Masha'Allah. Simulizi nzuri sana shukuru mumeo ana msimamo sana hakurupuki na maneno maneno ya fitina anawajulia familia yake haswa mamake na dadazake. Mungu awabarikie familia yenu muenselew na masikizano na upendo daima
Mnajua mm sijai kuwa na njaa nikakosa kukula😊this happened alots uko nyumbani kenya nigeenda hotelini nikule kwanza nikishiba nasema sina pesa watafanya nn na nisha kula so mama ndye alikuwa anapata chagamoto daah nampenda sana mamangu hakuwa kosa kulipa hela ya watu ata nikiwa mkubwa hivi lakini sema kunisemagaa😅😅mpaka leo sitokaa na njaa nikijua nitapata chakula
Anko asante kwa simulizi nzuri una fanya siboeki🎉🎉🎉🎉
Wallah unaweza i love your work bé blessed again🥰😍😍🥰
Masha'Allah. Simulizi nzuri sana shukuru mumeo ana msimamo sana hakurupuki na maneno maneno ya fitina anawajulia familia yake haswa mamake na dadazake. Mungu awabarikie familia yenu muenselew na masikizano na upendo daima
Kenya🇰🇪 listening ,, asante anko j
🇰🇪 here too
And another one here again after 5 months 😁
And another one here again after 5 months 😁
Waooo inaelekea stor tam sana ngoja niiskize 👂👂 kwanza mana nakuelewa sana ank j
Uncle J .mmm kazi ipo sasa
Weeeuh what wonderful 🇰🇪🇰🇪
♥♥♥♥♥♥
Shukraan anko jay kwa simulizi tamuu na mafunzo pia asante sana🙏🥰🥰🥰
Congratulations anko Jay 👏👏👏
Hizi simulizi ndio tunazozipendaaa zinasisimuaa
Kabisa
What a nice story n anko jay congrats unajua kusimulia vzr n mafuzo mazuri mwatupatia
Waoh nimefurahio hii simulizi
❤❤❤ simulizi nzuri sana
Waooh Waooh nzuri
Mr.jey...punguza matusi mengiii
NA story zako zooote zimefanana SAAAAANA..
MWANAMMKE mmoja kufanya mapenzi na wanaume wawili...
Jamani akina mama mkwe poooooooh🤔🤔🙆
Kuna mama wakwe. Vichomi yalikukuta pole Sabrina asante Anko J kwa simulizi tamu.
Jamani mama mchawi🤔🤔🙆
Jamani mama mkwe hatari
Simulizi nzuli sana💕
Waaauuuh nice one be blessed
Daah 1:57:29 tamu kweli Sabrina 🥰🥰🇴🇲🇴🇲
❤❤❤❤
Mnajua mm sijai kuwa na njaa nikakosa kukula😊this happened alots uko nyumbani kenya nigeenda hotelini nikule kwanza nikishiba nasema sina pesa watafanya nn na nisha kula so mama ndye alikuwa anapata chagamoto daah nampenda sana mamangu hakuwa kosa kulipa hela ya watu ata nikiwa mkubwa hivi lakini sema kunisemagaa😅😅mpaka leo sitokaa na njaa nikijua nitapata chakula
🤣🤣wew mrafi
Mashallah anko j
Ubarkiwe xana my bro
Huyu binti Ana msimamo wengine wa anapenda kutembea na wanaume wengi hongera sabrina
Thank ur story
Jay tuletee alvnlisa haraka a
Umeabimika sana jamani Brianna
🙏🙏🙏
God bless you and your family broo I love your work be blessed again 🙏🙏🙏
445 is the 4
❤❤❤❤❤
REALLY ENTERTAINING STORY ANKO JAY 🔥🔥🔥
Woow nice ❤❤
Nice❤️💋
Anko jay sauti ya zege hija nairobi
😊😊😊
hongera anko jay
Yani naendelea kuenjoy na simuliz na saut niipendayo San bro
Cyo kwa hayo majina usimwite tu my toilet 😄😄😄😄
😁😁😁😁
Woow ni nice
Maashallah
Nice 🌹🌹🌹
Naipenda san iyi simuliz
🎉🎉
Duuh ndio naiyanza huyu mrembo ata seria namba 9 sijaanza 😒😒sijui nilikwama wapi
He Leo anko analia jmn 😂😂😂
Pole dada kwaalio kukuta🤔
Jamani mapenzi
There is purpose of everything and a reason,
Hahahaha kitu kumoyo hasa ubarkiwe mtunzi na msimuliaji anko j
Meupe peeee tht his ankor j😂😂😂😂
❤️❤️❤️
Story iko poa san Anko jj
@@ankojay8882 hapan ndo kwanz natak kuianz ,huw nacoment kabisa kwasabab najua huw hutuanguxh naam.
Anko jay anajua na anajua tena
Asate sana simlizi fupi by ako j
Waaaaau 🔥🔥❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
Simlizi tamu kweli
Ako ja hii ni pesa ya TZ or Kenya let me know
Ninzuri sana bila mfano
Nzuri Sana napata campan sana
Wao
Wow
😂❤❤
Simulizi tamu xn ila uliajia njiani bro anyway ubarikiwe xn napenda xn simulizi Zako
🥰🥰🥰
Sauti tamu
Karibu anco wee
Anko J wee
Mbon ipo doro san haijachapuka
hogera cna
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤