DADA WA BANK - SIMULIZI MPYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 235

  • @IsaberaEster
    @IsaberaEster 9 місяців тому +11

    Eti me nachelewaga wapi jamani mliowah❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @merrymazuri2713
    @merrymazuri2713 Рік тому +12

    Naomb like moja tu 😂😂

  • @SHOSETemu
    @SHOSETemu Рік тому +12

    Hatimae na mm nimewahi kidogo jmn naombeni like zangu

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 5 місяців тому +1

    Hongera saaaaana papa jay❤❤❤❤❤

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Рік тому +18

    Natumai waendelea vyema anko atlist sauti yaleo inakanafuuu wapendwaaaa❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇮

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 Рік тому +10

    Nieni like zangu jameni Leo nimewahi

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Рік тому +5

    Bint kaolewa na million 20 duuuuuuuuuuh alman umeoa mke na kazi million 20 aiseeh wanaume tafuteni pesa fain milion 8 hatari na nusu

  • @puritylobun5313
    @puritylobun5313 Рік тому +5

    Yaani Mimi nimekuwa addicted na simulizi... ankojay utaniua mwenziyo

  • @laweluagustino6703
    @laweluagustino6703 Рік тому +5

    Anko j unajua kunnikosha 💋💋💋😍😍

  • @LucyEmanuel-t6h
    @LucyEmanuel-t6h 3 місяці тому

    Nimekubali simuliz Nzur san

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Рік тому +7

    Waoooooooooooh nimekuwa watatu kidogo nimewahi 😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @GavanaWashytown
    @GavanaWashytown Місяць тому

    Bingwa wa simulizi tz...big up ankoooo Jay

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 Рік тому +15

    Wakwanza mim leo 🎉🎉❤❤❤❤ Asante anko jay naomba like yako hapa anko wetu😊😊😊🎉🎉

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m Рік тому +7

    ❤❤❤❤😂wa 52 leo

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v 3 місяці тому

    Tatizo la moyo lazima wapatikize vyuma vya kusukuma moyo, Mungu atusaidie 🙏

  • @mercymathias
    @mercymathias Рік тому +5

    Nakupenda san anko jay like zenu jaman

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 Рік тому +7

    Sijachelewa ahsante anko Jay simulizi na polesana kwakuumwa❤❤❤

  • @ShukuraniMapunda-lz3un
    @ShukuraniMapunda-lz3un Рік тому +2

    Jamani story ya cinderella daa, kiboko maua yako hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 Рік тому +8

    Hawa wadada ankjay huwa unawatoa wapi❤❤ ni warembo mno 😊😊boys tafuteni pesa😂

    • @ankojay_
      @ankojay_  Рік тому +2

      😂😂😂😂😂 nimecheka aiseee

    • @dhuhasaid636
      @dhuhasaid636 Рік тому

      @@ankojay_ usichek sanaa turudishie grp anko

    • @donaldchacha
      @donaldchacha Рік тому

      Ukiona manyoya ujue ...

    • @rizmwMwriz-mf2cu
      @rizmwMwriz-mf2cu Рік тому

      😂😂😂😂ata mm mwenzio uwa bashindwa kuelewa,,,kiukwel hawa warembo ni photo tuuu,,,,ama ni wasichana kiukwel ndo uekwa apa kwa smlz

    • @rizmwMwriz-mf2cu
      @rizmwMwriz-mf2cu Рік тому

      @@ankojay_ ebu tufafanulie kka etu juu ya hawa warembo

  • @victoriangasa
    @victoriangasa Рік тому +3

    Ahsanteee Anko J kwa simulizi ❤❤❤ ya DADA WA BANK kafanyj..

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 Рік тому +2

    Jmn watu hamulali 😂😂😂 muna lala muki muwaza ankojay tu jmn ila na wapenda sana jmn 😊 pia ankojay mapesa na kukubali sana 🎉❤😊😊

    • @priscillahsirya6544
      @priscillahsirya6544 Рік тому

      😂😂😂😂hapa lali mtu apa😂😂😂

    • @rizmwMwriz-mf2cu
      @rizmwMwriz-mf2cu Рік тому +1

      😂😂😂tukikosa kusikia sauty ya Anko J kwa cku mtu anashinda vbaya aiseee

  • @salmasasha
    @salmasasha Рік тому +14

    Jamani like zangu leo wa pili kuingia mjengoni,,,,asante anko mapesa kwa utamu❤❤❤❤🎉

  • @Charleschege-x8g
    @Charleschege-x8g Рік тому +8

    Mr ankojay you are the best story teller ever ninapenda simulizi zako na huwa nakufuatilia sanaaa,mungu akujaalie miaka mingi ili nasi tufaidi simulizi zako.....

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 9 місяців тому +3

    Hii simuliz ilitoka miez 6 iliyopita nami ndio ninaisikiliza sasa na mie wa kwanza kabisaaa

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 Рік тому +2

    Yani Hawa wadada wanifurhisha mioyo Yao kama mm Salma kwani wanaupendo wa dhati kwa mume wao nimependa mnooooooo simulizi hongera sa mtuzi na family yetu wanawske tujifuze kitu kwenye hii simulizi hongera Sana ❤❤❤❤

  • @Saada-y6v
    @Saada-y6v Рік тому +3

    Me pia Leo nimewai🎉

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c Рік тому +1

    ingawa mm niwameisho lakini Niko ngangari 😍😍😍 wacha2 dadahuyo m

  • @aliionlinetv8397
    @aliionlinetv8397 Рік тому +1

    ❤❤❤. Asante anko jay KWA simulizi nzuri

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Рік тому +4

    Woyooooo 😂 DADA WA BANK nikarembo jamani ..pua kama firimbi 😂😂😂😂 Ahsante Anko jay tunaenjoy sie shabiki zako❤

    • @Rukia-pv7by
      @Rukia-pv7by Рік тому

      Ndiyo jamani tumesoma ndo utuandikie mara sita jaman binthassan9191😍😍😍😗😂😂😂😂

    • @binthassan9191
      @binthassan9191 Рік тому

      @@Rukia-pv7by 🤣🤣🤣🤣🤣network imezingua ilikua imekataa kufika

    • @zainabamir1431
      @zainabamir1431 Рік тому +1

      Filimbi jamn khaa😂😂😂

  • @zahraseif3330
    @zahraseif3330 Рік тому +5

    Hatupoi jmn kila kukicha kitu kpy hmn kujistress asnt Anko j😊

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Рік тому +51

    Wakwanza mnipe likes za team strong 😂😂😂❤❤❤❤

  • @JabuAli
    @JabuAli Рік тому +6

    Mungu akubariki anko jay maana wengine kwa siku bila kusikiza story zako hatuwi sawa cz twajifunza na twaburudika😊

  • @esterIsabel-y4e
    @esterIsabel-y4e 11 місяців тому +1

    He Niko kwenye Kumi bora

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu Рік тому +2

    Asante Anko J ubarikiwe kwa smlz tamu

  • @njeyaduniatv
    @njeyaduniatv Рік тому +1

    sauti ya mjomba wake halmani.. ni kama sauti ya BABU WA KISEMVULE😆😆😆😆, ANKO JAY MHUNI SANA, NA INAONEKANA ANKO JAY.. UNAKULA SANA MADEMU.

  • @JoyceSama-bo7jv
    @JoyceSama-bo7jv Рік тому +3

    Wa kwanza leo

  • @THEDONSIMULIZI
    @THEDONSIMULIZI Рік тому +3

    Al man noma aise dah ni jasir mnoooo

  • @jokhajj
    @jokhajj Рік тому +2

    Mambo si ndo haya sasa anko jay mapesa huwa abatishi acha tupurudike😂😂❤❤❤

  • @Abuuhdizzo
    @Abuuhdizzo Рік тому +2

    Asante sana kwa simuliz nzur. Ubarikiw

  • @saumukambi8562
    @saumukambi8562 Рік тому +2

    Waaa. 59 sijachelewaaaaa anko. J
    Vp hali yakoooo❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Рік тому +2

    Haya Ankojay ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 asante sana kwa simulizi mpya

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 Рік тому +2

    Thank Anko Jay kwa simulizi tamu😍😍😍😍endelea kupata nafuu Anko

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn Рік тому +2

    Uncle mungu akubariki nilikua naboeka mwwenzenu saii nagua ugonjwaa wasimulizi bila hio kambae nafiwaaaa

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 Рік тому +3

    Waaaaah kwan mm wa 126 😊

  • @Bintiali-kg3xe
    @Bintiali-kg3xe 4 місяці тому

    Anko jey hizo mbinja ulikuwa waniita mimi😂😂😂😂

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov Рік тому +2

    ❤❤❤❤nimechelewa leo 😊😊😊

  • @babashangazi7646
    @babashangazi7646 Рік тому +5

    Samahani Anko j🙄🙆. Hauna group la WhatsApp. Napendezwa na kazi zako Anko J

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc Рік тому +1

    shukrani anko ila zaidi sifa kwa MUNGU kwa kukuponya

  • @NawMi121-lj8cf
    @NawMi121-lj8cf Рік тому +4

    Anko Jay hujambo ungemfananisha Na mkeo ama huna muke tukutafutie Sisi mashabiki zako😂😂😂😂😂

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 Рік тому

    Nzuri saana upo vizuri kwelii ankojay

  • @KevinKibet-k5v
    @KevinKibet-k5v Рік тому +1

    Hongera ankoy mungu akuzidishie sauti

  • @SaumuIbrahim-vh8bc
    @SaumuIbrahim-vh8bc Рік тому

    Mm pia nko hongereni sana🎉🎉🎉❤

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 Рік тому +1

    Mbona naam nyingi anko 😂😂😂

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Рік тому +2

    Ata mimi anko Jay wetu kesho naja unibandike sura kwa simulizi kama Binti Cinderella sawa ankooooo na na mimi ni uze sura maana hao dada huwa ni warembo sana tena sana

    • @LispaKadzoKalu
      @LispaKadzoKalu Рік тому

      😂😂😂😂ama kweli kimeumana dada uvumilivu umekushinda bora umeongea mwaya❤❤

    • @sososonia1956
      @sososonia1956 Рік тому

      Jamani jamani , eti nami niuze sura😅😅😅😂😂 haki nimecheka😅😅😂

  • @BethJj-p9c
    @BethJj-p9c Рік тому

    Ankojay.mmmsimulizizakozanifunza.sana.siwezichelewakuzisikilizaGod.bless you.somuch

  • @zenasalum3107
    @zenasalum3107 Рік тому +1

    Yan ck nikiwa wakwnz mnipe zawad😂😂😂🎉

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 Рік тому +3

    nimewai mauwa yako❤❤❤❤

  • @chrispinurio1020
    @chrispinurio1020 Рік тому

    Ambao tupo pmj kwa anko j gonga like

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty Рік тому +8

    Kitu kumoyo hasa hii

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 Рік тому +2

    Such kind of Love, wanawake kama Salha walienda wapi? Maana hee eti kushare mapenzi na mtu zii sidhani

  • @judikadzo8712
    @judikadzo8712 Рік тому +2

    Waaa nime chelewa aki

  • @ajabburundi6043
    @ajabburundi6043 Рік тому +2

    Nime enjoy sana 😂 upewe urinzi kwa kazi yako

  • @happynesskatunzi9491
    @happynesskatunzi9491 Рік тому +4

    no.1 today

  • @MaryamMasudi-n3v
    @MaryamMasudi-n3v Рік тому +1

    jaman ankojay asante kutusifia wadada wa bank 🏦 thank you so much ❤❤❤❤❤

  • @zawadtwahirusuleyman1392
    @zawadtwahirusuleyman1392 Рік тому +10

    Wakwanza kwa dada wa bank maua tafadhal

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 Рік тому

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢

  • @JulianaFabian-w5h
    @JulianaFabian-w5h 9 місяців тому

    Mm wa mwisho na utamu n uleule

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 Рік тому +3

    Uncle Jay much love

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 Рік тому +3

    Big up Ankojay ❤ from 🇰🇪🇰🇪

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu Рік тому +1

    Hahaha Anko J jamani ety wanapenda kutiana

  • @CalvinIbrahim-s4r
    @CalvinIbrahim-s4r Рік тому

    Big up bro

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 9 місяців тому +1

    Tena nimewahi sana

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi Місяць тому

    Anko napenda zako tu! Yaani nazirudia rudia 😂🎉😅😂

  • @davidraphael6315
    @davidraphael6315 Рік тому

    Nimeipenda sana❤

  • @GraceDavid-nq4zc
    @GraceDavid-nq4zc 10 місяців тому

    Tangazo tangazo wanaonitafuta niko huku kwa anko jay nasikliza simuliz tamu sana

  • @Ivyagua
    @Ivyagua Рік тому +3

    Santi anko❤❤❤❤❤

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp Рік тому +2

    Daah mapenzi haya shikamoo mapenzi asante anko Jay nimeinjoy his story jamani data one love anko

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi Місяць тому

    Wanawake wa peponni hapo!
    Uuuwiii!

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 Рік тому +1

    Simulizi tamu sana chukuwa🎉🎉❤❤

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 9 місяців тому

    Hata mie nilimuona Salha na nilitaman amuoe huyo doctor Salha ,sijui moyo wake uneganda kwa nani

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Рік тому

    Nakukubali sana moyoni mwangu kwa kazi zako nzuri sana congratulations 👏👏🎉🎉 big up My brooo much 💞 anko Jay family

  • @MK14PETITNOIRjg8gi
    @MK14PETITNOIRjg8gi Рік тому

    Thank you simulizi

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 Рік тому +3

    Asante Uncle J ❤

  • @anoldminja8901
    @anoldminja8901 6 місяців тому

    I love it 🔥🔥🔥🔥

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Рік тому +1

    Twasema Asante pia kwa kutusimulia anko wetu kipenzi twakupenda sana Jabali wetu King 👑 mungu azidi kukubariki sana congratulations My brother tumeinjoi tu sana asante sana kuwa na wakati mwema

  • @ClaraMuyengi-ud4be
    @ClaraMuyengi-ud4be Рік тому +1

    Anko jay wangu❤

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 Рік тому +2

    🎉🎉🎉🎉 chukua maua yako ank j

  • @HamadaliBakar
    @HamadaliBakar Рік тому

    Ubarkiwe uncle je

  • @IreneFuraha-y6z
    @IreneFuraha-y6z Рік тому +1

    Nice simuliz anko

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly Рік тому +2

    Nmewah asante

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 Рік тому +2

    Jamani wadada tuwe wa kweli tusigonganishe magari. Ukweli unamuweka Mtu huru ona Salha amezua tafrani ambayo itaumiza Watu wasio na hatia.

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc Рік тому +1

    sijui kama bado wanawake kama salha wamebakia wengi kipindi hiki ila nimempenda salha juu alijuwa tuu apende asipende alman lazima amfuate annah kama alivyo mwahidi hivyo kuliko kuibiwa akaamua safu alman tupo hapa sisi sote ni mali yako imagine hii sio ngumu hata mimi husema kama yupo na aje tuu bora mbuzu ale urefu wakamva yake

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Рік тому +4

    Ankojay wapiga miluzi kana kwamba wamuita DADA Wa Bank😂😂

  • @HafashimanaDorine
    @HafashimanaDorine 10 місяців тому

    Alafu wewe anko unasifia sana watu kwani huyo uzuli unaogerea nikweli😅😅

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 Рік тому +2

    Ancojay mashalla ❤❤❤❤

  • @ZuhuraRIJOKA
    @ZuhuraRIJOKA День тому

    Ankojei nakukubari sn.

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 5 місяців тому

    Simulizi tammmm sana

  • @buru1235
    @buru1235 Рік тому

    Jmn zimulizi yko imenifunza utulifu n uvumilivu uncle mungu akubariki Sana bt ugeleta part 2😂😂😂

  • @fatumahaji-ei5hk
    @fatumahaji-ei5hk Рік тому +2

    Nolisha kata tamaa asante anko

  • @mwanajumamohammed4356
    @mwanajumamohammed4356 Рік тому +2

    Mfanenishe na shabiki wako mpendwa shadya salum

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 9 місяців тому

    Tena nimewahi sanaaa