MDOGO WA MAFURU AFUNGUKA MANENO YA MWISHO ALIOAMBIWA KABLA YA KIFO CHA KAKA YAKE, UGONJWA WATAJWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 29 днів тому +3

    Dah,Upungufu wa kinga mwilini 😢. Pumnzika kwa amani kaka.

  • @estheryamat6121
    @estheryamat6121 28 днів тому +2

    Mmmmmh mchafuko wa damuu au walimpiga kitu kizito maana nyie watu wa serikali mnarogana sana😢😢

  • @salomefaith2410
    @salomefaith2410 27 днів тому +2

    Kama anasema ni ndg wa mbali mbona anasema hadi ugonjwa uliomuua. Huyu sio mtu mzuri kabisa. Mchimvi sana huyu mtu aliyehojiwa. Pumbavu sn aliyehojiwa

  • @claudia1500
    @claudia1500 29 днів тому +4

    Huyu mtu ana very bad intention! Ukimsikiliza vizuri utagundua ni kama ana ubaya na marehemu,how come unasema we sio msemaji wa falilia then unaanza kubwabwaja magonjwa ya marehemu kama hivyo?jamani msiandike mirathi tu andikeni na wasemaji wa familia pindi mkifa duh

  • @TheQaled
    @TheQaled 29 днів тому +4

    Mwananchi imekuwa ya ovyo sana siku izi...maswali ya ovyo ovyo, uyu mtu amehudum kwenye taasisi mbalimbali, ni miongoni mwa think tanker wa nchi, leo unauliza alikuwa mtu wa aina gani.

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 29 днів тому

    Ila hawa wasemaji wa siku hizi wa marehemu sijui wamekuaje.😢🙌
    Ghafla nimemkumbuka yule kakake Dida aliyekuwa msemaji na yeye alichafua tu hali ya hewa.

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 29 днів тому +5

    Ila waandishi wa habari jamani maswali mengine mtu kafiwa mna uliza hayana hata mantiki

  • @tastedigital
    @tastedigital 19 днів тому

    Huyu mwandishi mbona mjinga sana??

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 29 днів тому +2

    Dah mtu wa kwenye ukoo afu unaropoka eti upungufu wa kinga mwilini...kwaiyo watu wakisema ni ule itakuwaje

  • @TONINDOMASEKEMANYAMA
    @TONINDOMASEKEMANYAMA 27 днів тому +1

    Poleni sana ndugu zangu

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 24 дні тому

    Huyu mwandishi wa mwananchi ni unprofessional sana kwanza haya maongezi yalikuwa privay na sio kuleta huku

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 29 днів тому +1

    Waandishi acheni kuchomba taarifa binafsi jamani. Mtu hataki kusema mnalazimisha

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 29 днів тому +3

    Huyu sio msemaji wa familia lakini amefika mbali mpaka kutaja ugonjwa wa marehemu. Hiyo sio sawa kabisa 😒

    • @nin6324
      @nin6324 29 днів тому

      Yaani hadi huruma, mwandishi kampeleka polepole hadi karopoka upungufu wa kinga mwilini kwenye white blood cells sasa huu ni ugonjwa gani?? Mara infection while angesema tuu mimi sio msemaji wa familia

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 29 днів тому

      @@nin6324 aloo karopoka mno

  • @elianaarsen9942
    @elianaarsen9942 28 днів тому +1

    Mtu sio ndugu wa karibu,sasa unamuhoji wa nini?

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 24 дні тому

    RIP mafuru,but kila nafsi itaonja mauti,

  • @Alex_Anania
    @Alex_Anania 29 днів тому +8

    Maambukizi kwenye damu, kwenye white blood cells,mfumo wa damu ulikuwa na maambukizi,upungufu wa kinga mwilini.
    Hivi ndugu yako unaweza kumzingumzia hivyo?? No....Kaka ungejaribu kuficha ugonjwa wa bro. Wako...

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 29 днів тому +1

      Kazingua mno aloo

    • @STELLAMARCELY
      @STELLAMARCELY 29 днів тому +1

      Yeah amekosea sana sana jmn, anaepaswa kusema ugonjwa wa mtu ni daktari peke yake. Daaah..! si vema hata kidogo

    • @beatrice4780
      @beatrice4780 28 днів тому +1

      Huyu mpuuzi asiye na staha kwa Marehemu ametokea wapi? Nyambafff Miwivu tu!

  • @JacquelineMacha-y3n
    @JacquelineMacha-y3n 27 днів тому

    Besti ake selukamba huyo,,,wanajua kilichowaletea kizazaa

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 29 днів тому +1

    Mh mwandishi Huna maswali yenye shikoku upuuzi mtupu