🔴 WAFANYABIASHARA WA MADINI WAUWAWA RUVUMA JESHI LA POLISI LAWASHIKILIA WATUHUMIWA WAWILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @jumamngazija4321
    @jumamngazija4321 Рік тому +2

    Kazi nzuri sana Kamanda. Hao ni tamaa tu.

  • @deomathias2313
    @deomathias2313 Рік тому +2

    Hongera nyingi kwa jeshi la POLCE kwa upelelezi mzuri na kubaini haowaharofu

  • @Sharefa-v6n
    @Sharefa-v6n Рік тому +3

    Daaa jaman anaenda na wenzake kumbe wanaend kumuua jaman, kwa maisha ya sasahv usimuamin ndug wala rafk jiamin wew kama ww

  • @athumanisudi891
    @athumanisudi891 Рік тому +2

    Tamaa mbaya sana unamtoa mwenzio uhai kwa ajil ya Mali na Mali yenyewe ujaipataWanyongwe tu mpkaka kufa kwani hao ni mashetani kuliko mashetani wenyewe

  • @fikiriselemani100
    @fikiriselemani100 Рік тому +4

    Ikiwezekana watu wa makosa kama haya wangekua wanahukumiwa kunyongwa kabisa,

  • @kilonzokallage6159
    @kilonzokallage6159 Рік тому +1

    Hongereri sana Jeshi la police kazi imefanyika yenye weledi mkubwa

  • @BahatiJuma-m2i
    @BahatiJuma-m2i Рік тому +2

    Duniani tunapita jamani kweli unamuuwa mwezako kabisa kisa pesa naww ujui iko siku naww utakufa tu hakuna Tena uaminifu kwabinadamu

  • @abeliantony7085
    @abeliantony7085 Рік тому +4

    Nikweli kikulacho kimo nguoni mwako, na nikweli adui yako ninduguyo, Mungu awapokee marehemu hao kwa mikono miwili

  • @Sharefa-v6n
    @Sharefa-v6n Рік тому +2

    Nawao wafanyiwe kama walvyowafanyia wenzao kama ni vzur maskn

  • @Sharefa-v6n
    @Sharefa-v6n Рік тому +2

    Duuu jaman jaman kwel ajuae ni Mungu

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 Рік тому +3

    Mkoa Wangu huu,hawa wauaji wanatuchafulia heshima yetu ya kandahi

  • @BahatiJuma-m2i
    @BahatiJuma-m2i Рік тому +1

    Wanyongwe hao kabisa duuuuu

  • @DianaChanga-mh7fc
    @DianaChanga-mh7fc Рік тому

    Aiseeee

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 Рік тому +1

    So sad 😭

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 Рік тому +1

    Ama kweli Rafiki yako Ndy adui yako

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil7626 Рік тому

    So sad..

  • @danielkanso
    @danielkanso Рік тому +1

    Hao wa kamatwe mara moja na kunyongwa

  • @elicktilia4430
    @elicktilia4430 Рік тому

    So sad

  • @dicksonwanyama1689
    @dicksonwanyama1689 Рік тому

    Daaaaaah sad new

  • @abdallahmvula2233
    @abdallahmvula2233 Рік тому

    Dah

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 Рік тому

    Uaminifu umeisha duniani😢