NIMEKOMA KUJITOLEA KUSAIDIA WATOTO WA DADA KAMA MALIPO YAKE NDIO HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • Nilikuwa tayari kumsaidia mtoto wa dada yangu aliyemzaa akiwa shuleni akakoswa malezi ya Baba yake ili kumprove wrong Baba yake nikaamua nijitoe nihakikishe nampa mahitaji yote ya elimu nk awe very comfortable lakin muda ulivyoenda mtoto ananidharau anadai sikulazimishwa nimuache na maisha yake na bado ana miaka 16 tu,Hapa bora nizae wangu

КОМЕНТАРІ • 1

  • @dmsovela2409
    @dmsovela2409 29 днів тому

    Oya kaka mbona unavituko sana aisee😂😂😂
    unamhoji kwann kafanana na wewe😂😂