone mkono wa Mungu huu hapa

  • @nancysway786
    @nancysway786 Рік тому +5

    powerful....tunasubiri part 5 na kuendelea dada lili

  • @happinessmtui1336
    @happinessmtui1336 Місяць тому

    Elimu hii ya Acid reflux inapaswa kuelezwa sana Nyumbani watu wengi sana wanateseka nayo na hawajui wanita chembe cha moyo ,kwa wenzetu huku unaelezwa vema kbsa sio ulcers ,haitaki stress pia.I wish watu wengi wapate kuelewa hii inatesa sana hata mim ni mhamga ila nimejua jinsi ya kuish nayo.Asanten sana

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 Рік тому +3

    Brother Max asante umenikumbusha namna ya kupeleka hoja zangu kwa Mungu!

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Рік тому +5

    Yehova Shujaa Hutusaidia na hutupandisha viwango Mbarikiwe Sana kwa hayon Glory to Almighty God.

  • @julianaharrison4356
    @julianaharrison4356 Рік тому +7

    Bora mmetuwekea mapema

  • @groveyagroya1280
    @groveyagroya1280 Рік тому +2

    Jamani pole Sana Mungu yu nawe

  • @aishairakoze2133
    @aishairakoze2133 Рік тому

    Mmmj apo kwenye swala la Mungu kabisaa Dada Mmh eeti Max unaamini kuwa kuna Mungu duuu .Apana katika Waislam swala la Mungu toka tunakuwaa katika familiya zetu tunaamini shwa uwepo wa Allah ayijalishi Katika furaha ila huzuni

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Рік тому +3

    Imenigusa Asante Max

  • @lucyvicent7440
    @lucyvicent7440 Рік тому

    Yani leo nimebarikiwa sana kumsikiliza Max, huchoki yani

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Рік тому +1

    Pole sana, lakini Mungu yupo na yupo kweli.

  • @aishaisbarty3934
    @aishaisbarty3934 Рік тому +2

    Nakupnda na unanijinga sana mam ilove u

  • @kipipakipipa5050
    @kipipakipipa5050 Рік тому +2

    Hata part 100 tutapitia tu

  • @janesiwingwa3142
    @janesiwingwa3142 Рік тому

    Mungu yupo

  • @ilovemusic9594
    @ilovemusic9594 Рік тому

    Dada Lilian natamani kumuona kaka max naamini anaweza kunifanyia cancelling na kunipa msaada wa mawazo.Natamani mnoo uweza akanibadilisha Sana vile nipo stressed

  • @Kidotii
    @Kidotii Рік тому +3

    Wewe ni "Friend of Jesus"
    !

  • @Jamess_-500
    @Jamess_-500 Рік тому +2

    🙏🙏

  • @hellenamndeme4978
    @hellenamndeme4978 Рік тому

    Huyo ni Paulo hakika atatenda makuu kwa uwezo wa Mungu

  • @elizabethwanjiku7831
    @elizabethwanjiku7831 Рік тому

    Madaktari was Tz mnazingua.... Mnabahatisha Na mwili wa wanadamu bila kufanya vipimo maalum. Nkt!

  • @marthapeter8246
    @marthapeter8246 Рік тому +4

    Ongea kiswahili wote tuelewe

  • @mgayaely9840
    @mgayaely9840 Рік тому +1

    Mwambie max ajitahidi kuongea kiswahili wote tuelewe

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Рік тому

    Oh my God...,madokta wetu wanaweza kuuwa mtu ambae angepona. How sad??

  • @salomekisanga560
    @salomekisanga560 Рік тому +2

    Ni kwel shetan anataft wale waliokarib na Mungu

  • @jeniphammary96
    @jeniphammary96 Рік тому

    Max ukiwa mchungaji naamia kanisani kwako

  • @bahatijohn8923
    @bahatijohn8923 Рік тому +1

    Huyu kaka Kama vile aliingiza kwenye la familia siries Kama Rafaeli