Superb interview! but there's some issues to upgrade.......I am not a sound engineer but i think it's very important to use a quality microphones to upgrade sound quality
Hasheem kiwango kimeshuka? Huyo mtu mfupi mbona anaongea sana zaidi ya Hasheem? Nayeye ni kiongozi wa nba? Aache ujuaji wake. Ameingilia mahojiano sana
ni old comment lakini umenshangaza sana, umecomment kwenye post moja mara nne all full of negatives, au kala demu wako nini? ok umeweka links za kuwa ejected and everything, post link zako ww za mafanikio yako kwenye bb hata kucheza ligi daraja la nne uarabuni. chuki zako usiziexpose that much.
Subtitles would be nice, but it’s nice to hear Thabeet speak in his Native Tongue.
We should always appreciate this guy Hasheeeeem Thumbs up
Hasheem i appreciate you....you did great job kuingia NBA haikuwa rahisi
Superb interview! but there's some issues to upgrade.......I am not a sound engineer but i think it's very important to use a quality microphones to upgrade sound quality
safi sana show nzuri asante hasheem
Hongera sana
wataelewa tu! piga kazi
Uje kucheza GSW king wetu wa basketball in tz
duuu
mmmh anamke kweli 😎
Mayasa kitambwa hana nenda ukawe mke wake
hahaaaaaaa
Mayasa kitambwa unawaza mikasi tu
Hilo sauti sasa...Banana zolo akasome
Mbona unasautibovu wwe
Hasheem kiwango kimeshuka? Huyo mtu mfupi mbona anaongea sana zaidi ya Hasheem? Nayeye ni kiongozi wa nba? Aache ujuaji wake. Ameingilia mahojiano sana
Ulikuwa unachezea D leage NBA walikuona mbovu No. 2 pick-turned-D-Leaguer Hasheem Thabeet ejected from Summer League game
senge ww!!unatoka NBA unaenda ufilipino.
kweli we ni juha usiyejitambua!!hufai kuwa mfano kwa kijana yeyote wa Kitanzania
Duh!' Mkaushie mwanangu. Mwana kajaribu.
Wewe bado mdogo hujui Siri iliyopo HUKO tulia
Hana game alikuwa hata sheria za NBA haziji
Wewe unazijua?