Kuja kwa hakimi, ni confections nyingine kwa Engineer Hersi kuwapokea wengine...maana mastaa ambao rafiki na Hakimi watakuwa connected to Engineer kwa ajili ya kuratibu ziara zao
ALLI KAMWE,UJUE UNAMUUMIZA MOYO MDOGO WAKO,AHMED ALI!! HII FURSA ANGEIPATA YEYE NDIO INGEKUWA NYIMBO YA TAIFA.LAKINI WAPIII!! YANGA AFRICAN'S NDIO NYOTA YA TANZANIA,NA NI GUMZO BARANI AFRIKA NA NJE YA BARA LA AFRIKA.HII NDIO YANGA CLUB KUBWA!!
Kwani na wewe hatujawai kujipendekeza acha shobo kujipendekeza kwa manufaa ya nchi na team ni Bora zaidi kuliko kujipendekeza kijinga😂 naimani wewe kwenye kujipendekeza kwako hakuna faida zaidi ya ujinga uliombulia
Mbape akimaliza Euro anakuja pia
Engineer your Amazing unafanya kazi kubwa sana kutangaza Vivutio vya nchi yetu......Salute Dude....🙏🙏🙏🙏🙏
Injinia hersi hongera
JWTZ Hakimi kavaa sare yenu 😂
Kwahyo unataka kusemaje?😅😅😅
@@danyboy571si hawataki sare ya jeshi kuvaliwa? Wamkamate.
Wakwanza nipeni likes basi
😂😂
Wa pili 🧚♀️🧚♀️
Raic wa wanaume huyo hapo sas
Nyuma mwiko
Kuja kwa hakimi, ni confections nyingine kwa Engineer Hersi kuwapokea wengine...maana mastaa ambao rafiki na Hakimi watakuwa connected to Engineer kwa ajili ya kuratibu ziara zao
👍👍👍💪💪💪🤲🤲🤲♥️♥️♥️🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦
Tumuone na mangungu mwakani akiwa na wageni 😂😂😂
Yanga wanatukimbiza kila kona
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉
Baaaaadoooo hamjaseeeemaaaa 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Atar bado hamjasema
Nzuri hii wengi watakuja❤
Next time anakuja GOAT mwenyewe maana anapenda Africa😁
makolo uyu mwaka pakupumlia hawana tumewateka kila sekta
Basi kna mbwa inaitwa jemedari anaumia sana kuona vtu hiv
Ulijuaje kk😂😂😂
Tunamtaka na Ronald aje kutembea mbugani
Kama umeiona bajaji gonga like
sema hakimi ametisha amevaa kitu cha kijeda
Uzuri hapo kila mtu anatumia pesa yake. Hakuna mambo ya uchawa hapo. Raha ya kutumia pesa uwe na tajiri mwenzio sio kuwa na watu km kina Mwijaku.😅😅
Mwamba huyo walle WANAWAKE waliozoea DIVORCE WAKITEGEMEA WATAULAMBA JAMAA KAWAWEZA 😢😢😢
ALLI KAMWE,UJUE UNAMUUMIZA MOYO MDOGO WAKO,AHMED ALI!! HII FURSA ANGEIPATA YEYE NDIO INGEKUWA NYIMBO YA TAIFA.LAKINI WAPIII!! YANGA AFRICAN'S NDIO NYOTA YA TANZANIA,NA NI GUMZO BARANI AFRIKA NA NJE YA BARA LA AFRIKA.HII NDIO YANGA CLUB KUBWA!!
🎉❤
Makolo makaasiriko ya nini😂
Huu nizaidi ya ubunifù
Hakimi ndio Nani kwani
Wenzetu wapo siriasi sana,na sisi tunaleta stori kweli.
Kumbe naww umeonaee ao walabu wasengetu
Poleni
Hotel gan hii wamefikia hapo Arusha???
Sisi wenyewe maBoss
Sasa yanga icho kikombe cha nn na hakim ebu hakimu ukiondoka wape riali mbili ukawape watoto wacheree uko 😅😊
Tanzania to the world
Good
Saf
Kazi kujipendekeza tu
Acha wivu wa kijinga ndugu.
Kwani na wewe hatujawai kujipendekeza acha shobo kujipendekeza kwa manufaa ya nchi na team ni Bora zaidi kuliko kujipendekeza kijinga😂 naimani wewe kwenye kujipendekeza kwako hakuna faida zaidi ya ujinga uliombulia
🔥🔥🔥🔥🔥💚💚💚💚💚💛💛💛💛
Allaah Akbar
Kwa wanaojua
Kazi nzuri
Humu tu
Huyu jamaa hatutilii hasara club yetu lakini
Kolo kama Kolo
😂😂Balaa tupu
Angekua dai ana mabodigad kama wote kabebewa hadi kofia
Kbsaaa 😅😅😅
asante Mungu kwa mafanikio haya🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤👏👏
Utopolo
Tulia dawa ikuingie