ANAYO ALAMA, MOYO, ILIVYOWANYANYUA UMATI LAYLATUL HELWA 2024, SHARIF KOBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 кві 2024
  • ANAYO ALAMA, MOYO, ILIVYOWANANYUA UMATI LAYLATUL HELWA 2024, SHARIF KOBA
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
    UA-cam: / @babdeomiladu

КОМЕНТАРІ • 108

  • @aboujanomarion6121
    @aboujanomarion6121 2 місяці тому +9

    Mm ni twarika ila twende mbele nyuma hivi nisawa sauti za wanawake wanaume kua sambamba hivi hapa hakuna Mungu anachokifurahikia huu ni upuzi mtupu na dhambi tupu 😢😢😢😢

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 3 місяці тому +3

    اللهم صل وسلم على سيدنا محمد وآله وصحبه اجمعين

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 2 місяці тому +5

    Kweli sheitwan ana nguvu sana

  • @OmarAhmed-eg8qw
    @OmarAhmed-eg8qw 3 місяці тому +4

    Allahumma swali WA sallim alaihi

  • @muhammadkhatwab
    @muhammadkhatwab Місяць тому +1

    Mimi ni twariqa, na hii shughuli haimridhishi Mungu wala Mtume
    Tuangalieni namna tunavofanya mambo ya twariqa tusije kutukanisha mashekhe wanaojiheshimu na wasokuwemo

  • @abasimwinyibovu3090
    @abasimwinyibovu3090 3 місяці тому +1

    Allahumma taQabbal duaa yaa rabbal alamiyn

  • @ramarmularr4677
    @ramarmularr4677 3 місяці тому +8

    Mmmmmh sawa sie watu wa Maulid twakubali lakin aya jaman Eeee Tafadhalin tuachen Wallah

    • @Arkhamz_95
      @Arkhamz_95 3 місяці тому +1

      Mnona kawaida t miziki kwenye maulidi sasa ukiskia mashekh wanapiga vita uanze kupinga

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 3 місяці тому +6

    Mimi ni Sufi ila hii SI Hadhara ya mtume Muhammad

    • @DrBash88
      @DrBash88 3 місяці тому +1

      😂😂😂

  • @suleimanahmadaali5989
    @suleimanahmadaali5989 3 місяці тому +3

    Subuhana Allah Babdeo ndo unaelekea wapi, unaudhalilisha uislamu wew unaonekana unarusha darsa, mihadhara na mawaza ya kiislamu na unautangaza vizuri masjidi mtoro, leo hii unarusha mambo haya ya ajabu, miziki,changanyiko was waanawake na wanaume, wanawake wamejipamba mbele za wanaume ambao ni haramu kuwaona wakiwa katika hali hiyo, mcheni Allah
    Hivi masheikh zetu kina Sheikh Mziwanda Sheikh Abas mnayaona haya au mnayafumbia macho tu😢

    • @Arkhamz_95
      @Arkhamz_95 3 місяці тому +1

      Mambo ya kawaida haya kwa watu wa maulidi

  • @user-py3hg4bi7o
    @user-py3hg4bi7o 2 місяці тому +2

    Hii sio khery, hii ni shari maangamizo haya

  • @abasimwinyibovu3090
    @abasimwinyibovu3090 3 місяці тому

    Allahumma swalliy wasallim alayh

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 місяці тому +3

    Haraaaam

  • @salimuismaily693
    @salimuismaily693 2 місяці тому +1

    BAADHI YA WAISLAM SIJUI TUKOJE KWANINI TUNAKUWA NA HUSDA SANA WATU WAKIFURAHI NI KOSA MDA WOTE MNAPENDA MAWAIDHA YA KUTISHANA NDIO MNAONA NDIO DINI BAADHI HAWAPENDI WATU WAKIFURAHI

  • @user-py3hg4bi7o
    @user-py3hg4bi7o 2 місяці тому +1

    Allah awaongoze wao na sisi

  • @user-gl6ep3xp9s
    @user-gl6ep3xp9s 2 місяці тому +1

    Jamani hapo hakuna twariqa hapo musichanganye mambo,hao ni wanajifanyia sherehe zao tu.

  • @AyzalRicco-mi6iu
    @AyzalRicco-mi6iu 2 місяці тому +3

    Upuuzi mtupu Yani tumekuwa kama mayahudi na wakristo huu sio uislam ni upotevu mkubwa.

  • @abusumayyah3112
    @abusumayyah3112 3 місяці тому +2

    Ibada ya shaytwaan

  • @mrsahmadhajraah1550
    @mrsahmadhajraah1550 3 місяці тому +3

    Wanawake wanavyojipura sas khaaa

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 Місяць тому

    Humu ndio kwny mafichio ya mabaradhuli

  • @NurudiniHasani
    @NurudiniHasani 3 місяці тому +3

    Mtume hasifiwi hivo jamani

  • @lesliesolomon3624
    @lesliesolomon3624 3 місяці тому

    Swadakta 🎉🎉🎉

  • @abusumayyah3112
    @abusumayyah3112 3 місяці тому +8

    Babdeo walitaka kumfuata ili wamhoj abuu khawlah akawaambia hawezi kukaa nao kwa mahojiano kwa kuwa wao ni watu wa bidaa wakakasrika hayaa ona vituko vya rekodi zao. Mwenye macho haambiwi tazama.

  • @fatmajuma-ug1pj
    @fatmajuma-ug1pj 2 місяці тому

    ❤❤❤

  • @user-gl6ep3xp9s
    @user-gl6ep3xp9s 2 місяці тому

    Sio kila jambo baya linarushiwa kwenye usufi

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 3 місяці тому +3

    Nyinyi wa kina sheikh Uthaman Sheikh walid Muft Abubakar elezeeni vzr Hadhara za mtume s.a.w mawahabi ndio wanapata la kusema

    • @SwabihaAhmed
      @SwabihaAhmed 3 місяці тому +1

      Sasa hapa uwahabi unaingiaje wewe angalia huu ndio uislam aliyoufundisha mtume? Subhaana llaah nilini mutazinduka nahii ndo channel inayoyumika zaid kutangaza mas ala hayo ya maulid ,jiulize je haya yanayofanywa je ni mafundisho ya uislam wake kwa waume kupaza sauti kuimba ona wakina mama wafanyavyo dah subhaanallaah

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 3 місяці тому

      Uhabi kadhia Yao nikutukana na kujiona wao ni waislamu safi ....sieti kwa chuki ndio ilivyo

    • @SwabihaAhmed
      @SwabihaAhmed 3 місяці тому +1

      Tusi kusema kua huu ni uzushi ktk dini ndio tusi!!

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 3 місяці тому

      @@SwabihaAhmed Uzushi hata mmi na ww ni tumezuka baada ya Dini

    • @ahlulhadeeth
      @ahlulhadeeth 2 місяці тому

      @@muktarkassim6647jahil murakkab wewe hata Bidaa hujui ndo mukafanya Mambo hayo.

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129 3 місяці тому +1

    Kijogooooo 😂😂😂

  • @faudhianangonde6291
    @faudhianangonde6291 3 місяці тому

  • @user-zy4sx6xm4t
    @user-zy4sx6xm4t 2 місяці тому

    MashaAllah Allah wabarikiye nyote natamani niwe hapo swale ala Habibi Mohammad Love Frm Kenya

  • @nasilukilawaga2021
    @nasilukilawaga2021 2 місяці тому

    Duh!dini inachezewa hii.

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 2 місяці тому +2

    Upuuzi mtupu

  • @MohamedSleyim
    @MohamedSleyim 3 місяці тому

    Kama angejua English,Arabic. na Kituruki angeweza kumshinda Maher Zain.

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 3 місяці тому +1

    Na halafu mtu kama manara aja fanya nini hapo?? Wakati siku zote anaudhalilisha uislam

  • @user-gl6ep3xp9s
    @user-gl6ep3xp9s 2 місяці тому

    Taswwuffi ni kitu chengine na kinachofanyika hapo ni kitu chengine

  • @seifsuleiman4046
    @seifsuleiman4046 3 місяці тому +6

    Mimi ni msufi na ash aariyu aqiidatan na shaafiyu madh haban, ila hili lina mambo ambayo hata sheria ya wanavyuoni wetu wanayakataa na hayafai, mchanganyiko huo wa wanawake na wanaume hauna dhwawaabit za kisheria ambazo zimewekwa na wanavyuoni wetu...sifikirii kama ni sehemu sahihi kupostiwa na channel hiii....mambo mengine yasifanyike kwa ushabiki tunajibebea dhambi ndugu waislamu...

    • @Abuusaad-uy5cx
      @Abuusaad-uy5cx 3 місяці тому

      Si wametengwa ww umeona wapi wamechanganyikana

    • @seifsuleiman4046
      @seifsuleiman4046 3 місяці тому +1

      @@Abuusaad-uy5cx hemu angalia hao wanawake walivovaa nywele ziko wazi mapambo ya kwenye uso yaliyozid mipaka ya kisheria, alimradi apo hakuna mwanya wa kusema huo mchanganyiko ni mubaahah.

    • @user-tw4nf6bv8b
      @user-tw4nf6bv8b 3 місяці тому +1

      Tofauti ya Qwaya za kikiristo na hii kitu hapa ni ipi???????
      Watu wanaimba na kucheza vinanda ngoma nari zinarindima Allah awape fahamu na awangoe kutoka katika ujahili

  • @shabanibigo7996
    @shabanibigo7996 3 місяці тому

    Mashaallah! Qalb tulizana

  • @abdallahchilumba1774
    @abdallahchilumba1774 2 місяці тому

    Hii ni dini mpya sio uislam abadan.

    • @mahijjaeidi9144
      @mahijjaeidi9144 2 місяці тому

      Allah ndio anajuwa sio ww usipende kuhukum binadam mwenzio

  • @Mimein-vn7or
    @Mimein-vn7or Місяць тому

    Kawaida furaha ni ulevi wakati mwingine

  • @abdurazakihalfanost2845
    @abdurazakihalfanost2845 2 місяці тому

    tunawaombea san wenzetu mlio tabiriwa pepo mkiwa hai na makasiriko yenu

  • @sultanbakary4292
    @sultanbakary4292 3 місяці тому +5

    Hapa hakuna dini huu ni mziki

  • @IddiHasani-vq4rd
    @IddiHasani-vq4rd 2 місяці тому

    Ukiona uzushi una huishwa ujue suna nazo zime uliwa za kutosha hao wana haribu kizazi

  • @Mbambanaji
    @Mbambanaji 3 місяці тому

    Mashaallah Mashaalla🎉🎉🎉🎉

  • @husnahassan5984
    @husnahassan5984 3 місяці тому

    Nasubiri mpost video ya Mastia

  • @tigerroar3545
    @tigerroar3545 3 місяці тому +2

    Hii Taarabu ya wapi?

  • @hassanemohamed9666
    @hassanemohamed9666 2 місяці тому

    Ni Kenya awu ni tanzani

  • @hamisimtemi3803
    @hamisimtemi3803 2 місяці тому

    Mashaallah 🎉

  • @rahmaoman470
    @rahmaoman470 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤mashallah

  • @AidMohammed-wt7hk
    @AidMohammed-wt7hk 2 місяці тому

    Mashallah

  • @munaomar9532
    @munaomar9532 3 місяці тому +1

    Mpaka nimeliaaaa😢mtume mzurrrrr

  • @karafuunanazi1701
    @karafuunanazi1701 3 місяці тому

    Anayo alama❤❤❤❤

  • @saidramadhani8678
    @saidramadhani8678 3 місяці тому

    Mawahabi povu ruhsa😂

  • @Abuusamhasalum
    @Abuusamhasalum 2 місяці тому

    Matamanio ya nafsi zenu ndo adui mkubwa kuliko shetani

  • @musamsangi1610
    @musamsangi1610 3 місяці тому

    Hii bendi ya mziki inaitwaje tafadhalini

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 3 місяці тому

      Hio inaitwa "wahuni washenzi"

    • @nasramzee1131
      @nasramzee1131 3 місяці тому

      Naona na nyie wahuni mpo kuwaangalia wahuni wenzenu wala hamjaacha kuangalia

    • @nabawiyaissa387
      @nabawiyaissa387 3 місяці тому

      😂😂​@@khatibabass3106

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 3 місяці тому

      @@nasramzee1131 Mambo mlianza kidogo kidogo mkaona ya kawaida ,mlifungua wenyewe huu mlango sasa kuufunga hamuwezi.Na bado utakuja kuona na kucheza kabisaa

  • @hassanemohamed9666
    @hassanemohamed9666 2 місяці тому

    Wapi huku

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 3 місяці тому +1

    Huku ndiko tulipofikia wajinga wanakabidhiwa jukumu la kuongoza watu akina manara na wenzie wote hakuna walijualo katika dini wanafanya mambo ya kihuni na ya kipuuzi kabisaaaa kisha wanayanasibisha ktk dini na wale waliokuwa na elimu kidogo wanaendeshwa na matamanio ya nafsi hata kama wataona ni kosa hawawezi sema ukweli kisa maslahi tuh.

    • @salmaali7080
      @salmaali7080 2 місяці тому

      We unafanyaje kwenye page, ungeenda kuswalia rakaateennn badili ya kuangaliya, swalluuu alannaaabbyyy

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 3 місяці тому

    M ungu iokoe dini yako kama ulivyo ahidu

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 3 місяці тому +19

    Babdeo mmepotea ktk upotofu mkubwa, mnarekodi mambo ya kipuuzi na kurusha, sasa hii ni hadhara gani hujui ni taarabu au ni nini, yaani ni upuuzi mtupu mnaidhalilisha cheneli nyinyi badala ya kusaidia kusambaza mambo ya dini msambaza upuuzi, mnalo la kwenda kujibu mbele ya ALLAH

    • @Hussein-qq2uy
      @Hussein-qq2uy 3 місяці тому +5

      Mimi pia ni mtu wa mawlid kindakindaki lakini katika hili nakuunga mkono ndugu yangu siko pamoja na walioandaa hadhara hii maana imejaa shub,ha nyingi sana kama mchanganyiko wa wanawake na wanaume,,,wanawake wengi wamejipamba na wanaonekana waziwazi mbele ya wanaume wa kando,,,wanawake kupaza Sauti zao mbele ya wanaume,,,hakuna nidhamu ya utulivu,stara ya wanawake wengi si sahihi,,lakini pia baadhi ya qaswida zinazoimbwa zimetoka nje ya malengo ya hadhara za mtume maana maudhui zake hazieleweki nyingi ni kwa sababu ya kupiga hela tu ,,naomba tubadilike hasa hili la kuchanganyika wanaume na wanawake ni hatari jamani tunazidi kuwapa pwenti wapinzani wetu

    • @rahmaidd8818
      @rahmaidd8818 3 місяці тому +1

      Kimfano ungetoa MAONI YAKO bila matusi huu ujumbe USINGEFIKA nauliza tu

    • @user-gc3ec9wx6z
      @user-gc3ec9wx6z 3 місяці тому

      Wapumbavu wate awo

    • @shabanibigo7996
      @shabanibigo7996 3 місяці тому

      Sidhani kama kuna dini inafundisha matusi kama yako ​@@user-gc3ec9wx6z

    • @shabanibigo7996
      @shabanibigo7996 3 місяці тому

      ​@@rahmaidd8818Tatizo elimu nayo ina saidia hasa ukiwa nayo haswa hao wanao toa maoni kwa matusi sijui ili iweje

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 2 місяці тому

    Swalluuu allannabbbyyyy

  • @meowzna
    @meowzna 3 місяці тому

    Masha'Allah🙏🌹

  • @hanafitotoya7762
    @hanafitotoya7762 3 місяці тому +1

    Mashalaah kwakweli najiona kama nilikuepo hapo mpaka machozi yafulaa yamenibubujika

  • @kinengoaliy1762
    @kinengoaliy1762 2 місяці тому +1

    Ujinga gani huu

  • @Abuusaad-uy5cx
    @Abuusaad-uy5cx 3 місяці тому +2

    MAWAHABI HAWATAKOSA MATUSI MAANA WANAUNGUA WAKIONA MTUME YWASIFIWA

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 3 місяці тому +2

      Sasa hapo mtume anasifiwa au tamasha la taarabu tu hilo

    • @FaaidaTVtz
      @FaaidaTVtz 3 місяці тому +2

      Mtume (S.W.A) kadhalilishwa hajasifiwa.

    • @alhilaltvonline
      @alhilaltvonline 3 місяці тому +2

      Atukanishwa hapo wala hasifiwi. Haidhuru na Mimi ni ahlu Maulid ila hapo sio sawa.

  • @chanoshauq7138
    @chanoshauq7138 3 місяці тому

    Raha sana

  • @BakarOthman-fl7cq
    @BakarOthman-fl7cq 2 місяці тому +1

    Ww mpumbavu sema tu Mashallah,jahil ww

  • @abasimwinyibovu3090
    @abasimwinyibovu3090 3 місяці тому

    Allahumma swalliy wasallim alayh