Ukabidhi nchi vyama vya urithi?? Utapotea.... utageuza nchi pia kiwa ya urithi wa familia fulani... Chama chenyewe tuu mtu anang'ang'aniaaaa ebu niambie ikiwa ni RAIS wa nchi je??
@@georgekabaka377 ha ha ha ndugu unajua historia ya chama cha TAA halafu ikaja TANU halafu ikaja CCM? unajua akina sykse na wenzake walivyovianzisha? vilianzia wapi?kila chama kina mwanzo wake either kilikuwa cha disko au cha kufa na kuzikana au kilikuwa cha urithi ila lazima kiwe na mwanzo we huoni ccm wanavyotumia mabavu kikidhibiti japo we unakiita cha urithi? raha ya jamvi sikuzote ni viraka viraka
Kweliii machiziii wengii tz Sasa ao wanaoo ongoza wana uzaa bandalii mshamba ulitaka kitambulisho lushwa umeme lushwa uuruuu Amna Sasa tuna faida ganiii na ao wanongozaa maitii tuna nunua osipitaliii ndio wana ongozaa ivyooo chokowee
Mm ndio maana sitaki mambo ya wana siasa hawa wote maongo kuanzia ccm na vyama vyote wanavaa koti la haki ndani ya makoti yao ni uchafu mtupu viongozi wote hawapo kwaaajili ya raia wapo kwaajili ya maslahi yao
Lissu we ni mkorofi mno maana unapenda sana kumsema mwenzio acha uongo wewe mbowe usijibu upuuzi wa lissu lissu kuna kabla moja maana yake majani hivyo akili hazipambanui kisa uenyekiti cha hizo uwe mstaabu kimaneno mdomo huo huo unsngea na wsnao kweli huohuo na mkeo aisee mgeukie Mungu wako
Mh Lisu hivi vita vyenu vitawagharimu wengi. Kwanza ni hekima kama Mbowe ameomba kupatanishwa na viongozi wa dini siyo kitu cha kubeza. Kama viongozi wa dini hawakuweza kuwasaidia kuelewana basi mtambue hatimaye kila moja atakwenda na tofali lake. Mbowe siyo mtu mdogo hatashindwa uchaguzi kirahisi hivyo kama wanavyofikiri wengi. Hata kama Lisu utashinda bila mkono wa mbowe namashaka sana hatima ya chadema.. Mungu awape ufahamu wa jinsi ya kushinda tofauti zenu kabla ya uchaguzi ambao utaingiza wanachama wengi zaidi. Mafahali wawili hawezi kaa zizi moja...
Kisha mnashangaa kwa nini hampati kuongoza hii nchi na InshaAllah hamtopata CCM na ujinga wake lkn ina expirience . Nyie mkija mtaleta tu vurugu. Watu wa hovyo kabisa
Tuanze na mabadiliko ndani ya chama then ikiwezekana tutaamnini mtatuletea mabadiliko mengine nje ya chama... Mkishindwa ndani msije kutuhubiria propaganda za mabadiliko ya nchi... Pamoko... Chimba mwamba kwa jembe...Mpaka mkunjane huu mwaka ndio kitaeleweka.... Lisu kile ni chama cha watu wamerithishwa sidhani kama baba anaweza mrithisha mali mtu ambaye si mwanaeee.... Ila pamabamaaaaaa Ngadu ngadu
Mh lissu siasa ni upepo kakujibu vizuri lazima aweke mtu mwenye nguvu kwenye urais uyo ni mkubwa wako ata akikosea asemwi hazalan unakumbuka utoto ujafanya kosa mama ankuchapana haunacha kumfanya ww ni mwanasiasa mzuri tatizo unaongea sana nawatakia uchaguzi mwema lkn mm nipo kwa mh mbowe mitano tena na mama mitano tena
Huyu lisu usije ukampa Siri yako😂
Uyo apendii wezii na wenyee tamaa na sio wazalendo uyo mzalendo chiziii ww
Hiki chama hakifai kabisa kupewa inch wala hata jimbo
Kwann? Ni kukua kwa democrasia ndani ya chama minyukano kama hii ipo hata ndani ya ccm wakati wa uchaguzi kwani huwa hufuatilii siasa za hapa nchini?
Ukabidhi nchi vyama vya urithi?? Utapotea.... utageuza nchi pia kiwa ya urithi wa familia fulani... Chama chenyewe tuu mtu anang'ang'aniaaaa ebu niambie ikiwa ni RAIS wa nchi je??
@@georgekabaka377 ha ha ha ndugu unajua historia ya chama cha TAA halafu ikaja TANU halafu ikaja CCM? unajua akina sykse na wenzake walivyovianzisha? vilianzia wapi?kila chama kina mwanzo wake either kilikuwa cha disko au cha kufa na kuzikana au kilikuwa cha urithi ila lazima kiwe na mwanzo we huoni ccm wanavyotumia mabavu kikidhibiti japo we unakiita cha urithi? raha ya jamvi sikuzote ni viraka viraka
Kweliii machiziii wengii tz Sasa ao wanaoo ongoza wana uzaa bandalii mshamba ulitaka kitambulisho lushwa umeme lushwa uuruuu Amna Sasa tuna faida ganiii na ao wanongozaa maitii tuna nunua osipitaliii ndio wana ongozaa ivyooo chokowee
Kwanini ivi unajua faida ya upinzani KWENYE nchi ya viongoz wasiokuwa wazarendo kama Tanzania?
kuna Maelewano ss hapo hamfai kuongoza Dola hii
Chama bora kabisa kinachofanya uchakuguzi kwa uwazi na hoja..wanaojua demokrasia wanaelewa.
Mmezoea Dola ya kujifichaficha na kuvizia watu?
Tayari Kimeumana
Malipo hapahapa! Watamalizana wenyewe, ccm wanachekelea😂
Wapo kwenye uchaguzi..tarehe 21 tunachagua viongozi wetu..tarehe 22 tunaanza mikakati kunashindana na chama chako CCM.
CCM OYEEE 😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kwenda zako
Lissu ni muwazi hapendi mba² ameweka wazi vyote sasa.
Mm ndio maana sitaki mambo ya wana siasa hawa wote maongo kuanzia ccm na vyama vyote wanavaa koti la haki ndani ya makoti yao ni uchafu mtupu viongozi wote hawapo kwaaajili ya raia wapo kwaajili ya maslahi yao
Huyu lusi ana uchu wa madaraka
Lissu we ni mkorofi mno maana unapenda sana kumsema mwenzio acha uongo wewe mbowe usijibu upuuzi wa lissu lissu kuna kabla moja maana yake majani hivyo akili hazipambanui kisa uenyekiti cha hizo uwe mstaabu kimaneno mdomo huo huo unsngea na wsnao kweli huohuo na mkeo aisee mgeukie Mungu wako
Nchi hii chama n kimoja tu,,,😂😂
Rudi nyumban kjana mambo yamenogaa😂😂
Chama bora kabisa...CHADEMA
CCM oyee
Mh Lisu hivi vita vyenu vitawagharimu wengi. Kwanza ni hekima kama Mbowe ameomba kupatanishwa na viongozi wa dini siyo kitu cha kubeza. Kama viongozi wa dini hawakuweza kuwasaidia kuelewana basi mtambue hatimaye kila moja atakwenda na tofali lake.
Mbowe siyo mtu mdogo hatashindwa uchaguzi kirahisi hivyo kama wanavyofikiri wengi. Hata kama Lisu utashinda bila mkono wa mbowe namashaka sana hatima ya chadema..
Mungu awape ufahamu wa jinsi ya kushinda tofauti zenu kabla ya uchaguzi ambao utaingiza wanachama wengi zaidi.
Mafahali wawili hawezi kaa zizi moja...
huyu jamaa fupi mshari wa kupindukia!!!
😂😂😂Mnakulana nyinyi kwa nyinyi😅😅😅na😅bado hujasema
Lisu nimatako umesoma kama haukusoma kuneni makini nawasiri sana muna2potosha 😢😢😢😢😮😮
From #EconomicallyGrowthMusicians ukifuatilia maisha ya sasa utagundua kuwa EGM Hatuna la kusema ila Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Chadema😂😂😂😂😂😂😂😂😂
LISSU KARIBU ATANUNULIWA NA CCM NAONA
Tunaccm hawafai naona na chadema nao Ni yaleyale😅
MUNGU atusaidie tundu lisu awe raisi watanganyika
😂😂😂
Eee maweee
Mungu yupi?😅
😂😂😂😂
Ndio maana chama kimeisha
Upinzani hamtakuja mshike dora, wewe lisu umejivua heshima kwasababu mbowe kakuheshimisha lakini umejivua hiyo heshima unayo tamaa ya madaraka sanaa
Wajomba na nyia mnajichanganya wenyeweeee sis yetu macho
Yule dada amefurahia kweli kweli
Maigizo unayajuwa kwa ii staili, asee tusubiri season 1
Watu wakiona watu wanatifuana hivi wanadhani ni tatizo... Hii ndio AFYA ya demcracy
Mkikosa kuwa na maelewano kama upinzani....Mnawapa nguvu chama tawala😢
Kiukwer mbowe amekuwa muongo,,amekosa sera amebaki anaongea yalio pita ya kuwasaidi na kuwainua wana siasa wa upinzani,,
KATOKA ULAYA KUCHUKUA VIDONGE VYAKE 😢😢😢😢😢MSAMEHENI NI MWANAHARAKATI MZURI TATIZO HANA CHUJIO
😂
Friji aligandishi
Lugha mubashara ni SAA MBOVU HUYU SILU...😂😂
Wenye Upeo washatumia Upeo na wamefanikisha Kwa asilimia zote so Sad.
Sai kwetu furaha tu
Watanzania niwenngi kuliko chama cha kikabila watakao nielewa wataelewa ndo wengine wameshtuka
Lissu anatosha
Mmejizalilisha. Na mbowe acha tamaa
Kisha mnashangaa kwa nini hampati kuongoza hii nchi na InshaAllah hamtopata CCM na ujinga wake lkn ina expirience . Nyie mkija mtaleta tu vurugu. Watu wa hovyo kabisa
Ndo mnataka hiki chama kipewe nchi😮😂😂😂😂
Na bado.. yajayo....?wana siasa bwana. 😂😂😂 nacheka kama mazuri..
Yanafuraisha
Sio Mambo ya kufraiya .
@@STEVENKAJUMBA wanasiasa ni WA kukaa nao kiakili wakiamua kujifanya wanakutetea🤲🤲🤲ikifuka suala la masilahi Yao ndipo utawajua zaidi
Dada amecheka huyo duuuuu
Lisu nimtu aliebarikiwa akili nyingi
Raise alikuwa magufuli tu
Mfuate, simple tu.
Yani nilikuwa nawaza kwann ccm hawatoki marakani
Sasa nimepata jibu kwamba upinzani nimaandaziiiiiiiiii tena sio ya jana niya mwaka jana
Bado sana kupewa nchi Hawa 😂
Mbowe mlaji wa pesa na atakiyumbisha chana kwa tamaa ya pesa Mbowe
ccm mbele kwa mbele
hao wanapoomba kura zenu wapuuzeni tu maana hata wenyew hawaelewani
Duuuh 😢😂 kwa namna YOYOTE ile hata tukiibiwa kura ni haki yetu
Malizaneni wenyewe
Tuanze na mabadiliko ndani ya chama then ikiwezekana tutaamnini mtatuletea mabadiliko mengine nje ya chama... Mkishindwa ndani msije kutuhubiria propaganda za mabadiliko ya nchi... Pamoko... Chimba mwamba kwa jembe...Mpaka mkunjane huu mwaka ndio kitaeleweka.... Lisu kile ni chama cha watu wamerithishwa sidhani kama baba anaweza mrithisha mali mtu ambaye si mwanaeee.... Ila pamabamaaaaaa Ngadu ngadu
Haya mazee mahunikwel
Wakenya ni wapumbavu hawajueleweiiii
Tundu ni tundu…..ccm oyee
Nimekua mtu wa 28 kutazama hii
Nilisema chama cha wahusni
Nimeamini Sasa hapa Siri uko wapi?
Mh lissu siasa ni upepo kakujibu vizuri lazima aweke mtu mwenye nguvu kwenye urais uyo ni mkubwa wako ata akikosea asemwi hazalan unakumbuka utoto ujafanya kosa mama ankuchapana haunacha kumfanya ww ni mwanasiasa mzuri tatizo unaongea sana nawatakia uchaguzi mwema lkn mm nipo kwa mh mbowe mitano tena na mama mitano tena
Vimeumana
Ni uchaguzi tu..hamna ugomvi.
Wagombane tu ila siwezi kuwa ccm Hadi nakufa ntabaki kuwa mwanachama wa chadema
Una akilo
Una akili
Vikao vinafanyika kanisan, mmmmh (msimbazi kanisani)
Vita vya panzi furaha ya kunguru
Hata cccm sio chadema tu Kate no wale wale
Nyie wenyewe hamna demokrasia sasa mkipewa nchi itakuwaje?
Nilijua Tu njaa znawasumbua
Wewe huna njaaa
Kwenye hiki chama chetu mwenyekiti lazima atoke Kilimanjaro sio kwingineko ndio shida iliokuepo
Duh kumbe hata hawa nao ni waganga njaa kama sisi pole kwetu watanzania tuendelee kuugulia maumivu
Hio crew Haina mchaga hapo
Uwe afuta mdomo mheshimiwa mate yanakutoka sana.samahani lkn
😂😂😂😂
Chama kimekua cha kisenge hiko kimesha fell
😅😅😅😅😂
ua-cam.com/video/iHqNxV83USs/v-deo.htmlsi=nEZPgl768QDLlCs_
Ccm igeni chadema kwa jinsi walipokomaa kisiasa hii ndy derokirasia ya ukweli ambayo inaendana na wakati.
Hapana wangeyamaliza huko huko
Demokrasia ipo wapi hapo ?😅
CCM hadi 2100😂
Happyyyyyyyyy...😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hawa wamevurugwa tayar ccm sio mchezo
😂😂😂..kumbe umeona eeeeh??
Tayari ccm wametia mkono halafu wamekaa pembeni wanakula karanga tartiiiiibu 😂😂
KARMA IS REAL
Mbona wajinga nyie hamjielew, yaan wato2 wa baba mmoja mnaleteana utopolo kama hv alaf baadae mtaanza kusema ccm anaiba kura puuz sana
83
Tundu lissu Pole sana
Mh
Mzee baba unaongea sana, punguza kidogo utaharibu..!
Kabisaa ana hasira za haraka sana