PART4:DADA MCHAWI NA MGANGA AELEZA JINSI WAGANGA NA WACHAWI WANAVYOSHIRIKIANA KUUA WATU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 190

  • @margaretwangoi6814
    @margaretwangoi6814 3 роки тому +7

    No 7 from 254 nimewakilisha

  • @enezageorge8692
    @enezageorge8692 3 роки тому +4

    Mnaosema kwa Nini alivumilia hayo yote kwa huyo mume ,jibu ni kwamba alikuwa kafungwa fahamu na huyo mume.

  • @karimreldalaal1387
    @karimreldalaal1387 3 роки тому +2

    No. 1 leo

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 3 роки тому

    Pole sana dada

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 роки тому +3

    Hayaaaaa...Mliosinzia amkeni kwanza.....Njooniii

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 роки тому +1

    Story nzuri sana

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 3 роки тому +1

    Safi Sana ndaaaaani kabisa

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому +1

      Umeona eeee

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 роки тому +1

    Safi Sana broo

  • @jescamgallah3809
    @jescamgallah3809 3 роки тому +2

    Mojaaaaa

  • @tracyangells7595
    @tracyangells7595 3 роки тому +1

    Hamna kulala Tupo👍👍

  • @qelseykenya3933
    @qelseykenya3933 3 роки тому

    Uko na baba mzurii sana Mungu amubariki

  • @jescamgallah3809
    @jescamgallah3809 3 роки тому +2

    Namba moja

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 3 роки тому

    From Oman nawapata💪💪

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +2

    Ulitoa wamezako sasa wao wanakuteaa tuu jamani wachawi

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 3 роки тому

    Huyo mume duu hafai kabisa🙌🙌🙌

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому

    Uchungu kwueli mama pole pole sana mwanamuke mwenzangu

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 роки тому +4

    Mama ana roho ya ujasiri huyu hatari...

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +2

    Hatari ndiyo maana sipend marafiki wa kike mimi

  • @aishaally8811
    @aishaally8811 3 роки тому +1

    Dah inauma sana 😔😔😔

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 роки тому

    Dah maisha haya ! Yanachangamoto nyingi

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 3 роки тому

    @18:37, atleast a single photograph!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    Alhamdulillah w mwishoo 😥😥🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 3 роки тому

    Pamoja ....🥰

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 роки тому +2

    Guys kujeni mambo tayari alafu pia tushashiba iftar, pili musa aysha zuu na Hamadi Kassim, hamisi kombo my dear Goodluck 😍

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 роки тому +3

    Dah kweli mwanamke anaweza ishi na mwanaume sababu tu ya maisha magumu😢😢😢

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Nimetamani nipeleke posa huyu ndo mwanamke Bora wa kuishi

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 3 роки тому

    😢😢😢😢una pasuliwa pasipo ganzi

  • @evamakoi668
    @evamakoi668 3 роки тому

    Unaweza kumvumilia mchawi

  • @hakimabdul7494
    @hakimabdul7494 3 роки тому +2

    😍😍😍😍

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 роки тому

    Dada yangu huyo hakuwa mume na haukufaa kuishi naye kwani alikuwa hakuoneshi ushirikiano kama mke kabisaaaaa🙏

  • @valerieobanya5172
    @valerieobanya5172 2 роки тому

    Operating rooms are usually the coldest areas in a hospital to keep the risk of infection at a minimum.

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 роки тому

    kumbe kenya hatuna vituko bana,tuko gizani

  • @qelseykenya3933
    @qelseykenya3933 3 роки тому

    Watu wanapitia kweli...

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 роки тому +3

    Hamlali nyie pipoz,,,,,Davistar weka inofata saa8 usiku😁😁

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому +2

      Mbaya wewe 😂😂😂 ila ndio mida ya daku 😂

    • @vaghoghontweki9827
      @vaghoghontweki9827 3 роки тому +1

      @@somoeawadh7774 😁😁😁 Tunatakiwa tusilale ni mwendo wa kustorika😂

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому +2

      @@vaghoghontweki9827 😂😂😂

    • @vaghoghontweki9827
      @vaghoghontweki9827 3 роки тому

      @@somoeawadh7774 🙏🙏

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ryhislamminamuonamsengetu9111
    @ryhislamminamuonamsengetu9111 3 роки тому +2

    Nacheka kama mazuri kuishi na mwanaume kunaitaji moyo waziada

  • @tututz100
    @tututz100 3 роки тому +1

    WATU

  • @zennahenry5953
    @zennahenry5953 3 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 3 роки тому +1

    Kama unamkubarii huyu mama anasitor nzur kama Daniel nipen lek

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 3 роки тому

    Tunatofautiana kbs wanawake yaan mm sinaga moyo wa uvumilivu kiasi hicho Kama tumeshindana tumeshindana nibora nihesabiwe wanaume kulko kuishi namwanaume wa stail hiyo

  • @denizamahongo8557
    @denizamahongo8557 3 роки тому +1

    Maisha jamani! Tuendelee

  • @jenifamtima9325
    @jenifamtima9325 3 роки тому +1

    Mwanaume ukatili uyo mke sk za mimba zimeisha anaama!
    Maskini, jamaniiiiiii! Jamani uchawi upo kweli!

  • @kenedypaulo4557
    @kenedypaulo4557 3 роки тому

    Davista mata noma kamanoma tuko pamoja San wadau

  • @catherinewanjiru7136
    @catherinewanjiru7136 3 роки тому

    👍👍👍

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Jamani wewe pia ulikuwa na nguvu unazaa ukixikaa lkn bado unajipa moyo tuu .. haya baba nayee ndohuyo kahama nyumbaa AI jamani yani ulipikwa ukapikika yani kufa hufa lkn chamoto unakionaa ukibeba mimba...

  • @poureenmkude8659
    @poureenmkude8659 3 роки тому

    Haaaa haaa haaaa uwiiii shemej alipeleka coka hosp

  • @mariamshabani6853
    @mariamshabani6853 3 роки тому +1

    💃💃💃💃💃💃💃💃😘😘😘💖💖💖💖

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому

    Duh😥

  • @indiacustomauthoritiy5302
    @indiacustomauthoritiy5302 3 роки тому +1

    Nimewahi

  • @jescamgallah3809
    @jescamgallah3809 3 роки тому +1

    Konk brother dav

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Ngai sijawai sikia mtu oparashini bila kudungwa sindano AI AI jamani huo uchungu tena wakakata tenaa wakatoa kamba tena wakashonaa@@ sijawai sikia

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +3

    Twende kazi😆😆

  • @nellyrhn4349
    @nellyrhn4349 3 роки тому +2

    Dunia inamajabu sana jamani duh uchawi upo kabisa

  • @sheikhabdallahiddi3350
    @sheikhabdallahiddi3350 3 роки тому

    huyu mama tayari ameuwa kiumbe ambayo ana makosa .siku yakiyama huyu mtoto atalia sana mbele ya mungu atasema ya Allah kwanini nilizuiliwa kuishi duniani. mwenyehezi mungu Allah atasema nikwadhambi gani uliuliwa

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Hv kumbe allhah wenu sku yakiama atakua akjadiliana na kiumbe yyte? Duh hatari kelele moja kwa allhah aakee

    • @suzansimon5296
      @suzansimon5296 3 роки тому

      Kwasababu amekiri kwa mungu nae mungu huwasamee wanaokili makosa yao

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Mwanaume katili kweli hata mtoto nguo hamna etii umvalishee xako

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    Asalam Aleykum😴😴😴🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Wa alaykum salaam warahatullah wabarakatu

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@ikabako2454 Alhamdulillah 🤗🤗 wngu❤❤🇪🇭🇪🇭

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@ikabako2454 za kwako❤❤❤❤❤🇪🇭🇪🇭

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 ❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @aishaally8811
      @aishaally8811 3 роки тому

      WALAYKUM msalaam

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 роки тому +1

    😧😧😧🇰🇪

  • @meckylucy215
    @meckylucy215 3 роки тому +1

    Dah ! Hatar

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 роки тому

    Yani mama anapafom htr

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +2

    Rafiki yako hajawai jua kuwa ulifanya hayo lkn amejua ju sura umeonyshaa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Wanawake bn tuna zambi yani watembea namume wamtu huku unaleta nguo tena zilixotumikaa jamani

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 3 роки тому

    Operation Alf chumba Cha baridi mmmh jmn kidonda konavyoum kwenye ubaridi jmn mbona kututisha tusiozaa😭

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому

      Musijali ila maumivu ya kuzaa yache tu dear 🤦😥

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 роки тому

      @@somoeawadh7774 😭😭😭😭🙌

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Mke wangu huwa anajifungua kwa opresheni lkn Ni mitihan Sana ase

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 3 роки тому

    Ila dada anaujasiri huyuu duu

  • @josephinemichael1514
    @josephinemichael1514 3 роки тому

    Ila waganga aisee😤😤😠😠

  • @wildatmsellem7531
    @wildatmsellem7531 3 роки тому

    Duh kwaiyo uyu dada ana watoto wangapi!?

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 роки тому

      Yan mimba za kila siku😂

    • @rebeccaphanuel9830
      @rebeccaphanuel9830 3 роки тому

      Anawatoto 5 mmoja aliolewa nae anaitwa salma huyu ni wifi yangu ni muongo sana kaongopa mengi kama alikuwa ameamua kusema angesema yote na hadi navyo ongea mda huu yupo kwake

  • @husseinomar1996
    @husseinomar1996 3 роки тому

    mama ana story ana matatizo na mume wake lakini anazaa mara kwa mara

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому

    Shida nikua ulipenda kuzaa hata unashangaza wenzako twameza tembe Tena na matatizo hayo yote uzaa zaa hivyo

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 роки тому +1

    Sasa kwa nn dada mumeo alikua mkorofi na wewe ukawa wamupa kitumbua tu mara uja uzito mara una toka kimazingira ya kutatanisha

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому +1

      Huyu mume alikuwa mnafiki anasema hamtaki lakini kitumbua chake anakula na mimba juu

    • @fredychaki7203
      @fredychaki7203 3 роки тому

      @@pilimusa7770 pilli musa wewe kitumbua achana nacho akina kususa 🤣🤣🏃🏃

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@fredychaki7203 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@fredychaki7203 mijana mme ina roho ngumu, kumtesa kote huko na kitumbua chake anakitaka .

    • @rosecruiz4348
      @rosecruiz4348 3 роки тому

      @@pilimusa7770 ndio na shangaa mm

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 роки тому +2

    Wa kwanza

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 роки тому +2

    Mtu kakuibia nyota bado anaendelea kukutesa yaan ulikuwa na muuaji

  • @sheikhabdallahiddi3350
    @sheikhabdallahiddi3350 3 роки тому

    akuna dhambi ndogo ya kuuwa

  • @hamadwaziri121
    @hamadwaziri121 3 роки тому +1

    Mje mle daku jmn

  • @joselynenizi9475
    @joselynenizi9475 3 роки тому +1

    Leo wa 6 hhhhh