Sabra Mchano - Maisha Yangu | Maisha Magic Bongo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 бер 2020
  • Sabra Mchano ni hakika malkia wa nguvu. Ni mwanamke wa kuigwa aliyependa sana maendeleo. Amejitwalia tuzo mbali mbali za kuheshimika kote Tanzania bara na visiwani.
    ---
    Endelea kutizama DStv chaneli 160
    Official Website: maishamagicbongo.dstv.com/
    Watch more series and movies on Showmax, start your 14 day free trial here: bit.ly/36PFSr0
    Instagram: / maishamagicbongo
    Twitter: / maishamagictz
    Facebook: / maishamagicbongo
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 90

  • @tawhidatawhida7344
    @tawhidatawhida7344 5 місяців тому

    Nimeptia coment wengi wenu mnachoyo na napsi chafu taften pesa mupunguze roh mbya da sabra allah akusimamie kweny mausha yko te

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 6 місяців тому

    Uje kuwa Rais wetu Amina🤲

  • @salimalrumhy2020
    @salimalrumhy2020 3 роки тому

    Past, Present & Future.... Endelea kuzikataa Chps Chafu ( Na hayo ndo maisha yako)

  • @user-ln9yy6ni3l
    @user-ln9yy6ni3l Рік тому

    Allah azidi kukusimamia na kukulinda na shari za alivoviumba

  • @issaali5434
    @issaali5434 3 роки тому

    Let wait....

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 роки тому

    MashaAllah

  • @user-hm5jl1kh2t
    @user-hm5jl1kh2t 3 місяці тому

    Kuna sehem Allah amemuandalia huyu dada lazima Allah akujarib akisha akupe kile anacho taka yy Allah kukupaa

  • @sabinameza4399
    @sabinameza4399 3 роки тому +2

    Hongera Sana wewe ni mpambanaji utaysshinda majaribu

  • @ibrahimdabo7163
    @ibrahimdabo7163 3 роки тому

    Nimefurahi sana raisi wetu anafanya kazi nzuri kuwatumbuwa hawa wasaka tange alafu wanajifanya wao wazalenda uchwara hawafai

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 3 роки тому +5

    Ulikuwa sifa sana Sabra na ndio mana hukupewa pole yalipokukuta,Wazanzibar wengi walifurahi kuliko waliokupa Pole.Jifunze Dada jinsi ya kuishi na Watu vizur

    • @alivideos4155
      @alivideos4155 2 роки тому

      Kwanza arudishe pesa alizoiba ZSSF na nyumba ya Chukwani waliomjengea machina kwa hongo ipigwe mnada na pesa zirudi serikalini

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 3 роки тому +3

    nimeipenda ile haji kanitaftie japo chipsi chafu. 😃😅😄 hata kama umedokoa sabra ila na kazi umetenda kwa kweli.

    • @kombokombo829
      @kombokombo829 3 роки тому

      Hatupend kutoa maneno mabovu, ila huu upuuz kazi gan mtu mwizii...

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 3 роки тому +3

    Sabra iron lady,mwanamke mwenye uwezo uthubutu na kujiamini.
    Ni mfano kw w/ke wakizanzibar.
    Should i say mashaAllah.
    Kupata kukosa yote ni majaaliwa.kila kitu na time yake.

    • @alivideos4155
      @alivideos4155 2 роки тому

      Kwanza arudishe pesa alizoiba ZSSF na nyumba ya Chukwani waliomjengea machina kwa hongo ipigwe mnada na pesa zirudi serikalini.

    • @mussakiziyzi408
      @mussakiziyzi408 2 роки тому

      @@alivideos4155
      Acha ufala ww mtoto wakiume au ndo ivo watu wanakula kitumbua icho !
      Arudishe pesa qani ,au we ulikuwapo na ukashuhdia.
      Mind your own bussines
      Usishadidie mambo ya tuhuma na yasiokuhusu.

  • @nassraal-riyyami8387
    @nassraal-riyyami8387 3 роки тому +1

    Yetu macho

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 роки тому

    Siamini Kama ilikuwa Bora zaidi ya wale waliobora Ila Mshukuru Mungu tu alikuona

  • @masturaabdul1007
    @masturaabdul1007 3 роки тому +5

    Chipsi chafu. Kiukweli nampenda Rais Hussein 😃

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 3 роки тому +9

    Vipi dada, naona Rais leo kakutumbua. Pamoja na madigree na ma masters yote uliyonayo hayo. Mwaka huu tutaona mengi.

  • @fahadmohme7173
    @fahadmohme7173 3 роки тому +1

    Not longer it easy

  • @mohammedkhkombo4439
    @mohammedkhkombo4439 3 роки тому

    Hahahhha wapiiii hashuo

  • @allykhamis5946
    @allykhamis5946 3 роки тому +3

    Leo VP naona umetumbuliwa, ufi S mtupu

  • @suleimanbakar3429
    @suleimanbakar3429 3 роки тому

    MWIZI ANASIFIWA

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 3 роки тому +2

    🤭 Hajj niletee chipsi chafu 🤣🤣 DR Husein 🙌🏽 mwamba hasa km mzee Magu hakika ss maendeleo yatasonga

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 Рік тому

    Ah we shery unalsifia bwana ako

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 3 роки тому

    Ww mwizi

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 3 роки тому

    Mmh kamatiii itaamua

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 3 роки тому +1

    Hhahaha sheni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 3 роки тому

    🤣🤣😜😜 haj

  • @masoudabdalla2843
    @masoudabdalla2843 3 роки тому +1

    Sh sheni unasifia tu unayemsifia ni aibu mtihani huu

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 роки тому +2

    Tokaa mwizi ww Bibi ww
    Iloo Machano ww lime tumbuliwa
    Halaf Bibi ww unazarau chipsi chafu ni ww Michuchu ww

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 9 місяців тому

    Hqbar yk hujambo Nitumie namba yk mrembo

  • @yussufhussein1954
    @yussufhussein1954 3 роки тому

    Heheheee anayajua anayaweza basi wala hafatilii nsionana aliitwa babuali

  • @nazhakesi4974
    @nazhakesi4974 3 роки тому +3

    Hongera sanaaa

  • @bahathassan3027
    @bahathassan3027 3 роки тому

    Mmm,

  • @issakhamis3483
    @issakhamis3483 3 роки тому +1

    Degree ya bangi hiyo

  • @kassimomar6951
    @kassimomar6951 3 роки тому

    Huyo mwiz tu

  • @suleimansalym7537
    @suleimansalym7537 3 роки тому

    Ila inaonekana ktk serikali ya Babuali ufisadi ulikuwa mwingi sasa waondoke ili wapishe wenzao washapata

  • @zuenahuo9321
    @zuenahuo9321 3 роки тому +1

    Za arubaini zimefika pamoja na sifa zote unazojisifiya subiri usifiwe usijisifiye mwenyewe

  • @alivideos4155
    @alivideos4155 2 роки тому

    Kwanza rudisha pesa ulizoiba ZSSF na nyumba ya Chukwani waliokujengea machina kwa hongo ipigwe mnada na pesa zirudi serikalini.

  • @adamcuf1520
    @adamcuf1520 3 роки тому +1

    Jaman muelew huyu sio mwiz kachukua chake mapema mbon wapo weng waliochukua chao munamuona yy tu

  • @maryamhamad494
    @maryamhamad494 2 роки тому

    Shenz zako

  • @mohammedomar7280
    @mohammedomar7280 3 роки тому +2

    kawaida ya binaadamu akifanikiwa kutoa historia yake 😆😆

    • @alivideos4155
      @alivideos4155 2 роки тому

      Kafanikiwa kwa wizi wa pesa za ZSSF

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 3 роки тому

    Kumbe ulikua huna adabu tokea zamani

  • @mohdally9660
    @mohdally9660 3 роки тому +10

    Ww fisadi uliye ifilisi Zanzibar yetu cha kwanza uchunguzwe hizo mali zote umezitowa wp? Ukishabainika mahakama ifanye jambo lake, na huyu Juma iddi nae achunguzwe majumba 30 kayatowa wp tena ya kifahari huyu ndie fisadi nomber 1, Kwa Zanzibar

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 3 роки тому

      ⚖👍

    • @adriannebatakanwa6904
      @adriannebatakanwa6904 6 місяців тому

      Big Up Sabra. Watu wengi hasa huko Unguja hawajazoea mwanamke kuwa mtendaji mkuu wa Taasisi. Mbona hata hao wanaume wamekosea hapa na paleeee! Ume achieve sana. Kukupachika majina hiyo kawaida kwa hardworking ladies. Tumeitwa majina mengi. Kikubwa ku deliver mwisho wa siku.❤

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 3 місяці тому

      Wewe uzanzibar umeutoa wapi mluguru?
      Sabra ni mwanamke wa shoka yupo vzr na yupo sawa. Na atapanda zaidi coz Sabra ni msomi.

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 3 роки тому

    Duh umevuruga hela za watu bila ya huruma duuu

  • @fatmajuma9835
    @fatmajuma9835 3 роки тому +3

    Mwizi mkubwa we!!!

  • @rakhibaally4662
    @rakhibaally4662 2 роки тому

    Mimi sabra sijakuona mjinga wakati umepewa fupa aaabibiweee na we lingongone wangapi wanangongona mafupa yeye sio wamwazo et walopita wamengngona mafupa weeehadi sasa wengine wanapolio hawaoni wamepofua wanasukari chumvi kila balaa

  • @user-re3zo7ie5e
    @user-re3zo7ie5e 4 місяці тому

    Taasisi aliokuwa anasimamia ilipata upotevu wa mamilion ndio chanzo kilipo anza

  • @salumnassor6555
    @salumnassor6555 3 роки тому

    uletetewe ata chips chafu!!!!

  • @nahedstationery3851
    @nahedstationery3851 3 роки тому

    Hivi miaka 32 bado ni umri mdogo?

  • @abumasoud1996
    @abumasoud1996 3 роки тому

    kashaiba pesa viongozi zanzibar wamelala

  • @mohammedsalummohammed4357
    @mohammedsalummohammed4357 3 роки тому +1

    Fisadi mkubwa ilitakiwa UE kinua mi miguu wewe

  • @amourflamini7963
    @amourflamini7963 3 роки тому

    Hunaishu mwizitu

  • @abdullaabdulla8618
    @abdullaabdulla8618 3 роки тому

    Chipc chafu

  • @mirajiali3926
    @mirajiali3926 3 роки тому +3

    Mwizi mkubwa wewe

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому +1

      Una ushahidi?

    • @salwasuleiman3525
      @salwasuleiman3525 3 роки тому

      @@jumakapilima5674 😀😀😀

    • @feiz3180
      @feiz3180 3 роки тому

      @@fathiyaaly9063 mimi naona ni mtu aliyetumiwa na hao aliowataja kwa manufaa yao. Angelifanya nini wakati huu ndio mtindo endelevu. Baada ya miaka mitano ya Dr. Shein, miaka mitano iliofuata ilikuwa ni wizi tu. Wameibia mpaka wapika supu.

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому

      @@fathiyaaly9063 una ushahidi kuwa ameiba?

  • @user-re3zo7ie5e
    @user-re3zo7ie5e 4 місяці тому

    Huyu sheni walikuwa watu wakiba yeye anatetea hata ile mapinduzi 2 alisema meli mpya hakuna ub add dhirifu alipokuja mwinyi alikiri meli bovu liuzwe crepa huyo sabra wenu mnayo mpamba mbabaishaji mwenye kutaka sifa ambazo hana mwacheni achezeshe upatu

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 3 роки тому +1

    Rais achunguze mali zake pia

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 3 роки тому

    Anhaa wewe ndo chipsi chaaaaafuuu.

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 роки тому

    No story hahahaha

  • @mudrikali5726
    @mudrikali5726 3 роки тому +1

    Fisi mkubwa weeee! Kazi kujisifia tuu, ulimbukeni uwo! Shame on you!!!

  • @fadharzanzibar3912
    @fadharzanzibar3912 3 роки тому +6

    Degree na diploma ya wizi mzushi mmmmmoja

  • @jumamohamed3168
    @jumamohamed3168 3 роки тому +2

    Sein yeye alikuwa kazi yake kusifia tu hana kuhoji na kufanya tadhmini na anachoambiwa kweli kinaingia akili au kunaudanganyifu hapa na kuzibwa macho .yeye hana hilo Sifia sifia tu huku watu wanaiba fedha tena nyingi sio mchezo.

  • @rahmaabdillahi8305
    @rahmaabdillahi8305 3 роки тому

    Tunachotaka ni maendeleo piga kazi mwinyi hongr zote kwa muheshimiw magufuli

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 роки тому

    Kukosea mara 1. Upo uwezekano wa kujirekebisha.
    Apewe majukumu mengine awe mbali na vishawishi kama pesa nk.
    Msimtusi kama kakosea hatorudia tena.

  • @fadharzanzibar3912
    @fadharzanzibar3912 3 роки тому +2

    Mwiiiiiziiiiiii 😂😂😂😂😂😂