Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hongera sanaa japo uwe una smile hata kidg sasa Hemed chande kazi nzur sanaa 🎉🎉🎉
Uoni hapo beach acheka au?
Taharuki maadili yamezingatiwa, big up saana Tanzanian culture
Wapili leo. Ni mimi. Naombeni. Like. Senu. Pls pls❤❤❤❤
Wow wa kwanza leoo❤️❤️❤️
Much love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇿🇦
mashaallah tabarakaallah ni nzuri ilah punguzeni hiyo sauti ya kinanda sauti iko chini sauti ya kinanda iko juu
Pongez kwa wahuska wote❤haswa mzee king much love san
Nakukubali sna na ninapenda kazi yako
Bora mngeendelea na old taharuki ni nzuri Sana
Finally nmekutana na edu wa pazia❤ wuee huyu mama amemjibu Fred maajabu 😂😂😂anywei nawapenda team taharuki
Much love from Kenya 🇰🇪🎉🎉🎉🎉🎉
Nakubal sana du natamani na Mimi kuwa mwanafamilya ❤❤❤❤
Nampenda huyu mkaka eduuu jmn anaigiza vzr
Mmmhhii
Good job 👏 brother 👏
Nawakubali tu sanaaa
Bora ile ya mkojan mzur
taharuk kaimba yammy wa nandy
tunataka Taharuki ya Hemedi Chande na Mkojanihio tushaangalia muda sanaa
Achia ambao.hawajaona
😂😂@@classicswahiliimage7496
Hongera sana 🎉🎉🎉🎉
Always serious 😂😂 surely chande try to smile😁
Kenya Watching
Safi sana nakukubari sana kaka
Kaz nzur san bro wang hemed
Hii piano iko juu mpaka yakera punguzen aise
Much love dear ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nyie ivyo visurual😂😂😂😂
😂😂😂😂😂🙌
Oe me nataka muendelezo wa taharuki ya mkojani, ile ilikua na muonekano mzuri zaidi
Me watano leo naomben like zang
Upo vizuri sana
Hemed,. nakumbal xn ❤
Nzur san
❤❤❤
Nawakubal San ❤❤
Naombeni ukweli , kwani uyu Hémède na kelvin sio wa ndugu kweli
❤❤❤❤❤
Hongera hemedy ❤
Uyu binti anaeimba natamn kumuona😢😢
YAMMY
Ithink yammy aliezua gumzo na barabara classic mume wa Raya wa mama kimbo
@@FatimaAli-of4gh nime mkubali sana ataree anajua afu ana voice mzr mashaAllah
@@Sayd-pi5lq Unahatari bro ndio maana kwenye vitabu vya dini tumeambiwa wanawake tusipandishe sauti zetu madhara ndo kama hayo humu kwenye comment siwezi kukutumia video ya hiyo nyimbo ipo youtube ungekwisha burudika 🙆🙆🤣🤣🤣
@@FatimaAli-of4gh apo xx bt kiukwl mashaAllah saut yake mzr
Kazi nzr
Naomba hio nyimbo jamani
Hahaha,, hivi nan mwengine ame realize ya kwamba huyo mchungaji alikua busy kuwaangalia aky jamani 😅😅😅
Nzry
Mapenzi ya video yaani tamuuu
Nawapenda bure❤❤❤❤❤
munachelewesha san
Cool 👍
Wapo vzr
💖🔆💖
Good movie
Wamwisho tujuane
Ile movie ya jesca ndio uliua kaka ivi mbn usiimalzie
lkn hemed n hb hatar❤
Tunaomba sehemu ya tatu tafadhali
Tayari
Wow
Vp kuhus jesca au. ndo imeisha Kam HAIJAISGA??
🎉🎉🎉❤❤
Mmchukuwa camera anachukuwa kwa umbali mkubwa huoni vizuri
Wawooo
Punguzeni muziki angalau tusikie maneno basi
Kwani ulikuwa hujuwi
Ya 3 jmn
Hii move ya kitambo
🎉,😆😆🥵🥵🥵🥵
❤😢😂
😅
❤❤❤❤
Hongera sanaa japo uwe una smile hata kidg sasa Hemed chande kazi nzur sanaa 🎉🎉🎉
Uoni hapo beach acheka au?
Taharuki maadili yamezingatiwa, big up saana Tanzanian culture
Wapili leo. Ni mimi. Naombeni. Like. Senu. Pls pls❤❤❤❤
Wow wa kwanza leoo❤️❤️❤️
Much love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇿🇦
mashaallah tabarakaallah ni nzuri ilah punguzeni hiyo sauti ya kinanda sauti iko chini sauti ya kinanda iko juu
Pongez kwa wahuska wote❤haswa mzee king much love san
Nakukubali sna na ninapenda kazi yako
Bora mngeendelea na old taharuki ni nzuri Sana
Finally nmekutana na edu wa pazia❤ wuee huyu mama amemjibu Fred maajabu 😂😂😂anywei nawapenda team taharuki
Much love from Kenya 🇰🇪🎉🎉🎉🎉🎉
Nakubal sana du natamani na Mimi kuwa mwanafamilya ❤❤❤❤
Nampenda huyu mkaka eduuu jmn anaigiza vzr
Mmmhhii
Good job 👏 brother 👏
Nawakubali tu sanaaa
Bora ile ya mkojan mzur
taharuk kaimba yammy wa nandy
tunataka Taharuki ya Hemedi Chande na Mkojani
hio tushaangalia muda sanaa
Achia ambao.hawajaona
😂😂@@classicswahiliimage7496
Hongera sana 🎉🎉🎉🎉
Always serious 😂😂 surely chande try to smile😁
Kenya Watching
Safi sana nakukubari sana kaka
Kaz nzur san bro wang hemed
Hii piano iko juu mpaka yakera punguzen aise
Much love dear ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nyie ivyo visurual😂😂😂😂
😂😂😂😂😂🙌
Oe me nataka muendelezo wa taharuki ya mkojani, ile ilikua na muonekano mzuri zaidi
Me watano leo naomben like zang
Upo vizuri sana
Hemed,. nakumbal xn ❤
Nzur san
❤❤❤
Nawakubal San ❤❤
Naombeni ukweli , kwani uyu Hémède na kelvin sio wa ndugu kweli
❤❤❤❤❤
Hongera hemedy ❤
Uyu binti anaeimba natamn kumuona😢😢
YAMMY
Ithink yammy aliezua gumzo na barabara classic mume wa Raya wa mama kimbo
@@FatimaAli-of4gh nime mkubali sana ataree anajua afu ana voice mzr mashaAllah
@@Sayd-pi5lq
Unahatari bro ndio maana kwenye vitabu vya dini tumeambiwa wanawake tusipandishe sauti zetu madhara ndo kama hayo humu kwenye comment siwezi kukutumia video ya hiyo nyimbo ipo youtube ungekwisha burudika 🙆🙆🤣🤣🤣