MARIA ROZA ATELEKEZA MTOTO MCHANGA MIEZI 7 - AKUTWA AKISTAREHE kwa BWANA'KE - APIGWA VIBOKO na RAIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • MARIA ROZA ATELEKEZA MTOTO MCHANGA MIEZI 7 - AKUTWA AKISTAREHE kwa BWANA'KE - APIGWA VIBOKO na RAIA
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 207

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 днів тому +3

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 7 днів тому +12

    Majirani hongereni sana Mungu atawalipa kwa kuwasaidia hao watoto 💖💕uyo maria roza apigwe viboko vya kutosha ili asiludie tena ujinga wake

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 6 днів тому

      Unajua anayoyapitia au unangangania apigwe tu 😢kua na huruma maisha yana siri kubwa depression inaweza kukufanya ukafanya chochote kile 😢

  • @vero57
    @vero57 7 днів тому +19

    Mumefanya vizuri sana majirani, ndiyo inatakiwa hivi kila sikuu👏👏💐

    • @ladyr.hamsini2311
      @ladyr.hamsini2311 7 днів тому

      Majirani wamefanya vizuri mpigeni sana

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 5 днів тому

      @@ladyr.hamsini2311 ila cjui ni tumechoshwa na maisha au cjui hatuna matumain ya maisha au ni iman na upendo ndo zero??? cjui kwa kwl manake wengi tunasema apigwe tu afu nn kitafata atanyooka ama!? nawaza tu

  • @Kuruthum-tf1vr
    @Kuruthum-tf1vr 7 днів тому +17

    Daah 💔
    Watoto wanaumia jaman wanawaza mengi mda mwingi Wana kuwa wapweke 😭
    Mdada mzuri lakini kichwani Amna kitu

  • @user-ih7go2qq6k
    @user-ih7go2qq6k 7 днів тому +15

    Kila mtoto ana haki ya kuwa na mzazi ila sio kila mzaz ana stahili kuwa na watoto 😢

  • @annajohn3377
    @annajohn3377 6 днів тому +2

    Kwwli kuzaaa cikupata mungu anakup jitoto pumbavu kam hilo niaibu kubwa cijawah on mnyam mwwnyew akilea haachi mwanae sembes ww binadamu

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 7 днів тому +5

    Sasa siatambemenda huyo mdogo jamani

  • @samahakihange6421
    @samahakihange6421 7 днів тому +16

    Jamani msimuachie hao watoto wapelekeni hata kituo cha kilala watoto atakuja kuwaua 😢😢😢

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 днів тому +2

      Wanaweza kubakwa pia na hao watu anaokotana nao kwenye pombe, hatari sana

  • @vero57
    @vero57 7 днів тому +9

    Sasa hapo asipo agalia atapata ujauzito tena na watoto wachangaa bado hawajakua!!

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 7 днів тому +7

    Ndio unakuja unakuta watoto wamefanyiwa vitendo vibaya , kwa dunia hii na haya matukio sio salama kabisa jamani wazaziiii😢

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 7 днів тому +12

    Msimpige jamanii hyo Dada yawezekana anaptya Magumu na Msongo wa Mawazo Msaidieni tu jamanii Ina uma sana kwakweli Wanawake tunapitya Mengi kwenye majumba 😢 Ukiona Mwanamke mwemzyo Amevuliwa nguo msitri na usishadadie et kwavile kwako kuko salama 😢Ombea sana boma yako😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @user-eb4nq5du2q
      @user-eb4nq5du2q 7 днів тому

      Ata me naisi ivo eti lakin wao wanakazana kimchapa mwisho wa siku wa muue😢😢😢

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 7 днів тому

      Ndio shida ya sisi mashabiki,huyo lazima ana matatizo ya kiakili, depression au Kuna shida katika ulimwengu wa roho,anahitaji msaada,aombewe

    • @user-eu4pk3eh5d
      @user-eu4pk3eh5d 7 днів тому +1

      Ushasikia alitukana wazazi wake ndio shida zaidi hio maana ujana maji ya moto

    • @PaskaziaEmmanuel-ch6zu
      @PaskaziaEmmanuel-ch6zu 7 днів тому +3

      Siwezi acha wanangu hata. Kama napitia magumu kias gani

    • @eshaommy484
      @eshaommy484 7 днів тому +2

      Ugumu wa maisha huku analewa yani huyu ni wakuchapa mpaka ajinyeee ss aliwazaa wanini

  • @SalmadaMsungi
    @SalmadaMsungi 7 днів тому +6

    Duuuuuuh halafu mnasema mzazi hakosei 😢kwa staily hii aisee baadhi ya wazaz wanakosea vibaya mno

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 7 днів тому +5

    Mama Gwajima weka ndani hyo mbwa

    • @Osm90-m3j
      @Osm90-m3j 6 днів тому

      😅😅😅😅tena Ningekuwa mmi ningembutua

  • @hyy4114
    @hyy4114 7 днів тому +4

    Subhanna Allah huyo bwana wenyewe mtoto kbs

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 6 днів тому

      Na cjui kama ata ela anampa uyu dada😭😭

    • @hyy4114
      @hyy4114 6 днів тому

      @@verobecamfipa8655 kuchezewa tu basi katoto kama hako kapatie wap pesa hali ilivyo kuwa ngumu hv labda kawe kibaka

  • @SophiaAthumani-ri4lu
    @SophiaAthumani-ri4lu 7 днів тому +3

    Eee mwenyeezimungu natamani hata anipe hako kamalaika nikaleee Jamani 😢😢😢

  • @annaurassa9231
    @annaurassa9231 7 днів тому +4

    Ana msongo wa mawazo asaidiwe kulea watoto

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 7 днів тому +1

      @@annaurassa9231 Huo msongo wa mawazo kwenye kulea watt ila kwenye dudu hana msongo wa mawazo😂

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s 7 днів тому +3

    Nipo bukoba ila natamani anipe hao watt niwalee jmn😢😢maan huyu ni kiburi na kawa mlevi na mzinzi hakna cha stress za kuacha watt kukumbuka mwanaume yaan na bado ànamtete😏😭

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 7 днів тому +6

    Jamani!! Msimpige ongeeni nae ana msongo wa mawazo anaitaji msaada

  • @SihabaAbdallah-li6dx
    @SihabaAbdallah-li6dx 7 днів тому +1

    Mwanamke kula pombe ya kazi gan sibora utulie nawanao ayo maish ya pombe y kaz gan

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 7 днів тому +5

    Mpelekeni police hana akili timamu huyo?

    • @user-eb4nq5du2q
      @user-eb4nq5du2q 7 днів тому

      Kwaiyo mtu ukiwa una akili unapelekwa mahakamani kumbe 😢😢

  • @JohnsonVicent-dl2dl
    @JohnsonVicent-dl2dl 7 днів тому +4

    Aniletee mm jaman ninashd ya watoto

  • @SamsunGalaxy-e5k
    @SamsunGalaxy-e5k 7 днів тому +2

    Malaya tu huyoo

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 2 дні тому

    Mama Gwajima aiguille kati 😢😢

  • @nicebatare2737
    @nicebatare2737 7 днів тому +1

    Badala mumchangie Hela mnamchapa😂😂😂

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 6 днів тому

    Kung'uta kabisa huy malaya

  • @teddymassawe3583
    @teddymassawe3583 7 днів тому +4

    Ugumu wa maisha anaweke mpaka nywele dawa,huyo ni mwongo bhana

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 7 днів тому

      Hapo hapo. Halafu wanamsikiliza nakupiga nae story. Huyu niwa kiboko mwanzo mwisho mpaka ashindwe kupumua. Watoto kapikia sasa huyo wa miezi 6 anajua kula?

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 7 днів тому +7

    Uyu dada ana stress wallah😢 hayuko sawa 😢😢😢😢jaribun kumuongelesha kiupole labda atawaelzea

    • @user-eu4pk3eh5d
      @user-eu4pk3eh5d 7 днів тому +1

      Stress ndio Imfanye awafungie watoto ndani peke yao

    • @ivyroses9019
      @ivyroses9019 7 днів тому

      Mtoto mchanga kumwachia Mtoto wa Nursery?ukatoka ukaenda kunywa na kuwafungia?hali hii ya watoto kuibiwa na kufanyiwa ukatili wa kila aina na ukatoka usiku?hakika kuna shida kubwa ndani yake...
      Ulevi ni kama uraibu mwengine tuu ,kwakweli huu ni ujinga uliopitiliza,anafanya makosa yasiyokua na sababu za kimsingi kabisaa...Inahuzunisha sana

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 7 днів тому

      Yuko sawa sana mbona hasahau dudu la yuyu

    • @memoryngambi7570
      @memoryngambi7570 7 днів тому

      Hana stress ,anamuonekano mzuri kabisa kwanini atafute wanaume wengine?wakimzalisha tena,alale huko huko,arudi tena aendelee kulala na huyo mwanaume ndani,je atakae mzaa atamlea, anaendelea kuongeza idadi ya watoto,mbona Kuna wanawake ni wapambanaji kuliko wanaume,na ni ma single mother,shida inamfanya mtu awe mchapa kazi lakini huyu mwenzetu ni uzembe

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu 7 днів тому +2

    Hao watoto asiachiwe, atawauwa nakwahivi wamemuwamba fimbo, ndo atawachukia kabisa

  • @user-hp7rx4zk4t
    @user-hp7rx4zk4t День тому

    Mjumbeee mi napigwaaaa😂😂

  • @TinaTana-i5s
    @TinaTana-i5s 7 днів тому +2

    Atawauwa watoto wanaitaji msaada

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z 5 днів тому

    Safi sana mfano wa kuigwa majirani😂

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 7 днів тому +3

    Mwandishi pelekeni police huyo muuwaji

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 7 днів тому +1

    Mtihani huu kwa kweli hajielewi uyo dada

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 7 днів тому +3

    Huyu dada hana akili maskini km anazo basi anamsongo wa mawazo na umempelekekea tatizo la afya ya akili.
    Mtapiga muue watoto wachukuliwe atakuja kuwaua jamani uwiiiii

    • @فيصلالبادي-ح1غ
      @فيصلالبادي-ح1غ 7 днів тому

      Sikia kua analaana ya wazazi wake ila aliwatukkana kwahiyo huyo katika maisha yake hakuja kua sawa abadani labda akawaombe mshamaha wazazi wake

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 7 днів тому +2

    Ss kwann ana beba mimba hyo mjinga km maisha magumu😢

    • @jenymtafya3430
      @jenymtafya3430 7 днів тому +1

      Ndo ushangae na njia za uzazi wa mpango zipo za kutosha😢😢

  • @mackysuphian
    @mackysuphian 7 днів тому +2

    Unazalia nn sas mbwa ww mshenzi kbsaa wangemchapa na mkia wa taaa au mkanda mpuuzi kbsaa huyo miaka 6 unamuachia mtt wa miezi 7 kweli bila hata huruma mpuuzi wa mwisho ww dada

  • @teddymassawe3583
    @teddymassawe3583 7 днів тому +3

    Chapa kabisa mjinga kabisa,chapa iwe fundisho kwa wengine

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 7 днів тому +2

    Wako saii ira naona awajamupiga ata awajazimia

  • @dorahbenard1837
    @dorahbenard1837 6 днів тому

    Asaiv matukio mengi hiv unaanzaje kuacha watoto jamn??? 😢

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 7 днів тому +7

    Wapelekwe ustawi watoto please hana adabu uyo dada

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 7 днів тому +1

    Ustawi wa Jamii
    Kazi yao hiyo
    Msimwachie wtt
    Wataumizwa hao

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 7 днів тому +1

    Linapenda ngono jinga hilo mxiiiiweee

  • @user-cp2do9pd5k
    @user-cp2do9pd5k 6 днів тому

    Angetandikwa vizuri

  • @user-ek6yx4fq3c
    @user-ek6yx4fq3c 5 днів тому

    Jamani labda ana depression au uggumu wa maisha kaenda kutafuta pesa😢😢

  • @user-ef1zl5gi1k
    @user-ef1zl5gi1k 6 днів тому

    Hongeleni sanaa majilani ivi ndivyo inatakiwa kuwa na umoja tena mkuguteni uyoo mpaka ashindwe kutembea akome umalaya tu umemjaa😢😢😢😢

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 7 днів тому +5

    Wamchape kabisaa hana akil yan mtt wa miez saba anamuacha yy anaendekeza dudu

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 7 днів тому

    Safi Sana hao ndo wanasababisha watoto kutupwa

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 7 днів тому

    ❤❤kazi mzur sana

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 7 днів тому +1

    Miez 6 mm wangu anamiez 9 na hata kutoka sitok mbali na mtt wangu jmn unafanya umalaya mtt wa miez 6 kweli?

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 3 дні тому

    Tulaumuni sisi wanaume kwa kweli kuna baadhi hatuna huruma

  • @MariamuMkama
    @MariamuMkama 7 днів тому +1

    Hao watoto hakuwazaa.

  • @gracephilemon4325
    @gracephilemon4325 6 днів тому

    Safiiiiii majirani kwa bakola

  • @HussainMaula-l1s
    @HussainMaula-l1s 7 днів тому +1

    Aliempa hao watoto yupo wapi

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 7 днів тому +5

    😂😂😂 makubwa jaman dada tulia lea watoto wako😢

  • @LevinaMiteo
    @LevinaMiteo 7 днів тому

    Heeee M/Mungu anisamee ana wapa uzazi watu ambayo hawana shida na watoto wengine Wana taabika wanatafuta watoto lakin wanakosa yy napata bahati yauzazi ana chezea watoto jamn😢😢

  • @Sharefa-v6n
    @Sharefa-v6n 7 днів тому

    yaan kama ingekua hvi kwa wote ingependeza sana hongereni sana akina mama kwasabab hatakama anaptia magumu si bora aombe usaidz, Sasa si aibu hyo jaman duuu hatar

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 днів тому +1

    Achapwe vxr!

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 7 днів тому

    Wanaume mkiwa hamuhitaji watoto msiwape mimba wadada wawezenu kutupa kichwaa ili watoto wapate chakula hapo maombi yanahitajika na msaada wa kipesa unahitajika huyo maisha yanamchanganya

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 6 днів тому

    Uyu maisha ndo yanamsumbua.muzesheni kimaisha asee😢😢

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 6 днів тому

    Mwacheni huyo mama aongee nae huyo naona ana busara anaweza akajifunza kitu wengine punguzeni hasira

  • @ZainabuSwai-k3c
    @ZainabuSwai-k3c 6 днів тому

    Hupo sehemu gani aje anipe huyo mtoto mchanga

  • @engineerismael2186
    @engineerismael2186 6 днів тому

    Saf san majiran

  • @getrudasanga9469
    @getrudasanga9469 7 днів тому +1

    Ana umwa akili huyo.asiachiwe watoto

  • @salhabeautybashiru8393
    @salhabeautybashiru8393 6 днів тому

    Nyie afu katoka kukurupushwa na mwanamme afu anaenda anataka kumbeba mtoto hajaoga na hajali

  • @mitchellshayo4801
    @mitchellshayo4801 6 днів тому

    Ila huyu lazima anachangamoto lazima... Ila angeangalia namna ya kuwalea watt wake bado n wadogo sana jmn ukiangalia n hay matukio ya sasa ni stress tupu asaidiwe tuu kivyovyote vile 😢😢😢😢😢

  • @ukhtyrehemaabdy2830
    @ukhtyrehemaabdy2830 6 днів тому

    Jaman jaman jaman mtoto wangu dk 5 sijamuongelesha naenda kumbusu yaañ nataman kumla akae tumbon kwangu kwel unatelekeza watoto jaman dah nyie majiran chapa viboko bora angekuwa anauza hâta Maji ya kunywa apate kula Ila pombe shenzi kabisa

  • @Mojabo-qi7sv
    @Mojabo-qi7sv 6 днів тому

    Duh mtihan

  • @memoryngambi7570
    @memoryngambi7570 7 днів тому

    Kumbe anastahili kuchapwa maana anaacha watoto,anatafuta wanaume wengine ,wakimzalisha tena ?wenzie wanapambana ili walee watoto jamani Mungu atusaidie.

  • @yunisimaiko
    @yunisimaiko 6 днів тому

    Jmn wachukueni hao watoto wapelekeni kituo Cha kulelea watoto, siku atawauwa 😭😭 msaidieni tu jmn huyu hawezi kulea watoto jmn

  • @StevenGiven
    @StevenGiven 6 днів тому

    Hiyo mtoto wa nasari achukuliwe maana hasira mama Ake atamalizia hasira hapo

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 7 днів тому +1

    Kuzaa tu kulea aaaanh

  • @ladyr.hamsini2311
    @ladyr.hamsini2311 7 днів тому

    Jamani sasa huyu ni mume 😢au mtoto anaonesha bado yuko kwao ati mume😢😢kujifhalilisha😢😢

  • @user-im9wf2tb2r
    @user-im9wf2tb2r 6 днів тому

    Yaani watoto kama huwezi kuwalea usizae tu sasa kijana huyo mdogo anakupotosha hadi kusahau familia yako,majirani endeleeni kuwaadhibu watu kama hao akili iwasogee,hawajui dawa za majira zilipo🤔🤔🤔🤔

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 7 днів тому

    Uyu mama muaji

  • @user-mw7cs6rs6q
    @user-mw7cs6rs6q 3 дні тому

    Hiyomtoto nipeni mm nimlee jamani sisi tunashida nawatoto wao wanawafanyahivi

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 6 днів тому

    Huyu dada kwaharaka haraka nilivomtizama nakuskia namna anavongea imenipa picha kua kuna jambo kubwa sana kichwan kwake
    Hivyo anahitaji wtu wabusara mno kukaa nae nakumchimba kwakina
    Ana mambo mengi sana kichwani huyu dada
    Anahitaji msaada mkubwa sana naomba na kuwashauri wa tanzania wenzangu msimpige kaeni nae mtajua mengi sana kumuhusu

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 6 днів тому

    Peleken polisi uwo mshenzi

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 7 днів тому +1

    Hichi kichanga kama ni chakiume nipeni Mimi jamani

  • @jackstanley8029
    @jackstanley8029 6 днів тому

    Sàsa kama ní úgumú wa maisha mbóna kapeñdezà?

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 7 днів тому +1

    Atawanyonga huyo msimpatie watoto

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 7 днів тому +1

    Huko chini kwako huchoki kuchezewa umezaa juzi tu mtt miezi 7 uso kama mbwa mwitu dunia imeharibika huoni au husikii weye watt wanabakwa wanauliwa uko kwichi tu mda wote unawashwa heee

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 7 днів тому

    Ukishangaa ya kutekwa utashangaa ya mariya rosa😢

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 3 дні тому

    Chukuweni mtoto mdogo atamuuwa

  • @SamsunGalaxy-e5k
    @SamsunGalaxy-e5k 7 днів тому

    Kwanini anakubali kutobwa hajui km ataxaa

  • @mwanaidiuhako2373
    @mwanaidiuhako2373 6 днів тому

    Yaan anashindwa hata kufanya kazi za kufua mbona wapo wanaishi na kulea watoto Kwa kazi ndogondogo za kujituma jaman duuh dada unakosea sana hao watoto watakulaani hao wanaume watakuwa mimba uzae Tena uendelee kuwtelekeza fanya kazi Acha uvivu huo ndo unakuponza imeniuma sana jaman mtoto wa miez Saba unamuacha na mtoto wa chekechea jaman😢

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 7 днів тому

    Uhuni nao unachangia hivyo maombi yanahitajika

  • @mwanaidiuhako2373
    @mwanaidiuhako2373 6 днів тому

    Tunawaona wanawake wanahangaika kuuza hata mbogamboga na watoto wao mgongoni ww unakwama wap mchapeni kabsa huyo ni mjinga mmoja anatuaibisha kbs

  • @DelianaSumbi-zt3kf
    @DelianaSumbi-zt3kf 7 днів тому

    Huyu apgwe ka sababu anamuachaje mtoto wa miez saba kwa nn asiende nae huko anakoenda achapwe sana akl imkae sana mchapen sana

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 7 днів тому

    Anatolia wapi nguvu za ku kusutana uyo kibanteni

  • @catherinefaney948
    @catherinefaney948 7 днів тому

    Watoto wachukuliwe,atawaua huyo SI mlezi,jeuri tele.atakua na kisasi na huyo wa miaka 6

  • @joycebupule3641
    @joycebupule3641 6 днів тому

    Naumia sana kusikia wazazi wanawafanyia hivyo watoto, kwann mnabeba mimba lakin had nimelia, wapeleken kwenye vituo vya kulelea watoto

  • @user-princs
    @user-princs 7 днів тому

    Isikute ana laana 😮😮

  • @user-princs
    @user-princs 7 днів тому

    Huyu hayupo sawa kuna changamoto za kiakili anapitia iwe msongo wa kupitiliza ama alisha pataga changamoto ya afya ya akili
    Au laana !!!! Anatakiwa uangalizi wa karibu sana apate ushauri wa kisaikolojia sidhan kama yeye anapenda hayo!!! She is not normal .mpelekeni taratibu mkimpeleka kihivyo atajikuta analokota makopo ama anajidhuru yeye ama watoto wake .kama wazazi wake wapo hebu wamchukie wakae nae wamsaide isikute hata hajielewi hapo.duh😢😢

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 6 днів тому

    Kama awez kuwaley anabeba mimba za nini mbwa uwo

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 7 днів тому

    Jamani maisha msaidieni

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do 7 днів тому

    Zina huenda zina mpk motoni

  • @DoreenMwakibinga
    @DoreenMwakibinga 4 дні тому

    Kuna wanaume walevi na wanawake walevi wote ni walevi sema kwasababu wanaume hawalei huyo mlevi. Mlevi hajali chochote zaidi ya pombe

  • @Osm90-m3j
    @Osm90-m3j 6 днів тому

    Mbutueni tu anachanua tu k yake kwanni asiweke vipandikizi 😏😏😏

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 7 днів тому +2

    Mtaani kwetu pia yupo wa hivi tena yy anawatt watano, anawaacha hata wiki majirani tunaleatu na akija kalewa anatukana mpaka aibu. Kapigwa mpaka watu wanahisi atafia mikononi mwa wananzengo. Walikuja wa ustawi akawafukuza na panga.

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 7 днів тому

      @@israeluronu9958 😂😂😂wangempeleka jela

    • @israeluronu9958
      @israeluronu9958 7 днів тому

      @@fathiyahmuzney7367 alipelekwa dya watoto wakagawana nyumba za kula kama kawaida na siku ya mahakamani akapandishwa kujibu shtaka la kumshambulia mwenye nyumba wake akavua nguo zote kuinesha na yy alivyopigwa😂. Nikamuona tena kaachiwa

    • @StevenGiven
      @StevenGiven 6 днів тому

      😂😂😂😂😂

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 6 днів тому

      ​@israeluronu9958 😂🤣😂ah jamani.

  • @RukiaMchopa
    @RukiaMchopa 7 днів тому

    Uyu dada anastasia msaada