Sugu - Freedom Official (Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 25

  • @BushZee
    @BushZee Місяць тому

    Sugu nakukubali bro niko nyuma yako mistari nafanya

  • @meddyhazali1470
    @meddyhazali1470 4 місяці тому +1

    Sugu fireee

  • @LugomboMaKaNTa
    @LugomboMaKaNTa 3 роки тому +3

    Huu mzigo kumbe nao umetulia hapa hapa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @monstermonster3649
    @monstermonster3649 2 роки тому +3

    'I don't loose, I either win or learn'
    This line is deep man.

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 2 роки тому +3

    Brother Sugu icon

  • @Cryptocurrency_Tanzania
    @Cryptocurrency_Tanzania Рік тому

    Kama Kuna anaesikiliza hii ngoma mwaka 2023 you are going to be successful in life...

  • @JamesMakondo-r1b
    @JamesMakondo-r1b 5 місяців тому

    Jongwe ni Rapper wa mda wote bongo

  • @mohamedhamisi9766
    @mohamedhamisi9766 8 місяців тому

    Noma sana deiwaka

  • @gadyetheboss8738
    @gadyetheboss8738 2 роки тому +1

    Nimekuja hapa baada ya kuiona show yako uliyo mwalika Rais haijawah kutokea kwel wew ni Taita na Jongwe vile vile a.k.a Sugu💪💥💥💥💥

    • @gadyetheboss8738
      @gadyetheboss8738 2 роки тому

      Umeanza kuimba kabla sijazaliwa na mbaka leo bado uko kwenye raman na unafanya vitu ving vya mfano na uhofii umri kwenda ila kadri umri unavyo zid kwenda mabilion yawe yana zid kuongezeka Daaah! nimeipenda sana hii mistar 💥💥💥

  • @digonzakeimbe8435
    @digonzakeimbe8435 Рік тому

    Acha nikacheze golf na Mataita wenzangu...🔥🔥

  • @paschaljackson5469
    @paschaljackson5469 3 роки тому

    Tuwekee na mzigo wa Sugu moto chini

  • @filbertstephano8038
    @filbertstephano8038 2 роки тому

    Hili ni bonge la ngoma

  • @DonSompo
    @DonSompo 3 роки тому +2

    Masterpiece from the legend himself

  • @Simulizitulivuu
    @Simulizitulivuu 4 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉💪💪

  • @darkrhymes2927
    @darkrhymes2927 2 роки тому

    Bonge la ngoma! Sawa kak mkuu

  • @saidndaki9783
    @saidndaki9783 3 роки тому +1

    sugu the best

  • @eliasluchanganya1522
    @eliasluchanganya1522 2 роки тому

    Mzigo umeshiba mwamba

  • @SizaAdolph
    @SizaAdolph Рік тому

    Huyu ndo mtu anarjigamba mwenye bongo fleva yake

  • @finiasfidelis1475
    @finiasfidelis1475 2 роки тому

    Taita Sugu. Thanks

  • @alphachristopher1891
    @alphachristopher1891 10 місяців тому

    Wapo wanaotaka freedom ya kula ndumu na siwezi kuwalaumu 😂😂😂

  • @michaelmsuya1765
    @michaelmsuya1765 2 роки тому

    Huyu dada kwenye chorus anaitwa nani hivi....