ramadhani bwitu,,,da kweli mziki sauti ukiwa na sauti nzuli muda wowote unaludi na una hit , kipaji akifi ila kama hauna kipaji kaza ukipumzika tu tunakusahau
When I listen the songs from Saida , I salute her with lots of respect. It is only that the world praises the western music but Saida could have been given another level of profile. Even in Tanzania we don't recognize who is she until she passes. Saida is a Tanzanian flute. In +254 from +255
Kuna kipindi nilikua nawazaga mwenyewe masikini saida ina maana wadau wa muziki wanamwacha ateketee nashukuru Mungu alisikia kilio changu leo saida huyu hapa
Nani amemuona kajala like zake
Nani anasikiliza hadi 2024❤😂😂😂
Mii
Mimi nipo nausikiliza hata sasa
😅😅😅😅😅
Hadi Leo hii night nasikiliza.... ❤
Chuma Huliwa Na Kutu, Cha Mtu Huliwa Na Mtu! Best line🤩
Dah mi mwenyewe kawimbo nimekapenda japo maneno mengne siyasikiii umetisha adi mgabe anakusifia
kham ic
Old is gold aisee.Mama TZ unatesa sana hadi APA Kenya.wapi likes za wakenya aisee!!
et ee
Adnan Ramadhan junuzage good song
Poncy sulu klibu tz mwana
Namkubali sana
Tuko ndani babaa🤚💃🏻💃🏻💃🏻
Saida mamyet munguakuzidishie uwezo zaidi ya hapo
Saida mugu
Hii nyimbo inapendeza ipigwe pale mwanaume anapo peleka posa I'll make wake ajiandae . hainaga ushemeji tunasema
hujakosea 😁
Dah, kweli kabisa aisee😂😂😂
Yazidu Hussein Kwiro. so nice muve mama uko
Umeamua saida uko vizur xna mungu akutangulie
ramadhani bwitu,,,da kweli mziki sauti ukiwa na sauti nzuli muda wowote unaludi na una hit , kipaji akifi ila kama hauna kipaji kaza ukipumzika tu tunakusahau
Ww mmama ni nomaaaa Yani Ngoma iko 🔥 🔥 🔥 🔥
mama kauwa jaman nice voice big up saidi kalori
Kila mkoa nilazima msanii mmoja wa Asilia atambulike kama kigoma aimbavyo linex nasisi wabhukobha saida ni fahali yetu love you saida
She is back. The queen is BACK! Go Saida Karoli. Go Saida
She is my favorite 😍 😍 Saida karoli 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🎵🎵🎵
One of the best traditional singer ever happened in East African countries. Maintain your niche mama!
Ulikua vzur umerudi vzur zaidi mama mm nazifagilia sana nguo zako na kwetu sote much Luv from 254 Mombasa
Cku Kuu ya anavaa kiheshima huyu mama I love her too
Mama yuko vzuri
Heshema kwaanza
Ahsante saida kaloli🇳🇿🇳🇿🇳🇿🇳🇿🇳🇿🇳🇿
Kweli dadaa uyu.anavaa poa
Old is gold, I came from Zambia but her songs reminds me of my late hero Lawrence Tembo
Dada nyimbo bomba xna kazi nzuli kazi nzuli saida%%%%
Omulilo nguluga omukanwa aka
Big up saxa mama ngoma iko vizuri muno unatisha
antidius mugashe ubalikiwe
I like the message Chuma huliwa na kutu na cha mtu huliwa na mtu big up the legend
nilivomaliza kutazama interview yako na zamaradi ndio nimekuja hapa, nyimbo nzuri sana
Chuma huliwa na kutu,cha mtu huliwa na mtu,ni kweli na linamana pana sana ukilidadavua neno hili binafsi nimekusoma..
jamani huyu mama anazingua hazeeki!! sio kwa sauti hii love you saidaaaa
Aaaaa Kweli unajua nyimbo ina hisia zoteee inatekenya mpaka rohoni sauti iyooo haipo apa duniani ni kwako tu 😘😘😘😘😘😘
Hongera Mama, mwenyezi Mungu azidi kukuongezea utasikia WA kulumba zaidi ya hapo.
Nilikuwa nautafuta sana huu wimbo lakn ckujua unaitwaje
Yaaaaaaap nakufananisha na mama Hayvon chakachaka special u'r behaviour ,,thank you mama
Shikamoo mond, dada wa bukoba karudi😁😁😁
Wimbo omulungi mno.wakolaaa saidaa.
Natamani sana huyo mwanamke
welcome back mama Africa na umeingia na moto kama kawaida jaman karib sana
Mugabe kajihuzuru urais aje kuusikiliza ngoma hii ya Saida...ni noooma
Tunakupenda sana,Bi Saida!!!!
Saida kaloli mipendo kutokabukoba wow 💗💗💗💗💗💗💗💗💗
Watu wa kanda ya ziwa wanajua mana ya omulilo mana yake ni moto chuma uliwa na kutu chamtu uliwana mtu nikweli mm saida umetisha mama
ebwanaaaa ni zaidi ya kukukubari
Wimbo mzuri Sanaa. Hii inatokeaga kweli.
Its a nice song Saida keep it up dear,lam Bob from Uganda but am yr follower
When I listen the songs from Saida , I salute her with lots of respect. It is only that the world praises the western music but Saida could have been given another level of profile. Even in Tanzania we don't recognize who is she until she passes. Saida is a Tanzanian flute. In +254 from +255
amen.
video na wimbo vimekaa sawasawa.. Omulilo :) ntarudi kutizama tena
Cha mtu uliwa na mtu hehe love that part....kenya mpo kweli😌😌😌😀
Zomio
Hello Saida,your songs are always awesome,i love then day by day,long live dada and give us even more!
Though I can't interpret the language , am enjoying the song and I think I am getting the concept.. beautiful song. 🇿🇲🇿🇲
karoli ako juu tu sana
OMULILO MAWE GWALETA ESHIDA GWAYOKYA M B ] ZONA MPAKA ZAWAM
Nakugambira
NICE
Saida
Nice song...keep it Up ssta Saida
welcome kwa game tena najua hukoseagi mama saida, Kali sana ngoma zako kama umeikubali gonga like twende sambamba
Umetisha mwana wa mae Saida...Wakola muno
Kula chuma hicho nipo nasikiliza nikiwa Dodoma nawapenda watu wa nyumban
Maam mkali, nyimbo kali kali mpka wanakaa...
nje amna ushemeji📢📢
Absolutely, this legend is back again Africa.
Bonge la ngoma Saida
ambao wameikumbuka hili ngoma jamani ni nzuli sana nimeikubali sana
Huyu Dada Anaimba Bwana Tuache Unafiki Kwa kweliiii ....amaizing song
Iko vizuri sana
Sautii ako tyu saida naielewaa balaaa
Chuma uliwa na kutu ,cha mtu huliwa na mtu...maneno ya kweli ..Mama Africa Saida Karoli
twende sambamba na ngoma hii kali ya saidi kama na wewe imekubamba gonga like hapa
ahsante sanaaaa nyimbo nzuri kwel
Nakupenda sana aunt saida jaman
HUYU MDADA YUKO JUU NAWEZA SIKILIZA SONG HILI KUANZIA ASUBUHI ofisini, kwenye gari na nyumbani BIG UP MAAAAAAAAMAAAAA SAIDA
Omuliro bojo .omuliro kuruga mukanwa kange
Saida u the best African maama
Saida Saida u are de golden legend of East africa.we love u.
penda sana saida japo maneno mengne sielew lakini nafarijika kwanza na sauti yako dada
Kiukweli dada saida uko vizuri, mungu akutangulie kwakazi nzur unayoifanya,, omukama akwine otatinai.
Chuma ya quarantine 🤩🤩🤩🤩ndanin ndani kutoka kenyan 2020 ❤️tunawapenda tz sana my mum love ur songs saaaaana vol 150
Ngoma kali mama me huwa nakukubali sanaaaaaa,,,,ila naomba kilugha punguza me napenda niimbage na nielewe unachoimba jaribu kutumia sana kiswahili
Mama dah naumia sawa na saut yako inanitoa chozi nakupenda cn
iko njema pamoja sana
mama wa Africa
Namkubali sana saida
bojo omulilo, nguruga, omukanwa,, penda sana wimbo huo, hongera sana
Saida nakupenda bure
Ni kweli kuna marafiki ni vinyonga hivyo chunga sana.Hongera dada Saida
Unajitaidi sana Dada yetu kaza buti
huyu mama hajawah kukosea kla nymbo aktoa n kal balaa kama vle n msanii wa kazaz kpy .kumbe mama wa zaman xana ...ebu mpe like yake tusepe na kijij
saida wemkal
Omunywanyi mbararaju uwiih ni nikwo
Jamani saida yuko wapi siku hizi❤
Ni kweli mama uko vzr, kumbe kuna marafk vinyonga aise
Wanga wafe chana mawimbi saida
nyimbo nzuri (chuma huliwa na kutu cha mtu huliwa na mtu)
Kafanya kweli
nice sema producer angempa beat yenye ngoma au midundo ya asili ingependeza mnooo
Huyu ndiye mwana mziki🔥🔥
Ingekuwa nchi za watu huyu mama angekuwa tajiri maana nyimbo zake sio utani ni nzuri kuna moja inaitwa Kyali Muto Acha kabisa,,,,
Kweli unajua mama
Queen of kongo we all love mama afrika
Wakora muno!omuya agambati ekibi okyeletela
umetisha Kongo unasumbua uku ninoma umetisha
Saida is our legend..more love kenya
Uko vizuri
iko poa sana .....dah saida anajua
Speechless Saida Much respect
Nimependa hii,👏👏👏 video inakubalika 👌👌👍
Mji hauna usheji-saida kaloli wakola shangazi uluimbo lulungi muno...
Nomaaaa mamaaa
Yan haka kasauti n kasheshe....had kausngz...mpaka raha.tokea 2004 namckia kal had now inazd kuvutia masikion mpaka moyon.saida hongeraaaaaaa
nzuuuur love u saida😍😍😘
you are my number one in Tanzania . you are one of the best African women. your songs gives me so much love for Africa
unaweza san so kaza san dada
nampenda sana saida
Nakubali sana saida
Chuma huliwa na kutu cha mtu huliwa na mtu kweli kabisa
Safi sanaaa maana yiyo nikwer
Penda sana saidu kwakuimba nyimbo za kikabila. Japo sielew. Mazipenda 2 lov
Kuna kipindi nilikua nawazaga mwenyewe masikini saida ina maana wadau wa muziki wanamwacha ateketee nashukuru Mungu alisikia kilio changu leo saida huyu hapa