Changamoto zashuhudiwa katika baadhi ya maeneo katika uchaguzi wa UDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 кві 2024
  • Uchaguzi wa mashinani wa chama UDA ulianza katika maeneo kadhaa nchini huku shughuli hiyo ikikumbwa na changamoto katika baadhi ya maeneo. Katika kaunti ya Nairobi, Gavana wa Nairobi ni mmoja wa wale waliojipata katika hali hiyo baada ya jina lake kukosekana katika sajili ya chama.Zoezi hilo limeanza kuchelewa katika maeneo kadhaa huku vifaa vya kupigia kura vikiibiwa katika baadhi ya maeneo ya kupigia kura

КОМЕНТАРІ • 1

  • @juliuscchifwete1971
    @juliuscchifwete1971 11 днів тому +1

    Kama wamezoe kuiba kwanini vifaa visibiwe, chama cha waizi is UDA kwisha na bado 😂😂😂😅