Napongeza Sana Clouds360 kwa kipindi hiki kizuri, nimefunguka mengi Sana. Pia nimpongeze Sana Balozi wetu wa Comoro, Leo ndo nimeona umuhimu wa kuwa na Balozi nje. I hope na mabalozi wengine watakuja kutufungua macho kwa fursa zilizopo nchi wanazotuwakilisha.
Daaa fursa ni nyingi
Tatizo letu kutokujifunza na uthubutu
Balozi ameongea vzuri sana
Balozi wetu yupo vizuri kutupa elimu anaeleweka vizuri
Napongeza Sana Clouds360 kwa kipindi hiki kizuri, nimefunguka mengi Sana. Pia nimpongeze Sana Balozi wetu wa Comoro, Leo ndo nimeona umuhimu wa kuwa na Balozi nje. I hope na mabalozi wengine watakuja kutufungua macho kwa fursa zilizopo nchi wanazotuwakilisha.
Tutaenda tukafanye kazi huko
dah safi saaana
Ila usafiri Bado yani nauli kikwazo
Hii inatuangusha wafanya biashara wadogo
Je, kuna ndege ya mizigo inayoenda Commoros?
Mpaka kwenye upande wasafiri umefikia wapi
Je, sisi watanzania tunahitaji viza ili kuingia Commoros?
Safisana
Saf sana
👍
Yote tisa kumi serikali inatakiwa waondoe viza ilikuwe naurahisi watukusafiri nadhani hii itasaidia sana
Ok
Yani mungu akuweke balozi wetu nimejifunza kitu ambacho kimenifungua akili na nitakuja komoro sun nitakuja hata na mzigo kidogo nitakuta isshaala
Fursa zipo tatzo miundo mbinu vilevile tungepata mawasiliano ya kupata information zaid
kuna ma documentary mengi sana ingia google uliza utakacho
Kuna fursa kem kem huko
Tanzania peke yake haina uraiya pacha inachekesha
Ninataka kuja komoro
Hata mm ndoto yangu kwend comoro I hope one day