GARDNER: KIBONDE ALIUGUA GHAFLA, ALIDAI TUMBO, TULIKOSA DAWA / ALIMKUMBUKA MKE WAKE!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Mtangazaji Gardner G. Habash, rafiki wa karibu na mfanyakazi mwenza wa marehemu #Kibonde amezungumza nasi kuugua hadi kufariki kwa Ephraim Kibonde alfajiri ya leo.

КОМЕНТАРІ • 46

  • @hadijapazia684
    @hadijapazia684 5 років тому +14

    Daaah Gardner unaonekana umelia sn kaka!!
    Pole sn

  • @anithakalist6194
    @anithakalist6194 5 років тому +5

    Pole sana gadna G abash pole na familia pia,mwenyezi mungu ndiye mtoaji kumlaumu atuwezi pumzika Kwa amani Ephraim kibonde😭😭🙏🙏

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 5 років тому +9

    Inah lillah raijuin poleni Sana Ni msiba wetu wote mungu atupe subra Amen.
    Na ampumzishe salama peponi Amen

  • @frankndibalema6489
    @frankndibalema6489 5 років тому +1

    pole bro.Gadner kwa kupoteza swahiba wako .Mungu kampenda zaidi

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 5 років тому +6

    Polen wafiwa wote jaman clouds mmetoka kumzika boss wenu leo mfanya kz mwenzenu daa 😥 ata machungu hayajaisha polen wafiwa wote

  • @christinemangati1865
    @christinemangati1865 5 років тому +2

    Simanzi is deadly. Maybe he didn't eat for a while which triggered his gastric issue further. But kusema hakuna dawa,the government should have some chemist working 24/7.
    Poleni sana. It shall be well.

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 5 років тому +2

    poleni sana kazi ya Allah aina makosa

  • @maryspeter2724
    @maryspeter2724 5 років тому +2

    hayo maswali "alikuwa ni mtu Wa aina gani " ,muwe mnauliza Kabla MTU hajafa ili naye ajue , unafiki na umama mwing sana waandish

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 5 років тому

    Pole nying kwako Bro @ George bantu Mungu akutie nguvu kwa kuondokewa na swahiba wako

  • @dinamicheal5154
    @dinamicheal5154 5 років тому +3

    Polen sana clouds na ndugu na jamaa wa kaka yetu kibonde, na upumzike kwa aman

  • @kareemlaayjr4545
    @kareemlaayjr4545 5 років тому +1

    Pole sana

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 5 років тому

    Pole da umelia jmn alikuwa Rafiki yako wa kweli kabisa utapooza Sana gadinner da

  • @rehemaamon2692
    @rehemaamon2692 5 років тому

    Dah ww mungu ndo unajua watoto hawa wataishi vp maana ww ni baba wa yatima. poleni sana familia kwa ujumla. pumzika kwa amani kaka kibonde

  • @maureenmwimano1973
    @maureenmwimano1973 5 років тому +1

    poleni sana kaka

  • @marywambuijamesnuuguna4187
    @marywambuijamesnuuguna4187 5 років тому +1

    Poleni mungu awape nguvu

  • @OmanOman-cr2xz
    @OmanOman-cr2xz 5 років тому

    Pole sana kaka mungu awatie nguvu

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 5 років тому +1

    Pole WATZ.

  • @starrecordshancej1083
    @starrecordshancej1083 5 років тому

    Poleni saaaaaaana ndugu, jamaaa na marafiki.

  • @ayilarhoda2503
    @ayilarhoda2503 5 років тому

    Inauma sana jaman poleni sana familia na wana CMG.

  • @jasmineshechambo3401
    @jasmineshechambo3401 5 років тому +1

    Pole sana kaka

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 5 років тому

    Pole mingi pia kwako@Gadna

  • @alfredmwamba9617
    @alfredmwamba9617 5 років тому

    Gardner pole sana kwa kumpoteza FM kabadigidajabadiggggidaaaaaa tutamkumbuka

  • @najma3268
    @najma3268 5 років тому

    Polen sana wafiwa , nasi tumeguswa maana imekua pigo kubwa kweli

  • @heriethwilliamwilliam1781
    @heriethwilliamwilliam1781 5 років тому

    poleni sana familia ya marehemu na clouds kwa ujumla rest in peace kibonde 👫👪😫😭😱😰

  • @delabossreizer9471
    @delabossreizer9471 5 років тому +2

    Daaaa kama aligoma kuondoka mwanza huo muda naona alishaisi kitu flan ase inaumaaa

  • @alfanshonde2438
    @alfanshonde2438 5 років тому +1

    Daa r.i.p kibonde

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 5 років тому +1

    kwa hakika nimeumia

  • @a.856
    @a.856 5 років тому

    Poleni sana rip baba kibs

  • @khalidikibakuli132
    @khalidikibakuli132 5 років тому

    cc tulimpenda ila mungu amempenda zaid

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown4712 5 років тому

    Dahh yani kama Rafiki yake Ruge ameenda nje ya Dar na Miguu yake anarudishwa ndani ya Dar akiwa ndanj ya Ndege Maiti... so sad wallah😢😢😢💔💔💔

  • @rhodamalembo7873
    @rhodamalembo7873 5 років тому +2

    Polen xana kwa familia ya marehem na clouds lkn tunaomba serikali liangalie hili swala la dawa mahospitalin haswa mikoan kiukwel dawa n shida xana asilimia kubwa wafarki kwa kkoxa dawa

  • @evelyneernest8854
    @evelyneernest8854 5 років тому +1

    HAYA YOTE MAISHA UIIIII🙆🏾‍♀️🙆🏿‍♂️

  • @stellafinsky9467
    @stellafinsky9467 5 років тому

    Kindly take care of is young kids

  • @donalddominic8905
    @donalddominic8905 5 років тому

    Rip ndg yetu kibonde

  • @syksyk7295
    @syksyk7295 5 років тому

    Rip kbonde

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 5 років тому

    Kwahiyo kumbe angepata hizo dawa bas asingekufa ee Mungu tusaidie,Tanzania hii dawa muhimu hakuna

  • @sophicatesalim9757
    @sophicatesalim9757 5 років тому +1

    Alipata mshtuko maskini

  • @olivershayo5920
    @olivershayo5920 5 років тому

    jamani hospl hizi

  • @hizim6699
    @hizim6699 5 років тому

    Alikua anaumwa tumbo nanini nanini ndo nini sasa yani hata ww akili yako kuna mtu anaumwa nananini hv hawa wabongo vp yani mtu kafa gafla namna hio alafu unasema alikua anaumwa tumbo nanini nanini km hujui sema hujui yani watu wanachezea kifo cha mtu alafu apo apo anasema amehuzunika
    Alo watu wanafiki apa tz ni atari au ni anti book,, kwa sababu mtu uwezi kujib tumbo nanini nanini ndo nini sasa ndo ugonjwa gn??

  • @mwanadamtz1298
    @mwanadamtz1298 5 років тому

    MTU PEKEE WA KUCHUKUA NAFASI YA JAHAZI NI KABWANGA . R.I.P KIBONDE

  • @chadogyfrankibrahim2976
    @chadogyfrankibrahim2976 5 років тому +1

    R.I.P Ephraim kibonde nimeguswa

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 років тому

    Gadna pole manake jahazi sasa limeyumba

  • @halimamzanda6243
    @halimamzanda6243 5 років тому

    Mi nilijua kafa kwenye ile ajali daaa

  • @babenealoyce889
    @babenealoyce889 5 років тому

    Kwahiyo hakupata matibabu bukoba? Au nimesikia vibaya