MWALAFIKI WA GEUKANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лис 2023

КОМЕНТАРІ • 139

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 9 місяців тому +17

    shoga wa salma ni kufa na kuzikana

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius 9 місяців тому +11

    Ila Mr uk mi nakwambia mbingu huioni 😂😂😂😂

  • @feysalhassan8230
    @feysalhassan8230 9 місяців тому +6

    Huy rafik ake salma nmempenda

  • @user-wx5yk4mq1t
    @user-wx5yk4mq1t 2 місяці тому

    Daaaah huy Dada ana roho ya chui etty rafiki au mnafiki

  • @mwajabujumanne9025
    @mwajabujumanne9025 8 місяців тому +3

    Yaan urafiki kwa wadada ni changamoto ❤😂😂😂😂

  • @Evelinweek
    @Evelinweek 8 місяців тому +1

    Daah mapenzi mmmh mtihani sna ila bola amejua ukweli

  • @lucaszacariaszacarias3894
    @lucaszacariaszacarias3894 Місяць тому

    Mr uky hufike huku nilipo yani napenda sana kipindi chako huko vizuri sana mm nipo moza

  • @saidatymustapha4629
    @saidatymustapha4629 8 місяців тому +1

    Nasema mwanangu tafuta mishe hapa mjini mishe kibao tu lakin sio kwa huu usenge wa kuwagombanisha dada za watu oya bab hata mungu hapend kabisa na nahisi huna maisha marefu na hiyo kazi

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 9 місяців тому +12

    Jamani mtihani😢😢😢 huu ndio maana sipendagi marafiki

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 9 місяців тому +3

    Na ijua hiyo...😅😅😅ndio maaana sina hamu na mashoga loogh😅😅😅

  • @user-mp1ep1en5q
    @user-mp1ep1en5q 3 місяці тому +3

    Mi ndo maan sina rafiki rafiki angu ndg zangu bas imeisha

  • @erastopascal
    @erastopascal 9 місяців тому +11

    I don't know well kiswahili but Jack Ana usela 😂😂😂😂

  • @BatuliMninde
    @BatuliMninde 23 дні тому

    Mr Uky umemganda Jack

  • @user-zb2pg4ix5s
    @user-zb2pg4ix5s 9 місяців тому +2

    Jack weeeeee pole sana

  • @ggfffhii4706
    @ggfffhii4706 9 місяців тому +9

    Shoga angu mama angu hawa mbwaaa nyokooo

  • @MUSSAM11
    @MUSSAM11 8 місяців тому +2

    Uyo rafiki mwengine mbona kama alikua anachat na mtu kabla rafiki yake hajapigiwa simu basi ni wazi kampanga kabla hawajapiga

  • @alphablondponera2367
    @alphablondponera2367 8 місяців тому +1

    Inawezekana huyo dada kweli ni changamoto..maana rafiki ndio anakujua vizuri

  • @petermbogo8661
    @petermbogo8661 9 місяців тому +4

    Daah mwanang umewagombanisha wenzio af unasema hio imeisha

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 8 місяців тому

    Alooh Dada kajichoma alaf na jack kashuhudia

  • @eliyadavid3629
    @eliyadavid3629 9 місяців тому

    Dah🙆🏼‍♀️

  • @user-rj1gc5xk8k
    @user-rj1gc5xk8k 8 місяців тому +1

    Ila we mkaka😂😂😂 haya bhan

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 9 місяців тому +2

    Wanawake banaaa

  • @kuruthumumussa
    @kuruthumumussa 2 місяці тому

    Tena na pole juuuu😂😅😅😅😊😊

  • @mr.content266
    @mr.content266 9 місяців тому +3

    Ila wadada😂😂

  • @josephmshana123
    @josephmshana123 2 місяці тому +1

    Duh! Kiredio sio pw hyo

  • @phinaomy
    @phinaomy 8 місяців тому +2

    Ndomana cpnd mrfk wakike😂

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 місяці тому

    Salma mzuri MA SHA ALLAH.

  • @user-vi3ck1cw3h
    @user-vi3ck1cw3h 2 місяці тому +2

    Marafiki ni nyoka 😢

  • @user-kw2cd7qu4p
    @user-kw2cd7qu4p 2 місяці тому +1

    Hii ni mbaya mno kiredio japo ni Challenge ila huku ni kubaya sana mahusiano yana vitu vingi

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py 9 місяців тому +6

    Badilishen hiz mambo zitawacost bor kiredio leo kapigwa nawatu asio wajuwa hatujajuwa kesho Allah awasimamie

    • @YFM-rq9td
      @YFM-rq9td 7 місяців тому

      Ndo maana kina SUD wanaficha sura Kwasababu za kiusalama haya mambo sisi watazamaji tunaenjoy na kuona kama refreshment lakini wapo wanaoguswa kitofauti kwahiyo chuki na bifu inajengwa

  • @chelachikwala1573
    @chelachikwala1573 9 місяців тому

    😂😂😂😂😂jaman atareee

  • @juniorsonofgod5675
    @juniorsonofgod5675 9 місяців тому +1

    Sasa kumshika shika mashavu huyu mtoto na kumuwekea mkono begani ndo nini Sasa? Ndomana mnapigwa ivyo. Mwenzio kiredio anaugulia huko😂. Kuweni Makini na kazi yenu boss. Kumbuka hao mnaowa challenge pia Wana watu wao. Punguzeni uromantic kwa Mademu zawatu mzee

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 8 місяців тому +3

    I don't know Swahili but Salma ako na rafiki wa kweli😅😅😅😅

  • @VivianGerlad
    @VivianGerlad 2 місяці тому

    Wakina hawa n wanafki sana 😂😂😂

  • @hassanissah7141
    @hassanissah7141 2 місяці тому

    Hahahhaa kajimaliza kinyama hahah😂

  • @GubraCity-dm5sx
    @GubraCity-dm5sx 21 день тому

    Udugu kz ushoga heka heka😂😂

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 8 місяців тому +2

    Ndio maana sitaki marafiki 😅😅😅😅

  • @user-wx5yk4mq1t
    @user-wx5yk4mq1t 2 місяці тому

    Shoga wa salma ndo rafik huy

  • @gastosalehe3658
    @gastosalehe3658 Місяць тому

    Dah huu uchonganishi😂😂

  • @sesiliahussein7774
    @sesiliahussein7774 9 місяців тому +2

    Loooh huyo mdada jamani

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 9 місяців тому +1

    Mwalifiko ndio nn pumbavu

  • @MulhatSalma-rm1tn
    @MulhatSalma-rm1tn 9 місяців тому

    Mungu wangu

  • @bibianafrigil5588
    @bibianafrigil5588 7 місяців тому

    Hawa hawa hawa😅

  • @furahalita-zk2yi
    @furahalita-zk2yi 9 місяців тому

    Daaa😂😂

  • @user-mr5tk8oc3t
    @user-mr5tk8oc3t 3 місяці тому +1

    Bora nisiwe na rafiki

  • @AshaIdd-ie5me
    @AshaIdd-ie5me 9 місяців тому +3

    Mwalafiki 😂

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 місяці тому

    Uky mbona umemkumbatia saana Jacky. Unanitia wac wac.

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 8 місяців тому +1

    Urafik wa kinafk😢😢😢

  • @Khaira555
    @Khaira555 8 місяців тому +1

    ivi izi mambo ni zakwel au ni kuigiza tu😂😂😂

  • @musababaz1110
    @musababaz1110 9 місяців тому +7

    Salma alishampang rafk ake ktmbo apo kwny txt

    • @annierodrick3955
      @annierodrick3955 2 місяці тому

      Apana huyo kaka hapo ujaona kasoma mesj zake😅

  • @mkundemosha1046
    @mkundemosha1046 2 місяці тому

    Ila huyo shoga ake jaman cjui aanqmwonea wivu kibonge wa watu

  • @najmaramadhan
    @najmaramadhan 8 місяців тому +1

    huyo dada ni mnafki rfk wa jack

  • @HawwahAbdulmajid-fo5wv
    @HawwahAbdulmajid-fo5wv 2 місяці тому

    Kwann mm jmn😂😂😂😂😂

  • @JujuAdam-uf1je
    @JujuAdam-uf1je 9 місяців тому +3

    1:31 yani marafiki hapana

  • @Sophlizzy21
    @Sophlizzy21 8 місяців тому +2

    Sijajua kama ni kweli ila inaonekana direct hii ni imepangwa. They don’t know how to act

  • @user-nk7zo8fv4l
    @user-nk7zo8fv4l 7 місяців тому

    rafiki yako ana rafiki yake 😂😂😂😂😂

  • @dominatanoah5066
    @dominatanoah5066 9 місяців тому

    Rafiki ako ndie adui yakoo

  • @habibamura5255
    @habibamura5255 9 місяців тому

    Rafiki gani huyu😢

  • @iddyngaiwa
    @iddyngaiwa 8 місяців тому

    Huo ni ugombanishi ipo siku kazi hii utaacha au utapunguza kugombanisha watu

  • @coxtagotaldo9174
    @coxtagotaldo9174 17 днів тому

    Cy poh mnavy fny. Yn kugombansha watu 😕

  • @SIMONHERMAN-qv2ln
    @SIMONHERMAN-qv2ln 2 місяці тому

    Ila aanawake

  • @CutenessSanga-ys7dc
    @CutenessSanga-ys7dc 5 місяців тому

    Zambiiii😂😂😂

  • @user-js4bu1jp7n
    @user-js4bu1jp7n 3 місяці тому

    Mm sinashoga wakike na haitatokea

  • @meggarcute116
    @meggarcute116 9 місяців тому +7

    Km salma kachat na rafk ake mbn kamwambia

  • @Churchofecclesia
    @Churchofecclesia 9 місяців тому +2

    Ila nyiee nyiee nyiee

  • @mossesramadhani501
    @mossesramadhani501 2 місяці тому

    Nlicho gundua nikwamba huyu chibonge kweli Miyeyusho mieyusho huyuuu

  • @linetnyiro9374
    @linetnyiro9374 9 місяців тому +1

    Jamani jamani jamani wee dadawe 😢😢mi mwenyewe nko APA nasikia jamani 😢😢😢

  • @lailalaila9114
    @lailalaila9114 2 місяці тому

    Kiukweli natamani hii kitu namie siku moja

  • @VannyPascal
    @VannyPascal 2 місяці тому

    😢me na rafiki yangu anaitwa salma kufa kuzikana

  • @SaidyKondo
    @SaidyKondo 2 місяці тому

    Hataingia pasipoinglika2

  • @HeppinesiBakari-vk7dd
    @HeppinesiBakari-vk7dd 8 місяців тому

    Tabia chafu unawaachia msala mwenzio

  • @EddaDaniel-we5um
    @EddaDaniel-we5um 2 місяці тому

    Mchongo uyo Salma kaupanga

  • @SarayaNulu
    @SarayaNulu 2 місяці тому

    Salma amempanga rafiki take

  • @khamismohammed2582
    @khamismohammed2582 Місяць тому

    Unagombanisha watu kaka tambua hao hawatokaa tena kua marafiki. Uwe unabuni masuala mengine au hayo ya men zao pia poa ila hayo umezingua

  • @JohnGembeNyanqura-no7ec
    @JohnGembeNyanqura-no7ec Місяць тому

    marafiki wengine jaman

  • @user-qz7ti9zr6e
    @user-qz7ti9zr6e 5 місяців тому

    Ila wanawake

  • @user-gp1ix8rn6x
    @user-gp1ix8rn6x 8 місяців тому

    Rafik mbya

  • @user-lt8rj9ui9g
    @user-lt8rj9ui9g 8 місяців тому

    Sasa huko nikoseshana aman ungekuwa unayamaliza kabisa kabla ya wenyewe kukutana utaleta shida siku moja.

  • @user-hd3zs9rt3u
    @user-hd3zs9rt3u 5 місяців тому

    😢uyoo salmaa ameahampangaa uyoo dad ten anavyoongea kwa hasira Kama hatakii😊

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 8 місяців тому +1

    Bro hapa umegombanisha 😢😢😢

    • @sarahmshanga9224
      @sarahmshanga9224 6 місяців тому

      Ila ndovizuri kajua aina yamarafiki alio nao

  • @danielsamweli6766
    @danielsamweli6766 8 місяців тому +1

    Weee mshikaji Kwan lazma uwawekee mikono madem ? Yaan umewaganda utazan ww ndo mshkaj wake

  • @rahimmussa7292
    @rahimmussa7292 2 місяці тому

    Naiomba serikali y tz ifungie vpind vya hovyo kama iv wanagombanisha watu alaf wanasepa wao wanapga hela fuck up..😮😮

  • @husnagel
    @husnagel 3 місяці тому

    Salma kampanga rafk ake

  • @peternaaly4081
    @peternaaly4081 8 місяців тому

    Ila kama Salma kashatuma sms kwa rafiki kwa kumshtua kama hujagundua Mr UK

  • @yohanamageta2069
    @yohanamageta2069 9 місяців тому +1

    Hizi challenge zinafanya nione wanachuo wanapesa sana😂😅😅..kila anaempata anasalio😂😂

  • @jacklinemsechu221
    @jacklinemsechu221 8 місяців тому

    Jmn jmn Jack n kweli?😂

  • @Official83640
    @Official83640 8 місяців тому

    Yatakukuta ya Kiredio jiadhali

  • @taucseif851
    @taucseif851 9 місяців тому +2

    Jack mwenywe sasa

  • @mbuvamedia195
    @mbuvamedia195 9 місяців тому

    Mbona wamevaa kofia zinafanana na mr uk?😄

  • @user-ys5bo6od9g
    @user-ys5bo6od9g 6 місяців тому

    Wewe utafanya watu washindane

  • @NeemaJamess-rs1gw
    @NeemaJamess-rs1gw 8 місяців тому

    Mh huyo salma nahis anachati na huyo rafiki yake Jack huyo

  • @nurufidel-lp6wj
    @nurufidel-lp6wj 8 місяців тому +2

    Acheni na maisha yawatu unatenganisha marafiki Mungu hapendi iyo tabia

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 8 місяців тому

    hiiii challange sijaipends aiseee italeta mpasuko kwa marafiki

  • @user-zd2iq4zd8d
    @user-zd2iq4zd8d 8 місяців тому

    Salma wa kwel eti

  • @kuruthumumussa
    @kuruthumumussa 2 місяці тому

    Aiseeee😅😢

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 2 місяці тому

    This is too much

  • @HeppinesiBakari-vk7dd
    @HeppinesiBakari-vk7dd 8 місяців тому

    Alafu unajitoa

  • @HappnessStephano-gi2ez
    @HappnessStephano-gi2ez 2 місяці тому

    Mmmmmh

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 9 місяців тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @halidhemed7524
    @halidhemed7524 2 місяці тому

    😂😂😂😂