Fununu Za Uhamisho Ulaya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2024
  • Fununu Za Uhamisho Ulaya
    Manchester United Wako Tayari Kusikiliza Ofa Kwa Ajili Ya Harry Maguire Msimu Huu Wa Joto, Huku Vilabu Vya Italia Vikiwa Vinamtaka Nyota Huyo Wa Kimataifa Wa Uingereza, 31
    West Ham Wana Nia Ya Kumsajili Beki Wa Kulia Wa Manchester United Aaron Wan-Bissaka Huku Mwingereza Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 26 Akiwa Na Chini Ya Miezi 12 Kwenye Mkataba Wake Wa Sasa.
    Kiungo Wa Kati Wa Aston Villa Philippe Coutinho Anatarajiwa Kuondoka Villa Wiki Hii, Huku Mbrazil Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 32 Akitamani Kurejea Katika Klabu Yake Ya Utotoni Ya Vasco Da Gama.
    Arsenal Wameipiku Juventus Katika Harakati Za Kumsaka Beki Wa Bologna Riccardo Calafiori, 22, Ambaye Aliisaidia Pakubwa Italia Kwenye Euro 2024 Hadi Raundi Ya 16 Bora.
    Burnley Wanatazamiwa Kumteua Meneja Wa Zamani Wa Fulham Scott Parker Kama Meneja Mpya Wa Klabu Hiyo.

КОМЕНТАРІ •