@Sugu, All the way from Cleveland, Ohio 🔥🙌 Tulisepa kitambo kwenda Nga'mbo...tunajimix kijanja na tukirudi tunazidi kua wajanja!! " Im paying the cost i'll be the next boss"
Real hustlers...walikua wajanja na bado ni wajanja... Congrats Mr. II aka SUGU for nice song and video...keep inspiring us and the youth! Lesson: u can live ur dream, just do not give up, keep on strugglin'..
hahaha.. .whay kind inspiration are u talking about..?? still and robing someone's song??? is inspiration??? come on.. I hope #BASATA will have to deal with this....!!!
+Ramazani Mulongeca PRODUCER AMBAYE NDO MMILIKI HALALI WA BEAT ACCORDING TO COPYRIGHT LAW ALIIGAWA .... NA WOTE HAKULIPIA .... YUKO SAHIHI KUFANYA ALICHOKIFANYA ..... SEMA WASANII WAWE SMART KABLA YA KUROPOKA
+Ramazani Mulongeca inspiration kwa kupambana kutoka enzi za kuitwa mhuni na mpaka kuwa mheshimiwa bungeni, kuhusu kuiba ngoma ya Mr. Blue jamaa pamoja na studio wote wamezingua but hii haiharibu maana ya kuwa jamaa ni hustler
+Kagusa Andre unapompa kitu maana yake kuna haki umempa tayari kulingana na mlivyokubaliana, kumpa msanii biti bure haina maana unaweza fanya vyovyote unavyotaka..unless ulishaga mwambia kuwa utabaki na exclussive right na akakubali (kitu ambacho pia hakiwezekani)...kimsingi wasanii na studio pia zijifunze kufanya kazi zao kwa maandishi (kisheria) kuepuka mitafaruku kama hii
The LEGEND is giving us what we have been missing kwa kipindi ndefu! Sugu will always stand no matter what, watakuja na kupotea. He got identity & Brand. A City salute!
+Dola Ahmed Ndugu hata wewe !!!!! mchizi kazingua aliyosema blue yuko sawa hata kama beat hakuilipia ..... c kila tunachomiliki tumenunua ukishatoa na kumpa mtu c chako tena
mh mheshimiwa sugu kweli umeishiwa mpaka umemuibia Mr bluu ngoma yake, sema namshauli Mr bluu akusamehe bure kwasababu umeishiwa, ila umekosea kwa sababu hukumtaarifu bluu.
Hatari Sana hii kitu tulijikata kitaa kwenda nga'mbo kwenda kusaka bingo kwani bongo Mambo hayakuwa Mambo tulikomaa kiwanja tukajimix kijanja hatukuvuta cocaine za ya ganja
watu wanachonga sana blue kaibiwa kaibiwa idea ya nani? siyastudio acheni ushabiki wainafki sunngu neda baba -mara blue kafuni wapi kafunika ye mwenyewe kapewa idea alafu anadaii wimbo wake
Byser kalalamika mlalanikiwa hajajibu anyone hapa anaweza kuwa tatizo. By the way namkubali sugu namkubali byser na niliikubali audio. Natumai watasolve itatoka video part 2 .iko vizuri Big up bro
Kweli ww sugu MB zangu Kila siku kwako...
One Love Sugu..Get well Soon and stay strong brother
20 AUGUST 2024
Aje hapa khaligraf aone jinsi bongo hip hop artists walivyo matajili
Freedom
Nakubali mbunge wangu daima...
Kama inamkubali sugu gusa like!
Wapo wanaotaka freedom yakula ndumu na siwezi kuwalaumu
Freedom
Brother achana na siasa endelea zako na muzic kama wamshauri kama mm 2019 gonga like kidogo
sAWA BUT UMRI UNAMRUHUSU SIASA, MZIKI PIA VIJANA CHIPUKIZI WAJIJENGE
We don't wanna be rich, we just wanna be successful 🙌🏾
Daaa
Najenga Mpaka Hotel.. . Hahaa.. . Na Siwezi Kuwalaumu.. . #Sugu
All time hiphop.Certified.
Napenda mstari ulisema wengine wanataka freedom ya kula ngum siwez kuwalaum
this is what we call good music
video kali sana mheshmiwa umetsha.
mi mwenyewe najikubali na jengaaaaaaaaa paka hoter .........a true lenged
Rais wa mbeya big up
@Sugu, All the way from Cleveland, Ohio 🔥🙌 Tulisepa kitambo kwenda Nga'mbo...tunajimix kijanja na tukirudi tunazidi kua wajanja!! " Im paying the cost i'll be the next boss"
+David learn I am in homie, keep it up
Hustle homie!
Kali sanaaa
sugu ni sugu hao wanafiki wakae kimya hapa ni freedom bonge la pini
Keeping the good music alive
Namkubali sana sugu.
Mentor 🙌🏾🔥🔥
Nice hit from @DirectorHanscana ipo poa lakini mstari wa We don't wanna be rich,we wanna be successful! imesimama
ngoma kali bro hongera
Ngoma kali kaka braza.mahaters kaeni kando
ipo gud sana
Bora nishuke chini, kwa mama ntilie anijazie nifanye kweli eeebwana😂❤
Wimbo huu naupenda sana
sugu bhana amezingua kwenye hii ngoma bhana sio kwa kumfanyia hivyo Mr blue duh Mr blue kaza mwanangu
asante waheshimiwa kwa nyimbo nzuri, Mungu awabariki
Kama umemwona Roma gonga like hapa
Yeah Up
suguuuuuuuuuuuuuu muasisi wa wajanja TANZANIAAAI RESPCT U BROOO
Video kali bhna SUGU umehustle sana had kufika hapo leo
Real hustlers...walikua wajanja na bado ni wajanja... Congrats Mr. II aka SUGU for nice song and video...keep inspiring us and the youth!
Lesson: u can live ur dream, just do not give up, keep on strugglin'..
hahaha.. .whay kind inspiration are u talking about..?? still and robing someone's song??? is inspiration??? come on.. I hope #BASATA will have to deal with this....!!!
+Ramazani Mulongeca PRODUCER AMBAYE NDO MMILIKI HALALI WA BEAT ACCORDING TO COPYRIGHT LAW ALIIGAWA .... NA WOTE HAKULIPIA .... YUKO SAHIHI KUFANYA ALICHOKIFANYA ..... SEMA WASANII WAWE SMART KABLA YA KUROPOKA
+Ramazani Mulongeca inspiration kwa kupambana kutoka enzi za kuitwa mhuni na mpaka kuwa mheshimiwa bungeni, kuhusu kuiba ngoma ya Mr. Blue jamaa pamoja na studio wote wamezingua but hii haiharibu maana ya kuwa jamaa ni hustler
+Kagusa Andre unapompa kitu maana yake kuna haki umempa tayari kulingana na mlivyokubaliana, kumpa msanii biti bure haina maana unaweza fanya vyovyote unavyotaka..unless ulishaga mwambia kuwa utabaki na exclussive right na akakubali (kitu ambacho pia hakiwezekani)...kimsingi wasanii na studio pia zijifunze kufanya kazi zao kwa maandishi (kisheria) kuepuka mitafaruku kama hii
Lusajo Mwakasege APO NIMEKUELEWA ZAIDI KAKA.. #ONE_LOVE
Wow am speechless this is epic freedom u nailed it 100% en 10
We need good music like this, goes on with beat like crazy, I feel the hit. Suguuuu #Musicnotarguments
Nenda kajenge Hotel tu braza mziki unahitaji Talent!!!!
:)
Sugu...i want a Colabo na YUU Big Legend Broo
The LEGEND is giving us what we have been missing kwa kipindi ndefu! Sugu will always stand no matter what, watakuja na kupotea. He got identity & Brand. A City salute!
The Legend is BACK na Master J kwenye machine!
nakwambia bana ata #Professor_Jay duuh ngoma kali
Unatoa lini ngoma Balozi????flow zako hatari bado tunazihitaji BongoFlavani
+Dola Ahmed Tunakusubiri Balozi!!!!
+Dola Ahmed Ndugu hata wewe !!!!! mchizi kazingua aliyosema blue yuko sawa hata kama
beat hakuilipia ..... c kila tunachomiliki tumenunua ukishatoa na kumpa mtu c chako tena
We can wait you Ahmed
Love u bro! You the real definition of hustler!
Salute Mhe. , inspirational...
Ngoma kali hatari
MSHua nimekubaliiɪɪɪ
GREEEN CITY BOY IN DA HOUSE
Mbeya
SAAAFI sana Suguuuu
mh mheshimiwa sugu kweli umeishiwa mpaka umemuibia Mr bluu ngoma yake, sema namshauli Mr bluu akusamehe bure kwasababu umeishiwa, ila umekosea kwa sababu hukumtaarifu bluu.
Paul Santana tatizo umaskini unakusumbua
"Good artists copy, Great artists steal", Well done Sugu #Legend
You're the Best!! #SuperHit
Malizana na Mr. Blue Umeitendea haki hii nyimbo.
BLUE HANA CHAKE HAPA HUYU DEM KAVESHA CHORUS KAMALIZA BEAT WOTE WALIPEWA BURE TATIZO NINI?
Michael Mallya haha
mbeya!moja!
well done Mr. MP
Bonge la mzinga kitonga na mbunge hakuuawa
Big big up brother for real"you paid the cost to be da boss" we don't want to be reach,we just want to be successful.... #ArushaNative
+Luisjack Mosses kaka
Kokaja kununuuuuuuu the green city
Not fair brother, Bayser ameumia sana em malizana nae sio fresh kabisa we mtu mkubwa now...
byser umemzingua kwann,umetoa verses humu
Freedom, Jongwe akili nyingi
Nakubal mwamba
Yes boss
Big up MP border2border.
Duuhh yangu macho, maana ngoma yenyewe Kali mno...
One Love MbunGe Show them...
Offcoz gud song bro.....ur being updated all da time.........
#MJRECORD ACHENI NJAA
freedom ...........hakika
Suguuuu
ngoma Kali brother sugu
Version ya blue kali zaidii
Huu wimbo nikickia naji hisi nmekuwa doni
Beautiful song!!!
This lady did a great work on this
Kweli aiseee
Who is this lady??
@@shamdunikihiyo7142 haithakim
@@shamdunikihiyo7142 haitham Kim
Mbeya city
amazing sana
Pumbu👌
Big up ..wapeleke peleke mjengoni kk.. heard you make me think like what if Pac was a president - ????!!
Meku🎉
GREAT SONG
Daaa,,hii ngoma kali sana,,ila kwa mkongwe Sugu sijaikubali sana kwa skendo yake.....
Mr II ukubwa dawa
Najenga mpk hotel😀😀
We dnt wnna b rich,we wnn b succsd coz we pay de coxt to be de Boss
freedom ✊ #hit
Ngoma kali, demu kasimama, but solve issue ya hii ngoma na blue
Hatari Sana hii kitu tulijikata kitaa kwenda nga'mbo kwenda kusaka bingo kwani bongo Mambo hayakuwa Mambo tulikomaa kiwanja tukajimix kijanja hatukuvuta cocaine za ya ganja
nakupongeza kwa mziki mzuri mwshimiwa moyo mmoja nchi moja na raisi wetu m
jpm tunapiga kaz love tz
Bigup brother
Bonge la ngoma
aah video nmeielewa kinyama. ya mbele
watu wanachonga sana blue kaibiwa kaibiwa idea ya nani? siyastudio acheni ushabiki wainafki sunngu neda baba -mara blue kafuni wapi kafunika ye mwenyewe kapewa idea alafu anadaii wimbo wake
bluee acha kuzingua kama ulishindwa lipia beet broo kachomoka nalo kuwa mpolee
hii kali sana sugu lakini malizana na mr.blue 1st
haya brother tumekuelewa ila malizana na mdogo wako bhana ana lalama hauja mtendea haki.
Mbeya moja
Blue's version is dope!!!!!!mh.umekaza ila blue n kiboko
mama hemmed mwanao nimetoka mbali najenga mpka hotel? Best line
classic music toka kwa mkongwe wa game
Kama kweli umeiiba nyimbo umezingua
Huyo alioibiwa mbona haikusikika kama hii!?
HUYU kiboko kitambo😁😁
kop and pest ubunge bungen sio kwenye na kwenye jimbo lk baba
GREAT
mwenyewe najikubal najenga mpaka hotel hahaha
kumbe na ww mh ni mwizi
mbonge LA nyimbo
Byser kalalamika mlalanikiwa hajajibu anyone hapa anaweza kuwa tatizo. By the way namkubali sugu namkubali byser na niliikubali audio. Natumai watasolve itatoka video part 2 .iko vizuri Big up bro