Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mashallah dogo dele mungu ambariki aendelee na uwezo huhu.
Nakuombea usome Kwa bidii upate kazi nzuri, wazazi wa dogo Sele tafadhali msimzuie Sele na kipaji chake na Mwenyezi MUNGU atamuongoza Kwa mambo yake yote
Nampenda sana kijana mdogo dogo sele na comedy zake,,,, keep up young man i promise you will prosper
Masha'allah..kana busara nzuri mngu akutunze ✍️ kijana
Kama wakubaliana Mimi naomba like yako pls
Washabiki Wa dogo sele tupeane like hapaa ett
dogosele
Mwigizaji wakesho uyo, nakukubali sana dogo langu
Mungu akutangulie katika masomo yako pamoja na uigizaji wako
Dogo Sele uko na smart IQ,big up bro,,alafu mwalimu mkuu pongezi kwa kinyozi Cha Sele😂
Uchochez huo
Hongera dogo sele Kwa kuwakilisha tz
Selemani mungu ainue sana kipaji chako na zaidi ya yote akuinue kiuchumi nakupenda dogo
Nampenda tu sana dogo Sele, natamani kukutana naye live, nikimtazama movie zake naskia furaha Hadi moyoni ananitoa majonzi, ananitoa stress
BASKETBALL na NETBALL ni michezo ya jinsia zote....Haibagui🙌
I'm Somali me nabenda like 👍 doge sele good boy
nakupenda sana dogo.mungu andelee. kusongambele
Nakupenda Sana mungu akulinde ufanye vizuri kweny masomo yako
Love you from 🇰🇪 mdogo wangu keep it up
One love mwanangu sele god bless you for rever and ever in your life zingatia masomo mwanangu
Big up dogo Sele jitahidi kuzingatia masomo
Handsome Allah akuzidishie mpenzi
Na penda sana dogo sele sana 💞💞💯
Mungu akujalie ufike mbali . Dogo sele mungu akuongoze ufikembali ufanikiwe kwamambo yako yote
Nakupenda sana dogo sele ❤
Vzuri dog by baraka
I wish all the best sele. Study hard
kijana mcheshi...ufike mbali dogo sele.....jitaidi kusoma utakuwa tajiri
InshaAllah!!
Utajiri ndio kufaulu
Mungu amujaliye aweze kufika mbali 🙏
Keep it up dogo.....soma xanaa piga kotekote
Dogo sele mungu atakujaliya uwendelee na masomo na tunakusubiri😂😂😂😂
I really love the guy passion keep it up dogo♥️♥️♥️
Dgo Yuko vinzuri anajibu maswali vizuri Sana namkubali dgo sele
Pia ni handsome boy
Nampenda sana huyu dogo ❤❤❤
Much love dogo sele
Huyu dogo ndie star ajae niamini Mimi
Congratulations good boy
❤mungu akasaidie kafike mbali
Dogo katoboa siri stivu hana gari kati stive alisema anagari😀😀😀🤣
Hahahahahaha. ila. wewe
Mungu akujalie dog sele
Mungu amuongoze vema DOGO sele... Anabusara mno
Dogo sele ni Shujaa ni jasiri nampenda tu buree
We mana umeticha, nakupenda sana
Nakupenda bby boy 🥰
Napenda mtoto mjanja ivi awezikufanyiwa ukatili na kukaa kimya awezi safi sana
Dogo sele nampenda sana
Dog sele uko class ngp
4 anadai
Salaam sana kwa mkuu wa shule @collegmate wangu na jirani yangu
Mtoto kiboko kweli Hongera sana
Mwalimu kamuelezea vizuri Sana kijana wake
Mung akubarik dogo kwa uwezo wako
From the inside the young innocent boy gets peanuts from the content creators
Mtangazaji sijui kingereza hujui ao hujiamini , elewa Shule hiyo lugha inayotumika ni kingereza ungetakiwa utumie kingereza kwa kumuhoji Dogo sele.
Siyo wote waTangazaji wanauwezo wa Lugha
💞💞💞 Kako juu
Upo vizuri dogo
Pilau la nyumbani la nyumbani na shule la shule hahaaaaaaaa
Good work
Uyu dada nampenda sana
😂😂
Dogo see anajua kujibu vizuri
nampenda kwel uyu mtot na anaenda na hajra angekuw mam ake
Yan mung akubalik san dog sele
ungemuhoji na kwa kiingereza kidogo tukajua competence anapokuwa shuleni
Dogo sele🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏
Huyu mtoto ukimuona anahakili Sana MUNGU amchunge anavyojibu Sasa kama mkubwa
SI anashida na watu wazima anafanya nao kazi lazima haonekane anajibu majibu ya watu wazima maana keshakomazwa na mambo magumu.
@@philemonmagesa5548 wabongo bwana
@@philemonmagesa5548 na ndo anaweza haribikia humo humo
Nakutazama nikiwa saudia Sele
Noumaaa sanaa dogO Sele
Mungu amubalik kijana mdogo
Huyu mtangazi nampenda. Lkn maswali mengine. Yanabo hiyo busket ball na basket ball nitofauti hazifanani 🤔
Hilo la kuach kula chakula ya home et nimekula school haiwezekani 🤣🤣🤣
Wewe uliacha ??mbona hata Marekani watoto wanakula shule na bado Wanarudi kula Nyumbani
Mashallah ❤
Nimekupenda sana leina naomba kukutana nawe niko kenya
😂😂😂😂unakaa na stv na ndaro unadhani utakua wa kwanza 😂😂😂😂bado😂 nawapenda sana
Good boy love you too much
oooh kwetu kabisa uko yombo vituka akuna boarding
Shule tulizosoma sisi miaka ile ulikuwa hauwezi kuonekana umenyoa denge.
Tafuta pesa hata mwanao akienda na dred rasta hazuiliwi shule za hela hizo ndugu....
@@joycehaule9717 🤣🤣🤣Kweli aise. Hapo ni pesa tuu!Maadili hayana maana tena.🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio maana hamukuwa na hakili
@@joycehaule9717 siyo zote aise
@@hakizimanantawundi9369 ni hiyo hiyo mpeleke shule ya Dini utajua
🎉🎉
Sele🎉
Namkubali sana dogo sele
Dog Sele fokas kwenye elimu Mungu atakupa hitaji lao utafika mbali 👍👍
Kazur🥰🥰
niceeeeeee boy
Kiengeleza daa watangazaji jamanii
Mama yake tunataka tumuone kwanza
Maswali ya presenter mabaya unauliza vboko , ili iweje ssa
👍👍👍👍
Mamaisara si ya kwetu mbulu kabiaaaa hiii
ata me nimeshangaa kama wa mbulu bx tuwe p1
na kukubali sana dogo sele
Netball wanacheza wanaume pia tena kwa ligi hasa. Uko wapi mwandishi.
Mtangazaji huyu hajui hicho kitu,Dogo Sele ikabidi akubali tu
Sele noma hand some boy
Kazi nzuri
Ungemwacha ajielezee walau kw kingereza kdg
Mmm si Lugha ya Tanzania ,Watu wengi hatuelewi tumeishia darasa la 7 ndo hivyo tena
❤️❤️❤️Dogo sele
Dogo sele namkubali San mnoo
Yupo darasa la ngap
La 4 kasema
Mtoto mdogo lkn kajibu maswali sawasawa na mtu mzima.. kikweri mm siwezi jibu maswali hivyo
Big up dogo
Big up Dogo sele
🤩🤩🤩🤩
Dogo sele nakupenda sana kutoka Nairobi Kenya
Hapo kwenye monitor na montress🤣🤣🤣🤣 sijui nani apewe laumu
Mwandishi ndiye kachanganya mambo ya Monitor na Montress😂😂😂😂😂
@@samsonmugobozi1462 monitress ni wa kike
@@trophywilson7211 nijuwa hila ila alivo tamuka monitor na monitress kasema motor na motress
Uk pow
La nyumbani nyumbani la shule ni la shule 🍲🍛🍛
❤❤❤❤❤❤

@@joycehaule9717 🤣🤣🤣
Kweli aise. Hapo ni pesa tuu!
Maadili hayana maana tena.
🤣🤣🤣🤣🤣