So painful 😢😢😢😢 but take heart my dear sister hivo ndivyo mambo yalivyo unaye mpenda naye anampenda mtu mwingine ❤ kelvin ❤️❤️❤️❤️❤️kazi nzuri sana ACHA mungu akubariki wewe pamoja na familia Yako
Mimi kutoka Burundi.ninapenda movie zako Wewe n'a timu Yako kwasababu movi zako zinamafunzo kwa mtu yeyote Mungu awabariki muendelee kuwa n'a mafanikio katika kazi zenu 🎉🎉🎉
James ananichekesha eti wanawake Wana vituko wakiwapamoja anamwambia ni mrefu kama lingoti wakiachana anamwambia ni mfupi kama nyundo 😂😂😂😂😂James na huyo mapenzi wako😂😂😂
dah kelvin hii muvi ni balaa sana maana navyoona ni Kali sana ila kaka ukijua Rashid anatembea mke wakonmtarajiwa sijui itakuaje haya ngoja tuo.nice job kaka
Kazi hiii naomba iku bariki kama inavyo ni bariki, kazi hiyi ina muzunguko wa waume nama bibi, uki itazama kwaku kupendeza itakunza umalaya ao iukutowe katika hali ya umalaya.🙏
Tina nlikuona mtu poa umetulia sio kama Lina mwenye tamaa na udanganyifu mwingi kumbe tofauti yenu ni herifu ya kwanza ya majina yenu ila tabia ni zile zile😊😊, naenjoy sana hii series mwanzo mwisho Kenya 🇰🇪 iko locked
Kama unahurumia kelvi drop your like apa❤❤❤from i am KENYA
Ila napenda mnavyoigiza jamn sitak hata like zenu embu tuwapongeze Hawa wanavyoigiza
Kweli sana
Pole kaka kelvin na mchumba wako ni chakula Cha wote am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tujuwane aki kwa like.
Wakenya kusanyikeni hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tuko hapa
tupo mamaa
Tupo
Jaman team Kevin 🇺🇬🇺🇬🇺🇬 weken hapa like za donta tv
Ivi huyu Vai na boss mbn wanafanana
So painful 😢😢😢😢 but take heart my dear sister hivo ndivyo mambo yalivyo unaye mpenda naye anampenda mtu mwingine ❤ kelvin ❤️❤️❤️❤️❤️kazi nzuri sana ACHA mungu akubariki wewe pamoja na familia Yako
Mimi nawakubali kinoma kwani mafunzo yenu Kwa jamii ni makubwa sana japo kasoro yenu moja ni pale mnapochelewesha kazi ila tunawasamehe ktk hilo
Pole kelvin bora upite na boss maana wife mtarajiwa saahii anapepewa hewa na mzee mzeekaa.pole na ongera kwa kazi nzuri na team yko yte🎉🎉❤❤❤
Km wafuatilia siku moja kabla ya ndoa like apa nawapenda saaana Wana hamamu 🇸🇦🇰🇪🥵💞💞♥️♥️
C baada, kabla😂😂
Ni kabla jmn😂😂
We umeharibu sema kabla ya ndoa nitatoboa screen nije nikukande 😂😂😂
@@makkamakka9171 🤣🤣🤣🤣🙌 sawa
@@judithpendo9985 🤣🤣❤️🥰
Mimi kutoka Burundi.ninapenda movie zako Wewe n'a timu Yako kwasababu movi zako zinamafunzo kwa mtu yeyote Mungu awabariki muendelee kuwa n'a mafanikio katika kazi zenu 🎉🎉🎉
Mm wa kwaza nipeni like zagu nikiwa kenya garissa county
Kwamb hatuon ww xio wa kwanz, hayaa
Jaman leo wa kwanza nipe like zangu kwa team ndota tv
Hongeren San
Thanks
Mutoto wa boss atakufa n'a presha ya wivu kwa Kelvin pole sana binti
Mshangazi oyeee😂😂😂😂pole Tina ndio titi kwa tati watwaa pesa kwa James wapeleka kwa lachidi haya ona ss lachidi atoka na shemegie 😂😂😂
Jemsi nae anatoa pesa kwa mshangaz 😂😂😂 mapenz haya mmh , hapana
Na huyo James nae anaongwa ni nani hizo pesa ama ni 😂😂zake
@@rukiahassan7001yan wanachanganyana ad siyo pw mshangazi ananibamba kweliii❤😂😂😂😂😂
@@user-dn3sn2fk9v pesa zinarudi tuh kwa rashidi na kelvin
Wapi like za kelivin much love from Kenya guys like back❤❤
Yan huyo Maman ni noma sana🤣🤣🤣ana moto weeeeee!!
😂😂😂
Toka nianze kufuatilia donta cjawah kujutia nawapenda san❤🎉😊
Kazi nzuri donta family najifunza sana kutoka kwenu ila nampenda sana daa tina❤❤
Ivi uyo madam na mfanyakazi wake mapacha au mbon wanafanana sana
Congratulations boss kwa kufaa sura ya kazi 😂😂😂❤tunawapenda sana 🇰🇪
😂😂😂😂😂huku kila mtu ni WA kwanza jamani mwanifurahisha sana
Nakwamby na kuomba like kama chakula 😂😂😂😂😂
Leo nina furaha sana najua ukweli utaumbuka tu ka Rashid jipange 😅😅 nawapenda Bure team donta
Jamani kazi nzuri sana ongezeni juudi wakubwa zangu nawapenda sana ❤❤ mupewe mauwa yenu🎉🎉🎉🎉
Sijachelew san jmn nawapend nyote mnaofatilia donta tv ❤
Uyo mshangaz unajua kupet pet 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila Kevin pole kwahayo yanayokukuta😢
Sanaa 😂😂😂😂
James Leo nakupa maua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pokea watching from saudi Arabia team hammam vip
🥰🥰🥰👏👏👏
Good job 👍👍 bro alafu hii movie ingeitwa tu usaliti 😢
Kweli kabsa
Ukweli 😂
👍
😂😂😂
Me hua nasema Kelvin hua unanifunza sana kupitia hizi move zako ila tina amemfokea sana nely much love from saudi but ninatokea kenya ❤❤❤
Huyu mtu anajua sanaa aiseee
Mngeandika wiki kabla ya ndoa sio siku moja
Me naona miezi sita 😂😂😂
Mimi wakwanza Leo nipeni like zangu jameni❤❤❤❤❤❤❤
Hizo likes ni ugali kwani?????
Kwani hawa wanaume huwa wanataka nn jamani likes zangu wapedwa
Wanaume mko kazi kwel sahi hamtucheleweshi
Watu wa Burundi njoni hapa tumupongeze Kevin dunga link hapa
Kunambi umenichekesha san 😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😊😊
Mm si wa kwanza laminitis naomba likes za wana donta tv❤❤❤❤❤from 🇰🇪
James ananichekesha eti wanawake Wana vituko wakiwapamoja anamwambia ni mrefu kama lingoti wakiachana anamwambia ni mfupi kama nyundo 😂😂😂😂😂James na huyo mapenzi wako😂😂😂
Mtu jiangali kwanz dipo ufanye jambo huyo demu asituvalie kipini jman hajaprndez kabisa
Dem gan😂😂😂
@@aminaabdalla-uo9zq kwel voh hem muangalie hakijampendeza hasaa bora tumuambie kuna pua za vipini jamani tusienge tu duh 🙄
@@aminaabdalla-uo9zq aaa jina lake sjui limenitoka pia mamii
🤣😂😂😂ashckia
Jamani ww 😂
Tina Tinaa umemuua mjomba ako kisa rashidi 😂😂 umetisha mapenzi kiboko😂😂😂
Am the fast. One today like at a tatu
Kelvin ujambo naulizia yule kijana muokota makopo na yule Mschana nimewasahau njina wako wapi naomba walete tuwaone plz
Wembe na Maura ❤
Sio
Hongera sana kwa move yenu nzuri mungu awabariki ❤❤❤❤
Neeelllyyyy,,kwema kabisa kazini,,, hahahaha. Hongereni San Donta Family kwa kazi nzuri.
Waliotamani kumwona Vicki na episode ya Leo na hatukufanikiwa tujuaane
Leo nipeeni likes nimefika mapema kidogo🇸🇦🇰🇪
Number one
Wanaume wa siku hizi hawashukulu Rashid nikupe nn wewe 😢nguo nanunua mm kila kitu lashidi 😢😢😢😢😢😢😢😢ila wanaume kweri mwaudhi pigeni mawe 😂😂😂
😂😂😂😂w kuuwawa kabisa
Ila boss yk vizur n majibu yak ya kukera👍
Safin sana tuu hendele hivo hivo episodes 7
Najiona kabisa tabia zangu na za Rashidi hatuna tofauti maan hata mm shem akikaa vibaya kumla ni kawaida yangu😂😂
🙄
😢
Shenz
@@ZulekhaAmar-fy4pm 😢
@@user-px3ct3nq6r 😂
Wakenya in saudi arabia mko wapi nipeni likes zenyu
Tina nyamaza yametukuta wengi
Nakuru county nipeni likes zenu,moto unawaka jamani 😄
Jamani wangap wanaona mama anavyojua kuigiza hapanaua yake 🎉🎉🎉🎉
Kelv tunamtak loveness na nasra tuwaon umu
dah kelvin hii muvi ni balaa sana maana navyoona ni Kali sana ila kaka ukijua Rashid anatembea mke wakonmtarajiwa sijui itakuaje haya ngoja tuo.nice job kaka
Kazi nzuri sana ❤❤❤
Sasa madam boss s uende tu moja kwa moja kuliko kumwimbia nyimbo ndeefu Kelvin wetu
Jishangazi kwa kudeka sasa
Ww boss nawe unamatatizo makubwa sana hata kama mtu unampenda kwa ukali huo na kibur atakukubali
Kila unaempenda nae anae wake anampenda had raha 😂
Nipeni liké zangu jamani sija chelewa sana
Jamani haya mapenzi shikamo mapenzi
Yaani mm namuonea sana huruma kelvin
Mko vizuri sana
Heshima kwa Kelvin ❤ twa kupenda saaana
Wakwanza leo naomba like zangu
Vai uko sawa hongera sana
Nipeni likes zagu nikiwa garissa kenya
Jmn boss wake kelvin sikuelewi mbona unawiv sana au unapenda kelvin maana unakuwa mkali kwa kila mtu jmn ambaye ameliona hili jambo gonga like
Wakwanza Leo nipen like zangu
Kelvin mwambie sawa naacha kazi uone kama hatakubembeleza
🎉🎉🎉nmejalibu leo
Nawapenda mamake lihna na kibebenteni wake😂😂😂 wanajua kucheza part
JAMANI NA MM NIPO..nipeni like🤜
Nimekuwa ni mewamiss jameni izi kazi zawarabu nazo nihatari kbs
jamani nimewahileo nipeni like hata 5
Vicky acha kumtesa kevin anakupenda ns wewe unamchezea tu
Tina leo analia mapenz shikamoo
Mshangaz anajua kuigiza jmn 😂😂 n kibenten wake wananifuraisha❤️❤️
Wakutane kp na kelvin kwenye tamthilia moja
Kazi hiii naomba iku bariki kama inavyo ni bariki, kazi hiyi ina muzunguko wa waume nama bibi, uki itazama kwaku kupendeza itakunza umalaya ao iukutowe katika hali ya umalaya.🙏
Doctor Calvin inatisha my Braza God bless you
Haya mshangazi upo
Bwana Smith hii camera umetumia kwa hii episode siyo. Inaonekena sio clear
😀😀😀😀😀😂😂 Bosss na Kevin kimeumana + ndoa yaaaaniiii mmmh!
Ila tuko pamoja sako kwa bako kama tigo na bando
Tina natamani ufikishe ujumbe tena kwa haraka sana nakupenda bure ❤️❤️
Kevin hanaga baht ya mapen aki
Toa kila siku broo
Kenya Watching, twapenda
Boss wa hii movie n wa moto sana,
Boss una wivu balaa wala hata hupendwii
,,😂jamani story nzuli
Tunawapeda sana Tunataka party 7
Tina nlikuona mtu poa umetulia sio kama Lina mwenye tamaa na udanganyifu mwingi kumbe tofauti yenu ni herifu ya kwanza ya majina yenu ila tabia ni zile zile😊😊, naenjoy sana hii series mwanzo mwisho Kenya 🇰🇪 iko locked
Kaka naona kaz inaedelea vzr, God bless
❤🎉🎉Deus abençoe está familia🎉🎉🎉
Mpak apo kila mtu ana wawailiwawil,hayaa
Nawapenda sana
Nimewah Leo jaman cjawah