Natural nampenda huyu kiongozi Figisu figisu kwake hamna Chpapakazi na ambaye sna kwenda na speed yako tunakuombea Mungu akulinde tunachotaka ni maendeleo wacha alama ili ukumbukwe
Kweli usilolijua sawa na usiku wa kiza, Asante mweshimiwa rais mwinyi kutufafanulia jambo Hilo ,hata mm kama mwananchi ninae ufatilia na kujifunza uongozi nilish2ka nikadhani yy waziri ni muungwana kutokana na Imani yake akaamua kujiuzulu ila Leo umetuondoa shaka mashallah,Allah awape uongozi mwema ,afya njema ,umri wenyewe mrefu wenye ibada ndanimwe na kubwa kuliko yote Atupe mwisho mwema in Sha Allah.
Ongera mheshimiwa raisi,kwa kweli wewe kiongozi wa kuigwa,ukweli ndio utaleta mafanikio kwenye nchi yoyote kwenye huu ulimwengu WA Leo.Mungu akupe nguvu zaidi inshallah.❤
Asante asante mh hussen ali mwinyi kwa kila kitu unacho tufanyia nchini kwetu allha atakulinda kwakila baya ingawa wengi wanakusifia kinafki kumbe wanachukia na maamuz yako ww ni mfano wa kuigwa hakika m.mungu ametupa zawad ambayo itakumbukwa sana na wazanzibar dktr hussen ali mwinyi hakika ww ni mwamba kweli kweli insha allha wazanzibar tutafika mbali ccm oyeeee
Mh. Rais umeeleweka vyema sana. Maelezo fasaha kama ya mwalimu kwa wanafunzi. Asante Mkuu. Mungu akupe afya njema kwa ajili yetu Watanzania wote, Amina!
Aliyataka mwenyewe maana why kutaka kujiuzulu kwenda kukimbilia mitandaoni?kwani ndipo alipochaguliwa?So lazima majibu yake ayapate huko huko mitandaoni halas
Acheni kunywa muone kama wenye mabaa hawatafunga wenyew, tatzo kinachowasumbua baadhi ya wazanzibar ni ubaguz na unafiki, badala ya kukemea vitendo vya ulawiti wa watoto na ushoga ambavyo ni tatzo sugu Zanzibar mnavikumbatia na kufuchiana siri na kulaum watu wengine kabisa wasiohusika na mambo ya Zanzibar
Who is responsible kwa yalotokea wakati wa Uchaguzi 2020/ Oct? Yupo aliewajibishwa? Yupo aliejiuzulu? Wapo walorejeshwa kwenye Taasisi ya Tume Uchaguzi licha ya mazonge na madhila yote yalotokea. Wananchi wamelalamika machozi yamewatoka lakini mkalia kiti amefanya anavyotaka yeye. Tofauti sana na anachokisema Leo hii. Tukuelewe vipi Mkuu? Wazungu wanaita " Double standard "
Naomba kila ovu liondoe kwa mkono wako mzee baba pombe na wanawake kujiuza pia hili likomeshwe imekua balaa Zanzibar wanawake kujazana kwa kujiuza uchangu doa hili litokomezwe
Raisi wangu Hebu njoo unipe 5 au Nije Mie! Tukikufagilia chinichini mpaka sasa waziwazi. We can't hide our true Love. Watu wanamkataa Mungu ije kua wewe. Relax, do your best and what you can't leave it peacefully. Ikiwa mitume walikosea iwe wewe na Mimi. Popote utakapopatia Allah amekuwezesha na utapokosea Wala usijitie kibri. Confess to your Lord secretly. The relationship to your Lord doesn't need us to validate. Big Up
AL HAJI SIS HATUTAKI POMBE MUNAPELEKEA KUHARIBU MAADILI YA NCHI NAWANANCHI PIA PAMOJA HUENGEZA UFSKA KATIKA NCHI KWASABAB ALLAH HILI JAMBO HALIRIDHII NA KALIKATAZA KUFANYIKA KWENYE JAMIII
Mungu akulinde na kukuongoza mh raisi mwinyi the true leader mtu wa vitendo ndani ya mda mchache umepaisha Zanzibar hio sio Siri Tena mambo yanaonekana sio porojo ni kazi zinazonekana Kwa Kasi kubwa
Hii mitandao inawaharibu hadi Viongozi, Msamehe huyo Waziri kwa hakika alikurupuka saana , ila Watoto wa Viongozi wengi Wana elimu ya Uongozi au Siasa , kwahiyo asamehewe tu
Simai mohd said ni mtoto wa mama muhindi na baba mswahili, ameamua kumrudia mungu kwa kutubu, muagizaji ,mbebaji muuzaji na mnywaji wote wanamakosa kwa imani yake...
Rais Hussein mwiyi ni jembe kwa sasa zanzibar ni safi sana barabara dhule afya airport zopo ktk ubors sana mungu mubatiki rais Hussein Mwinyi kwa miaka 10 kiongoza zanzibar.
Kweli rais, huyo waziri tunajua anataka kuongeza pombe , na company yake ndio yenye kibali cha kuleta pombe, sasa kakataliwa. Na hii ndio point aloisema rais.
kujiuzulu muheshimiwa hakuombwi,kujiuzulu ni taarifa ya kuacha kazi eidha kwa kujiona umeshindwa hiyo kazi au kwa kuhisi unakwamishwa na wakubwa kutekeleza kazi,na kiongozi hapashwi kumkatalia mtu asijiuzulu,hapo ni kumlazimisha mtu afanye kazi bila mapenzi yake.
bwana rais na yeye akubali kuwa huo urais ameupata kimangumashi si kwa misingi wala utaratibu wa haki. naye ajiuzulu leo leo vinginevyo, mazungumzo yake ni unafiki mtupu!
Si kweli usidanganye. Ulijiuzulu kwa barua ukampa kikwete na kabla hujatangazwa kikwete akajifanya kakubadilisha wizara. Na baba yako akamuomba kikwete akurejeshe mambo ya ndani.
Mhe. rais nimekuelewa vizuri mno na umefafanua vizuri mambo yanayoweza kupelekea waziri kujiuzuru.. Lakini katika hoja ya kutokukubaliana na jambo fulan na ikapelekea kujiuzuru inaonekana ni sahihi kwa waziri ila kwa raia wa kawaida inaonekana si sawa, maana tumekuwa tukishuhudia kuna mambo wananchi hawakubaliani nayo na wanakuwa na msimamo wao ila bado serikali inatumia nguvu kubwa hata ya jeshi la polisi na ffu kushinikiza maamuzi yake yatekelezwe hata kama ni ya kumuumiza mwananchi..na mnavyojua mahakama zetu jambo linaloihusu serikali zinaegemea upande gan.
Rais Mwinyi na kupongeza kwa hilo, kiongozi asiposimamia vizuri sehemu anayosimamia au likiharibika jambo japo sio yeye aliyeharibu lakini ni wasaidizi wake "Anapaswa kuwajibika" na sio kubadilishiwa wizara/kituo. Utaratibu huo uwe ni kwa nchi nzima.
Uko sahihi kwa asilimia mia moja Rais wangu na Rais wa Wazanzibar wote kwa ujumla, mitano tena Dr.Hussein
This guy is so genuine, nice kiongozi halısı huyu, hayupo hapo kula kod bali lületa maendeleo.
Bro ALLAH Akulinde Kama umezuwiya POMBE ALHAMDULILAHI, Kesho kwa ALLAH UTAKWENDA JIVUNIYA IN SHAA ALLAH
Hujaelewa kilichokuepo baba Mwinyi hajakataza kuingia pombe amewaleta waingizaji wengine sio wa zamani elewa kwanza
Bado unaofata mkumbo ila fatilia utaelewa
Na kuuwa watu kny uchaguzi pia akajivunie
Nyote hamjui kitu waziri amejiuzulu kwa kuitangaza pombe hazarani jambo ambalo kwa mujibu wa katiba ya zanzibar hairuhusiwi
Ona hili jinga
Hongera Mh. Rais wa Zanzibar Allah azidi kukupa afya njema daima uwaongoze vyema zaidi mawaziri wetu
Hongera raisi wambie ukweli wakijiuzuru watoe sababu mungu akubariki akupe afya njema kazi iyendele
Amin
Mhe: Rais hongera sana kwa maelekezo yako mazuri
Natural nampenda huyu kiongozi
Figisu figisu kwake hamna
Chpapakazi na ambaye sna kwenda na speed yako tunakuombea
Mungu akulinde tunachotaka ni maendeleo wacha alama ili ukumbukwe
Me to nampenda kwa maendeleo mazuri mungu ambarik
Asante Rais wetu Allah akuwafikishe ktk kusimamia haki tunakupenda mno kwa utendaji wako uliotokuka
Tena tunampenda sana
Kweli usilolijua sawa na usiku wa kiza, Asante mweshimiwa rais mwinyi kutufafanulia jambo Hilo ,hata mm kama mwananchi ninae ufatilia na kujifunza uongozi nilish2ka nikadhani yy waziri ni muungwana kutokana na Imani yake akaamua kujiuzulu ila Leo umetuondoa shaka mashallah,Allah awape uongozi mwema ,afya njema ,umri wenyewe mrefu wenye ibada ndanimwe na kubwa kuliko yote Atupe mwisho mwema in Sha Allah.
Ongera mheshimiwa raisi,kwa kweli wewe kiongozi wa kuigwa,ukweli ndio utaleta mafanikio kwenye nchi yoyote kwenye huu ulimwengu WA Leo.Mungu akupe nguvu zaidi inshallah.❤
Very good Mr
RASI WETU KIPENZI CHETU ALLAH UKUZIDISHIE AFYA NJEMA NA UMRI MREFU
Mashaallah umeonesha ujasiri misimamo ni kama hio
Asante asante mh hussen ali mwinyi kwa kila kitu unacho tufanyia nchini kwetu allha atakulinda kwakila baya ingawa wengi wanakusifia kinafki kumbe wanachukia na maamuz yako ww ni mfano wa kuigwa hakika m.mungu ametupa zawad ambayo itakumbukwa sana na wazanzibar dktr hussen ali mwinyi hakika ww ni mwamba kweli kweli insha allha wazanzibar tutafika mbali ccm oyeeee
Safi sana Mh Rais
Rais Mwinyi Mungu akulinde kwa kuwa mkweli aisee issue ya Mabomu umeieka historia vizuri huo ndo uongozi.
MashaAlah leo umezuiya mapombe kesho namiini utazuiwiya kila linalokwenda na kinyume na Allah
❤ kwaukweli usio na shaka kbs pombe ndani ya visiwa vya Zanzibar ipigwe mamnuu hio ndio dawa pekeyake,ahsante rais mwinyi
Mh. Rais umeeleweka vyema sana. Maelezo fasaha kama ya mwalimu kwa wanafunzi.
Asante Mkuu. Mungu akupe afya njema kwa ajili yetu Watanzania wote,
Amina!
Safi rais wetu yaani ingewezekana ungetawala kama mfalme mpaka mwisho wa maisha yako hii nchi ingekua kama Dubai
Wallah ni act damu mimi lkn leo mwinyi umenifurahisha kuongea ukweli uliojificha juu ya sakata la simai kujiuzulu allah akubariki sana
Baba mwinyi umemaliza Kila kitu Mungu akubariki
Genius president 👏👏👏
INSHAALLAH MUNGU AKULINDE KWA KILA HUSDA RAIS WETU KIPENZ ,(A MAN OF PEOPLE MR HUSSEIN MWINYI)WE NI MWAMBAAAAA
Ni kweli maneno yako uko sawa
Mungu akujalie Afya zaidi Ameen Kiongozi asikike kwa walio mchagua wewe huna mpinzani kura yangu ndio
Kweli mweshimiwa mitano mingine bila kupingwa
ALLAH AKUPE MAISHA MAREFU RAISI WETU ,TUNAKUPENDA SANA😊
Kumbe Zile Pombe zilizuiliwa kuingia Zanzibar, sasa nimefahamu,
Safi sana Mheshimiwa Rais Dokta Mwinyi.
yes you have a point rais mzuri sana ww Allah akujaliye umri mrefu ameen
Msifuni upumbavu tu. Na yeye bado hajasema ukweli mnajidai kupiga makofi tu.
Big up Allah akupe nguvu Rais wetu
Ikiwa utawala wako hutaki pombe nakupa kongole Big up sana na allah akuwezeshe uondoe uchafu wote zanzibar
Hatari sana michambo live
Hahahhahahha
Aliyataka mwenyewe maana why kutaka kujiuzulu kwenda kukimbilia mitandaoni?kwani ndipo alipochaguliwa?So lazima majibu yake ayapate huko huko mitandaoni halas
Pombe Zanzibar ipigwe marufuku kabisa Tena tunakupa kura nyingi Zaid cc wazanzibar fungia pombe sehem zote
Pombe tena
Acheni kunywa muone kama wenye mabaa hawatafunga wenyew, tatzo kinachowasumbua baadhi ya wazanzibar ni ubaguz na unafiki, badala ya kukemea vitendo vya ulawiti wa watoto na ushoga ambavyo ni tatzo sugu Zanzibar mnavikumbatia na kufuchiana siri na kulaum watu wengine kabisa wasiohusika na mambo ya Zanzibar
Halafu mnataka maendeleo na Watu waje?? Mtakufa maskini
@@geey7893 kwani wanaokuja wajia Pombe?-Wageni wenyi hadhi huja kutazama mila,vivutio vya kimazingira,vivutio vya kihistoria.HAWAJII POMBE
Kama hutaki pombe,tulia nyumbani kwako..hakuna anayekulazimisha.
Who is responsible kwa yalotokea wakati wa Uchaguzi 2020/ Oct? Yupo aliewajibishwa? Yupo aliejiuzulu? Wapo walorejeshwa kwenye Taasisi ya Tume Uchaguzi licha ya mazonge na madhila yote yalotokea. Wananchi wamelalamika machozi yamewatoka lakini mkalia kiti amefanya anavyotaka yeye. Tofauti sana na anachokisema Leo hii. Tukuelewe vipi Mkuu?
Wazungu wanaita " Double standard "
Uko sahh Boss
Safi sana mh rais .
Umeeka wazi kila kitu .
Tunakupongeza sana mh rais wetu
Watu wa ZANZIBAR ni waungwana sana
Kweli Mashallah wana ustaarabu wa Hali ya juu
Huo ni ukomavu wa kiongozi bora.❤
Naomba kila ovu liondoe kwa mkono wako mzee baba pombe na wanawake kujiuza pia hili likomeshwe imekua balaa Zanzibar wanawake kujazana kwa kujiuza uchangu doa hili litokomezwe
Raisi wangu Hebu njoo unipe 5 au Nije Mie! Tukikufagilia chinichini mpaka sasa waziwazi. We can't hide our true Love. Watu wanamkataa Mungu ije kua wewe. Relax, do your best and what you can't leave it peacefully. Ikiwa mitume walikosea iwe wewe na Mimi. Popote utakapopatia Allah amekuwezesha na utapokosea Wala usijitie kibri. Confess to your Lord secretly. The relationship to your Lord doesn't need us to validate. Big Up
Our lovely and bravely president in zanzibar and in Tz mr Hussein mwinyi may GOD BLESS U THE WHOLE OF YOUR LIFE MR PRESIDENT......
Mh. Raisi Dr. Hussein, Chapa Kazi, Kazi iendelee tupo pamoja nawe.
Salut salut Salut Mh iyo ndio kazi ya urais sasa tumekuelewa maana kulikua kuna kitenda wili Allahu Akbar
Umeongea point sana
Muheshimiwa raisi mwinyi nimekuelewa sana
Upo sahihi Mr. President na Allah akusimamie
Allah amsimamie kwa lipi na anataka pombe iongezwe Zanzibar
Waislamu mnagombeana kukosa tenda ya kuuza pombe laana gani mungu alichokupeni hakikutosheni mpaka muuza pombe mnakila kitu mnamishahara mnapewa magari mbeli marupurupo leo mmefika kuuza pombe nilaanakubwa
My president ur the best inshaallah nakupa kura yangu
AL HAJI SIS HATUTAKI POMBE MUNAPELEKEA KUHARIBU MAADILI YA NCHI NAWANANCHI PIA PAMOJA HUENGEZA UFSKA KATIKA NCHI KWASABAB ALLAH HILI JAMBO HALIRIDHII NA KALIKATAZA KUFANYIKA KWENYE JAMIII
Isiwe pombe tu hata mambo mengine anayokataza mwenyezi mungu yasiwepo
@@ElvisMulenga-j5w kweli ila ulevi ndio mama wamaasi mimi nadhan serekali itafute njia nyengine za kuendesha uchumi wa nchi ila si kwa ulevi
@@omarmohammed5157 shekhe huo ni mtihani maana nchi inaendeshwa na utalii sasa huo ulevi haukwepeki labda kupungua maana bila ulevi hakuna utalii
Unaongea kwa hekima na busara nyingi mhe Rais hongera sana wewe ni kiongozi unaefaa sana.
Uko sahihi mh,rais,pombe sio powa
Kwann hamuelewi hajazuia pombe amezuia izo kampuni ili ziletwe nyengine eleweni kilichokuepo sio mnaongea tu
Mungu akulinde na kukuongoza mh raisi mwinyi the true leader mtu wa vitendo ndani ya mda mchache umepaisha Zanzibar hio sio Siri Tena mambo yanaonekana sio porojo ni kazi zinazonekana Kwa Kasi kubwa
Hongera sana rais hussein mwinyi umeweka vitu kwakupambanuwa
Kama tumezuia kitu na wewe unabiashara hiyo tangaza,sema ukweli
Kutoka kwa Dokta mwinyi
Naitwa ole kiondo nipo kiteto manyara uyu raisi ningetamani awe raisi wa tz & znzbr nimzalendo mno nampenda sana
Hii mitandao inawaharibu hadi Viongozi, Msamehe huyo Waziri kwa hakika alikurupuka saana , ila Watoto wa Viongozi wengi Wana elimu ya Uongozi au Siasa , kwahiyo asamehewe tu
Hili ni somo kubwa sana kwa waziri wa Kilimo. Suala la Sukari alitakiwa kujiuzulu
Ukosawa Mr. Pres...
Hongera sana rais wangu
Umeongea ukweli kabisa ,uwazi unaleta uhuru wa moyo
Simai mohd said ni mtoto wa mama muhindi na baba mswahili, ameamua kumrudia mungu kwa kutubu, muagizaji ,mbebaji muuzaji na mnywaji wote wanamakosa kwa imani yake...
Sio kweli bdo alitaka kuendelea ispokua amezuiwa kampuni yke isiendelee
@@ameirameir4930 uongo huna ata aibu, simai hauz pombe na wala hajihusishi na mambo y ulevi, munapotoshwa na munapotoshoka
Rais Hussein mwiyi ni jembe kwa sasa zanzibar ni safi sana barabara dhule afya airport zopo ktk ubors sana mungu mubatiki rais Hussein Mwinyi kwa miaka 10 kiongoza zanzibar.
Safi sana rais kwa ufafanuzi mzuri
Vijana wanaangamia kwa sababu ya Pombe ,hii kitu haijawahi kuwa nzuri,safi sana Mr President
Rais piga kazi 🤝🤝🤝
hatutaki pombe Zanzibar
Vizuri sana my President, udumu daima ili kuijenga nchi yetu.
Kweli rais, huyo waziri tunajua anataka kuongeza pombe , na company yake ndio yenye kibali cha kuleta pombe, sasa kakataliwa. Na hii ndio point aloisema rais.
unawazim wewe, yye kakataa pombe kuingia zanzibar, Rais wako ndo hakubaliani nalo ilo jambo.
@@mahfoudhcalender2747 tafuta habari uzuri then ndio ujibu
Hakuna haja kujibizana namna hiyo kwa sababu Viongozi wetu nyinyi sio wasafi. Amejiuzulu kateuliwa mwingine kazi iendelee.
Ahsante mkuu leo umeniweka wazi
Nzur sana Mh. Umeongea ukwel mtupu 🔥
Nakupa asilimia 100
kujiuzulu muheshimiwa hakuombwi,kujiuzulu ni taarifa ya kuacha kazi eidha kwa kujiona umeshindwa hiyo kazi au kwa kuhisi unakwamishwa na wakubwa kutekeleza kazi,na kiongozi hapashwi kumkatalia mtu asijiuzulu,hapo ni kumlazimisha mtu afanye kazi bila mapenzi yake.
Upo sahihi mheshimiwa
Sahihi
Pombe zimehadimika zanzibar.
Ukizuia pombe Zanzibar mzee basi utauwa utalii
bwana rais na yeye akubali kuwa huo urais ameupata kimangumashi si kwa misingi wala utaratibu wa haki. naye ajiuzulu leo leo vinginevyo, mazungumzo yake ni unafiki mtupu!
Chuki na roho mbaya havijawahi kumuwacha mtu pole sana Balahau
Kumbe tatizo ni pombe tu😂😂😂
Allah amenilipizia kisasi changu kwa kumdhalilisha Simai kwa Tanzania nzima.
TUMESHA KUELEWA BABA 😂😂ile Biashara NGUMU KWELI
Wanapigana fimbo CCM kwa CCM ila haya sisi wengine yetu macho tu
Next URT Union President.
Yaani hako kamchi kanahangaika na vitu vidogo vidogo, maendeleo mnafanya saa ngapi?
usiku
@@MsonjoSicario gomora na sodoma ungeongelea huko kwenu naona idadi ilotajwa kila mkoa mmoja ni sawa na zanzibar yote pole
Sadakta huu ni uwajibikaji wa hali ya juu na ni matumaini ya unaowaongoza Mhe.Rais
Si kweli unapiga pasi tu. Aibu imekukuta
Magu aliona mbali ndo mn akamwambia huseni mwinyi agombee kiti cha uraisi zanzibar
❤mitano tena insha'Allah
Mzee wa ten percentage 😅 anajifanya msafi kumbe moja ya sababu ya huyo waziri kujiuzulu yeye ni moja wapo. mumemnyang'anya fupa lake
Chapa kazi Raisi wetu, wenye akili tunaona nini unafanya kwa ajili yetu.
Si kweli usidanganye. Ulijiuzulu kwa barua ukampa kikwete na kabla hujatangazwa kikwete akajifanya kakubadilisha wizara. Na baba yako akamuomba kikwete akurejeshe mambo ya ndani.
Mhe. rais nimekuelewa vizuri mno na umefafanua vizuri mambo yanayoweza kupelekea waziri kujiuzuru..
Lakini katika hoja ya kutokukubaliana na jambo fulan na ikapelekea kujiuzuru inaonekana ni sahihi kwa waziri ila kwa raia wa kawaida inaonekana si sawa, maana tumekuwa tukishuhudia kuna mambo wananchi hawakubaliani nayo na wanakuwa na msimamo wao ila bado serikali inatumia nguvu kubwa hata ya jeshi la polisi na ffu kushinikiza maamuzi yake yatekelezwe hata kama ni ya kumuumiza mwananchi..na mnavyojua mahakama zetu jambo linaloihusu serikali zinaegemea upande gan.
Mbona yeye hakutangaza kujiuzulu gongo la mboto lilipo lipuka
😂😂😂😂 Acha mihemko sikiliza kwa umakini
Mutajijua wenyewe Harmonize na Diamond nyote wajuaji nyinyi
Nakupongeza sana pombe izibitiwe
Na ushoga je?
Rais Mwinyi na kupongeza kwa hilo, kiongozi asiposimamia vizuri sehemu anayosimamia au likiharibika jambo japo sio yeye aliyeharibu lakini ni wasaidizi wake "Anapaswa kuwajibika" na sio kubadilishiwa wizara/kituo. Utaratibu huo uwe ni kwa nchi nzima.
Hilo kweli rais bwana Simai katuacha na maswali bila majibu
Raisi wangu
Hahahaha huyo ndio Ba Hussein hana kona tangu yupo jimboni hataki kona kona anapenda mambo yake yawe wazi😂😂😂
Huyu jamaa akimaliza kumi yake huko aje na huku Bara apige Kumi, akapumzike kwa amani, Kichwa chake kinafanya kaz sana
Mwinyi umejiripua leo boss