Mungu akubarik Mama hata kuwakumbuka watumishi hasa kweny nyongeza,nawale walioondoshwa makazini,wanafunz wengi waliacha masomo hakika kwahili watarudi mashulen navyuoni.watakuombea hadi ufikie miaka 200
Hongeza Sana kwakuliongelea hili lawamachinga hawawamachi kwamtazamo wangu sehemu wanazofanyia biashara wapangwehapohapo ambapo ndio sehemu rafiki na biashara zao ahsante

Mama ulipotaja Mishahara kwa tabasamu mie naona hotuba ingeishia papo hapo...ukapumzike Ikulu kwa amani Mama.
Safi sana na sisi madereva tukumbukeni jameni
Uhuru kenyata ameacha fundisho la kuheshimu mwito we kwenda kusali asante mheshimiwa Rais kwa kufuata somo alilioacha uhuru
Wafanyakazi ndo walipa kodi wakubwa, ni vizuri waongezewe mishahara.
Wewe unamjua Mungu kweli wewe.kama ungekuwa unamjua Mungu Usingemuua JPM na kuwarudisha wezi SERIKALINI
Sio mishahara na huduma zinaenda sawa kama wizara ya maji dawasa wanaiba maji ukatili wa kuongezea wateja bill ni kero tupu
kwa kwelii aangaliee tu muheahimiwa
Maliza tu muda wako Mama tupige kura 2025
Maongezi yooote bado sijaelewa
😂😂😂
Hii ya ajira za walimu na udakitali eti mpaka kutuma maombi si sawa
ni sawa mana waliachwa muda yawezekana amejipanga kivingine sasa ukisema upange wewe wengine hawatafika waombe
Yaaan miaka 3 Hadi minne daah
Sisi tunataka kazi za watanzania zithaminike, kila kazi iwe na malipo yake, uhai wetu unategemea pesa.
Unalolote unawag'og'o tu wazalishe Nini kunanini cha kuzarisha shertani
Mzee chunga xan utajutia
Haposawa
We mazeli weka wazi, unafichaficha nn.
inauma asikwambie mtu
Wewe shertani TU unampango wowote umetualobia nnchi
Hata wanao kushangilia ni mahayawani kama wewe
Kulitizama suala la waliofukuzwa kazi kwa jicho la tatu ni utu wa Hali ya juu.
Unalolote wewe Muhongo
😂😂😂😂😂
Tutaelewa tu, haraka ya nini?
Mmmmmmh kazi ipo
Hongeza Sana kwakuliongelea hili lawamachinga hawawamachi kwamtazamo wangu sehemu wanazofanyia biashara wapangwehapohapo ambapo ndio sehemu rafiki na biashara zao ahsante
Wewe unamjua Mungu kweli wewe.kama ungekuwa unamjua Mungu Usingemuua JPM na kuwarudisha wezi SERIKALINI
Mama taja kiwango usipoteze wakati kwa kutupigia story