Muheshimiwa waziri mkuu, wananchi tunakuomba sana haya maghorofa yote kariakoo yachunguzwe upya kama yanaubora, Ili kuweza kuepuka na ajali kama hizi. Lkn pia vifaa vya kuokolea viwepo. Siyo kuchukua kodi za pato tu na city leavy.
Hili c jipya ila limejengwa kwa muundo wa ghorofa za juu tu sasa mwenyewe akahamisha wafanyabiashara chini na wasasa alikua anachimba kwenda chini kutengeneza njia za andagraund kagonga mihimili ya nyumba likadondoka ni mungu tu maana mtoaji kibari ndio shida huwezi chimba ghorofa utengeneze ground wakati misingi umeweka ya kwenda juu lazima lidondoke tuombe selikali iwe makini na utoaji vibari vya ujenzi wasanifu tokeni maofisini mnarisk maisha ya watu mchumia tumbo kashavuta chao
Mungu ni mwema sana kwa wote walio kwenye jengo lile watatoka salama in Jesus name amen
Dah hili jambo Mungu afanye wepesi
Mwenyezi mungu baba atatenda tu kwa kila mmoja wao watapona
Polee sana na Imani mtatoka salama Mungu simama na hili
Pole sana vipenz mungu awaponye
Mwenyezi Mungu tunakushukuru Sanaaaa .
Ila kiusema ukweli Waziri mkuu kwenye hili taifa tunae tena anajitambua na anawajali watu sana.
Muheshimiwa waziri mkuu, wananchi tunakuomba sana haya maghorofa yote kariakoo yachunguzwe upya kama yanaubora, Ili kuweza kuepuka na ajali kama hizi. Lkn pia vifaa vya kuokolea viwepo. Siyo kuchukua kodi za pato tu na city leavy.
Hili c jipya ila limejengwa kwa muundo wa ghorofa za juu tu sasa mwenyewe akahamisha wafanyabiashara chini na wasasa alikua anachimba kwenda chini kutengeneza njia za andagraund kagonga mihimili ya nyumba likadondoka ni mungu tu maana mtoaji kibari ndio shida huwezi chimba ghorofa utengeneze ground wakati misingi umeweka ya kwenda juu lazima lidondoke tuombe selikali iwe makini na utoaji vibari vya ujenzi wasanifu tokeni maofisini mnarisk maisha ya watu mchumia tumbo kashavuta chao
Hewa jamani wataweza kumudu mpka kesho😢
Poleni sana Wacha mungu aitwe mungu
Daah nimemuona huyo jamaa kwenye cover ni jamaa yangu kabisa. Mungu ampe nguvu Rajuuny
Ameen
Poleni sana
Mungu awaponye
Mungu awaponye majeruhi wote
Naomba kuulizia jmn vp wametoka wote??😢😢
Hadi mwisho tutajua idadi😢😢
Bado
Mungu awafanyie wepes
Pole mungu atawaokoa tu tumuombenbwana
Matukio kama hayo yakitokea vyombo vya ulinzi na usalama vitoke au vije kwa wakati kwenye matukio, na wawe na vifaa pia.
Ndiovyo walivyo fanya Leo wamejitaidi Sana leo
Mungu awafanyie wepesi
Mungu awabariki na poleni sana
Mungu awasaidie ndugu zetu
Allah awafanyie wepes
Mungu walinde ndungu zetu
Jesus🙏
Mungu awasaidie awape wepesi
Mungu awafanyie wepesi na awatoe salama
Ameen Ameen
Ee mwenyez Mungu wahurumie waja wako ukawape afya tena
Poleni sana
Mungu awalinde
Aliye pitisha viwango bado yupo tuuuuu. Hiyo ni kosa kubwa sana PM. Usimamizi ni rushwa tuuuuu.
Watanzania tunapenda kulala Mika hata vitu tusivuo vijua jengo limejengwa Mika ya semanini unalaumu Bado yupo unamjua ndugu
Tunaomba greda na watu wengine wafanye kazi usiku kucha jamani ,
After masaa manne
Hili jambo ni zito jamani inaumiza nafsi
Sante wazr najaliwa
Hiki kitu tuiskie tu polen sana jmn
Nakuona Tumaini Nagu
Mungu mwema wapone tu jama
😢😢😢
Poleni saaana jamani
Naamini sana habari zako keep it up
Hatar Allah awanusuru
AISEE POLEN XNA NDG ZETU
Wapi samia
Kaenda Brazil 😊
SUBAHANNAALLAH
Anafaa kuwa....... Yes he deserve
Majaliwa acha siasa
Sio siasa ndugu , ki kanuni na sheria kamati ya maafa kitaifa kiongozi wake ni waziri mkuu wa nchi thus why unamuona katika eneo la tukio hili
Sasa kafanya siasa gani hapo au anatarifu uma nini kinaendelea
Mungu awasaidie watoke salama
Poleni sana