USIA WA MUHADHIRI MWAIPOPO KWENYE KONGAMANO KUBWA LA DINI LILOFANYIKA MSIKITI WA IBADH MKOAN TABORA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @alwankoabdalla1640
    @alwankoabdalla1640 3 роки тому

    Masha'Allah Tabaraka'Allah

  • @salimbiaisha6466
    @salimbiaisha6466 3 роки тому

    Masha Allah. Mungu akulipe mema Duniani na Akhera Sheikh Mwaipopo. Na akupe maisha marefu

  • @issaibrahim5319
    @issaibrahim5319 3 роки тому

    Mungu akupe nguvu uzidi kutangaza dini ya allah

  • @salmabakar4339
    @salmabakar4339 3 роки тому

    Mashaallah Allah akupe nguvu usimamie dini ya Allah

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 роки тому

    Mashaa Allah

  • @zulfahamissi4725
    @zulfahamissi4725 3 роки тому

    Mashaallah

  • @fatumaabdhul8620
    @fatumaabdhul8620 3 роки тому

    MASHALLAH

  • @salimomary2726
    @salimomary2726 3 роки тому +1

    Hao ni katika wale waislam wanafki

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому +1

    Tatizo la baadhi ya Masheikh wetu hawataki kujiheshimu (japo nao ni binAdam), inshaallah wajitahid kujijengea nidhamu ktk mazungumzo na matendo wajikite ktk nidhamu na uadilifu wa Uislamu.
    Kupigana mapande/kubaguwana (kufanyiana hisad/husuda mbaya) kwa baadhi ya % kubwa ya Zama hizi ndo kunawaga makundi Waumini.
    Mpira umekuwa haram kutokana na baadhi ya % kubwa ya matendo yafanyikayo mfano matusi, uchawi, kamari (Betting) kupoteza na kuwacha muda wa ibada mfano Swala na dhikri nk.
    Mpira (ngozi) ni ibilisi, hata sijui ni ngozi ya nini ilitumika kutengeneza mpira kiasili ni ngozi ya mtu au ngozi ya nini ! Hhhhh
    Imshaallah tubadilike tuwache mazowea.
    Dunia ni mapito na starehe za muda.

  • @selemaninahimani820
    @selemaninahimani820 3 роки тому

    Kila la khery

  • @mangasonsamson2101
    @mangasonsamson2101 3 роки тому +1

    Mcha Mungu kabsa ukatoa rushwa kwa askar? Unatuhubira nn Sasa?

    • @feisalfarsy6562
      @feisalfarsy6562 3 роки тому

      Ndg yang pole sana upeo wako wa ufahm bdo mdg zidi kusoma

  • @balyyusuf7394
    @balyyusuf7394 3 роки тому

    Mashallah

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 роки тому

    Mashaallah