Kwa kweli Davister vipindi vyako elimu, onyo, simulizi nzuri sana, kwa wale walio na uwezo au nafasi ya kuona hayo matokeo, maana hao wachawi sio wengi waliokua na smartphone ya kuweza kufatilia interviews na simulizi zote hizo.na sidhani kama watakua na wakati au hamu ya kutaka kufatilia yote hayo, lakini mimi nimepata masomo muhimu sana kutokana na vipindi vyako, asante kwa yote, Mungu akulinde na maovu yote hayo.
Safii! Ningekuwekea no yangu hapa ila si unajua hapa ni public session embu nicheki kwa email yangu kcpo Kepher@gmail.com nikupe no.yangu then we will talk else! Sorry members just i beg !don't faking me through this message to jack line please! We are family! 👫👫🙏🏿🙏🏿!
Mngekuwa mwatuonyesha rusa mana waeza kutananaye corner mbaya akakudhuru Watu huamini uchawi kuliko Mungu unakula nyamazawatu muwe mnnatuambia hixo nyama ladha yake🤨🤨🤨🤨🤨🤨
The true world is spiritual.what can be seen with naked eyes is almost nothing. Witchcraft,sourcery and occultism are spiritual experiences.we are approaching endtime era, people now feel to unburden themselves of these evil sins.
Of course they are true that's why we here for every new story. Because we learn a lot. And this guy devista mata is real i never follow any one story in UA-cam only this guy's story.
Watu wawarabuni tupo makini Sana😍🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ndio dadangu
Kabisaa
😀
🙌🏼🙌🏼
Umeona eee
kaka kaz yako nzuri sanaaaa mwenye maskio ataskia na mwenye macho ataona ila kuna wenda wazimu hawataelewa
Mm nmeelewa 😂😂😂😂😂😂
Duuu Wachawi Hata uruma hawana dooo Hadi ndugu unauwa Duuu hapana Aisseh mungu Hanawaona wachawi wote kwa roho zenu mbaya
Barikiwa Davister.. umeokoka wew.. au umempokea Yesu kuwaomba Bwana na mwokozi wa maisha yako ..please jibu
Pamoja Mr Facts Mungu akubarik amen 🙏
Mungu akulinde DM
Mi nakukubali sanaa
Maana hakuna unafik ktk kaz zako.pamoja sanaaa.
+254 Hata sisi tumeanza kutubu.kazi nzuri bro Devistar
nakukubali mr fact unaweza sana, na pole kwa kuangaika.
Kwa kweli Davister vipindi vyako elimu, onyo, simulizi nzuri sana, kwa wale walio na uwezo au nafasi ya kuona hayo matokeo, maana hao wachawi sio wengi waliokua na smartphone ya kuweza kufatilia interviews na simulizi zote hizo.na sidhani kama watakua na wakati au hamu ya kutaka kufatilia yote hayo, lakini mimi nimepata masomo muhimu sana kutokana na vipindi vyako, asante kwa yote, Mungu akulinde na maovu yote hayo.
Bila kuwa na YESU MIOYONI mwetu hatuwezi chochote zaidi Ni kjuteseka Sana duniani na Kisha motoni milele
mwenye uelew ataelew asie elew atajipanga man kila siku Twajifunz kupitia kwenu Asante kk kwa kuzid kutuelimishe
Mtwara mko vizurii kwa mambo ya ndumbaa naana dah asilimia kubwa wanaosimulia kuhusu uchaw wanatoka mtwara
Tena masasi,😊
We ulisikia wap kwamba kiwa mchawi
Utafanikiwa we ulickia wap.....?👌👌🇹🇿🇴🇲
Timu oman gonga like apa
Nime like japo sio team oman
Npo hapa timu chaharaa🤣🤣🤣🤣🤣
@@roseuwambe8089 😔
😂😂
@@kalssambaboo9705 twende kazi
Duh mtwara pamoja xana kwa mikiki na seke seke za maisha mko vizuri,
Kumbemwanga na mchawi ni tofauti mhh kweli hawa wachawi ni hatari.
Duh polesana bro
Upo mtwara kwetu davista😍😍✌
Mtwara kwenu wachawi na visa duh
@@wantangosaimon5295 😃😃😃kila sehemu besti wachawi wapo si mtwara tu
Jamani huu uchawi umetawala sana jamani wayu tuna kosa hofu ya mungu 🙏🙏🙏🤲🤲
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up
kweli wachawi so watu wazuri jaman mtu huwa kibao cha kukali mh mungu niepushe kabisa maisha yangu yote
Team kuchelewa Mupo ✌️
Tupo kama kawa
Tupoooooooooooo
Tupooo
Nipo nafunga mlango
Ivi mkiwai mnapataga nn embu nijulisheni jamani
Davister tuletee part 2 boss
Tumeshinda usiku kuchungulia part 2 tunaona haiji
Ni viema kuwaombea watoto wetu wasipatwe na Mambo kama Jaya. Mungu tuepushe🙏
Unatumia gar au ndege mzee unatembea
Sana
Dah! maskini ila wachawi wana moto unawasubiri
Duh Dunia Inamambo
Halafu ukiwaona wakimya
Lakini ndio wala watu ..
Uko vzr
Nashukuru kwa kuwahi
Riziki mm wakwanza
@@dotosalim5090 nakuona 😂😂
Weweeeeeee
Mungu waalani wachawi wote
Nyc work
Da! Noma aise
Japo kwa kuchelewaa..
Nishidaah
Hao jamaa unawapataje ✔✔👏👏
Mwenzake kamficha yeye kataja jinalake mbaka wadogo zake na baba ake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😁😁
Faida gani kijificha ?akisha ataja jina mpaka familia nzima😎😎😎
@@SandrineNduwimeNduwim Yani nimecheka mbaka mbavu zinauma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tupo mzee 💪💪💪✌️✌️👍
Haa shatani adui wa mwanadamu siku zote
mtwara mmezidi jmn khaaaaaaaaaa...
Uwe Dereva wa fisi usukani masikio Blake kijampo hahahaaaa duh mtwara konki maxter oyeeeeee
Pamoja nawe mr fact🤝
Wachawi wabaya Sana
Dooh nimtihan haswaaa
Jaman 📢📢📢amkeni amkeni 📢📢📢team kuchelewa leo meshika namba 1 📢📢📢📢💃💃💃💃💃💃💃 yani leo mnipe like zakutosha 🤣🤣
😀😀😀😀😀
Tukupe like ukanunue nini 🤣🤣
Nikanunue stor mpya 😊
Hahaaaha ngoja nikupe maana story ni Tamu Davistar anatufrahisha mpaka mtu akiiacha pesa tu napita nayo
😀😀
Huyu jamaa alitoka kupendwa na jini hakaja kuingizwa uchawini hhhhhhhhhhhhh Maisha hya tuishi tukiombaaa
Wachawi jamani muogopeni Mungu jamani munatutesa sana jamani😭😭
Mhh mchaw hana maana kwa kweli.
mtwara 😉😉😉
Jaman mbona uyu ni kaka yake mfaume wa mtwara alioa jini wazazi wake wakachapwa au naota maana wanafanana mpaka vichwa😜😂😂😂😂 uchawi aunadili
Nyenged kunawa2 wanafnyanae kz wa nyenged
Du watu hamchezi Mbali!!
Bas utupe part 2 kaka Davi tuko pamoja broo.
Hizi story ni nzuri na zenye mafunzo..changamoto yake usiku ukiziota 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sanaa mie naogopa hata kuzisikiliza uck kama nalala peke yangu
Hongera mr facts usiku usiku ili tusilale sio tuweweseke🤣tushazoea basi 😝
Jameni duniya
Mtu makini mr dm
Mpo?
Jack unaishi mkoa gani?
@@kcpokepher5481 naishi dar
🙄🙄
Safii! Ningekuwekea no yangu hapa ila si unajua hapa ni public session embu nicheki kwa email yangu kcpo Kepher@gmail.com nikupe no.yangu then we will talk else! Sorry members just i beg !don't faking me through this message to jack line please! We are family! 👫👫🙏🏿🙏🏿!
One
Duuuu!🤔
Pamoja bro
Sirudi tena Tanzania 🇹🇿😳
Hahaahaaa 🤣usirudi shoga Angu watakuroga🤗
Yaan m kila nikiwahi sana ni comment ya 18
kumbe mwanga na mchawi ni vitu viwili tofauti??!!, duuuu ilikua sijui.
mm pia
😎😎
Sasa anawataja wazazi wake na mpaka Ndg zake lkn anaogopa kuonesha sura yake!
Msifokee kis nmewah
😂😂😂
Rizik umeflah atal
Oyoooo wakwanza leo 💃💃💃💃💃💃
Mbona part 2siioni
Nimesegea wa 15
17:22 Walioamka LUKWILI kumuwahi Davista tujuane hapa🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Nimewasili kwa mpigo
Hongera
Wamwisho
Tuned😂254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
D.m tuekee muendeleo wa yule alie potea miaka sita
Leo nipo seat ya mbele kabsa
😂😂😂😂😂😂😂 eti uchawi ushaanza kuninogea
Duh! #Headline 😱
Oy
Davista umeao??
Duh jameni mbona huku wazungu sioni kama uko huu uchawi huku ulaya mbona Tu kwetu Afrika 😭
Wapo wachawi lakin wao wana style zao 🤣
chimie zipo tu ila huwezi jua
Eti niko na mtu.jameni kuna mtu kacma upo na mbuzi.
Mngekuwa mwatuonyesha rusa mana waeza kutananaye corner mbaya akakudhuru
Watu huamini uchawi kuliko Mungu unakula nyamazawatu muwe mnnatuambia hixo nyama ladha yake🤨🤨🤨🤨🤨🤨
Can someone tell me how true is these stories please
The true world is spiritual.what can be seen with naked eyes is almost nothing. Witchcraft,sourcery and occultism are spiritual experiences.we are approaching endtime era, people now feel to unburden themselves of these evil sins.
Of course they are true that's why we here for every new story. Because we learn a lot. And this guy devista mata is real i never follow any one story in UA-cam only this guy's story.
But no one can present any proof
@@peterpanyika6810 Absolutely
Watu hamlaliiiii? Davistar mtu makin watu wamekukubali sana endelea kutoa shule maana hizo story ni shule tosha
Mtu makin hujalala?
Eee💔💔💔💔
😭😭😭😭