WCB WANANIOGOPA "HARMONIZE",,LAZIMA NISEME UKWELI HUU....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • #diamondplatnumz #harmonize #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 27

  • @fatmamdigo1848
    @fatmamdigo1848 3 роки тому +3

    Kwaiyo mwataka harmonize aende alambe mavi ya diamond kwasababu alimsaidia? Mwachekesha sana.

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 роки тому +2

    kode boy

  • @vailetimsaghaa6008
    @vailetimsaghaa6008 3 роки тому +1

    Ha ha ha ha mtashaa jeshi ni jeshi kweli mnamuogopa konde wetu tunampende mpaka kufa nyie semeni kibonge panya lakini yuko juu juu zaidi

  • @silassilas4514
    @silassilas4514 3 роки тому +3

    Jeshiiiii yuko poa

  • @lubimbijoseph8471
    @lubimbijoseph8471 3 роки тому +2

    Jeshiiii ndo habari ya mjini

  • @karimujuma6595
    @karimujuma6595 3 роки тому +3

    Ukiona kikosi Cha watu kumi kinamshambulia mtu mmoja ujue Ana chachu ndani yake saluti mtoa maon

  • @pascalkana3103
    @pascalkana3103 3 роки тому +1

    Konde boy for life

  • @mohamedomary3730
    @mohamedomary3730 3 роки тому +4

    Kunawatu hamuna hakili, hivi ubonge wa harmonaiz uko wapi? Namtamfahamu mwaka huu nyie paka

  • @mohamedomary3730
    @mohamedomary3730 3 роки тому +4

    Wewe konde pambana,

  • @paulinanyanzala9072
    @paulinanyanzala9072 3 роки тому +1

    Wewe harmonize wakuogope WCB unanini mshamba wa kienyeji

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 Рік тому

    wanakuogopa wewe mungu ? wakuogopwa APA duniani ni mungu tu sio mwanadamu kwanini umuogope mtu anaye kufa mtu anaye gonjwa mungu ndiye wakuogopwa kwasababu yy anajuwa mwili naroho

  • @paulinanyanzala9072
    @paulinanyanzala9072 3 роки тому +1

    Wewe harmonize wcb wakuogope unanini huna shukurani ndio waliokuingiza mjini umefilisika kiakili. Mshamba was mapenzi yatakushinda

    • @kisokakasuku2137
      @kisokakasuku2137 3 роки тому +1

      Ukiona upande wapili unajadiliwa Sana ujue Kuna sahemu wanaumia,kumuaza mtu asie na time nawe kila uchao ni utumwa wa akili

    • @pilatoonlinetv9660
      @pilatoonlinetv9660 3 роки тому +1

      Kwahiyo wewe mtu akikusaidia ndo Unamtukuza ck zote, Huo ni ushamba.

  • @patricklembeli8523
    @patricklembeli8523 3 роки тому

    We pum bu

  • @janethfugamila5848
    @janethfugamila5848 3 роки тому +1

    Alitakiwa tembo amheshim Sana simba

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 3 роки тому

    Muongo harmoniz

  • @rehemaathuman8143
    @rehemaathuman8143 3 роки тому

    Nyie waandishi wasenge ,mmechukua video ya harmonize ya zamani aliyokuwa anaongea ndo mmejifanya anaongea apo ,waongo nyie kwanza iyo sauti sio ya harmonaizi

  • @thenextmvp8568
    @thenextmvp8568 3 роки тому +1

    Kwawatu wanaojielewa top 5 hiihapa
    Simba
    Chui
    Zuchu
    Kiba
    Mbosso

  • @yasintamichel7249
    @yasintamichel7249 3 роки тому

    Tuache na ushabiki konde amheshimu Simba ila Kama bifu la kifedha liendelee

  • @starfordalex4139
    @starfordalex4139 3 роки тому

    Hamonize kwa sasa hata Zuchu anakufunika

  • @janethfugamila5848
    @janethfugamila5848 3 роки тому

    Itakuwa ajabu kumdharau aliyekuokota ukiwa hujiwezi kweli shukran ya punda ni mateke

  • @silassilas4514
    @silassilas4514 3 роки тому +2

    Jeshiiiii yuko poa