Hakika Mungu wetu ni Mungu wa neema na rehema amejawa na huruma haangalii kuanguka kwetu bali anaangalia kuinuka kwetu,,hafurahii kifo cha mtu mwenye dhambi
MUNGU akupe itaji la moyo wako nimebarikiwa na hii movi na ushauli wako wa mwishoni mwa movi najiona mpya sasa kwa yote niliyo mtendea mchumba wangu ubarikiwe sana na e7bites ikuwee sanaa
Nimejifunza kama ulicho jifunza wewe ila inshort mungu amekubariki una kipaji kikubwa sana naomba uongeze bidii na umuombe mungu pia na kumshukuru pia! Good job.
Hakuna linalo mshinda Mungu jamani,na ukiona mwenzako ameanguka apana kumusemeya mabaya wala kumushindiliya cini inabidi umuombeye saba mungu hana ubaguzi hata wenye zambi anawapenda❤❤
Shukrani kwa ukumbusho kaka Ni kweli Mungu Anasamehe dhambi zote pale tunapofanya toba UA kweli
Nimejifunza usitamani 😢, na msimkatie mtu tamaa maana mungu ndo anajua wakati sahiho waku m bless🎉
Hunena kak
Umenen kak
Daa bonge ya muvi true MUNGU NI MKUBWA
Nimejifunza Mungu yupo na ukimtafuta kweli bila kukata tamaa anakuonekania na anakutetea! Mungu atuongoze!
Once again #Kimu_Dalla all de way from KIGAMBONI
Big shout out to you broda #Konkaaa🦋🦋
Juxt imagine watu wako online anytime kumcubili sauti ya mamlak a.k.a konkaaa ..nkajua Niko first ap😅😅any way ata like kumi basii..😅😅
Chukua aisee😅
@@e7bits_tz pamoja 👍
Ni mimi huyuùuu kabisaaa
konka una changamoto gan asee..mbona siku hiz mizgo inachelewa..
Hata mimi 😂
Jamaniiii kila siku nachelewa😢 naomba hata like kidogo
👍🏾
Upuuzi tu like zinawasaidia nn🙄
@@SekelaJakson-ls7dd kamuulize mama ako
Mi nakupa zawadi ya comment wewe utanipa nini?
Daah Kila siku ninachelelewa ila naomba like japo Tano tu
Amen. Nimejifunza Rehema za Mungu zipo juu ya watu wake tuendelee kujinyenyekeza kwake
Hakika Mungu wetu ni Mungu wa neema na rehema amejawa na huruma haangalii kuanguka kwetu bali anaangalia kuinuka kwetu,,hafurahii kifo cha mtu mwenye dhambi
Wa mwsho leo ...nipni like siku nyngne niwe wa kwnza
Nimejifunza haitakiwi kukata tamaa Mungu anaweza kukuinua tena
Nimejifunza when jesus say yes nobody can say no lucy alipimwa hana kizazi lkn Mungu alimpa tena kizaz🙏🏻🎉
Mungu ni mkuu sana tusikate tamaa tumwabudu kweli kweli
Tuzidi kumwamini Mungu 🙏
Kutubuu ni muhimuu sanaa hakikaaa munguu hamtupii mtuu mwenye kujutia aliyoyatenda kwa makosaa
Una simulia vyema sana movie God bless you
Jaman nimechelewa leo😢 like hata tano tu😊
Nguvu ya msamaha, na kumtumikia Mungu katika Roho na kweli bila ya kuwa na tamaa ya vitu
Mung hawai wala achelew anajib kwawakat imani ni dawa kubwa san love u Allh
Inatufunza tusikate tamaa na lile tunalo liona ngumu kwetu kwa Mungu linakua lepesi.Amen
Nimejifunza Mungu wetu in mwingi wa Rehema ata ukifanya Kosa gani atakusameya na atakupokea Tena. Mungu wetu ni mwingi wa fadhili 🙏🏻🙏🏻❤
Alhamdulillah I learn that Allah is Allah no matter what don’t forget to pray&swala are important than anything thing in this world
MUNGU akupe itaji la moyo wako nimebarikiwa na hii movi na ushauli wako wa mwishoni mwa movi najiona mpya sasa kwa yote niliyo mtendea mchumba wangu ubarikiwe sana na
e7bites ikuwee sanaa
Wa kwanz like zangu
Kweli Amin bro nimejifuza usikate tama kwenye ndotoyako na kumuhamini mungu❤
Mungu anamiujiza mikubwa. Hakuna kinachoshindikana kwake.
Jamn wa 66 Leo mnipe like zangu nimejitahd 😂
Nampenda sana Huyu kaka Anavo fafanua Mungu akutunze
Nimejifunza kwa Mungu everything is possible.. have faith🙌
Mungu anasamehe hilo ndilo naweza sema
Wa kuukumu ni mungu tu, na si mwanadamu
Hakuna kinacho shindikana kwa mungu kira kitu kinawezekana amen
Nimeipenda sana Kila jambo Lina wakati wake Kuna wakati unaweza ukaria kutaka hiki ila kama mungu hajapenda huwezi pata ❤❤❤❤
Kwwli huyu mwambaaa ni konkaaaaaa big up xana
Mimi namwamini mungu kila wakati na namshukuru kila Jambo mungu nimwema kila wakati 🙏🙏🙏
Nimejifunza kama ulicho jifunza wewe ila inshort mungu amekubariki una kipaji kikubwa sana naomba uongeze bidii na umuombe mungu pia na kumshukuru pia! Good job.
Nimejifunza kuwa ukimwamini mungu kwa kila jambo linawezekana kwake.
Ety nuhu ndio alisulubiwa jamn😂😂😂
Siku zote Mungu ni mkubwa na mshindi ukimtumaini tu amen 🙏
Mwamba unajua sanaaa kusimulia hongera kaka
Asante sana
Ukimtumikia mungu kwa uaminifu inalipa.
Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu
Mungu wetu anasemeh n anajibu wale WALOOMBA kwa Nia n kweeliii huyu ndo mungu wetu🙏🙏
Mungu ni mwema❤
Mungu ndo Kila kwenye maisha yetu tusikate tamaa kumuomba munguu
Jaman mm leo kwa mara yakwanza nimewahiii naomben like zenuuu😢😢😢😢
God's Timing Is Perfect 🙏
Nimejifunza tuwe na Imani Sanaa kweny kila Jambo , piia mungu ndo kilaa kitu2
Bro uko poah sana napenda sana recap zako daaaah zna mafumzo sanaaaa❤❤❤❤
Mungu atubakiri wanawake tunao angaika kutafuta watt😢😢
MUNGU ni kila kitu katika maisha ya mwanadamu anajua yaliyopita yasasa na yajayo milele
Hakuna linalo mshinda Mungu jamani,na ukiona mwenzako ameanguka apana kumusemeya mabaya wala kumushindiliya cini inabidi umuombeye saba mungu hana ubaguzi hata wenye zambi anawapenda❤❤
Kweli mungu wakwe2 wote❤❤❤❤
Mm wa 50 jamna ❤
Ubarikiwe sana kwahii muvi umeileta wakati sahihi nimejifunz ki2 kikubwa san
amen kutenda kosa sio kosa ila kurudia kosa Ndio kosa
Mungu ni mwema na ni mwenye haki mara zote, hakika yeye ni mwenye fadhili sana.🙏❤️
Konkaaa sina la kukwambia ila mungu akuinue .
Mm shabiki Yako mpaka kufa
Na kukubali sana bro❤❤❤❤😊
Kila siku nachelewa daah haya tunasikiliza hapa mwamba tunainjoi tuuu unajua sana kutufurahisha upo kimyaa sana tunamis hizi mover mwamba ❤❤❤
Hakuna kinachoshindikana mbele za MUNGU na tunachotakiwa kujivunia ni kwamba hata umkosee Mara ngapi MUNGU bado atakusamehe na kukunyanyua Tena Amen🙏
Mungu ni wa rehema siku zote👏🤗
Sijui upewe nin wew kaka ilaa Mungu akutunze for me and all ur fans ❤❤❤,,,,, Amen Mungu ni wety sote
You guy Mungu akubariki sana natamani sana kuonana na wewe tuzungumze zaidi
unajua broh,😊 ze la ku tune
Uvumilivu na Imani 🙏🙏
Mungu aitwe Mungu ❤❤🙏🙏🙏
Nimejifunza kuwa, Mungu ni wa rehema na huruma.
Akakipa unyama❤
Bro muvie imenitoa machoz nahc ni kam Mungu amenikumbusha kitu ubarikiwe sana sana,!!❤
Asante sana
Kama mm pia 😢
nakubali sana yan
Mungu ni mwenye Rehema
Naomben like 1 nilale
Emen yess yan ukikubali kutubu umemaliza yote
God Over Everything 🙌🏽
Baba umepigaje hapo ❤❤❤❤ kudadeki walah nimekubali 😍😍
Mungu ni mwema na nimejifunza hakuna linalo shindikana kwa Mungu 🙏🏻
Mungu nikila kitu.
Uwii u never disappoint us
I won’t 🙏
Sema mjomba unajua sanaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌
imani ni kila kitu🙏🙏
Amen 🙏🙏 mungu yuuu pamoja nasi hakuna jambo linalo shindikana kweke
Mungu hadhiakiwi❤❤❤ kwaajili ya maokoto
MUNGU ni mwema kwa kila jambo 🙏
Noma sana
Napenda sana mov zako❤
Kwakwel mungu hashindwi
What a movie.....Gos is great!!!❤
Nimejifunza mungu usamehe mtu yoyote anaekosea na kumrudia kwazati
Unyama sanaa kk
Ameni kama umekubali mungu niwetu sote koment 100 niskose❤
Movie is hot. Mauwa yako konkaa🎉🎉🎉🎉
MUNGU ni mwema ❤❤❤
Mungu wetu ni mwaminifu sana ,movie nzuri sana
Mungu anasikia maombi yetu.
Tusichoke kuomba
Naonaaa watu wanadai like daily sijui zinasaidia nn na mm naombeni hata like 20 tuu
Ishallah mungu yupo❤❤
Daah hizi movie za GHANA huwa nazikubali.sana kuliko hata za NIGERIA
Hii recap ya huu mzigo niliisubiri sanaa🙌