MZEE AMUUMBUA 'HAKIMU' MBELE YA WAZIRI "ALIPEWA LAKI TANO NA MOLLEL"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 226

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 5 років тому +11

    Huyo kapewa laki tano. Gonga like ya babu

  • @edwardwairimu6717
    @edwardwairimu6717 5 років тому +10

    I like how our tanzania neighbor are doing things,hapa kenya watu wauwawa juu ya hizi kesi za ardhi nkt

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 роки тому +10

    Mzee wetu alihitaji maneno na sauti ya upole.
    Mzee ni mzee tu japo ni baba wa mwenzako.

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 5 років тому +5

    Hebuuu msaidieni mzee wa watu...Lukuvi usijisahau kalia kiti vizuri hicho usijione umefika ukaanza kudharau babu wa watu

  • @wachapakazimedia4353
    @wachapakazimedia4353 5 років тому +15

    Mimi huwa nasemaga rais magufuli Hana wasaidizi anafanya kazi mwenyewe huyu waziri ajamuuliza hata huyo Jamaa kuusu laki 5 hawa mawaziri wangekuwa Kama JPM nawaambia TZ ingekuwa Kama ulaya na hawafanyi kazi Kwa Moyo Kama JPM huyu waziri sijamuelewa kabisa mungu mpe maisha malefu JPM.

    • @allyasia3662
      @allyasia3662 4 роки тому

      Watu wengine wanatia hasira huyu sio wazur kabisa Bali anajijali yy na tumbo lake wallah

    • @florampewa8085
      @florampewa8085 3 роки тому

      Wanabebana tu,na waziri anahusika,si umesikia Kuna barua moleli alipata kwa waziri!ni uonevu tu,nchi Hii,mtetezi alikuwa marehemu magufuli pekee,na alisema,tutamkumbuka kwa mema,mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,hapo Leo mtu laki Yani ingemtokea puani

  • @raymonadsaliboko3068
    @raymonadsaliboko3068 3 роки тому

    Nakukubali sana sana ofisi za ardhi hakuna foleni Mungu akupe wepesi

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 3 роки тому +4

    Yaani mimi nampendaga yule kiongozi anaitwa Ally happy bwana anazungumzaga vizuri Sana na wananchi

    • @fabianayubu6738
      @fabianayubu6738 3 роки тому

      Kabisa yan nakupongeza sana kwa point yako na huo ndio ukwer

    • @salehsuleiman8519
      @salehsuleiman8519 3 роки тому +1

      Kabisa yan aliy happy yupo vzr lkn huyu lukuvi limekaa kama dikteta ya jeuri hatar

  • @muddysangaraza7963
    @muddysangaraza7963 3 роки тому

    Hapooo mzee kashaaumiaa yaaniii katapeliwaa yaaniii hanaa chakee

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 3 роки тому

    Mungu watete watanzania wasio na vyeo na watetezi mzee Mungu atakusaidia wanajua huna kumbukumbu kwa sababu ya wenye fedha

  • @jeremiahzacharia7655
    @jeremiahzacharia7655 3 роки тому +4

    Mh. Waziri siku hizi asahidii kabisa wananchi zaidi ya kutumia sauti kali, Kwa wenye shida

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 5 років тому +5

    Lukuvi Namkubali ila
    Kwa Hapa Mmmmh
    Kwanza Kaongea Kwa Ukali Mno Wakati Akimuuliza yule Mzee.
    Kana Kwamba Amekerwa Kabla Na Yule Babu.

    • @abdallahmakombo3866
      @abdallahmakombo3866 4 роки тому

      Hujui tu hizo kesi noouuma Sana!! Kesi ya 1965 na maamuzi yalipita halafu mtu anaanzisha kila kiongozi mpya akija!!!

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 4 роки тому +1

    Ardhi inamrorongo sana,yaani mzee amekaa Hapo tangu 1962 lakini leo hii anakuja kupoteza kila kitu hata kuachiwa tu ekari 1 inashindikana dah!duniani upo uonevu mkubwa sana ila Mungu atakuja kulipa kila chozi la mtu anayelia kwa sababu ya unyonge.

  • @feyzungu633
    @feyzungu633 3 роки тому

    Nyinyi werekali ardhi yote ni yakwenu siyo ya mungu tuoneeni tu ivyo ivyo mungu yupo hakuna mwanzo usokua na mwisho

  • @yasinishekallahakusaidi8766
    @yasinishekallahakusaidi8766 5 років тому +4

    Binafsi nimeshikwa na fadhaa kweli kwa huyu lukuvi maana anaonekana sio mtoto Ila kiburi kimemjaa na majivuno

  • @yahayamaulanaworldwide6036
    @yahayamaulanaworldwide6036 3 роки тому

    Kirukuvi kinadharau sana mbav sana tenahufai kushika mamlaka yoyote kwataifa letu kwakua mnapeana vyeo bilahivyo hukupaswa kupewa nafas yoyote

  • @danielfrank873
    @danielfrank873 5 років тому +7

    Hapa raisi atutafutie waziri mwingine , huyu atufai au mnaonaje waungwana , mana hiyo keshokutwa mtakutana maofisin mtamdhulumu tyu mzee wa watu . waziri hatuna hapa

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 5 років тому

      hapana huyu wazir anajitahid kwa maoni yangu

  • @martinesizya234
    @martinesizya234 3 роки тому +1

    Namkumbuka jpm, hapo huyo mzee angepata haki yk kama kweli alikuwa nayo, lkn kwa waziri anavyoonyesha hana adabu kwa wazee naona mwenye nacho ataendelea kuwa nacho, na asiye nacho atanyang'anywa hata kidogo alichonacho!!

  • @shayopaterini8678
    @shayopaterini8678 5 років тому +15

    Nidhamu kdgo kwa wazee wetu inahitajika ndio waliotuzaaa jaman wao hawakusoma ila wametusimesha cc sasa usiwe unamwuliza maswali ambayo hajui hata mchoro ni nn

    • @nessmwambogolo2545
      @nessmwambogolo2545 5 років тому +2

      Kweli umenena eti aje na makaratasi atayatoa wapi ya mwaka 61 no fear

  • @ndogoroedson9438
    @ndogoroedson9438 3 роки тому +1

    Mh wazir hiyo 2005 ndyo watu walikuwa wanazurumiwa Sana viwanja ndyo miaka ambayo mwenyeye pesa aliweza kumfanya kumfanya chochote asiyepesa Hali hiyo ilidumu mpaka 2015 kabla ya mzalendo kuingia na kugeuza kitabu na Sasa baada ya mzalendo kuondoka, mambo yameanza kurudi hususa ni Kijiji Cha kapunga mwekezaji kaanza kuchukua ardhi ambayo Magufuli alishairudisha kwa wananchi na viongozi wa wilaya wanabariki kwa kuwa wao ni wanufaika wa migogoro hiyo! Hekta 5500 alizouziwa na serikal Sasa zimeenda mpaka Kijiji jirani Cha Iyala huu ni uonevu mkubwa sana!

  • @ramadhanitoba7621
    @ramadhanitoba7621 5 років тому +4

    mwananchi wa kawaida ukimuuliza mambo ya michoro ya ardhi unakosea yeye anachofahamu ni kwamba ni shamba lake analima hapo toka kitambo... uje kukuta hata hajui kama kulikua na mpango wa mradi wa maji.

    • @elizabethmose6436
      @elizabethmose6436 5 років тому +2

      Huyu waziri anadharau inamaana huyo mzee kama aliwauzia halmashauri asingeweza kudai kwa mara nyingine anashindwa kumsaidia babu

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 роки тому +1

    Huna adabu ata kidogo shenzi kabisa huyo sawa na baba yko cheo ni dhamana2 umeni kwanza sura mbaya km mgali wa juzi

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 роки тому

    Muheshimiwa. Wanamdhulum hu yo babu msaidiye mzee

  • @nafaelirubango2904
    @nafaelirubango2904 4 роки тому

    Life is go tunakufa tunzaliwa tuwe na rispecti na anteion na wazee wetu bless

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 роки тому

    Safi Sana lukuvi ,alipataje Ardhi,iyo ndio hoja

  • @jeremymakokha4797
    @jeremymakokha4797 4 роки тому

    RC Hapi ...nawish ungekuwa hapa

  • @shehemnazi127
    @shehemnazi127 5 років тому +6

    Ila tuwe na eshima maana Ni maisha tu,unapokea kwa mkono wa kushoto.

    • @asayubeejr1199
      @asayubeejr1199 5 років тому +2

      Shehe Mnazi kweli bro yani cheo ni kitu kibaya sana

    • @shehemnazi127
      @shehemnazi127 5 років тому

      @@asayubeejr1199 umeona broo lakini sote Ni wa mungu .

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 3 роки тому

      Kabisa anaonyesha dharau sana Lukuvi.

  • @zubeidaomary1331
    @zubeidaomary1331 3 роки тому +1

    Tumemkumbuka kweli baba yetu hayati magufuli aliongea na sisi kwa upole na unyenyekev umtu hadi unapata uhuru na amani anapota malalamiko yako kwake pumzika kwa amani baba yetu

  • @raphaeldayos9188
    @raphaeldayos9188 3 роки тому +1

    Waziri lukuvi kiongozi mzuri lakini kauli zake na jinsi anavopokea kero za watu anawaharas watu hususan wazee

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 5 місяців тому

    ,wanaopokea hongo kudhulumu wañyonge mungu anawaona

  • @stumay-wx9rp
    @stumay-wx9rp 3 роки тому

    Kauli ya waziri inakera ss hapo anasuluhish nn nayeye ndowalewale wakupew laki tano mtu unafokey watu kweli huy mzee ni wakumfokey subuhannah llah daah watu hawaangalii kesho yao

  • @julianarobert9815
    @julianarobert9815 5 років тому +7

    Huyu waziri atumbuliwe anadharau sana pia hana hekima 😏

    • @archbordygodfrey7770
      @archbordygodfrey7770 5 років тому +1

      Juliana Robert kweli

    • @julianarobert9815
      @julianarobert9815 5 років тому

      @@phillipmbuligwe6033 upo sahihi, nilichokizungumzia mimi ni waziri kuwa na hekima na busara pindi anapotatua shida za wananchi

    • @dawiamussa5787
      @dawiamussa5787 5 років тому

      Ī

    • @samirashariph5856
      @samirashariph5856 4 роки тому

      huyu waziri ni bure kbc amuachiee hii kaz wengin

  • @rehemashabhay2205
    @rehemashabhay2205 3 роки тому

    Ardhi kumeoza..mh. lukuvi simama imara wanyonge wanaonewa.

  • @mukhsinsalum4677
    @mukhsinsalum4677 5 років тому +7

    wazir unapokea karatas kwa mkono wa kushoto mtu kakupa kwa mkono wa kulia daaaaaaaaaaa......

  • @nusulaally6379
    @nusulaally6379 5 років тому +10

    Jmn tuwaheshimun wakubwa ht km kipto chao kidogo

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 5 років тому +11

    Duh... Nyie viongozi vijana muwe na adabu mnapokuwa mnahojiana na wazee, hao ni baba zenu viburi vyenu vya cheo muwe mnaviweka pembeni.
    Duh ... You young leaders be polite as you interview the elders, these are your fathers so it's very better to show respect to them.

    • @mamamanka1310
      @mamamanka1310 2 роки тому

      Kuweni na Woga Mungu hapendi dhuruma Malipo Duniani

  • @gilbertluwe8161
    @gilbertluwe8161 5 років тому +1

    Jamani jamani mzee wa watu hapo angekua raisi amgepata haki yaki mara moja. Mawaziri kweli mnafanyaje hivyo

  • @samuelmanunu1543
    @samuelmanunu1543 5 років тому +2

    Mmmmmmh, waziri think twice utapeli ni mwingi sana na mbaya wananchi walio wengi hawajui mambo ya sheria kama huyo Mzee na michoro wapi na wapi! Nyie wasomi ndiyo muwe zaidi kuelekeza na kuchunguza kama magufuli tunakukubali lukuvi but raia wapunguzie pressure hawajui nenda nao taratibu kaka matapeli yamejaa kuliko watenda haki ukitaka kuamini mfano mzuri kule Iringa Kwa mh ally Hapi anavyoyabana majitu ya ovyo kabsa ni utapeli tu watu wanaonewa anawasaidia sana huyu mh mungu ambariki sana kaka Hapi!

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 5 років тому +1

      Hapo kilichofanyika ni baada ya kuliona hilo eneo walibadilisha matumizi ya ardhi haraka haraka na vikao vikakaa madiwani wanaitwa fasta wanapewa posho yao bila kujua eneo ni pa nani. Huyu ningelikuwa karibu naye nampa nauli anenda kwenye vyombo vya habari anaunguruma Magu angemsikia tu.

  • @daudisalumu2725
    @daudisalumu2725 5 років тому +2

    Duuh eti wazir anapokea karatasi kwa mkono wa kushoto hii dharau Sana, Tz kuna raisi2 ila walioko chini yke hakuna ki2

  • @nsiamassawe3075
    @nsiamassawe3075 5 років тому +2

    Mhe. Rais ni mfano mwema. Akiwa anaongea Na wazee kama Hawa huwa anatumia lugha ya unyenyekevu sana. Sasa unapomuhoji Kwa ukali unamtisha na unamvuruga. Ameshakuambia hajui kusoma, unamuliza michoro ataijuaje! Uwe na hekima.

  • @stamilimsabaha3882
    @stamilimsabaha3882 5 років тому +13

    Sasa heka zote 6hata kama ni mradi wa serikali kwann wasimlipe fidia wanyonge tunaonewa sana magufuli aje atumbue majipu huku

    • @leontaylor6011
      @leontaylor6011 3 роки тому

      A tip: you can watch movies at flixzone. Been using it for watching a lot of movies recently.

    • @chadlanden3764
      @chadlanden3764 3 роки тому

      @Leon Taylor Yup, been using flixzone for months myself :D

    • @yaelmilo70
      @yaelmilo70 3 роки тому

      @Leon Taylor yea, I have been using Flixzone for since november myself :)

    • @dakotastephen5273
      @dakotastephen5273 3 роки тому

      @Leon Taylor Yup, been watching on flixzone for since november myself :D

  • @feisalomar-hr3hq
    @feisalomar-hr3hq 6 місяців тому

    Tanzania maskini ndo tunao nyanyasika ila ipo sku mungu atatuokowa

  • @feristerkumbuka1837
    @feristerkumbuka1837 5 років тому +6

    Jaman tusaidien wanyonge

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 5 років тому +1

    Sasa walibadilisha matumizi ya Ardhi pawe mradi wa maji kisha mradi wa maji ukashindikana wakampa mtu mwingine hapo kuna kitu Mh Waziri masaidie huyu mzee. Kwa nini hawakumrudishia mazee akamuuzia anayemtaka kuna kitu hapo.

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 3 роки тому

    Mana umiy msaidie huyu Babu samia mfanyien hisan msada
    Anasema hajui chochote maskin
    Dhulma vile ni mzee

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 років тому

    Enzi hizo na miaka hiyo kalatasi zinatoka wapi au Mnataka kumuumiza zaidi jamani daah umaskini mbaya sana hata baba yangu amezurumiwa eneo kama hivi

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 3 роки тому

    Kweli haki ipo mbinguni tu. Ina maana waziri hajui kwamba selikari ilikuwa inapima na kuchukua maeneo bila kuwafidishia wananchi?

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 роки тому

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @rehemajuma2202
    @rehemajuma2202 3 роки тому

    Dah!

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 3 роки тому

    Ally happy ñdo mzur sn kuhusu
    Kutetea

  • @fatmaone1152
    @fatmaone1152 5 років тому +7

    Huyu waziru anarau sn huyo baba kama mzee wako hajui hata kuongea na wakubwa kisa yeye waziri basi dunia yake kwann hamuigi rais wetu anavyo nyenyekea wanyonge

    • @amoneliakunda6978
      @amoneliakunda6978 5 років тому

      Tujifunze kutenga hisia zetu na kuitafuta kweli. Waziri yuko sawa maana hawezi tegemea maelezo ya MZEE tu na kutoa maamuzi, kama kiongozi lazima ajiridhishe so ngoja tumsubiri Mollel na vielelezo vyake

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 5 років тому

      Amon Eliakunda sasa ndiyo aongeee kwa ukali aelewe huyo ni mzee kama Baba ake eti mbona Mheshimiwa Raisi yupo simple sana kuliko hata hao baadhi ya viongozi Duh

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 5 років тому

      ishu ni jins anavyopiga na huyo mzee nikama anaongea na mtt wake

    • @merinaibrahimnampendayukov7007
      @merinaibrahimnampendayukov7007 5 років тому

      Angekuwa Rais au Majariwa mwafaka ungepatikana hapohap, lakin kwa hapo Hadi huruma kwa huyo mzee.!

  • @salmahamoud6134
    @salmahamoud6134 5 років тому

    Jamani mm nimezulimiwa ardhi tanga raskazoni na waziri a najuwaa nimezulimiwa na tonii tangaa akini hakufanya lolotee Leo hii nashaa ngaa anasaidiya wenginee

  • @evaristerelias7373
    @evaristerelias7373 5 років тому

    dah waziri amezngua hapa,kwanza sikia jaman hata anavoongea,huyo ni mzee jaman

  • @fatmamohd2444
    @fatmamohd2444 3 роки тому

    aaaaa magufuli hayupo na maskin tutulie t kwa sababu hawa wanaoteuliwa ata majibu yao yanaonekana km utajua hujui

  • @jarifbugumba9539
    @jarifbugumba9539 3 роки тому

    "Yaliyofichika machoni imani huyaona". Hata kama hatapata haki yake kwa sasa. Yupo mmoja ambaye anajua yote ndiye atakayempa haki na faraja. Mzee pengine amezaliwa miaka ya 1940s akakuwa na kukuta eneo hulimwa na wazazi wake. Wazazi wakafariki na mzee akabaki na eneo hilo. Badaye anatokea kijana mdogo kuliko mzee akiwa na nyaraka zote zikionesha kuwa eneo hilo ni mali yake. Mzee anafukuzwa katika eneo ambalo amelirithi kutoka kwa wazee wake. Baada ya miaka mingi ya mahangaiko anasikia waziri anakuja. Anapata matumaini kuwa pengine atasaidiwa.

  • @abdiabdi4299
    @abdiabdi4299 3 роки тому

    Dhuluma ardhi imezidi Lukuvi pangua wote

  • @solomonmbuna7229
    @solomonmbuna7229 3 роки тому

    Lukuvi Safi KABISA itafute haki ipo wapi .asanteeee.

  • @winifridaeliasi4221
    @winifridaeliasi4221 3 роки тому

    Lukuvi fanya kazi kama magufuli kumbuka fadhila huyo mzee apewe haki yake na umesikia kuna rushwa

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 5 років тому +10

    Huyo waziri Hamna kitu

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому

    Ai masikini inaskitisha mzee kusimama hivi ati anadai haki yake nawakati hata kama ardhi sio yake angepewa bure kwakua ni mzee? Dhambi jamani v

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 років тому +4

    Hivyo vitambi vya rushwa lazma vipukutike
    Hii awamu nyingine bhana !!!!!

  • @MohamedAli-ho5fq
    @MohamedAli-ho5fq 3 роки тому

    Uyu lukuvi anadharauv Sana
    Anazani atakuwa wazari mile
    That is wrong bro lukuvi

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 роки тому

    Hiyo nienzi za hayati jpm sasa kimyaaa kanakwamba Shelia hazipo nawanyonge hawaonewi

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 5 років тому +6

    Huyu baba nimemchukia ghafla msyuuuuu

  • @mako331
    @mako331 5 років тому +6

    Lukuvi kuwa na sauti ya upole kidogo wasaidie watu hawa wameonewa sana

  • @salmahamis777
    @salmahamis777 5 років тому

    na hata kama imebadilishwa mbona hawakumpa taarifa kua shamba lake limepewa mtu mwingine kwa kosa la kua na ramani ya mchoro...na tukagombee motoni kama tunavyogombea ardhi..

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 5 років тому +2

    Uyu lukuvi hiz dharau na kiburi amezitoa wapi? Mbona anaonesha dharau sana. Mmeona alivokabidhi iyo sijui hukumu. Dah. Au yupo pale kwashingo upande?

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 5 років тому

      Steven msaaada. Msaada. yani km vile yy hajui kusoma mpk ampe mtu sio haki kabisa

  • @amribudi7870
    @amribudi7870 5 років тому +1

    Iwapo mmeshindwa kutumia eneo ni busara kuwarudishia wenyewe mliowanyang'anya.

  • @clementinamsakwa3802
    @clementinamsakwa3802 5 років тому +4

    Mzee yupo sawa

  • @austinegona1415
    @austinegona1415 5 років тому +10

    Huyu jamaa anayeongea hana hekma na wazee

  • @ashamganga6636
    @ashamganga6636 5 років тому

    Mm kwa upande wangu sipendi huyu wazili anavyomjibu mzee huyu

  • @triplesk6366
    @triplesk6366 5 років тому +3

    Lukuvi kua na adabu ww umeshindwa kuisoma hiyo karatas nimekuchukia ghafla uyo ni mzee je usalama wake umemuakikishia maana kawagusa watu wakubwa mbona aliekuteua katika icho kiti anaongea na watu kistaarabu kua na hekima ww

  • @theroots2743
    @theroots2743 5 років тому +1

    Lukuvi hawezi kumsaidia huyo mzee ni muislam na lukuvi hawapendi madhehebu ya dini hio

  • @paschalearbert3630
    @paschalearbert3630 5 років тому +6

    Jamani uyu jamaa mbona anatharau sana

  • @yasinishekallahakusaidi8766
    @yasinishekallahakusaidi8766 5 років тому

    Dharau kubwa jamani mbona kiongozi umekua hivi

  • @celestialedward6123
    @celestialedward6123 5 років тому +4

    Waziri hekima 0

  • @ayoubchacha9090
    @ayoubchacha9090 5 років тому +2

    Waziri lukuvi nakuamini lakini Leo ziro sana, 84 ya nn? Babu apewe haki yake

    • @polycarpmicky4151
      @polycarpmicky4151 4 роки тому

      ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html kwa heshima kubwa Karibu utazame wimbo huu neem ya tosha tunaomba USUBSCRIBE
      ASANTE

  • @modestermrogosho4219
    @modestermrogosho4219 5 років тому

    Masikini tunanyanyaswaaa lais tuangalie wanyongeee

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 3 роки тому

    Anamdhurumiwa Tu Babu

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 3 роки тому

    Kuzulumu wazeee hii ni lana kubwa

  • @leonardmayunganyamfanka9623
    @leonardmayunganyamfanka9623 3 роки тому

    Mzee naona km kunataka kuingia kautapel apo zimesha anza michoro kwaukal Nina shaka

  • @chrismbut4990
    @chrismbut4990 3 роки тому

    Huu uwajibikaji ndio tunaoutaka ss sio kukimbilia marekani.

  • @aishamkomwa6125
    @aishamkomwa6125 5 років тому +2

    Hapo hekma.hakuna babu anatia.huruma

  • @sombimussa1476
    @sombimussa1476 5 років тому +3

    Mzee magu kuna mawazir hawajui wajibu wao , hili jambo lilitakiwa kufanyiwa uchunguz majibu yake cio yakurisha

  • @doricajosiah1075
    @doricajosiah1075 3 роки тому

    Kwanza huyo wazili hananizam anaongea na mzee kakaa bila hata aibu rais mwenyewe anaongea nawatu kwanizam

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 4 роки тому

    Tanzania iligeuka ikawa ni nchi ya dhuluma. Mwenye pesa ndiye alikuwa mwenye haki. Dhuluma hizi zilisambaa mpaka kwenye makanisa, makanisa ambayo yao yalitakiwa kusimamia na kutetea haki za watu. Kanisa na KKKK Mwanza bila ya aibu, viongozi wake Mwanza walitaka kudhulumu nyumba iliyokuwa jirani na kanisa lao Mkuyuni. Baada ya mjomba wa mwenye nyumba kufariki, na mazishi kumalizika mwenye nyumba alishituka kukuta maandishi kwenye nyumba yake yakisema nyumba hii sasa ni ya kanisa, bila ya kumufahamisha mwenye nyumba na receipts za mali-o ya kodi hapo. Mwenye nyumba pamoja na kuandika Barua za kulalamika kwa manispaa na wakubwa wa kanisa waliouuzi kabisa maombi yake ya kupigania haki yake. Bahati nzuri ni wakati huo Rais MAGUFULI alipokuwa akiingia mamulakani, kanisa na watu wa manisipaa wakaogopa, lakini mwenye nyumba aliisha poteza pesa nyingi za kunitetetea na wengine kumuomba rushwa. Pamoja na makosa kufanyika manuspaa na kanisa la KKKK kutaka kudhulumu nyumba ya huyu mnyonge. Watanzania lazima tumushukuru Rais MAGUFULI na viongozi wake, nchi ilikuwa inaekekea pabaya. Leo hii nikisikia wachungaji wa kkkk wakiimba demokrasia nashangaa, na kumwambia Mungu ndiye awe muamuzi. Dini zimekuwa za biashara.

  • @allyally7422
    @allyally7422 5 років тому +2

    Waziri anazarau sana anaipokea ile karatasi kwa mkono wa wa kushoto hii dharau sana

  • @jamali0017
    @jamali0017 5 років тому +1

    Waziri,na huyo molini sijui wote Ni viazi huezi chukua shamba la mzee na kumuuliza maswali ya kijinga Kama hayo kisa hakusoma srupid

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 років тому +1

    Mh! Waziri hasomi mwenyewe!!!!!

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 3 роки тому

    Serikal ilimzulum

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 3 роки тому

    Huyo anajibu vile ameona we umeregea

  • @gedionmario9009
    @gedionmario9009 5 років тому +1

    Kiboko Yao magufuli hawawengine Hiz kaz hawa ziwezi

  • @popekatalango9409
    @popekatalango9409 5 років тому

    Waziri anamuita mzee 'we bwana ' wakata hata rais huwa anawaita wazee. Acha dharau We Muhehe

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 роки тому

    Mbona hauhoji hiyo laki tano?

  • @ramadhaninkenka6286
    @ramadhaninkenka6286 3 роки тому

    Ama hii tanzania

  • @patrickmadiwa3845
    @patrickmadiwa3845 5 років тому

    Handeni kuna tabia watu viongozi wansuza ardhi hovyo msomela mheshimiwa nenda pia kuna shida nying

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 3 роки тому

    Watu wamezulimiwa sana zamani

  • @manbanshaban9253
    @manbanshaban9253 5 років тому +1

    Huyu waziri ana madharau..

  • @jastinesamboto4674
    @jastinesamboto4674 3 роки тому +2

    Kipindi Cha Magu ndio mlikuwa mkifanya hivyo kwa Sasa utafikiri haupo nchini!

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 3 роки тому

      Kwa sasa teknologia imekua , hakuna kuzomeana na kusutana mbele za watu

    • @jastinesamboto4674
      @jastinesamboto4674 3 роки тому

      @@mbwanarajab4756 teknolojia hiyo vipi?

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 3 роки тому

      @@jastinesamboto4674
      Tizama utaiona tu..
      Sekta husika zinafanya kazi..
      Sio mke hapewi matumizi anasubr kiongoz mkubwa akija anatoa hadi sir za ndani ili watu washangilie..
      Je ustawi wa jamii watafanya kaz gani!... Tuliyumba......

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 3 роки тому

      @@jastinesamboto4674
      Wananchi wa Tanzania wanapenda maneno mengi kuliko kazi..
      Anatakiwa kiongoz ambae si mzungumzaj Sana ili watu wafanye kazi..
      Kumbuka watu walikua wanakaa siku nzima vijiweni kutengenezeana fitina na kutishiana na nyingne kupeleka kwa wanaharakati huru ili tu mtu afukuzwe, afungwe anyanyaswe ili kulipa visasi vyao.
      Sasa hakuna mwenye muda nao kwa hiyo kila mtu ajitume kwa nafasi yake kuchapa kazi bila umbea

    • @jastinesamboto4674
      @jastinesamboto4674 3 роки тому

      @@mbwanarajab4756 kwa kunisaidia ni wakati gani hayo uliyotaja yalikuwa yanafanyika ambayo kwa Sasa hayana nafasi?

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 років тому +3

    Jaman hzi dhuluma had lin

    • @amoneliakunda6978
      @amoneliakunda6978 5 років тому

      Sasa ukisema umpe haki MZEE tu bila kusikiliza upande Wa pili utakuwa hutendi haki. Lazima usikilize pande zote na ndo utoe maamuzi

  • @rajabukazi3153
    @rajabukazi3153 3 роки тому

    Hayo madalaka yenu yasiwe fimbo kwawezenu. Huwezi kumtwanga maswali makali kama ayooooo. Hiyo mihaka halihe pata kiwanja mzee wewe hata shule umemaliza