3. MAMBO YA KUFANYA UNAPOKATALIWA KIMFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TABORA
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Semina ya Neno la MUNGU Tabora || Day 3 || Tarehe 7 Septemba 2024
.................................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
0752 888 847
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
WEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE
Mungu aendelee kukutunza na kukulinda mwl Christopher mwakasege, arejeshe ujana wako kama tai, ni hazina kubwa sana wewe kwa taifa letu la kiroho na kimwili
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu aliye hai, akupe maisha marefu uendelee kutufunulia mafunuo Mungu anayosema nawe
Amina Amina kupitia Ibada hii mungu ukatende makuu ktk maisha yang 🙏🙏
Mungu kupitia ibada hii naomba kumbuka watoto waliosomea udactari wa chakula wapate kwenda inteni mwaka 2025 wote waliomaliza 2023 na 2024 asnt Yesu kristo
Ee Mungu kupitia hili somo nikumbuke kwenye mfumo uliopo
Napenda kumshukru mungu kwa maombi mlioniombea nilkuwa naumwa sn kwa muda mrefu ninanafuu japo baadhi ya vitu bado havijaachia lkn naamin endeleen kuniombea kpitia madhabahu hii naamin ntapona Queen masinjisa.
Na hivyo vilivyosalia navyo viachie kwa jina la YESU kristo alie hai naiachilia dam ya YESU ipenye kwenye mwili wako ikaondoe kila uovu ulioingia kinyume na mpango wa Mungu kwenye mwili wako ikutakase na na kukuponya kabisa nami natangaza uzima kwa jina la YESU Amina
Amina kubwa pia nahitaj namba zenu za Tigo PESA kwaajil ya sadaka
Asante Mungu Kwa kutufunulia neno lako. Baba, Mungu Akubariki
Samahani watumishi, ibada ya kuabudu na kusifu inakatwa katwa vipande Kuna namna wingu linapotea hasa tunaofuatilia mtandaoni,, Mungu awabariki kwa huduma njema
Mungu kupitia hii Ibada ninajifunguwa kutoka kweny vifungo vilivyofunga mifumo yangu ya maisha nisikutumikie wewe mungu wang nimechoka maisha ya kuishi na dhambi nimechoka sana mungu kumbuka kilio changu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amen🙏
Nabarikiwa xan
Asante Yesu 😊
My load my God Amen Mwalimu
Mziki umetulia 🎉🎉🎉
Greater glory to living God
Duh ila mifumo noma🙌🙌
Sio somo rahisi
Nimekubali
Amina.. Ujana ni lika la maamuzi
Baba tunaomba upeleke neno la mungu mkoa wa Geita baba usitupite tunaomba utukumbke na mkoa wa Geita
AMEN
Amen
Ameeen
Ameen
Amina
AMINA. HALLELUYA.
Lazima nsikie neno " mwakasege unasema nin/mwakasege unaongea nin"❤😂
Naomba kitengenezwe kipande kuanzia pale siyo kila aliyemo kwenye mfumo anayo nia njema ili ujumbe uwafikie vizuri wanafiki
Nikumbuke baba
Unaweza kuwa mzazi lkn usiwe baba
Wapiga vyombo mnywe Pepsi
😂😂nalipia
Aisee mmevitendea haki vyomboo🎉🎉🎉maua yenu
Yusufu alitolewa kwenye moyo WA Baba yake WA kimwili baada ya kuletewa taarifa ya kifo
Eti km upo kwenye mifumo ambao hautaki kusema ukweli, jaribu uone😅
Ila mwalim🙌
Nimecheka sn
Amina