Sheikh Mwaipopo Aililia Zanzibar..!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 3 роки тому

    Mwenye Enzi Mungu akupe afya njema na nguvu yaarab uweze kuimarisha uislam

  • @alyedy2795
    @alyedy2795 3 роки тому

    mashaallah sheghe mwaipopo

  • @juniorjuma2562
    @juniorjuma2562 3 роки тому

    Mungu akupe nguvu zaid iliuwezee kushinda vita hiyo inshallah 🤲🤲🤲🤲

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 3 роки тому

    wape hao sheikh mwaipopo mungu atakulipa kwa ukweli wako

  • @ibrahimjuma10
    @ibrahimjuma10 3 роки тому

    Allah atakulipa aya maisha yanapita tu

  • @AllyMazinge-k6x
    @AllyMazinge-k6x 7 місяців тому

    Shehe mungu akusimamie akulinde kweli hata wakati wa mtume Muhammed watu kama hao walikuwepo wengi wao ndio wanao didimiza uislamu shehe

  • @amurisabiti7037
    @amurisabiti7037 3 роки тому

    Sheihk wetu achana na hao wanafki mungu ata kulipa kwa haki yako

  • @omarbyz8695
    @omarbyz8695 3 роки тому

    Shekh mwaipopo upo sahihi kabisaa ila usishangae kwani mungu ashasema zamani ktk qur ani maadui wakubwa wauwislam niwailam wenyewe ambao niwanafiki wajubwa sisi wengi wanyonge wengi tunatambua maadui wadini walio tawala kila sehemu allah akusimamie kwakila hali 😭😭😭😭

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 3 роки тому

      Quran haikusema maadui wakubwa wa uislamu ni waislamu wenyewe Ila imesema maadui wakubwa wa uislamu ni washirikina wasiokuwa na kitabu

  • @mazayanet45
    @mazayanet45 3 роки тому

    Hao unao wazungumzia, sisi ummah wa mtume Mohammad S.A.W. tunawajua saaana miaka nenda rudi, waliisha uza dini yao siku nyingi saaana. Usishangae.

  • @enuelabunimkali9529
    @enuelabunimkali9529 3 роки тому +1

    Kaza mwendo Mtumishi ! Safari ya imani sio rahisi! Ikiwa yasuhu masihi yeye alipitia mazito pamoja na wanafunzi mbona yeye upate rahisi!! Kaza mwendo vita viko kati ya nuru na Giza!!

  • @bennyasseralfred7139
    @bennyasseralfred7139 3 роки тому

    Ata mtume kasema watakae hipigania nidi kiaki na wenye Imani yakutosha wayakua si wazalia waadini. Nanikweli watu walieslimu maranyingi hua hawataniii nauslam

  • @bushirigharr9435
    @bushirigharr9435 3 роки тому

    We umesilimu kuja kwenye Imani yako au umekuja kufanya dawa yasani wewe kur ani hunijui kabisa huna ata Aya moja kichwani tunakwambia uislamu sio uganga ni mfumo wa dini

  • @benjaminmwilaria1145
    @benjaminmwilaria1145 3 роки тому

    Toka huko hao si watu wazuri

  • @Haarun-h4q
    @Haarun-h4q 9 місяців тому

    Mtaje Jina huyo sheikh mnoko aliyekuzuia kutoa mawaidha

  • @muhammedsuleiman2137
    @muhammedsuleiman2137 3 роки тому

    Sh Mwaipopo ndio uijuwe zanzibar ni nchi ya kimapinduzi ndio ujuwe hivyo hata viongozi wetu wa kiislam ni wa kimapinduzi mapinduzi hahaha kumbe ulikuwa hujuwi ?jionee mmwenyewe

  • @ibrahimjuma10
    @ibrahimjuma10 3 роки тому

    Wewe Fanya kaz kwa iman malipo yako utayakuta

  • @batulghalib9030
    @batulghalib9030 3 роки тому

    Kama kweli unafanya kwa ajili ya Allah yote yasubirie ni kheri kwako pambana km mtume mhammad alipigwa vita na jamaa zake subra subra pepo haiji kirahisi

  • @YohanaJoshua-h2j
    @YohanaJoshua-h2j 15 днів тому

    Njaa yako imekuponza

  • @batulghalib9030
    @batulghalib9030 3 роки тому

    Katika kila jema hakosi shetani ukifanya kheri usitegemee utalipwa na Allah hiyo siri yako na Allah usizungumzie

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 3 роки тому

    Awo watu wa kubwa usiwatage wewe adisia mambo yako amboyo yana kusibu unapo wataja ina maana una jipendekeza