Subhaanallah,Allah akuongozeni nyinyi maana mpo katika upotofu dhwaahir.hakika watu wa bida'a ni watu wa baya zaidi..... naona leo Ah'lul bida'a wamekutana ili kujadili ni ipi bida'a mpya wajenayo
Subhuna Allaah sasa bida'a Iko wapi hapo kwa kumsifu Nabiyyina MUHAMMAD SALALWAHU ALEYHIWA SALAAM ❤️ Au vp innalilah wa innah ileyh rajiion wallaah msiba huu kama hatutamsifu hapo tumsifu wapi kwa mfano Usiwe ni mwenye kushoot Moja kwa Moja jaman 📌
Fanya bidii uwe mwachuoni ama mwalimu,.na kama hautaweza basi, angalau uwe mwanafunzi, na kama pia hutaweza basi, ni uwapenda wana chuoni ama walimu, na kama hilo pia hautaweza basi, usiwachukie,..Mtume anatuambie tuwe karibu na wanachuoni..kama c wanachuoni watu wangeishi kama wanyama...
Jamaa zetu nongwa zao wao wakiskia innallaha wamalaaikatahu hapo ndo penye shida kwao wakiskia misktini tu kla mtu anatft mlango w kutokea😂, na hapa nshawaon ety masufi mcheni Allah hzo ji dalili za sheitwan mwenye kuskia anatajw mtu akakasirika ndo nyie...
Allah atunusuru na kina baya na awahifadhi jamii Ummati Muhammad AMEEN YARABB
Mashallah sheikh Leo nimepata mapya mengine mungu atuzidishie siha na afya njema inshallah
Allahuma sali ala Muhamadin wa ali Muhamad
Mungu akupe maisha mareba baba 👍👍👍🙏🙏🙏🙏
Masha Allah TabarakaLlah Mungu Atujaalie Tuwa Nae JANNATUL AL FIRDAUS.
@@fatmahassan4790 ameen
@@fatmahassan4790 Allahuma Amin
Allah Akuongezee Umri Sheikh Wetu Inshaallah...
Maashaalah shekh jazaakallaah
Allahumma Swali Wa Salim WaBarik Alayh
Mashaa Allah Mashaa Allah Mashaa Allah sheikh wetu mulo akuzidishie umri tupate kunufaika zaidi yarab
Amiin yaa Rabb
Mashallah shekh wetu tunakupenda kwa ajili ya allah❤❤❤❤
Maaa shaaa Allah
Allah akupe umri mrefu sheikh wetu
Man Sha Allah Tabaraka Rahman 🙏 Allah akuhifadhi sheikh, Jazaka Allahu kher 🙏
Allah akupe umri mrefu wenye manufaaa na akujaaalie mwisho uliokua mwema shekh Othman
Mashallh
بارك الله فيك يا شيخنا ما أجمل كلامك وما أروعه من تذكير، نسأل الله أن يحفظك ويبارك فيك ويديم عليك ما أنعم الله عليك به، وأن يبعدك عن كل سوء.
@@mohammedshein5546 آميين يا ب
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
Alhamdhulillah
Allaahumma salii wa saliim Ala Sayyidina Muhammad wala alihi wa Ass habihi wa Salaamu ♥️🥰
Mashaallah tabarakallah.Allah akuzidishie elmu na ajaze kheri.
MASHA ALLAH TABARAKA ALLAH USTADH WNGU
MashaAllah sheikh Othman maalim
Manshaallah tabarak Allah ❤
اللهم صلي وسلم وبارك على سيدنا محمد ❤
Masha allah❤❤❤ 🇧🇮
mungu akuzidishie
ما شاء الله تبارك الرحمن
MashaAllah Tabarakalah barakalafikum!!!
Allah Akbar
Masha Allah Upendo ni moja ya sifa yetu waja wema
Amiin Ya Rabbi. JazakaLlah Khayran
Mashaallha
My best sheikh's ever Masha Allah
Mashaallah ❤❤❤shukran❤❤
Mashallah ❤❤
Allahu-akbar Masha Allah Tabaraka Rah-maan
Mashaa AllAh sheikh wetu
Allahumma swali wa salim❤❤❤❤❤
Mashaallah
Mashallah mazuri mawaidha
Swala llahu alayhi wasalam
Jazakallahu Kheir Shekh Othman Maalim🙏
MashaAllah tabarkallah.
Mashallah
Allahumma swalliy wasaleem Alleiy
Yasalam sheik
Masha Allah yaa sheikh
🎉❤
Mashallah Allah akuzidishie kher daiman
Masha Allah shukran
S.A.W🙏
MaaShaa Allah
MaaShaa Allah,, hadi machozi yananitoka
Subhuna Allaah
❤❤❤
Mashallahu Sheikh Othman Maalim Bwana eti wa kwanza Akali wapili Afadhali watatu Hatari na wanne Safari 😂😂😂😂
Allahuma swali wasalim alaa sayyidna Mohammad waala alihi waas'habi wasallam
Hii n ya lini
Subhaanallah,Allah akuongozeni nyinyi maana mpo katika upotofu dhwaahir.hakika watu wa bida'a ni watu wa baya zaidi..... naona leo Ah'lul bida'a wamekutana ili kujadili ni ipi bida'a mpya wajenayo
@@ShemsaSheranee Allah pia akuongoze maana unaonekana t
Nilitarajia tu watu kama nyiye kuleta comment hapa. Hatari kweli kweli. Haya - wenye funguo za Pepo mtuwache na masheikh zetu....
@@alhilaltvonlinehao ni vijan wa hovyoo
Subhuna Allaah sasa bida'a Iko wapi hapo kwa kumsifu Nabiyyina MUHAMMAD SALALWAHU ALEYHIWA SALAAM ❤️
Au vp innalilah wa innah ileyh rajiion wallaah msiba huu kama hatutamsifu hapo tumsifu wapi kwa mfano
Usiwe ni mwenye kushoot Moja kwa Moja jaman 📌
@@rahmamohammed9678 ww rahma umenielewa nilichosema sijamtukana Osman ni huyu kijana ambaye amesema mashekh wapo kwenye upotof kitu bacho si kweli
Kiukweli mmi kama mimi sikubaliani na Mambo ya maulidi lkn hii kaswida imenitowa machozi wallahi.
Shemsa dada angu kuwaita watu bidaaa ni makosa sana hebu tupe dalili ambazo wamexua Huna hata theluth ya elim
Ni bidaah kwa sababu Maulid hayamo katika dini, Maulid ni uzushi
Fanya bidii uwe mwachuoni ama mwalimu,.na kama hautaweza basi, angalau uwe mwanafunzi, na kama pia hutaweza basi, ni uwapenda wana chuoni ama walimu, na kama hilo pia hautaweza basi, usiwachukie,..Mtume anatuambie tuwe karibu na wanachuoni..kama c wanachuoni watu wangeishi kama wanyama...
Jamaa zetu nongwa zao wao wakiskia innallaha wamalaaikatahu hapo ndo penye shida kwao wakiskia misktini tu kla mtu anatft mlango w kutokea😂, na hapa nshawaon ety masufi mcheni Allah hzo ji dalili za sheitwan mwenye kuskia anatajw mtu akakasirika ndo nyie...
Acha kuwatukana mashehe huna dalili yyte ya waliotangulia waliheshimiana sana bora tafuta elimu uusiende kuwa kuni motoni
masufi wanapakana mafuta kwa mgongo wa chupa!!!
@@hamzakimaro3764 Usiwe Kama Inzi Iwe Kazi Yako Kutua Kwenye Vidonda Nauchafu. Kuwa Kama Nyuki Iwe Kazi Kutoa Asali Iwafadishe Binadamu.
Na wewe ni nani?
Masufi hawajuani ila kwa masufi wenziwao wewe kisha ndo ulimfundisha
Jitathimini✍🏾📌
Hawa ni watu wabaya Sana
اللهم صل وسلم على سيدنا محمد واله ❤❤❤
MASHA ALLAH 💚
Mashaallah
MashaAllah
Mashaal