Hongereni sana !. Mngejaribu pia kupima vitu kama thrust ili tujue na power ya engine. Nafurahi kuona mtanzania kafanya hivi nimeziea kuona kwa wazungu tu and trust me kuna ambao huwa wanashindwa. Hongereni sana !.
Kwa ushauri wangu hawa jamaa wangetafuta wataalamu wa telecommunication ili wawatengenezee long range remote control kisha wangeanzisha workshop ya kutengeneza RC plane
Big up bro, this engine even me i can make it, but problem ni kudesign mfumo wa lubrication na pia kupata materials yanayo resist high temperature hasa kwny combustion chamber and turbine.
Lubrication kwa hizi engine ndogo sidhani....zaidi sana labda upate material ambayo ni heat resistant. Ila pia issue ni expansion ya gesi humo ndani kwahiyo boresha technique ili ugenerate less heat with more effeciency.
Pongezi nyingi kwenu, wakati umefika sasa kwa Serikali kufumbua jicho lake la tatu juu ya vijana wenye vipaji na kuwaendeleza kwani ni hazina kubwa mno kwa Taifa letu na Afrika yetu kwa ujumla.
Wizara ya Viwanda na Biashara, SIDO, COSTEC inabidi muwafuatilie hawa vijana na kuwaendeleza ili watengeneze product itakayofaa kwa matumizi ndani na nje ya nchi. Tusiwe watumwa kwa kuthamini vya wazungu tu wakati na sisi tuna akili na uwezo tuliopewa na Mwenyezi Mungu, ni lazima thamini vya kwetu kuanzia sasa. Tuachane na mila potofu ya kudharau vya kwetu.
Ongera sana
Hongereni sana !. Mngejaribu pia kupima vitu kama thrust ili tujue na power ya engine. Nafurahi kuona mtanzania kafanya hivi nimeziea kuona kwa wazungu tu and trust me kuna ambao huwa wanashindwa. Hongereni sana !.
Hongera sana kwa team yote, hongera kwa finishing pia, ni ya hali ya juu nimezoea kuiona kwa wenzetu tu, kumbe hata kwetu mpo!
Kwa ushauri wangu hawa jamaa wangetafuta wataalamu wa telecommunication ili wawatengenezee long range remote control kisha wangeanzisha workshop ya kutengeneza RC plane
Hawa ndio miamba...hongereni
Africa nzima vyuo vyote kufeli du ! Umejua kujipa promo
Ubunifu sijauona mbona hizi engine zilishabuni miaka ya 80 kulushia drone
Big up bro, this engine even me i can make it, but problem ni kudesign mfumo wa lubrication na pia kupata materials yanayo resist high temperature hasa kwny combustion chamber and turbine.
Lubrication kwa hizi engine ndogo sidhani....zaidi sana labda upate material ambayo ni heat resistant. Ila pia issue ni expansion ya gesi humo ndani kwahiyo boresha technique ili ugenerate less heat with more effeciency.
Hello
Nineona brower
Jaman serikali mlaaniwe kwa kuacha vipaji hv vipotee bure,,,
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae
Tanzania tuna weza
Hizi engine si za ramjet zinauzwa
Ningekuwa karibu ningewachangia chochote. Baba JPM watazame hao vijana na ikiwezekana anzisha shule maalumu kwa watu wenye vipaji vya namna hiyo.
Pongezi nyingi kwenu, wakati umefika sasa kwa Serikali kufumbua jicho lake la tatu juu ya vijana wenye vipaji na kuwaendeleza kwani ni hazina kubwa mno kwa Taifa letu na Afrika yetu kwa ujumla.
Wizara ya Viwanda na Biashara, SIDO, COSTEC inabidi muwafuatilie hawa vijana na kuwaendeleza ili watengeneze product itakayofaa kwa matumizi ndani na nje ya nchi.
Tusiwe watumwa kwa kuthamini vya wazungu tu wakati na sisi tuna akili na uwezo tuliopewa na Mwenyezi Mungu, ni lazima thamini vya kwetu kuanzia sasa.
Tuachane na mila potofu ya kudharau vya kwetu.
Mko vizur napenda kukutana na hawa jamaa 0684273175
Vipi mwanangu?
Sasa mbona hairuki?
Kwani engine huwa inaruka pake yake....yaani kama moyo eti utembee peke yake😂😂😃😄😅
Jiongeze wewe engin itarukaje bila kua na body na mabawa
Bado mko nyuma sana 0.0 asilimia
Nabiio hakubariki kwao
Huo ni unafki