WEMA SEPETU AVURUGWA NA WIMBO WA NANDY, ALIKIBA/ AFUNGUKA KUHUSU TUZO...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 176

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 роки тому +11

    Wema ni mstaarabu sana, tofauti na yule mwenye sura ya kichina, akihojiwa basi ataongea engswahili. Pongezi sana wema. huna maringo kabisaa.

  • @hammycrayz9769
    @hammycrayz9769 4 роки тому +6

    Yaan nakupenda

  • @faidharamadhani8382
    @faidharamadhani8382 3 роки тому

    Da wema kua mkubwa kabisa dada yang mahusiano hayaanikwi wasikuchokonoe kabisaa mpenzi 😘😘

  • @officialidakeys
    @officialidakeys 4 роки тому +17

    Kelele ya Kwaza Kwa Wema Akeeeeeee
    Kelele ya Pili Kwa Team Akeeeeeee
    Kelele ya Tatu Kwa Like Zenuuuuuuu
    Aya Jamani Team Wema Tupoooooo Ngoga Like apa Twende Sambaba na Madame Sepega Tz Sweethearth Kiboko Yao Mwalimu wa Bongo Movies Tanzania Nzima

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 4 роки тому +12

    Sawa wema pambana napenda ulivyojishape kimaisha mwaka huumashabiki zako tumefurahi sana

  • @paschalboniface8319
    @paschalboniface8319 4 роки тому

    Duu yani niwewe madam au yani nimejuwa sauti aisee mungu aingiliwi kwenye kazi zake pumbavu sana

  • @celestinekhivali5824
    @celestinekhivali5824 4 роки тому +2

    From Kenya,nakupendaga Sana,mungu akulinde na roho yako nzuri,,

  • @catherinekitto3360
    @catherinekitto3360 4 роки тому +1

    Wema Umekua mbaya Sana ka bikidude.

  • @devothamlg5607
    @devothamlg5607 4 роки тому +6

    Make up bwana unazeeka ndan ya mda mfup tu kwisha 😂 unene nao jau ila wembamba huu jau kabisa 😂🤣🤣

  • @elit3_furor517
    @elit3_furor517 4 роки тому +10

    Umekwisha wewe umepauka kweli duuh 😂😂😂

    • @salomehussein8735
      @salomehussein8735 4 роки тому

      Daaawemausirare fayakazi Mwayaachana nakkwachia washamba

    • @nurusalim846
      @nurusalim846 4 роки тому +2

      Kachusha hasaa sijui kafikwa na nini

    • @princesssway1396
      @princesssway1396 4 роки тому +1

      Sana

    • @wahiduitsverycommentmane5421
      @wahiduitsverycommentmane5421 4 роки тому

      Ulo kwisha ni weweee sio wemaa

    • @elit3_furor517
      @elit3_furor517 4 роки тому

      @@wahiduitsverycommentmane5421 amepauuka kama samaki ya chunvi mifupa mno akae ndani anatutisha kwa uyo monekano kwani chida iko wapi arudi kama amenoga kidogo ukweli ndo huo 🤔

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 4 роки тому +1

    Nice madam

  • @swabrinamohammed1425
    @swabrinamohammed1425 4 роки тому

    Nakupenda daa wema

  • @bibirukaiya371
    @bibirukaiya371 4 роки тому

    Yuko vizuri hana maringo

  • @nasraabdi1529
    @nasraabdi1529 4 роки тому

    Keep going wema sepenga

  • @salomennanga3110
    @salomennanga3110 4 роки тому +3

    I love you Wema 😘 from 237 🇨🇲🇨🇲

  • @bidiiyako6803
    @bidiiyako6803 4 роки тому +3

    Congratulations to you Baby Sepenga!! Mungu azidi kukuongoza!!! We are Happy and Proud of you Our Goodhearted Gal.

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 4 роки тому

    Bora tusisemi wema kafanya mengi mungu ndie ajuwae

  • @tz7976
    @tz7976 4 роки тому +3

    Kasha kuwa mmama ila sawa2 maana kila mmoja ukijaliwa uhai lazima kuzeeka

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 4 роки тому +4

    cute wema😍

  • @fatmabaraka3191
    @fatmabaraka3191 4 роки тому +7

    Mweeeh' wema jamani kawaje..

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 4 роки тому +7

    Watu walimhadaa wema punguwa punguwa haya keshapunguwa asaivi kapunguza mwili mnasema tena he wana adamu sio powa

  • @rosedaniel1981
    @rosedaniel1981 4 роки тому

    Nakupenda jmn haijalishi wanakusema vp

  • @yasintaswahasni4747
    @yasintaswahasni4747 4 роки тому

    Nakupenda sana wemasepetu

  • @millionsofreasons9806
    @millionsofreasons9806 4 роки тому +6

    Uso umezeeka akii 😂😂😂 macho yamemvimba, mishipa ya shingo umemsimama adi huruma 😂😂😂 kweli mda akipita umeenda huo ....wema hana mvuto tena kaisha kama sabuni

  • @qisabweezytv7914
    @qisabweezytv7914 4 роки тому +1

    Huyu ni mtu au kituko, kazi ya Mungu haiingiliwi jamani

  • @zuhurasaid3267
    @zuhurasaid3267 4 роки тому

    Umekonda sana, hebu ongeza kidogo kimwili

  • @shamimhassanzimzimahuyokij4521
    @shamimhassanzimzimahuyokij4521 4 роки тому +2

    Jamani wema mbona watisha

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 4 роки тому

      Huyu itakua nikweli amekata utumbo mana kunawadada 2 nipo nao hapa wamekata mmh wallah bila mekapu sura zinatisha

  • @mwamvitaibrahim5695
    @mwamvitaibrahim5695 4 роки тому

    Naaaa Wema umechoka and you look very tired

  • @azizaishueli7864
    @azizaishueli7864 4 роки тому +1

    Jaman

  • @ab3ab313
    @ab3ab313 4 роки тому +2

    🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️

  • @shikoshania953
    @shikoshania953 4 роки тому +8

    Wema mzuriii.....

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому +1

      Ameshazeeka!!

    • @sheilailama9035
      @sheilailama9035 4 роки тому

      @@jumakapilima5674 so what??? Kwani wewe hutazeeka???

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому

      @@sheilailama9035 kiri kwanza kuwa ujana umeshamtupa mkono kwa maana ya kwamba ameshazeeka!!!

    • @hawamabira1499
      @hawamabira1499 4 роки тому

      @@jumakapilima5674 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏼

  • @emmysenior4747
    @emmysenior4747 4 роки тому

    Jamani wema umekua mbaya

  • @edissa9958
    @edissa9958 4 роки тому +4

    Masha Allah

  • @habibashabanigonji1915
    @habibashabanigonji1915 4 роки тому

    Umekua mbaya kupunguza mwili

  • @azontozonto8855
    @azontozonto8855 4 роки тому +1

    Mmmmhh

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 4 роки тому +2

    Nawema akayasikia yawatu akafanya vile vile walivyopenda watu asaivi umekonda sana bora usingesikia ya watu wema maana kweli umetisha sana wema yule na wasasa nivitu viwili tofauti bora to ungeacha to mwili wako my walah kuliko ulivyo umekongoroka sana yaan zaidi ya sana umepoteza mfvuto kabisa my

  • @immaculatejohn9906
    @immaculatejohn9906 4 роки тому

    My dia u have to stop baki ulivyokua ukisikiliza maneno ya watu utasikiliza ya nani uache ya nani beside wapo wengi walotaman kua kama ww lakn hawawez tena ila media ukizifatilia utaweza jiua kama waigizaj wa south korea wanajiua kisa depression watu wanajudge sana afu hawana msaada sasa ww wasikilize mama

  • @carolkelly9330
    @carolkelly9330 4 роки тому +6

    Nmeshtuka nina wema vile yuko saa hii akhi mwili ni kama sabuni alitumia vibaya inaisha ivi vle wema amekua so warembo tujichunge sana na mwili wetu

  • @mtimacharles2059
    @mtimacharles2059 4 роки тому +2

    Kimezeeka mpaka kelooooooo

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 4 роки тому

      Hivyo asifanye yake?

    • @sheilailama9035
      @sheilailama9035 4 роки тому +1

      Wanadamu mnashida so what kama amezeeka

    • @mangeleoporod2704
      @mangeleoporod2704 4 роки тому +1

      Kwan we una elekea wapi kama sio huko aliko yy tena bola yy kuliko ww

  • @theresaelizabethelijah117
    @theresaelizabethelijah117 4 роки тому +8

    Wema lakini sio kwa ubaya lakini mbona sura imezeeka hivyo what happend? 😮🥺

  • @elit3_furor517
    @elit3_furor517 4 роки тому +5

    Kajifiche nyumbani watu wasikuone unashituwa watu

  • @asinatjuma8088
    @asinatjuma8088 4 роки тому +3

    Penda sana unajielewa sana

  • @mariambilonkwa5183
    @mariambilonkwa5183 4 роки тому +1

    Duu jamni wema umeharibika xan mhhh

    • @lucyisrael6121
      @lucyisrael6121 4 роки тому

      Kaharibika si kidogo,akicheka mishipa inachachamaa kwenye hadi huruma,mikono sasa dah, maisha haya tujfunze kuridhika

    • @mariambilonkwa5183
      @mariambilonkwa5183 4 роки тому

      @@lucyisrael6121 kweli ujuaji ukizid mwishowe unaharibikiwa

  • @edissa9958
    @edissa9958 4 роки тому +1

    ❤️❤️❤️❤️💕💕

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 4 роки тому +3

    Endelea hivyohivyo wema ufurahi na mpenzi wako

  • @bibirukaiya371
    @bibirukaiya371 4 роки тому

    Mnamsema amezeeka kwani yeye amekuwa malaika wewe unayemsema kazeeka wewe husogei ulipo

  • @pieremchome5202
    @pieremchome5202 4 роки тому

    Mmh,

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 4 роки тому +1

    Ile sauti ya wema ya kitoto ilienda wapi??

  • @nengajuma972
    @nengajuma972 4 роки тому

    Ila kikwel wema kaxha kuwa mzz

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 4 роки тому

      Ulitakaje wewe, mwambie Mungu amrudishe miaka saba

    • @milkanyevu8471
      @milkanyevu8471 4 роки тому

      @@fatmafaki6163 😂🏃🏃🏃🏃

    • @ramathedon4001
      @ramathedon4001 4 роки тому

      @@fatmafaki6163 mungu amrudishe nini kwani alivyokwenda kukata utumbo alimwambia mungu au ayo ndiyo malipo ya kukosoa uumbaji wa mungu

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 4 роки тому

      @@ramathedon4001 Tuambie wewe Kama alimwambia au hakumwambia huenda unajua. Ujinga tu.

    • @hawamabira1499
      @hawamabira1499 4 роки тому

      @@fatmafaki6163 yan kila comment nayosoma upo 🤣🤣🤣🤣🤣💀🙌🏼unamkinga shoga ako Sepenga

  • @mtimacharles2059
    @mtimacharles2059 4 роки тому +6

    Umezeeka na wewe

  • @mangapineema7652
    @mangapineema7652 4 роки тому +1

    Wanadamu hawana wema ukiwa mzito watasema ukiwa mwembamba watasema WEMA dadangu fuata shughuli zko waache waseme ikifika usiku watadozzzzzz

    • @nurathissa1422
      @nurathissa1422 4 роки тому

      Kaumbuka wema sio mwembamba hiii Hali kaichagua yeye nainampa tabu sana

  • @paulamkalanga4438
    @paulamkalanga4438 4 роки тому

    Pata habari za motomoto za mastaa unaowapenda kwa kubonyeza link hii JECO HABARI play.google.com/store/apps/details?id=com.jeco.newstz

  • @fahimabdalah5491
    @fahimabdalah5491 4 роки тому +3

    Wema umekonda sas mpk naanza kuwa n waswas

  • @habibashabanigonji1915
    @habibashabanigonji1915 4 роки тому

    Umeisha umekua kama kizee

  • @purebeauty8901
    @purebeauty8901 4 роки тому

    Wema ni mgonjwa? Kwa nini ana konda? Mi mukongomani siko tanzania

    • @happymwinuka2637
      @happymwinuka2637 4 роки тому

      Umejuaje mgonjwa acha kumsema wema,kwa ubaya jiangalie wewe

  • @jennymicky9387
    @jennymicky9387 4 роки тому

    😂😂😂

    • @jennymicky9387
      @jennymicky9387 4 роки тому

      Wemaaa kazidiii huo wembamba so Poway🤣🤣🤣

  • @jasmine.mayala7597
    @jasmine.mayala7597 4 роки тому +3

    Kashazeeeka

    • @sifam6348
      @sifam6348 4 роки тому

      kwa nini kumusema mutu vibaya na hajakukoseya , kama kazeheka
      ujiswali mutu wa 28 ans anaweza zeheka , kama kunamutu kwenu amezeheka na miaka 28 hapo sawa
      ujuwe tumuchukuliye sana wema sepetu kwa sababu hana mambo rohoni yanamusumbuwa sisi hatujuwe
      mufano ukiona watu wa kijjjini wengi wana zeheka wakiwa wadogo kwasababu ya mawaso fulani
      ndugu yangu tuwe watu wakutiya moyo waliyo wa zahivu
      najuwa utapata malipo kwa mwenyezi Mungu.

    • @angelineraphael1248
      @angelineraphael1248 4 роки тому +1

      Ulitaka awe kama siku aliyozaliwa Sikh zote? Mnakera sana watu kama we wewe. Kunyooshea kidole motto Wa watu vpi Kwiyo? Ovyo mwacheni kama ww ni mtoto miaka mi2 kivyako.

    • @rizikianatory4016
      @rizikianatory4016 4 роки тому

      Ni hatar

    • @milkanyevu8471
      @milkanyevu8471 4 роки тому

      @@sifam6348 kwani kusema mtu amezeeka Ni vibaya...kuzeeka si Jambo geni..anizeeka

    • @swdaalii6892
      @swdaalii6892 4 роки тому +1

      Jamani uyo muenga wala c wa Leo lkilometa zimesoma ukichanganya na ma cream ndiyo Sura inazidi kumshuka Kama mbuzi wa sikukuu

  • @glorymtuy3573
    @glorymtuy3573 4 роки тому

    Hahaha sio siri tena jionee
    ua-cam.com/video/1lCmpWo4aJo/v-deo.html

  • @onesmopaulmwacha566
    @onesmopaulmwacha566 4 роки тому +1

    Ulifanya ujinga sana kujipunguza .ni hivii .mwili huenda na umri unapobishana na uhalisia lazima upate matatizo na uwe kitu cha ajabu. Hamkujifunza kwa Michael Jackson ?..acheni ujinga siku na miaka haisimami pale pale .mnafeli

    • @onesmopaulmwacha566
      @onesmopaulmwacha566 4 роки тому

      Mpokee Yesu ndiye mfalme wa Amani dunia haiwezi kukupa amani kamwe .amani ye Yesu ni sasa na kesho uzima wa milele .mpokee yesu wema na umtumikie Mungu sasa.

    • @immaculatejohn9906
      @immaculatejohn9906 4 роки тому

      Amen

  • @blackandblackandblac
    @blackandblackandblac 4 роки тому

    Hawa Celebs wa Tz why do they Talk as idiots/kids.....? Hawako Proffessional at all