MAPINDUZI 8 yaliyofanywa na DIAMOND kwenye Muziki/WAKAZI ammwagia SIFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 11 днів тому +8

    Nabado Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen

  • @kristofuraha
    @kristofuraha 11 днів тому +8

    Leo nabii kapata heshima nyumbani kwake!!😮 Ni nadra sanaaaaaa!

  • @ImaniMsafi
    @ImaniMsafi 11 днів тому +6

    Kwel diamoind platunamz❤❤❤his the best

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 11 днів тому +6

    Rick media tunapenda habari kama hizi mtufikishie ❤

  • @SifaEmma
    @SifaEmma 11 днів тому +6

    Harmonize Mzee Popo... Mwishoe ni Aibu 😭😭😭😭

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 11 днів тому +7

    Allah akuzidishie na akulinde❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 10 днів тому +1

    Rick jitahidi kushusha background wakati unatuletea info….

  • @rexcolumbus
    @rexcolumbus 11 днів тому +4

    Beat iko juu kushinda sauti yako 😢😢

  • @FaridAbdallah-gy7er
    @FaridAbdallah-gy7er 11 днів тому +3

    Tumpeeshima yake big Dangote kafanya mambo meng kweny mziki wa bongo kafanya mapinduzi kibaoo

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 11 днів тому +5

    Kali sana

  • @kevo_da_clever
    @kevo_da_clever 11 днів тому +5

    Nilijua lazima aingie kwenye mfumo

  • @SadikiMapesa-s5n
    @SadikiMapesa-s5n 11 днів тому +3

    HIVYO NDO INAVYOTAKIWA KAMA WATANZANIA TUPENDANE SAFI

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 11 днів тому +5

    Mbn mtanyook si mlikuwa timu makonde sahv mmebadirik

    • @AdariVision
      @AdariVision 11 днів тому +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 11 днів тому +3

      Chezea mfumo😂😂wanaingia mmoja mmoja