JUNIOR KIBONDE - ''Miezi 6, Maisha Ya Bila MAMA Wala BABA, Wadogo Zangu na Maisha Yangu''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • JUNIOR KIBONDE - ''Miezi 6, Maisha Ya Bila MAMA Wala BABA, Wadogo Zangu na Maisha Yangu''
    Ikiwa ni miezi sita tangu aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Ephraim Kibonde, afariki dunia na kuacha watoto watatu wakiwa yatima, Global TV imewatembelea watoto hao nyumbani kwao wanapoishi maeneo ya Mbezi Beach na kuzungumza na mtoto wake wa kwanza kuhusiana na maisha yao baada ya vifo vya wazazi wao wote wawili.
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

КОМЕНТАРІ • 328

  • @najma3268
    @najma3268 5 років тому +98

    Yaan Junior ni kichwa, umri wake bado mdogo lakin kichwan yupo vzr

  • @reenvictoria
    @reenvictoria 5 років тому +23

    I like how he said nina mabinti wala sio nina wadogo zangu,l like that spirit of confident and maturity may God bless you and your little sisters

  • @lizpallangyo6496
    @lizpallangyo6496 5 років тому +29

    Mdogo wangu Mungu wetu ni Baba wa yatima jipeni moyo Mungu wetu hawezi kukuwaacha,tutazidi kuwaombea mtaimarika pendaneni na mshikamane kwa kila jambo na Mungu atawaogoza,poleni sana na Mungu akusimamie kama kichwa cha familia

  • @jacquelinosmond221
    @jacquelinosmond221 5 років тому +63

    Watu wazima hapa tz wanahojiwa wanaongea utumbo,lakini huyu kijana mdogo anaongea kwa busara na hekima ya hali ya juu....Mungu akubariki Junior

  • @lucasrisper6584
    @lucasrisper6584 5 років тому +21

    Can't stop tears!! World is not fair at all, but GOD is still GOD forever

  • @stainasmkoko604
    @stainasmkoko604 5 років тому +39

    Mtoto yupo vizuri hongera ndio uzuri wa kushirikisha watoto anajiamini sana na anaweza akawa kibonde muda si murefu

  • @labumjengi6207
    @labumjengi6207 5 років тому +21

    Mtegemee Mungu junior yeye ni baba wa yatima. Mungu awatete na kuwafanikisha ktk mipango yenu

  • @husnatgamaah1335
    @husnatgamaah1335 5 років тому +67

    Huyu kijana ana busara sana mashaAllah

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 років тому +30

    Huyu dogo ana k2 chakitofauti ndani yake😭 imshaallah Walee wadogo zako salama pole sana imeniuma mno

  • @janetmlulla374
    @janetmlulla374 5 років тому +29

    Nimejikuta nalia Tu, very smart boy junior. Mungu akuongoze vyema uleee wadogo zako son.

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 років тому +21

    Nimejikuta tu na lia 😭 pole Allah yupamoja nanyi anawaona kwa jicho la yatima mungu akupe busara iyo iyo walale pema wazee wko amen

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 5 років тому +25

    Rip... Kibonde Jahazin tumekumis mzee.. Wa mastory ya Town.. Pole Sana chaliangu maisha lazima yaendelee japo sijuh maumiv ulo nayo ilanpole saana

  • @zakirazakira7469
    @zakirazakira7469 5 років тому +33

    Mungu ni baba wa yatima mi naamini Mungu atakuwa nanyi kwakila jambo

    • @edwardsalamba8804
      @edwardsalamba8804 5 років тому

      Zakira Zakira poleni

    • @annarosekileo253
      @annarosekileo253 5 років тому

      Namshukuru Mungu kwa kuwalinda watoto hawa.Nawaombea furaha na Amani na moyo mkuu siyo jambo jepesi hata kidogo .Amen

    • @ruqayangala4563
      @ruqayangala4563 4 роки тому

      Amin

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 5 років тому +18

    Huyu mtoto anaakili kuliko kawaida ndo maana Mungu akutanguliza uwe first born....ana moyo mkuu sana

  • @gibsonmzuma3691
    @gibsonmzuma3691 5 років тому +9

    "Hata kama kuna magumu amamazuri unayapitia sasa, usiyasusie maisha kwa sababu kuna watu pembeni yako ama mbali nawe wanaosogea mbele kwa sababu ya uwepo wako!"
    Ya are brave, Jr.

  • @joshuakihaka9348
    @joshuakihaka9348 5 років тому +15

    Pole sanaaa Dogo,Aisee Mungu awatunze (Kichwa kizuri sanaaa dogo)

  • @sikuzanibusanya6423
    @sikuzanibusanya6423 5 років тому +19

    Poleni sana mungu Azidi kuwatia nguvu Amina

  • @anifajumajuma2681
    @anifajumajuma2681 5 років тому +14

    Poleni wanangu najikuta Malia😭😭 mungu zaidi kuwatia nguvu na wadogo zako

  • @agathanyondo3192
    @agathanyondo3192 5 років тому +70

    Nimefiwa na baba angu juz tu ndo nimeonja uchungu wa kufiwa usikie tu kwa mwenzako😥😥😥

  • @mariamsuleiman1638
    @mariamsuleiman1638 5 років тому +20

    Allah awape subra na uvumilivu uwalee wadogo xako

  • @alleyd.alleyd
    @alleyd.alleyd 5 років тому +11

    POLE SANA BRO...MAY GOD BE WITH YOU IN EVERY WAY. JUST KEEP BELIEVING IN HIM.

  • @cyberchannel1833
    @cyberchannel1833 5 років тому +1

    yaani mimi nimekuwa tofauti sana. asante Junior. na mimi namuombea Junior wangu. hakika umekuwa. na ulikuwa unamsikiliza sana baba ako.. unabusara na hekima. umkumbuke Mungu katika kila hatua. yaani naamini wazazi wako wanajivunia wewe walipo na wanaamani. Mungu akubariki akuongoze akulinde wewe na ndugu zako.

  • @janetsaidi8272
    @janetsaidi8272 5 років тому +8

    pole sana junior mungu akupe nguvu yaku walea wadogo zako.

  • @chadiapetite4924
    @chadiapetite4924 5 років тому +8

    Jikaze kaka angu Allah akupe nguvu mungu azilaze roho zao mahala peponi inshallah

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 5 років тому +3

    Kijana anajielewa nani kijana mwenye busara anazungmza vizur anahekima nimdogo kiumri lakin kiakili na kimawazo yupo vizur mungu awazidishie neema baraka na upendo mzidi kupendana.pumziken kwa a man watanzania wenzetu Mr /Mrs kibonde.

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi5601 5 років тому +7

    Mungu azidi kuwalinda na awape Afya njema wewe na wadogo zako Amina

  • @AliMohamed-kd1uc
    @AliMohamed-kd1uc 5 років тому +51

    Kama umetoa machozi kama Mimi gonga like

  • @rosehaule220
    @rosehaule220 5 років тому +4

    Mungu ni mwema inauma lakini mtakaa sawa vry painfull..mm nilifiwa na wazazi mapema mno na tuliachwa 6 lakini leo wote tupo ok na tuliangaika mnoo sana lakini Mungu anasimamaa

  • @mwarishmodsalum555
    @mwarishmodsalum555 5 років тому +7

    Mashallah mwenyezi mungu akuzidishie maarifa akili upendo uweze kuwalea wadogo zako mwanga wa milele uwaangazie kaka kibonde na mkewake ameen

  • @beatricemapembe8941
    @beatricemapembe8941 5 років тому +6

    Kwa watoto wa kizazi hiki kupokea maagizo ya mzazi, kuyatafakari, kujaribu kuyafata na kufanyia kazi! Ni ngumu sana maana watoto wetu walio wengi ujuaji umewazidi.
    Nionacho mimi Junior ni mtulivu, sio mjuaji, amapokea maagizo na kuyachambua na kujaribu kutekeleza anachoona kinafaa. Hii ni bahati kubwa kwako. Mungu azidi kukupa ufahamu.
    Pia mshukuru sana baba yako kwa kukushirikisha na kuwa muwazi kwenye shughuli zake. Maana wazazi wengi tumekuwa na usiri wa kazi zetu kwa watoto pia kuona watoto bado hawajakuwa, ili si sahihi. Tujifunze kuwashirikisha miradi ya familia ili kuwajengea kujiamini na kupata uzoefu.
    Mungu azidi kukutunza pamoja na wadogo zako. Amina.

  • @lightnessmollel7098
    @lightnessmollel7098 5 років тому +7

    Am 24 but am imagine jinsi nitawalea watoto wangu wawe strong na wenye busara km hizi

  • @santodelove4351
    @santodelove4351 5 років тому +6

    He’s very matured

  • @teresiasanka8759
    @teresiasanka8759 5 років тому +3

    Pole sana.Mungu akupe ujasiri siku zote na akujali afya ya akili , mwili na roho.

  • @imeldakipangula7822
    @imeldakipangula7822 5 років тому +2

    Pole sana hakika umekuwa na Mungu azidi kukukuza uwasaidie zaidi wadogo zako mipango ya Mungu japo inauma sana kuondokewa na wazazi wrote. Mungu akupe nguvu

  • @lizzyb75
    @lizzyb75 5 років тому +5

    You're really strong 💪

  • @husnatgamaah1335
    @husnatgamaah1335 5 років тому +5

    Mungu awakuze vizur watoto wazuri, watanzania tunawapenda sana

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 5 років тому +16

    Mtegemeee mungu atakusimamieni
    Pole sana

  • @rehemasalim513
    @rehemasalim513 5 років тому +9

    Asante mtangazaji, vitu kama hivi ndio inafaa mutulete sio kila siku Tanasha amevaa nn, Wema amekonda

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 5 років тому +1

    Mashaalah, very impressive personality and a brave young man, wallahi Kibonde kazaa na kajua kulea. mungu akubarik mwanangu, azidi kukupa nguvu na uwezo wakujijenga na kulea wadogo wako. you are one of the brilliant and smartest young man ive ever heard of.

  • @lizzmollel3035
    @lizzmollel3035 5 років тому +4

    God is father to the fatherless an immediate help in times of trouble.

  • @lilyrose4066
    @lilyrose4066 5 років тому +6

    Pole sana mdogo wangu Inshaallah Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ww na wadogo zako.

  • @deusmwasalanga1495
    @deusmwasalanga1495 5 років тому +5

    Mungu yupo na atakujalia neema,baraka na ujasiri dogo songa mbele maisha yaendelee

  • @nasha4386
    @nasha4386 5 років тому +6

    Mungu awalinde na kuwatunza watoto wazuri wapendwao na Mungu. Mungu ndio kila kitu kwenu.

  • @festoaidan8955
    @festoaidan8955 5 років тому +9

    Rest in paradise Kibonde aisee inauma Sana 😭😭

  • @rosesamwelitenga4648
    @rosesamwelitenga4648 5 років тому +45

    Jamen huyu kibonde ananiuma hadi kesho😭😭
    ..hili lishetani nalo bila lenyew tusingukua tunakufa wala kuzeeka,,lipumbavu likatudanganya tukala tunda😭😦la sivyo tungeishi milele daima,

  • @aishaomary732
    @aishaomary732 5 років тому +6

    Pole Sana

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 5 років тому +5

    Pole Sana kk

  • @bossdavid7644
    @bossdavid7644 5 років тому +5

    Mungu akujaze ujasiri zaidi boy

  • @elizabethlujabiko8994
    @elizabethlujabiko8994 5 років тому +3

    Mungu azidi kukupa hekima na busara zaidi mwanangu.

  • @dianarobert5640
    @dianarobert5640 5 років тому +8

    Daaaah umenifanya kulia upya asee,Mungu akusimamie ktk Kila Jambo mdogo anguu

  • @arafatsaid6689
    @arafatsaid6689 5 років тому +3

    Amina bro...Mungu yu pamoja nanyi

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 5 років тому +11

    Rais ajaye huyu kwa Uwezo wa Mungu

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 5 років тому +13

    Allah uwasamehe kibonde n mkewe mazambi yao yarrabi, nilikuw napenda cn kucikiliz jahazi kwa ssb y vituko vya kibonde, yn ikifik tu muda wa jahaz nawasha radio, jmn allah amrehem kubonde, yn alikuw mcheshi mpk bc.

  • @theopistamganwa7752
    @theopistamganwa7752 5 років тому +5

    pole sana

  • @shamreenkhaemba3674
    @shamreenkhaemba3674 5 років тому +2

    May God give you direction and strength, parents should always prepare their kids to be responsible, teach them how to live, and things to do and those they should not do, in case of anything, God bless your family

  • @claraswai674
    @claraswai674 5 років тому +3

    Mungu azidi kukutia nguvu kijana upo vizuri sana

  • @nazykezy8652
    @nazykezy8652 3 роки тому +1

    A very wise young Man

  • @deokessy4714
    @deokessy4714 5 років тому +5

    Mungu akipe nguvu

  • @upendorobert7298
    @upendorobert7298 5 років тому +5

    Jamani mtoto wa mwaka 1998, lakini anamwaga madini balaaa!

  • @irenembura5684
    @irenembura5684 5 років тому +4

    Mungu azidi kukupa ujasiri na usitetereke na lolote ili uweze kuwatunza wadogo zako. Mbarikiwe sana🙏

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 5 років тому +8

    daaah pole sana mdogo wangu mimi naweza kusema kuwa kibonde aliye baki sasa ni wewe maana kuongea mpaka sura ni baba ako kabsa ila pole sana dogo

  • @Marzzzzzz20
    @Marzzzzzz20 5 років тому +1

    May God bless him and his family

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 5 років тому +13

    Pole sana kabisa uruma kabisa.

  • @rahmarashid1670
    @rahmarashid1670 5 років тому +5

    Mungu atakupa nguvu uwalee ndugu zako na unawezo uko brave junior Mungu hamtupi mja wake

  • @carodavies3422
    @carodavies3422 5 років тому +4

    I just thank &salute your late parents.they left you their legacy & l believe you have to start from where they left though its not easy but PRAYER Jr will be the answer to all mountains &dark clouds. Boy keep it up

  • @veraskitchen8122
    @veraskitchen8122 5 років тому +7

    Congratulations young boy,,,GOD bless you be strong

  • @aishakhamis2996
    @aishakhamis2996 5 років тому +11

    sorry my brother....

  • @mudasina900
    @mudasina900 5 років тому +2

    Mwenyezi Mungu akupe nguvu na akusimamie junior na akupe moyo huo huo na ujasiri uwalee wadogo zako Amiin

  • @consalvakileo8205
    @consalvakileo8205 5 років тому +3

    Waheshimu Bibi na Babu watawafikisheni mahala pazuri,mungu atawatunza.

  • @sarahmwamwela4181
    @sarahmwamwela4181 5 років тому +1

    pole sana Mungu akufanyie wepesi

  • @kabaiyukyasnider6797
    @kabaiyukyasnider6797 4 роки тому

    Kibonde na mkewe walifanya kazi nzuri kuwalea watoto, kijana anahekima sana pole sana Jonior na wadogo zako Mungu ataendelea kuwatetea na atawafanikisha

  • @bm2tv299
    @bm2tv299 5 років тому +6

    Mungu akuongoze ndugu yangu.

  • @secylovenessadaa4245
    @secylovenessadaa4245 5 років тому +1

    Pole Sana Mungu awatie nguvu

  • @ashazuberi2186
    @ashazuberi2186 5 років тому +1

    Pole mwanangu pole sana mungu atasimama nawewe Walee wadogo zako mwanangu

  • @makiemndasha1281
    @makiemndasha1281 5 років тому +1

    May God give you strength uwalee wadogo zako vizur

  • @siwemaking7658
    @siwemaking7658 5 років тому +47

    Nimejikuta nalia tena duuh pole mdogo wangu jikaze ww mtoto wakiume

    • @Filamuu
      @Filamuu 5 років тому

      Usilie! 🙂 Angalia Movie Kali zilizotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.

    • @fatmakiruwasha2378
      @fatmakiruwasha2378 5 років тому +1

      Dada siwema siyo wewe tu mm sipedi hata kutizama maana inahuzunisha sanatena

    • @rehemasalim513
      @rehemasalim513 5 років тому

      @@Filamuu Aaaah!

    • @janethnzali5746
      @janethnzali5746 5 років тому

      Baba na Mama angu huko mliko pumzikeni kwa Amani.

    • @mwanaidyibrahimu3207
      @mwanaidyibrahimu3207 5 років тому

      @@janethnzali5746 pole sana

  • @wisdomuta1039
    @wisdomuta1039 5 років тому +1

    Pole sana...God awasaidie

  • @ellasmama9669
    @ellasmama9669 5 років тому +3

    Mungu atawasimamia pole sana

  • @aminajuma2981
    @aminajuma2981 5 років тому +7

    Allah awape subra sana polen kwa mengi waliyo wakuta

  • @gracekimario8577
    @gracekimario8577 5 років тому +5

    Asikuambie mtu wazazi ni wazazi tu lkn hata ukimtazama anailazimisha sn furaha huyu mtt. Mungu awalinde sn yatima huyu kaachwa maisha bora na anakosa furaha je wale walioachwa bila chochote

    • @dottnatta310
      @dottnatta310 5 років тому

      Mungu awape faraja mayatima wote, Amiin

    • @fatmakapwani8953
      @fatmakapwani8953 5 років тому

      Umenena ndugu

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 5 років тому

      Hata usoni kapungua pole sana kijana Mungu akupe ujasili zaidi na malezi ya wazazi yalikuwa bora na kimjenga kuwa jasili

  • @lightnessmmbando4229
    @lightnessmmbando4229 5 років тому +2

    Uzuni jmn namkumbuka kibonde Mungu amtie kijana ujasirii zaidii

  • @lovenesdevid7229
    @lovenesdevid7229 5 років тому +1

    Mungu awatie nguvu na awape tumaini jipya ndani ya mioyo yenu

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 5 років тому +13

    Uyu dgo km akutakuja kutokea wapigaji kwny familia yao walai atakuja kusimama km mzee wake nawala ato yumba maake naona confidence alio nayo sio yakitoto

    • @WelimaAdonias
      @WelimaAdonias 4 місяці тому

      Wapigaji wakat uyo ni mtu mzima kbs

  • @winfridakasindye9618
    @winfridakasindye9618 5 років тому +5

    Pole Sana junio, munguazidi kukutia nguvu

  • @MercklineMalawandu
    @MercklineMalawandu 4 місяці тому

    Huyu kweli kibonde junior, mungu akuongoze kwenye maisha yako na wadogo zako, azidi kukupa faraja

  • @fettyjuma7838
    @fettyjuma7838 5 років тому +3

    Pole sana Mola A kupe wepes kuwalea wadogo zako

  • @gililwise
    @gililwise 5 років тому

    Mungu ni baba wa yatima mkimtanguliza katika mambo yenu mtafanikiwa maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu.amina

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 5 років тому

    Upo vizuti mdogo wangu, MUNGU BABA aliyekuumba umfanye awe wa kwanza kwenye kila kitu wewe na wadogo zako ishi maisha ya kumpendeza MUNGU BABA, UWE NA HOFU YA KUMCHA YEYE, MAKUNDI MABAYA IPUKA NAYO, UTAVUKA TU!!

  • @merryeduward3028
    @merryeduward3028 5 років тому +1

    Daah aise Mungu akutie nguvu uwalee wadogo zako inauma sana Moyo unaniuma kupita maelezo Jikaze mungu yupo

  • @mako331
    @mako331 5 років тому +6

    Huyu Kijana Mungu amtangulie, anaukomavu

  • @Aisha-om9go
    @Aisha-om9go 5 років тому +1

    Pole Sana inauma Sana jaman

  • @angelsis6508
    @angelsis6508 5 років тому +1

    Very smart talented

  • @makwirojryg1885
    @makwirojryg1885 5 років тому +1

    mungu azidi kuwatetea sana,Amen.

  • @rahmooshunnu3947
    @rahmooshunnu3947 4 роки тому

    Mungu yuko pamoja n nyinyi atawapa subra n nguvu za kuwalea wadogo zako

  • @cathymathew6088
    @cathymathew6088 5 років тому +5

    Maskin Junior amekonda! Mungu akutie nguvu,subira na ujasiri

  • @verenabusanda4044
    @verenabusanda4044 5 років тому

    Daah..aiseeee'poleni sana.. Mwenyezi Mungu awatunze..naelewa kiatu chako

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 5 років тому +1

    Mungu akutangulie sana na wadogo zako

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 років тому +6

    Pole

  • @tusajigwemathias3758
    @tusajigwemathias3758 5 років тому +13

    Mungu atafanya mdogo wangu usiogope songa mbele

    • @evelyinipaja1202
      @evelyinipaja1202 5 років тому +1

      Amen@Tusajigwe Mathias

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 5 років тому

      Pole sana yupo Baba wa Yatima atakusaidia atakutia nguvu na utazidi kusonga mbere

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 років тому +1

    pole sana mdogo wangu