2024 bado tunasikiliza tunapata nguvu mpya. Enzi hizo hakina mekap wala poda na walipendeza. Ndio ile hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao ya Ambwene
hawakuhiaji mavazi mavuri, wala kalikiti na nywele ndefu, hawakuhitaji mafuta ya kubadili ngozi, hawakuhitaji vito vya dhahabu maskion wala shingoni mwao, kila walipokua waliwakwenda na watoto wao, hawakuhitaji backup ili watoe sauti hawa wapendwa hakika walikua na MUNGU aliye HAI. Kizazi hiki hakijaonekana tena, I miss old Days
Nikiwa asikofu Mkuu wa makanisa ya Nuru yauzima Tanzania naulimwenguni kote waimbaji hawa niwashauli kutunza wokovu katika kilisito Yesu wasije kosa taji nawapenda sana kalibuni Makao makuu yakanisa letu mbagara daresalamu maji matitu
Wamama wasiku hizi wangapi wnaeza jitolea kumuimbia mwenyezi mungu wakiwa wamewafunga watoto wao kwa shingo zao?Hanna mungu aonekanie familia za hawa waimbaji popote walipo.
Nikiangalia huwa naishia kulia maana inanikumbusha marehemu tulipokuwa wadogo alikuwa anasikiliza akiwa nyumbani anafanya kazi zake, akiwa anapika au anafua alikuwa akisikiliza pia inanikumbusha familia yetu tulipokuwa tunaishi wote kabla yakusambaa, kwakweli naumia sana nasikia furaha na uzuni pia
Aisee nimekumbuka mbali sana, Kila jumapili mama alikuwa anapamba sebule yake Kwa vitambaa vya kufuma na nyuzi alafu anaweka hizi nyimbo kwenye radio ya cassette, hapo tumetoka kanisani baada ya kwenda Kwa kulazimishwa....😅😅😅😅
Hivi Ulyankulu Barabara ya 13 na Ulyankulu Mapigano zilikuwa Kwaya mbili za Makanisa mawili Tofauti au walitoka kaisa Moja? na Je ni Kweli kuwa hizi kwaya ziliundwa na wakimbizi?

Kweli
Kweli kaka
You're very right, old is gold
Hii kwaya ukiangalia unahisi upo mbinguni
Nitie nguvu Ee BWANA YESU ktk safar yangu nifike salama Jerusalem Mpya.amen
Glory be to God🙏 ...missed this songs... April 2024
yaani wanavyomba mistari ya biblia mpaka leo haijanitoka moyoni mwangu
2024
Nakumbuka MDA mrefu dada emu temba mungu akulaze Mahali pema malayakwanza kusikia nyimbo hizi tulikuwa wote tukielekea shinyanga
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri na waliotangulia mbele za haki awarehemu hakika nyimbo zenu zinanibariki sana
Kweli Hawa waliimba Kwa kumaanisha,Roho aliimba ndani Yao,naomba nijifunze kwao
kweli hawa walikua watu wa mungu mbarikiwe
waimbaj wa SK hiz wajifunze kwa hawa,siyo kujipodoa utadhan wanamwimbia mtu wa fulan Mungu haangalii sura anaangalia moyo tu
The song has stood the test of times, still blessing us
Namshukuru sana baba yangu na kumkumbuka nikisikia nyimbo hizi tena zinagusa moyo wangu sana
Nilikuzwa na hizi nyimbo. Zinanikumbusha mengi sana. Miaka ya 2001-2002 nikiwa bado mchanga.
Na zilikuwa zinatamba balaa mimi nilikuwa zote naziimba
Hapa ni kabla ya shetani hajaja duniani.
Nikiwa asikofu Mkuu wa makanisa ya Nuru yauzima Tanzania naulimwenguni kote waimbaji hawa niwashauli kutunza wokovu katika kilisito Yesu wasije kosa taji nawapenda sana kalibuni Makao makuu yakanisa letu mbagara daresalamu maji matitu
Asante baba na mama kwa kutulea kwa nyimbo hizi tamuu zisizochosha kusikiliza.
2024 Lakin bado zinatuinua tunapochoka.❤❤
Cina chakuwapa ila MUNGU awazidishie ck Akuishi maana huu niwito wakuimba
Amina sana
. Hizi ndio njimbo za kweli. Nakaumbuka mbali tangu mwaka 1997 ikiwa na miaka 11
Dah nimekumbuka mbali sana Mungu awapumzshe kwa Aman wazazi wangu nashkur kwajili yenu mlinifny nizijue izi nyimbo ambazo sas ni Faraj kwangu🙏
May their soul rest in peace
Amen🙏!God bless you
Hakika kazi ya mungu mliifanya vizuri na mliotangulia mbele za haki mungu awakumbuke
Nlianza kusikia hizi nyimbo tangu 1998 kipind hcho hakuna CD, ni kanda za tape, za radio cassette. Nyimbo nzuri sana
safi mwalongo uzidi kubalikiwa
Tizama vile wamevaa, wanavyoimba hadi raha nilitamani sana niwe kipindi hicho
Nakumbuka mbali sana kwa kweli sitachoka kuaangalia nyimbo hizi
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataicha hata atakapokuwa mzee.....kiukweli hizi nyimbo zilifanya nimjue Yesu kipind cha utotoni hadi sasa......
Thanks to our Dad he used to play this songs 2001, good songs with great messages. Congratulations Unyanguli Songs choir.
Napenda hizi nyimbo
I just came from my childhood memories. Deep nostalgia
Hii kwaya inanikumbusha nipo mdogo sana mungu aliwatia nguvu sana kupitia nyimbo inukeni tena watu wa mungu
❤❤❤ nyimbo za kusikiliza mda wot
Daaaaaaaaa Namkumbaaa sana Mama Alinunuaaa kandaa ya hiiii kwaya bhasssss mwezi mzimaaaa n nyimbo hz tyuuuuu
Still my favorite gospel song in 2018.. Hongereni sana Kwaya ya Mapigano Ulyankulu, mwenyezi Mungu awabariki sana.
Duuu Mungu aendelee kuwabariki sana mliopo bado muendelee na utumishi..
Mungu awabariki watumishi wa Mungu
Daah nakumbuka mbal sana
Usianguke ❤
Toka nikiwa mdogo sijui kuhesabu miaka had leo 2024
Was very awesome choir, still awesome, will be awasome forever!!! You used to bless be those days when we're still using Radio Cassettes
Yaani hizo sauti jamani wamebarikiwa
Wamama wasiku hizi wangapi wnaeza jitolea kumuimbia mwenyezi mungu wakiwa wamewafunga watoto wao kwa shingo zao?Hanna mungu aonekanie familia za hawa waimbaji popote walipo.
Huwezi wapata siku hizi kabisa
Sisi Ni kupaka make up na kuringa tuu
Ninawapenda sana nyimbo hizo nirikuwa nikizisikiriza nikiwa mtoto
Hawa Wali kuwa ndo waimbaji wa mungu
Barikiweni sana na Mungu wetu niyi watu mnnanibariki saaaaaana Amina
Nikiangalia huwa naishia kulia maana inanikumbusha marehemu tulipokuwa wadogo alikuwa anasikiliza akiwa nyumbani anafanya kazi zake, akiwa anapika au anafua alikuwa akisikiliza pia inanikumbusha familia yetu tulipokuwa tunaishi wote kabla yakusambaa, kwakweli naumia sana nasikia furaha na uzuni pia
Mbarikiwe sana kwa ujumbe wa neno la Mungu mnaoutoa kwa njia ya nyimbo mkiwa na watoto migongo kweli mlijitoa kwa roho na kweli
Mungu awabariki kwa nyimbo zenu.
Nakumbuka mbali xana barkiwen watumish wa mungu
Nyimbo hizi ni zamwaka gani nauliza nawapenda saana
98
@@DativaMboweduh aiseee nawakumbuka kama vile leo aiseee wako moyoni walikuwa wabunifu mnooo! sijui wako wapi sasa hivi 😢
@@rarirover44 yaani inanigusa Sana kwaya hii
You guys remind me 20yrs ago, u are awesome
Aisee nimekumbuka mbali sana, Kila jumapili mama alikuwa anapamba sebule yake Kwa vitambaa vya kufuma na nyuzi alafu anaweka hizi nyimbo kwenye radio ya cassette, hapo tumetoka kanisani baada ya kwenda Kwa kulazimishwa....😅😅😅😅
Kweli mlikuwa waimbaji wazuri
i really love this hearing these songs really brings out the happiness in me
Nabarikiwa sana kupitiya nyimbo hizo
Wamenikumbusha mbali Sana tabora kipindi hicho wamekuja ng'ambo
Amina hakika rirudi ktk muonekano huu
Hawa ndio waliomuimbia mungu
njema sana kitambo mno.
Hehehehe am so happy with these songs, daah full of anointing
Da! Hatari sana
Mungu awabariki sana mmehubili injili sana
Hizi kwaya zinznikumbusha nipo mdogo sana.
Nimefarijika saaana nawimbo huu wa zama hizo!!
Eeeeh acha watekee
hearing these songs really brings out the happiness in me
Kila mwaka hua nasikiya hizi nyimbo
Niliisikiliza mwaka 2003 Bado naipenda sana
Hivi Ulyankulu Barabara ya 13 na Ulyankulu Mapigano zilikuwa Kwaya mbili za Makanisa mawili Tofauti au walitoka kaisa Moja? na Je ni Kweli kuwa hizi kwaya ziliundwa na wakimbizi?
Yes izi choir mbili zilihundua nawa kimbizi kutoka Burundi
Kwa kweli hii choir ina mafundisho ya ya Mungu
i love this song
Daaa!!! Napenda sana
Samwel Ndabila
M'barikiwe wapendwa wa Mungu
aise ,haijawahi kutokea kwaya kama hii mpka mwisho wa dunia
Respect. TZ gospel artists.❤
True gospel songs that uplifts spiritual soul
Great Great singers indeed.
Their songs were scriptural....
Iko sawa
hili kanisa wanalosali hawa wanakwaya lipo wapi?
mbalikiwe sana
Nice
looking you're way,,,, exactly
nzurii
When was this song released?
Amen
I lyk diz songs
Can someone translate this song for me
Here in 2024 September
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
❤❤
😍😍😍😍
fil blecd
kati ya vitu ambavyo havina grantee ni nyimbo za inijli
💖💖💖💖