PATANISHO: Kyalo - Mama mkwe alinipiga kofi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @stellahmiles2369
    @stellahmiles2369 4 роки тому +6

    Team notification in time
    👇👍

  • @fayetteville6310
    @fayetteville6310 4 роки тому +2

    Aiii mwanamme,, mdomo bana! kata mdomo naniii!!!! Eish,,, wee ata nipewe bure siwezi chukua!!!!! Alafu ghost si unacheka vizuri😂😂😂😂😂alafu gidi si uko na good listening skills,, big up!!!

  • @prettybabygalmichelson6557
    @prettybabygalmichelson6557 4 роки тому +7

    Kuchelewa nayo form Saudi Arabia

  • @agnesladasha5641
    @agnesladasha5641 4 роки тому +1

    Watching from Saudi Riyadh

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 4 роки тому

    Pole sana

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 4 роки тому

    Uchapwa mwenye amejichapa tiyari bro

  • @aminanzavi4267
    @aminanzavi4267 4 роки тому +1

    Huyo kyalo ako mdomo pwaaaaaa, kama, tafuta bibi, uanze life,

  • @Ruthbosibori-uu7eq
    @Ruthbosibori-uu7eq 4 роки тому +1

    Now days hakuna patanizo

  • @youngmummy3838
    @youngmummy3838 4 роки тому +1

    First one +90

  • @veralyne5152
    @veralyne5152 4 роки тому +1

    Mume maneno Kama chiriku pthooo

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 4 роки тому

    Amesema kwa upupi ama ufupi😃😃

  • @lilymummy7973
    @lilymummy7973 4 роки тому +1

    In 1st

  • @aminakarim5303
    @aminakarim5303 4 роки тому

    Watcha kuanika familia ya mama watoi wako kila ndoa inachaga moto

  • @missblessedbellablessed
    @missblessedbellablessed 4 роки тому +1

    😂😂😂pigwa kofi kabisa....alaa

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 роки тому

    Wachana na mama na maisha yake ww tafuta bibi yako iki shindikana oa mwingine story zandani asituuzu. Indio aina ta wana ume wakufunua mutu uji yake shika adabu.🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦

  • @giddiegiddie2073
    @giddiegiddie2073 4 роки тому +1

    Leo mlichelewa kuweka

  • @oenothera100
    @oenothera100 4 роки тому

    Aiii bro unasema umeokoka lakini vitendo vyako tofauti.weee kofi la mama mkwe ageogeza ziwe mbili usikie vile kofi hata ya mlevi ni uchungu.Unapiga mama mtoto siwewe ugepika breakfast .Your wife should be your friend not a cook/chef.basi wewe tafuta Chef Hilton upikiagwe chai.thanks Gidi and Mulee.

  • @giddiegiddie2073
    @giddiegiddie2073 4 роки тому +2

    Jamaa amechapwa na mother in law ,,,ikihappen kwangu inakuwa sherehe kwa matanga

  • @fatmamacharia3593
    @fatmamacharia3593 4 роки тому +2

    Aki nani amechoka na audio kama mimi
    Na miss Ghost akicheka

  • @chrispusmwathe3464
    @chrispusmwathe3464 4 роки тому

    Wachana na wanawake wa Machakos budah....hawana tofauti na wa Kiambu🤭🤭🤭

  • @winnieachieng2764
    @winnieachieng2764 4 роки тому +3

    Any woman who has an abusive son in law...... Invite him to come home n welcome him with a hooooooooot slap, then now u can negotiate n see if watakaa or waachane. Good mom.

  • @linahkery676
    @linahkery676 4 роки тому +3

    Sms lazma niangalie uliposlapiwa ulifanya nn sasa🤣🤣ulilia ama ulimliza did you just slap me 🤣🤣 wacha kuanika familia ya wenyewe kumbe slap ilikua ya ukweli ungepewa na ngumi juu yake🤣🤣😂 Saudi Arabia wacha tumbambane na hammam

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 4 роки тому +1

    From pipeline nawapata clear huyu mjamaa namjua hahahahahaha wakamba jameni🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lioness8207
    @lioness8207 4 роки тому

    Huyu mzee ako na udaku mingi

  • @lilililian575
    @lilililian575 4 роки тому

    Team Iraq finally bwana Gosh is a kamba😂😂😂😂

  • @felkadumas9863
    @felkadumas9863 4 роки тому

    Huyu mbaba ako na udaku aki

  • @sabinamuhanda9903
    @sabinamuhanda9903 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aki nyinyi

  • @youngmummy3838
    @youngmummy3838 4 роки тому +1

    #Sally_Okumu
    agnes _Wajihia and the rest kujeni tuskize patanisho

  • @eunicenyaboke749
    @eunicenyaboke749 4 роки тому +1

    Pesa ya mwanaume dio ya budget lakini ya mwanamke Habana wanaume wanastahili wajue hivyo

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 роки тому +1

    😂😂😂😂tit for tat alichapana yeye akachapwa pia😂😂😂

  • @teresiahmburu9568
    @teresiahmburu9568 4 роки тому

    Hiyo kiherehere ndio ulipelekwa kwa ukwe ndio ukapokea kofi pumbavu mkubwa

  • @brendamaketso4063
    @brendamaketso4063 4 роки тому

    This one talks too much! Chiriku! 🗣🗣🗣 I also can't deal.

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 4 роки тому +1

    Bonyeza hapa 👇
    ua-cam.com/video/i9QHtYGmaNE/v-deo.html
    like,subscribe,comment

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 4 роки тому +2

    huyu kyalo ni yule yule tu tulipatanisha wakati mwingine, dereva wa malori sasa, anaongea kicosti

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 4 роки тому

    Kuchelewa nayo

  • @sallyokumu6456
    @sallyokumu6456 4 роки тому

    Siku hizi munatuonjesha tu patanisho jameni, otherwise huyo mama mkwe ako Sawa kabisa, ata kama ningekuwa mm, ningekuwai moja ndo tuongee 😂😂😂😂😂

  • @hanifamulwa3963
    @hanifamulwa3963 4 роки тому

    Ukona udaku sana wewe mehemeheheee mscheeeeeew umama.

  • @phileskwamboka112
    @phileskwamboka112 4 роки тому

    Ety anaangalia messege zangu kaa tv😂😂😂😂Aki wakenya mtauwa giddy NA kicheko siku moja😅😅😅😅😅

  • @yahabibiyahayatiyahayuni7339
    @yahabibiyahayatiyahayuni7339 4 роки тому

    Hii mambo ya kupewa slap haileti shangwe

  • @stellahmiles2369
    @stellahmiles2369 4 роки тому

    Spark 4🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣gidi ghost utanimaliza na kicheko

  • @aminanzavi4267
    @aminanzavi4267 4 роки тому

    Alislapiwa vile alislap mtoto wake

  • @esthernzisa6284
    @esthernzisa6284 4 роки тому

    Wacha kuanika family zawatu. Tafuta bibi yako muelewane. Learn to keep secrets for others.

  • @milkahmwangi1178
    @milkahmwangi1178 4 роки тому +2

    Aki Kyalo ungekuwa umeoa kwetu alafu nijue umeanika family yangu ungelaani siku yenye ulizaliwa. Shameless man

  • @Idafa
    @Idafa 4 роки тому +2

    Kudos to that woman. Umeokoka and still slapped her? No need to live with a woman beater. Run run run.... run far away.

    • @danchege4652
      @danchege4652 4 роки тому

      You're a fool, even Jesus slapped ppl who had turned the house of the Lord into a market!!!

  • @nancieprincess7363
    @nancieprincess7363 4 роки тому +2

    Huyu mwanaume ako na umama sana how can u come on air to talk about sister and mother in law like that..... Shameless man

  • @traveledra2015
    @traveledra2015 4 роки тому

    Late

  • @bonfacematekwa7231
    @bonfacematekwa7231 4 роки тому

    Ha ha ha ha

  • @lucykinuhi5521
    @lucykinuhi5521 4 роки тому

    🤣🤣🤣Aki ghost hio kicheko

  • @stargal906
    @stargal906 4 роки тому +1

    Ghost mimi nikileta patanisho Aki usinicheke 😂😂yaani uliweka mashafu mama mkwe akaslap Kofi.🤭eee wanaume jamanii 😂😂😂 halafu wewe kijana huna Huna adabu kuanika familia ya wenyewe hapa eti Hua hawaoleki🤔ndio maana mama mkwe kakupiga Kofi kumbeeeee. Jamani Sarah mbona hujashika simu utwambie ukweliiiii

  • @charitychege9152
    @charitychege9152 4 роки тому

    Woiye tafadhali kaka tafuta bibi uoye ,hapo hakuna bb ,arafu unapigwa na unaludi uko uko ata ww unakasoro

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 4 роки тому

    leo niko nyuma kuliko.mkia ya🐕

  • @salmamohamed909
    @salmamohamed909 4 роки тому

    Mwanaume umbea 🙄🙄🙄

  • @teresiakaluki7988
    @teresiakaluki7988 4 роки тому

    Hahaha tit for tat is a fare game