Mtangazaji umempata mtu mhimu sana wa kufanya naye interview....Lakini umeshindwa kutumia hiyo fursa kama kila mmoja alivyotegemea... Umeifanya interview kuwa so light.....Next time jitahidi kujipanga
Nakubaliana nawe mtoa maoni lkn hii ni kutokana na upeo mdogo wa mtangazaji wa kujuwa mambo na kukosa mbinu za kuhoji watu wasomi na werevu km huyu,yaani jamaa ana maswali ya kitoto wakati alitakiwa ajifunze kwa maswali ya msingi na jamii kunufaika.
@@ganganainfochannel easy tiger...siishi TZ never seen any of your videos..ndo mara ya kwanza naona hii na nikamkumbuka huyo mabala alinifundisha English nyumbani kwake chuo kikuu miaka ya 80...but I knew he's into something big and respectful..ndo sikuelewa the way mnavyo mu interview. Anyway sorry my bad! Keep up the good work!
Zitto jembe na anaipenda nchi ndio maana hapendi kuona serikali mbovu ikiongoza nchi japo wapumbavu wanadai kwamba anaisemea vibaya nchi kwa kuwa hawajui tofauti ya nchi na serikali.
Pole hujagundua thamani ya upuuzi bado. Endelea kufuatilia hicho kipindi siku utagundua thamani ya upuuzi ambayo ndio hukamilisha hicho unachokiona cha maana.
Mtazamaji inabidi ujifunze unaangalia kipindi gani, sio kila kipindi ni siasa na uchumi. Trust me hata aje JPM hapo ni MWENDO huo huo ,utani mwingi na mambo nje ya fani ya mtu husika. Ndio lengo la hicho kipindi ,fuatilia vipindi vyote vya nipe 5. Pole kama hujafurahi na kujifunza kitu hapo ,sisi kwetu tumefanikiwa lengo limetimia.
@@TamuzaKale Swali lako limeleta hayo majibu. Hukujua kipindi kinataka maudhui gani na sio anayehojiwa ana maudhui gani. Fuatilia mahojiano yote ya kipindi hicho utaona utofauti wa anayehoji akiwa kwenye kipindi tofauti na hicho. Hakuna ajuaye kila kitu, kila siku watu hujifunza na kufuata ushauri kwa wengine. Hata huyo bongo flava artist sio kila kipindi atahojiwa kama unayomtafsiri. Asante na karibu tena.
@@ganganainfochannel Mimi ni mtu tofauti na aliyeuliza swali. Kuna ulazima wa sisi waandishi kumakinika wakati wa kujibishana. Mfano mimi kama mwandishi mchanga ninayekuja katika tasnia, sijapenda muundo wa maswali. Mtu kama Mabala, ana umuhimu sana. Maswali makini yangemfaa na si mizaha ya hapa na pale au maswali yasiyo na msingi. Kazi njema, ndugu. Wewe unafahamu kila kitu.
Tony Kisogole Shukrani Kwa mtazamo lakini jokes ndio nature ya hicho kipindi tunataka kumfahamu mtu kwenye upande wa maisha hayo. Ni kipindi chenye maswali tofauti na uliyoyaozoea kusikia kila siku lakini pia kama hujaona hata moja lenye maana humo fuatilia Kwa makini utagundua yapo mengi. Asante na usichoke kutoa ushauri kwa lolote lifaalo. Endelea kuwa nasi.
Amekuwa mjanja mabala kama mzawa mwulize nn siri ya mwonekano wake hazeeki pamoja japo anajieleza ni watangu enzi za mwalimu na amejua mambo lukuki kuhusu tz,
Duh ebhana nime enjoy sana interview na Mabala, upojuu sana mtangazaji bonge la kipindi
MABALA S RICHARD
ONE OF THE GREATEST TEACHER IN TANZANIA,
NAKUPENDA MABALA
Hongera sana mwandishi kwa maswali ya kitaaluma kama mwandishi.
Huyu jamaa ni mjanja yuko vizuri serikari mtumia katika elimu
Mwalimu wangu Mr Mabala kibosho Girls
Wow,!!
Katika waandishi ambao nimewapenda ni pamoja na huyu jamaa anauliza maswali bomba Sana
kitabu yako imenipigisha stiki na kunyeshea bustani. big up dingi lai. sikuizi kuna yechu yechu ila sio poa
Huu mnyamwezi halisi na mtanzania mweupe Hapa ndipo watanzania tujifunze uzalendo wa taifa letu. Dah nimefurahi sana.
Mabala The farmer enzi hizo kidato cha pili 2009 .
Mtanganzaji mhaya ana tatizo gani mbona una shangaa kwahiyo mhaya astaili kuolewa
That's nice mabala kumbe
Mtangazaji unaingilia sana mazungumzo mpaka tunakosa mtiririko
Mwakiembe ulibeba vitabu hahaha good its amizinging
Gwala kwa mabala
Mm nauliza anawatoto huyu mzee hapa Tanzania na jee anawatoto wakike
kama ulizani #MbaLa ni mweusi #gonGaLike apa
Mabara the farmers umexababixha nimepigw cn na mwalimu form two 2010 , axee unafain yangu
tena maticha wametukaririsha kinyama. tunamtaka na hawa the bus driver
Shakim Churchill the co-author with Richard Mabala in the "Kodi ya Mimba Nani Alipe"
Hatari Sana Kodi ya mimba Nani alipe?
alinifundisha historia kibosho girls.
Mtangazaji umempata mtu mhimu sana wa kufanya naye interview....Lakini umeshindwa kutumia hiyo fursa kama kila mmoja alivyotegemea...
Umeifanya interview kuwa so light.....Next time jitahidi kujipanga
Mtangazaji hakuna kitu atakuwa alipata zero2
Nakubaliana nawe mtoa maoni lkn hii ni kutokana na upeo mdogo wa mtangazaji wa kujuwa mambo na kukosa mbinu za kuhoji watu wasomi na werevu km huyu,yaani jamaa ana maswali ya kitoto wakati alitakiwa ajifunze kwa maswali ya msingi na jamii kunufaika.
We mtangazaji umeyumba kdgo, ni sawa na kumuuliza mwizi "ww ni mwizi na umeiba..?" cjui atkijibu vp
Mabala the farmer.
Nimefulahi san
Mzee mabala Yuko poa sana
mwaandishi punguza haraka
Nimefurahi kukuona mwalimu wangu. Alinifundisha Chang'ombe Ttc. Hasa hasa maigizo kwa saaana.
Waganga ni wazuri sana, mmeona lakini? na wazungu wanafika kwa mganga funguka.
Presenter unaboa,kama huna maswali ya kuuliza acha,angalia unayemuhoji,siyo wote bongofleva
Bongo flava ndio wanatakiwa kuulizwa maswali ya kuboa ? Maudhui ya kipindi ndio inatakiwa maswali ya kuboa
Mabala ni hazina kwa wenye ufahamu
Zito
Mwalimu wangu English tuition chuo kikuu 1983
ua-cam.com/video/WC2m7OqOY_8/v-deo.html
@@ganganainfochannel easy tiger...siishi TZ never seen any of your videos..ndo mara ya kwanza naona hii na nikamkumbuka huyo mabala alinifundisha English nyumbani kwake chuo kikuu miaka ya 80...but I knew he's into something big and respectful..ndo sikuelewa the way mnavyo mu interview.
Anyway sorry my bad! Keep up the good work!
Zitto jembe na anaipenda nchi ndio maana hapendi kuona serikali mbovu ikiongoza nchi japo wapumbavu wanadai kwamba anaisemea vibaya nchi kwa kuwa hawajui tofauti ya nchi na serikali.
Usikute naww nishoga ndo maana unamuona zitto wa maana MASHABIKI wa zitto ni mashoga pekeee
Watu tusiopenda upuuzi tumekivumilia tu kipindi kwakuwa anaye hojiwa ni Mabara.
Tatizo hujui maudhui ya hicho kipindi ndg umekariri sana mambo ambayo sio ya kipuuzi. Maudhui ya hicho kipindi ni tofauti sana, yana jokes ndani yake.
Pole hujagundua thamani ya upuuzi bado. Endelea kufuatilia hicho kipindi siku utagundua thamani ya upuuzi ambayo ndio hukamilisha hicho unachokiona cha maana.
Yee 😁😁Bhabha Mabala tolelihamo
27:.....Wazungu
Jaman huyu MPE cheo cha heshima
Karbu Tena luns hotel nakumbuka mara ya Kwanza nimefahamiana na wewe ulipokuja luns hotel geita nikiwa receptionist pale 2018 karb tenant
Mtangazaji inabidi ujifunze unaongea na nani...sio kila mtu ni bongo flava artist!!
Mtazamaji inabidi ujifunze unaangalia kipindi gani, sio kila kipindi ni siasa na uchumi. Trust me hata aje JPM hapo ni MWENDO huo huo ,utani mwingi na mambo nje ya fani ya mtu husika. Ndio lengo la hicho kipindi ,fuatilia vipindi vyote vya nipe 5. Pole kama hujafurahi na kujifunza kitu hapo ,sisi kwetu tumefanikiwa lengo limetimia.
Yapo mahojiano unayoyataka wewe angalia hii,hicho kipindi ni cha jokes ,bofya hapa kuangalia vitu vyako ua-cam.com/video/WC2m7OqOY_8/v-deo.html
@@ganganainfochannel Jinsi ulivyojibu ni kwamba wewe ndiye unayejua kila kitu. Huna la kujifunza kutoka kwa sisi watazamaji wako.
@@TamuzaKale Swali lako limeleta hayo majibu. Hukujua kipindi kinataka maudhui gani na sio anayehojiwa ana maudhui gani. Fuatilia mahojiano yote ya kipindi hicho utaona utofauti wa anayehoji akiwa kwenye kipindi tofauti na hicho. Hakuna ajuaye kila kitu, kila siku watu hujifunza na kufuata ushauri kwa wengine. Hata huyo bongo flava artist sio kila kipindi atahojiwa kama unayomtafsiri. Asante na karibu tena.
@@ganganainfochannel Mimi ni mtu tofauti na aliyeuliza swali. Kuna ulazima wa sisi waandishi kumakinika wakati wa kujibishana. Mfano mimi kama mwandishi mchanga ninayekuja katika tasnia, sijapenda muundo wa maswali. Mtu kama Mabala, ana umuhimu sana. Maswali makini yangemfaa na si mizaha ya hapa na pale au maswali yasiyo na msingi.
Kazi njema, ndugu. Wewe unafahamu kila kitu.
Presenter kuwa professional basi
Tony Kisogole tatizo nini?
@@ganganainfochannel kuwa serious unapo hoji jokes zisiwe njingi kaka, ila huo ni mtazamo wangu tu, kama nime kukera I'm so sorry bro
Tony Kisogole Shukrani Kwa mtazamo lakini jokes ndio nature ya hicho kipindi tunataka kumfahamu mtu kwenye upande wa maisha hayo. Ni kipindi chenye maswali tofauti na uliyoyaozoea kusikia kila siku lakini pia kama hujaona hata moja lenye maana humo fuatilia Kwa makini utagundua yapo mengi. Asante na usichoke kutoa ushauri kwa lolote lifaalo. Endelea kuwa nasi.
Namkubali Mabala. Ni mwalimu kweli kweli.. Kajibu kwa akili sana maswali ya mtangazaji. Ukweli mtangazaji hakujiandaa kumhoji mtaalamu kama huyu
Amekuwa mjanja mabala kama mzawa mwulize nn siri ya mwonekano wake hazeeki pamoja japo anajieleza ni watangu enzi za mwalimu na amejua mambo lukuki kuhusu tz,
Gangana baba laooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona mnabadilisha mada
Nakubali
Kama bongo zozooooo
Zitto upo?
Mwenzio alipoikrush nchi yake kwenye gazet akatakiwa afukizwe nchini. We je?
Hiyo ni historia unataka kujua ndugu mwandishi?
Namimi nikuulize muuliza swali. Mzungu na baba yako nani ana akili?
Angalau umekumbuka ,tulijua tumefanya upuuzi mtupu.
Duuuh,nimemfurahia sana huyo bhana.Watanzania ambao bado wamefumba macho amkeni,mnao watetea mabeberu.